Tanzania ya enzi hizo katika picha
Dar ya miaka hiyo bado ni nzuri kuliko baadhi ya mikoa kwa sasa au niitaje tu .
 
Wakoloni walipangilia miji vizuri jambo ambalo hatujaweza tangu waondoke.
Mzungu ana life style yake na Weusi pia tuna life style yetu, ndiyo maana hatuwezi kufanana sana kwenye Miji yetu!! Sisi Miji yetu inafanana Africa!!
 
Kuna mzee mmoja bhna katika story kunoga
Ghafla katupa historia ya Ubungo stendi
Katika mshangao wangu bhna ilikuwa hivi
Ubungo pale kulikuwa na KIJISTENDI KIDOGO SANA NA KULIKUWA NA MASHAMBA YA MPUNGA KWA PEMBENI WATU WANAFANYA KILIMO CHAO TU ETI,
Jamani wahenga mlioijua ubungo kuna ukweli wowote?
 
Kulikuwa kama Europ aisee.nini kimeharibu Dar ya sasa,kila mahali ukipita unakuta biashara ,yaani hakuna utulivu kabisa
Wwe ukisikia Watanzania Sasa tumefikia karibu million 60 unaelewa nini!? Au unazani wote wako huko Ulaya!?
 
ama kweli Magufuli kaipaisha sana Tanzania.
eeee Mungu kweli baada ya miaka 5 kweli tutampata mtu kama Magufuli?.
tukisha mchagua Magufuli octiber 28 namuomba sana tena sana pamoja na kazi za kutuletea maendeleo asisahau kututengenezea Magufuli mwengine wa 2025/ 2035.
 
Wwe nimekuelewa umekubali Maendeleo yapo sema unataka zaidi na zaidi tena kwa harakaharaka! Usijali tutaongeza speed ndiyo maana tumewaletea Jembe kutoka Chato liwapeleke speed mnayotaka!!
Maendeleo hayapimwi kwa kuangalia majengo yaliyopo CBD... usinilishe maneno!!

Kwamba eti maendeleo ya haraka haraka, hiyo kauli ni kiroja!!! Hivi huoni aibu kusema eti "nataka maendeleo ya haraka haraka" kwa taifa ambalo lipo huru kwa karibu miaka 60 sasa!!!

Kiroja kingine ni pale unapoleta habari za Jiwe!! Hiyo speed yake ipo kwenye nini?! Kuleta white elephant project kwa kununua ndege kwa billions of dollars?!

Hivi kwa mtu mwenye ufahamu anaweza kulinganisha hata tija ya ujenzi wa UDOM na zile ndege?!

Au unazungumzia speed ya kujenga international airport kijijini kwao na kuhamisha wanyama kutoka mbuga zingine na kuwapeleka Chato?!

Speed ipi hasa unayozungumzia wewe!

Au haya majengo mnayoita hospitali wakati hata madaktari hawaajiri?! Btw, kama kujenga hayo majengo ndo speed kwani ina tofauti gani na shule za kata zilizojengwa nchini mzima hasa ukizingatia program ya shule za kata ndo ile ile iliyoleta ujenzi wa vituo vya afya?!

Speed gani hasa unaisema?! Au speed ya kujenga bwawa la umeme wakati Kusini kuna gas imejaa kibao na hana dira yoyote ya kugeuza gesi ile injini ya uchumi!!!

Hivi unafahamu economic multiplier effect ambayo ingepatikana endapo angeelekeza nguvu kwenye gesi pengine kuliko hata hayo madini aliyoamua kuyajengea ukuta?!!

Unafahamu by-products zinazotokana na gas processing zinavyoweza kuchochea uanzishwaji wa viwanda vingine kama vile vya mbolea na plastic let alone gas yenyewe kutumika kama nishati for domestic use pamoja na umeme?!

Unaweza kueleza additional multiplier effect inayotokana na uwekezaji kwenye bwawa la umeme ambayo haipo kwenye gas exploitation?!

Au unazungumzia SGR mnayodanganywa kwamba inajengwa kwa pesa za ndani wakati deni la taifa (foreign) linaendelea kupanda?!

Hivi ulishawahi kujiuliza ikiwa Kenya yenye uchumi mkubwa hadi kesho SGR yao ni loss making na watu wanaikimbia, what's so special itakachofanya SGR ya Tanzania kuwa economically viable?!

Ulishawahi kujiuliza ni kwanini watu hawatumii TAZARA kusafirisha mizigo to Zambia na bado wanang'ang'ania malori wakati TAZARA na yenyewe ni standard gauge?!

Hicho mtakachofanya na kusababisha transportersz kutumia SGR and nothing else kwanini hamkifanyi upande wa TAZARA?!

Hiyo speed unayoisema wewe ni ipi?!

Au ni speed ni ya ku-deal na middle raking public servants na kuwaacha wezi wakubwa wa nchi hii ambao ni high profile politicians pamoja na top government officials?! Au ni high speed ya kuvuruga private sector?!
 
Hakika mtaji mkubwa wa Jiwe ni watu aina yako!!!

