Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaahahaaaaa........ who knows?...na tusimlaumu Kikwete aliposema "sijui kwa nini sisi ni masikini"..... nobody knows!Dah sijui tulichemsha wapi aisee
Mkuu, hii vehicle naona ni left hand drive na inaendeshwa njia ya kulia, zamani tulikuwa tunaendesha kulia au?
hahahaahahaaaaa........ who knows?...na tusimlaumu Kikwete aliposema "sijui kwa nini sisi ni masikini"..... nobody knows!
Wanasema kulikuwa na mkutano wa chama Arusha, ghafla Nyerere akatoa kikaratasi kwenye mfuko wa shati kimendikwa na mkono, kuanzia leo hakuna kumiliki nyumba mbili, hakuna kuishi nje ya kijiji.....n.k n.k.
But then again that begs a question: ingekuwa ni hivyo mbona ambao hawakufuata ujamaa, Msumbiji, Uganda, Zambia, Malawi, Burundi, Somalia, Zaire ... mbona na wenyewe wamelosti kaa sisi?
Mkuu, hii vehicle naona ni left hand drive na inaendeshwa njia ya kulia, zamani tulikuwa tunaendesha kulia au?
Ilikuwa hivyo hivyo tu ukiwa na gari la left hand lazima upigwe msasa
Haya Mabasi yaliagizwa Special kwa Tanzania sikujua kama yalikuwa ni msaada au UDA walinunua Tanzania miaka ile kwa misaada ndio wenyewe kuna miaka flan ya tisini niliyaona yakiwa mabovu na kuna moja wakalifufua then likachemsha wakaachana nayo kama walionunua sijui au yaligeuzwa chuma chakavu i don't care UDA walikuwa na tabia ya kuuza mabasi ya zamani na mengine mazima wakidai yamekufa huyafungua matairi tu na kuya park then wanapiga mnada kuna ma icarus bus yaliyokuja yakiwa Right Hand na Mengine Left Hand cha muhimu ni Abiria kushukia kushoto tu Madereva walikuwa wanapigwa msasa hadi wanazoea kuendesha left hand ni simple tu mboa mkuu mimi nimeendesha Korando yaani fresh tu..![]()
Lakini sio kwa magari ya biashara, hivi nani anaweza kuagiza basi la UDA left hand drive? Dereva wa gari la abiria wengi atakuwaje kushoto, dangerous! Halafu ukiliangalia liko upande wa kulia wa barabara, wakati sisi tunaendesha upande wa kushoto, hii picha inawezekana sio Tanzania hapa. Dereva mchina halafu kuna ile miti ya Kichina china kama Xmass trees, Tanzania ya wapi hiyo?
Basi liko on transit kuelekea Tanzania, si ajabu.
Hapo kwenye Cartex si ndio kuna Bank hapo meridian bank kwa sasa? Ilo Curio ndio IPS Building?
Mtumeeeeee! yani nchi inaagiza magari ya mass transit ambayo ni left hand drive? Jamani hii nchi yetu ikoje? Unaweka order ya mabasi left hand drive???? hahahahahahaaa......ma icarus bus yaliyokuja yakiwa Right Hand na Mengine Left Hand cha muhimu ni Abiria kushukia kushoto tu Madereva walikuwa wanapigwa msasa hadi wanazoea kuendesha left hand
Cha Msaada huwezi kataa hata mimi ukiniletea Demu Bomba wa Kisiyria aliyekimbia vita huko kwao wala simuachi namtuliza ndani kama wife.. Nini Left hand vehicle ... wajua Zamani Tanzania ilikuwa inapata misaada mingi sana ila ilianza kukata pale ilipositisha uhusiano na Israel basi zile nchi marafiki na israel zikatutupa. Mavitu kama hayo yalikuwa ya kumwaga misaada mingi sana tulipata na sio kwamba nchi ilikuwa inaagiza magari ya left hand...Mtumeeeeee! yani nchi inaagiza magari ya mass transit ambayo ni left hand drive? Jamani hii nchi yetu ikoje? Unaweka order ya mabasi left hand drive???? hahahahahahaaa......
Ukiendesha mkono wa kushoto ni vigumu kuona gari zinazokuja mbele, halafu kwa nchi yetu yenye barabara za lane moja kupiga overtake ni almost lazima, vinginevyo unaweza kukaa nyuma ya canter imepagawishwa overload la gunia za mahindi kutoka Mwanza hadi Dar linaenda kaa kobe, ushawahi kusafiri na magari upcountry lakini? Overtaking ni lazima babaake. Left Hand Drive ni super risky kwenye overtaking, wananchi tunasema ni poa?? hahahahahaaaa......
Nchi zilizoendelea zina taratibu za usalama, kama wao ni Right Hand Drive (US kwa mfano US) basi huwezi kukuta gari ya Left Hand Drive barabarani. Lakini kwa nini twende Marekani mbali kote huko, Kenya wamepiga marufuku ku import magari ya Left Hand Drive .
Nani kakudanganya? Barabara ya Morogoro kuanzia fire jangwani hadi kibaha kote ilikuwa Single road hali ilikuwa mbaya wakaipanua hata hapo Samora avenue,Sokoine drive mwendo ilikuwa ni kupishana tu kwenye double road moja ilikuwa ni balaa hadi idea ya kuzifanya road ziwe one way na no entry kiasi ikapunguza foleni tatizo la foleni ni la siku nyingienzi izooo dar hakuna foleni
Na hiyo toto yenyewe, inabidi uiimbie taarabu mara nyingine zaidi ya miezi sita ndio utaipata.tena zamani ukipata toto,..toto kweli,.siyo siku hizi makapi tu