King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
- Thread starter
- #341
Hujasema "miaka 47".... umesema enzi hizo 1947. Tunavyosema? Tunavyosema wewe na nani? Umeandika fixi halafu unataka kuzuga na "tunavyosema miaka 47." Miaka 47 ya nini, ya Muungano?
Na hata uki assume kwamba kweli hukumaanisha 1947. Ina maana unakiri kwamba miaka ya kwenye hizi picha haimaanishwi kama ilivyoandikwa, ni ya kubuni tu, ya kuzuga, sio?
Nilikuwa nimeipanda sana hii thread maana it was a powerful vehicle to a different era, kumbe miaka yenyewe famba...
Wa wapi wewe? Unaonekana umezaliwa kizazi cha mulugo ungekua kizazi cha Nyerere mwaka 47 au 1947 ungejua maana yake inawakilisha nini,hyo miaka mingine ni ya kweli acha kuaribu uzi bwana wewe....Mwaka 1947 it represents unknown year kama wewe unajua huo mwaka just put there na sio kutoa povu tu,malumbano closed

