King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
- Thread starter
-
- #21
Hakika tumetoka mbali najiona kama naota hivi! si unajuwa wengi wetu miaka ya 60 either hatukwepo au tulikuwa watoto wadogo.
Nimeipenda sana hii.
i am not sure,lakini usawa wa hiyo gari ndio iko BilicanasHapo kwenye Cartex si ndio kuna Bank hapo meridian bank kwa sasa? Ilo Curio ndio IPS Building?
Yap ni Memory Lane si vibaya tukijua wapi tulipotoka
View attachment 74239
arusha njia ya kupandia goliondoi road hilo jengo ndo iliko exim bank kwa sasa 1963
Tanganyika Bus Services Co.::::Mwanza-Arusha Route
View attachment 74267
MIJI ilikuwa MISAFI sana. Very Clean indeed.
Hebu angalia tena hizo picha uone jinsi ilivyo MISAFI na imepangwa vizuri hasa sehemu za mauwa.
Baadaye Uswahili ukaingia na kuharibu kila kitu. Kweli tuliwahi kupata Uhusu. Ilikuwa ni muda mzuri wa kupanga miji hasa ukichukulia watu kama Nyerere walishaanza kutembea na kuona nchi kama USA kukoje......