Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 74479
Huyo kwenye duara mbona anataka kufanania Anna Abdalla?Bila shaka walikuwa ni Kidato cha pili
kwa usafi miji yetu enzi hizo ilikuwa ipo juu sana.nadhani ni kutokana na uchache wa shughuli na fursa za kiuchumi.mmoja aniambie kwa nini baadhi ya majengo mengi ya enzi hizo katikati ya jiji yana majina ya ki-asia?Du Aisee du kumbe palikuwa pazuri namna hii? Pukudu![]()
kwa usafi miji yetu enzi hizo ilikuwa ipo juu sana.nadhani ni kutokana na uchache wa shughuli na fursa za kiuchumi.mmoja aniambie kwa nini baadhi ya majengo mengi ya enzi hizo katikati ya jiji yana majina ya ki-asia?
Naona kuna gari madogo Vauxhall, Peogeot 404, Land Rover 109, kibasi ni Thamdstrader.