Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,456
- 1,567
Nimepata picha nashumuru maana mimi sio wa enzi hizo
Nakiri hali ilikua inavutia sio kama sasa
Nakiri hali ilikua inavutia sio kama sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Waziri Mkuu, Mwalimu Julius Nyerere, siku ya uhuru 9 Disemba 1961
Hahaa...mambo ya jangwani siyo? ...Mchonga nae...eti waacheni wabebe.....wakichoka watamuweka chini...kwanini mnawakataza?Mkuu, sasa nimeelewa kwa nini Nyerere aliwaambia Polisi kwa nini mnawazuia watu kumbeba Mrema!!!
Kuna anayejua hapa ni wapi na hawa wengine ni nani, atujuze?
Just before independence
![]()
Mmoja wapo Bibi Titi. Enzi hizo bwana hakuna udini Tanganyika!
View attachment 74239
arusha njia ya kupandia goliondoi road hilo jengo ndo iliko exim bank kwa sasa 1963
unaona vazi la taifa...!!!????
Kweli tulikuwa mbali sana! hata Internet cafe zilikuweko siku hizo! ni mwaka gani vile? hapa ni Moshi? naona Mlima Kilimanjaro
HII NDIO ILIMFANYA BABA WA TAIFA AKATAE MIALIKO YA MECHI ZA SOKA.NI 1974?? TANZANIA vs SUDAN.ANAEKAGUA TIMU NI RAIS NIMEIRI WA SUDAN.HAO NI TAIFA STARS .NAHODHA NI ABDULRAHMAN JUMA KUTOKA KUSHOTO NI CHUMA,ZIMBWE WENGINE HAWAMEKANI VIZURI