Kwahiyo unazungumzia kufanyika kitu kwa kuangalia hayo majengo?! Hivi kuna nchi gani isiyo na majengo makubwa?! Umeshawahi kufika Kinshansa ndugu mwananchi?

Hivi ukubwa wa Jiji la Kinshansa utafuta ukweli kwamba Maboutu kaiibia sana Zaire?

Hivi Tanzania yenye bahari, mito na maziwa makubwa ukanda wa Afrika, bila kusahau raslimali za misitu, wanyama pori, madini ya kila aina, gesi iliyogundulika tangia back in 1980's bado unaamini Tanzania ilitakiwa kuwa hapa ilipo na kufikia kupima maendeleo yake kwa kuangalia Jiji la Dar es salaam?!

Haya sasa, Jiji la Dar es salaam lenyewe tunaangalia CBD, ambayo ukipanda daladala ndani ya dakika 5 unafika kwenye vibanda vya kuchukiza pale Mivinjeni, let alone Jangwani ambayo tutatetea kwamba sio makazi rasmi...

Leo hii flyovers inaonekana kama kitu cha ajabu cha kuombea kura wakati nchi kibao za Afrika, including hapo Kenya tu, flyovers zipo kitambo!!

Yaani kutokana na ujuha wetu tunadhani flyovers ni ufahari kumbe kwa Dar es salaam zinatokana sana na kutokuwa na mpangilio mzuri wa miji!!

Hivi nyie watu mmerogwa, au?!
Naaam naam, na mimi nachelea kusema mtaji wa msukule wa kisiasa ni watu wa aina yako.

Tuanzie hapa umeona wapi wewe umetoka kuzaliwa ukajikongoja hadi miaka 10, halafu unataka upate balekhe hapo hapo, unataka upate mke hapo hapo, unataka na uitwe baba hapo hapo, haiwezekani la hasha haiwezekani.

Jambo usilolijua litakusumbua, nasema hivi kwa maana hii, ni ukweli usiopingika Tanzania tuna rasilimali nyingi sana ambazo kwa namna moja ama nyingine zingaliweza kutusaidiea kupiga hatua moja kwenda nyingine. Lakini huwezi ukakurupuka kutamani kutumia rasilimali hizo kama hujaimarika kifikra na kiteknolojia, hapo unapopatolea mfano Kenya angalia leo hii wamewahi kufanikisha kujenga SGR, je wanafaidika nayo? Ndio maana nikasema huwezi ukalazimisha kuitwa baba, wakati hata bado hujabalekhe.

Tanzania ni nchi yenye upekee wake, tulianza kujiimarisha kwanza kutokea kwenye msingi wenye tija ili tutakapoanza kuchanja mbuga basi watu wetu na mifumo yetu iwe na uwezo thabiti wa kuhimili kasi ya maendeleo, ndio maana tumekuwa na mfumo wetu wa kimapinduzi ya uchumi na kiuongozi tofautisha na nchi nyingine hapa barani Afrika na dunia kwa ujumla.

Nadiriki kusema Tanzania ndio nchi pekee duniani iliyoweza kubeba taswira halisi ya maana ya maendeleo, ya kuwa maendeleo ni mchakato.

Mimi nitaichagua CCM, na Nitamchagua Magufuli.
 
Maendeleo hayapimwi kwa kuangalia majengo yaliyopo CBD... usinilishe maneno!!

Kwamba eti maendeleo ya haraka haraka, hiyo kauli ni kiroja!!! Hivi huoni aibu kusema eti "nataka maendeleo ya haraka haraka" kwa taifa ambalo lipo huru kwa karibu miaka 60 sasa!!!

Kiroja kingine ni pale unapoleta habari za Jiwe!! Hiyo speed yake ipo kwenye nini?! Kuleta white elephant project kwa kununua ndege kwa billions of dollars?!

Hivi kwa mtu mwenye ufahamu anaweza kulinganisha hata tija ya ujenzi wa UDOM na zile ndege?!

Au unazungumzia speed ya kujenga international airport kijijini kwao na kuhamisha wanyama kutoka mbuga zingine na kuwapeleka Chato?!

Speed ipi hasa unayozungumzia wewe!

Au haya majengo mnayoita hospitali wakati hata madaktari hawaajiri?! Btw, kama kujenga hayo majengo ndo speed kwani ina tofauti gani na shule za kata zilizojengwa nchini mzima hasa ukizingatia program ya shule za kata ndo ile ile iliyoleta ujenzi wa vituo vya afya?!

Speed gani hasa unaisema?! Au speed ya kujenga bwawa la umeme wakati Kusini kuna gas imejaa kibao na hana dira yoyote ya kugeuza gesi ile injini ya uchumi!!!

Hivi unafahamu economic multiplier effect ambayo ingepatikana endapo angeelekeza nguvu kwenye gesi pengine kuliko hata hayo madini aliyoamua kuyajengea ukuta?!!

Unafahamu by-products zinazotokana na gas processing zinavyoweza kuchochea uanzishwaji wa viwanda vingine kama vile vya mbolea na plastic let alone gas yenyewe kutumika kama nishati for domestic use pamoja na umeme?!

