Tanzania ya enzi hizo katika picha
1199_567561796605694_161425287_n.jpg
 
attachment.php

Wajameni nisaidieni hii Station ya Mfongo ipo njia ipi na Mkoa gani maana ujanja wangu wote sijapapata


Hapo ni Mnazi mmoja Mji mtulivu na mwanana hata Zebra cross ilikuwa km ya futi sita tu mnavuka kwa raha hapo mtaa wa Lumumba
Mnazi mmoja 1967.jpg
 
big up saaan EMT, King kong III na wengineo woote mliopost haya mapicha...ni kumbukumbu nzuri zinazoniacha na uchungu mwingi moyoni kuwa tulikosea wapi? sasa hivi tungekuwa ukurasa mmoja na korea , malaysia huko!
 
Last edited by a moderator:
Nop,hiyo inashuka uhuru road,kushoto ndipo ilipo NMB
 
Afro+70.jpg


Afro 70 wakiwa Namanga mwaka 1970 baada ya kutoka Nairobi kupata vyombo vipya.

Walilazimika kupiga Namanga ili wapite na vyombo vyao vipya bila bughudha

Nimemjua Balisidya tu hapo.
 
miaka hiyo tulikuwa tumeendelea zaidi kuliko malaysia,singapore,korea ya kusini na nchi nyingine nyingi..sasa hivi wanatupa misaada,korea ya kusini sasa hivi wanarusha rocket sisi hata ndoto hatuna
 
Nimemjua Balisidya tu hapo.

Balisidya yupi? Nasikia wapo Patrick Balisidya na Steven Balisidya.

Mwingine ni Patrick Dick Unga




Then later

 
Last edited by a moderator:

HII NDIO ILIMFANYA BABA WA TAIFA AKATAE MIALIKO YA MECHI ZA SOKA.NI 1974?? TANZANIA vs SUDAN.ANAEKAGUA TIMU NI RAIS NIMEIRI WA SUDAN.HAO NI TAIFA STARS .NAHODHA NI ABDULRAHMAN JUMA KUTOKA KUSHOTO NI CHUMA,ZIMBWE WENGINE HAWAMEKANI VIZURI
 
UDA.jpg


UDA ya wakati huo

nimekumbuka na zile mashine za tiketi walizokuwa wanatumia makonda.Na ukikutwa na inspector huna tiketi i.e ulitaka kusafiri bure bila kulipa nauli adhabu yake ni kwenda kuosha mabasi depot kurasini
 
Mafisadi wataifuta hii historia kwa kununua na kujenga majengo kama ilivotokea kwa Manji kulinunua kifisadi na kulivunja jengo la zamani mtaa wa Samora na Mkwepu Dar ama nyuma ya Posta ya Zamani

pale salamander?
 
  • Thanks
Reactions: mja
A nation without history is like a rudderless ship.hongereni na asanteni sana wakuu mliotupia picha ktk uzi huu.kwa mtu aliyelea mtoto akakua kisha akashuhudia yule mtoto aliemlea ana mtoto na mjukuu akaja kuwa mtu mzima ataelewa jinsi nilivojisikia nikiziangalia picha hizi
 
Hapo kwenye Cartex si ndio kuna Bank hapo meridian bank kwa sasa? Ilo Curio ndio IPS Building?

Acha Noma Hilo jengo bado lipo Curio na hapo Cartex ndio nadhani pamebomolowa ndio wale jamaa zetu waliokuwa wanauza vitabu bado wapo na tanesco hawakukaa mbali wakatupia Transformer yao hapo nadhani hiyo nafasi haina mwenyewe hadi leo
 
Back
Top Bottom