Du Aisee du kumbe palikuwa pazuri namna hii? Pukudu
kwa usafi miji yetu enzi hizo ilikuwa ipo juu sana.nadhani ni kutokana na uchache wa shughuli na fursa za kiuchumi.mmoja aniambie kwa nini baadhi ya majengo mengi ya enzi hizo katikati ya jiji yana majina ya ki-asia?
 
Last edited by a moderator:
kwa usafi miji yetu enzi hizo ilikuwa ipo juu sana.nadhani ni kutokana na uchache wa shughuli na fursa za kiuchumi.mmoja aniambie kwa nini baadhi ya majengo mengi ya enzi hizo katikati ya jiji yana majina ya ki-asia?

yalikuwa yao nyerere akawataifisha
 
its gud memory......hapo naimagine kwamba hakukuwa na foleni wala msongamano na maeneo mengi ya jiji kama michocheni, masaki,wazo,buguruni bado kuliitwa ni porini....:smile: :madgrin:
 
Naona kuna gari madogo Vauxhall, Peogeot 404, Land Rover 109, kibasi ni Thamdstrader.

...Mkuu Ubungo, nadhani ni Thames Trader, kampuni ya Waingereza iliyokuwa na jina la mto wao washuhuri wa Thames..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…