Hizi picha zinatoa taswira ya kutafakari wapi tumekosea ili tujirekebishe maana Dar hakuna miti kama zamani na mbaya zaidi tumetunga na misemo "utakujaje Dar na jembe utalima lami", wenetu Nairobi katikati ya mji kuna miti kibao
Mkuu picha za Tabora enzi hizo ziko nyingi tuu. Kuna familia fulani ya kizungu nafikiri walikuwa wanaendesha kilimo cha karanga huko miaka ya 1950 wana re-collection ya picha nyingi za Tabora. Picha nyingi wanazipublishi wajukuu wao.