Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajameni tumetoka mbali. Dah!
![]()
naona kulikuwa hakuana mambo ya kujikondesha etu ooh tunafanya diet ..Black beaty ,nywele nzuri no zazuu no kalikiti nywele twende Kilioni au mkungu wa ndizi..Pure and clean blood... Hakuna cha 'ngoma' wala cha kutafuta 'rough rider'😛layball:... Siye wazamani tumefaidi, bana. Waliochelewa kuzaliwa watajijuuuu...![]()
Hawa watoto wa Kisutu walikuwa CHADEMA![/QUOTE]View attachment 74237
Shule Ya secondary Kisutu 1975
Akuna Cha hijabu wala buibui.hawa waarabu wametuharibu sana. Wametufanya tuchukiane. Sasa mwenzetu dini gani inazidi kukua. Watanzania tupendane. Tusichukiane kwa sababu ya tofauti za kidini. Siamini kwamba kuna dini inayoweza kufikisha mtu mbinguni Kama matendo hayatoshi mbele za HAKI?kuna sehemu hakuna ukristo na kuna sehemu hakuna uislamu.mnataka kuniambia watu hawa wote hawatakuwa na mbingu kwa ajili ya dini au watahukumiwa kufuatana na matendo yao?vipi wale wa Kabla ya Urio wa Bwana Yesu? Vipi na wale wate waliokuwepo Kabla ya Muhammad ? Mungu atawapotezea tu? Take care, Love each other.
naona kulikuwa hakuana mambo ya kujikondesha etu ooh tunafanya diet ..Black beaty ,nywele nzuri no zazuu no kalikiti nywele twende Kilioni au mkungu wa ndizi
![]()
Lakini sio kwa magari ya biashara, hivi nani anaweza kuagiza basi la UDA left hand drive? Dereva wa gari la abiria wengi atakuwaje kushoto, dangerous! Halafu ukiliangalia liko upande wa kulia wa barabara, wakati sisi tunaendesha upande wa kushoto, hii picha inawezekana sio Tanzania hapa.
hata jengo ni la kichina!
namwona hata konda ni mchina!
This page is excellent. Ukiwaambia vijana mabo yalivyokuwa wanadhani tunaongeza salt.Nadhani wanajionea wenyewe mabo yalivyokuwa. Mipango miji waende shule upya na kale ka ufisadi syndrome kapate tiba
![]()
Lakini sio kwa magari ya biashara, hivi nani anaweza kuagiza basi la UDA left hand drive? Dereva wa gari la abiria wengi atakuwaje kushoto, dangerous! Halafu ukiliangalia liko upande wa kulia wa barabara, wakati sisi tunaendesha upande wa kushoto, hii picha inawezekana sio Tanzania hapa.
hata jengo ni la kichina!
namwona hata konda ni mchina!
Haya mabasi niliyakuta urusi ndio wanayatumia kwenye usafiri yamekuwa so improved yana ac caemra electronic tickets etc.. Sisi tuliyaua kumbe?
Na kumpata binti enzi hizo, inabidi usote kwenye kona mtaa ukitongoza mara nyingine zaidi ya miezi sita hujaona ndani.!!
dar es salaam 1946
SALAAM
daàaaah..jamani hivi miaka hamsin ijayo dar itakuwaje??
Sasa hivi hali ipoje?