Unaweza kueleza additional multiplier effect inayotokana na uwekezaji kwenye bwawa la umeme ambayo haipo kwenye gas exploitation?!

Au unazungumzia SGR mnayodanganywa kwamba inajengwa kwa pesa za ndani wakati deni la taifa (foreign) linaendelea kupanda?!

Hivi ulishawahi kujiuliza ikiwa Kenya yenye uchumi mkubwa hadi kesho SGR yao ni loss making na watu wanaikimbia, what's so special itakachofanya SGR ya Tanzania kuwa economically viable?!

Ulishawahi kujiuliza ni kwanini watu hawatumii TAZARA kusafirisha mizigo to Zambia na bado wanang'ang'ania malori wakati TAZARA na yenyewe ni standard gauge?!

Hicho mtakachofanya na kusababisha transportersz kutumia SGR and nothing else kwanini hamkifanyi upande wa TAZARA?!

Hiyo speed unayoisema wewe ni ipi?!

Au ni speed ni ya ku-deal na middle raking public servants na kuwaacha wezi wakubwa wa nchi hii ambao ni high profile politicians pamoja na top government officials?! Au ni high speed ya kuvuruga private sector?!
Mkuu naona umetumia nguvu ya tembo ku deal na huyo mende, msamehe tu.
 
Wanasema eti toka Uhuru mbona mnajenga DAR peke yake! Yaani mnaipendelea DAR tu! Au wazaramo wamewaloga muwajengee Mjii wao tu!?
Relax, je hiyo chi
Wanasema eti toka Uhuru mbona mnajenga DAR peke yake! Yaani mnaipendelea DAR tu! Au wazaramo wamewaloga muwajengee Mjii wao tu!?
Relax, Je haya nayo ni mafanikio ya Dar?
Bilioni 41.1 zimeimarisha Huduma za Afya
☆Kujenga hospitali ya rufaa ya mkoa
☆ Hospitali 3 za wilaya (Wang'ing'ombe + Ludewa + Njombe Dc)
☆Hospitali 2 za wilaya kukarabatiwa (Makete + Njombe)
☆Vituo 18 vya Afya
☆Zahanati 84
☆Ununuzi wa gari 13 za kubebea Wagonjwa
☆Nyumba za watumishi 33
 
Naaam naam, na mimi nachelea kusema mtaji wa msukule wa kisiasa ni watu wa aina yako.

Tuanzie hapa umeona wapi wewe umetoka kuzaliwa ukajikongoja hadi miaka 10, halafu unataka upate balekhe hapo hapo, unataka upate mke hapo hapo, unataka na uitwe baba hapo hapo, haiwezekani la hasha haiwezekani.
Unaendelea kuthibitisha ulivyo na uelewa mdogo!!

Kuna nchi ngapi duniani iliibuka tu ikiwa na kila kitu?! Kwanini ionekane hiyo ni issue ya Tanzania peke yake?

Btw, kama ni kujikongoja, ni nani aliyefanya Tanzania ijikongoje kama sio hao hao wezi wa CCM huku Jiwe nae akiwa mmoja wao?!

Jambo usilolijua litakusumbua,
Huna unachojua, no wonder ni sehemu ya jeshi kubwa la wajinga ambao ndio mtaji wa CCM na Jiwe!!!

nasema hivi kwa maana hii, ni ukweli usiopingika Tanzania tuna rasilimali nyingi sana ambazo kwa namna moja ama nyingine zingaliweza kutusaidiea kupiga hatua moja kwenda nyingine. Lakini huwezi ukakurupuka kutamani kutumia rasilimali hizo kama hujaimarika kifikra na kiteknolojia,
Unaizungumzia Tanzania ya wapi wewe?! Ina maana hufahamu raslimali za madini zimeshatumika kwa kiasi kikubwa?! Ina maana hufahamu kwamba raslimali ya misitu imeshatumika sana?! Ina maana hufahamu kwamba marine resources imeshakuwa exploited sana?!

Je, hizo nilizotaja hapo juu zilianza kutumika baada ya kuwa mmeshaimarika kiteknolojia na kifikra?! Kama ndivyo, mbona bado Tanzania ni maskini?! Lile bwawa la umeme linalojengwa hivi sasa linajengwa na wataalaamu wa Tanzania?!

Hivi unajua unachoongea wewe?!
hapo unapopatolea mfano Kenya angalia leo hii wamewahi kufanikisha kujenga SGR, je wanafaidika nayo? Ndio maana nikasema huwezi ukalazimisha kuitwa baba, wakati hata bado hujabalekhe.
Unaniuliza mimi tena?! Hilo swali si unatakiwa ujibu wewe na mbwembwe zenu za SGR, na bila kusahau unatakiwa kujibu maswali mengine niliyowauliza!!!
Tanzania ni nchi yenye upekee wake, tulianza kujiimarisha kwanza kutokea kwenye msingi wenye tija ili tutakapoanza kuchanja mbuga basi watu wetu na mifumo yetu iwe na uwezo thabiti wa kuhimili kasi ya maendeleo, ndio maana tumekuwa na mfumo wetu wa kimapinduzi ya uchumi na kiuongozi tofautisha na nchi nyingine hapa barani Afrika na dunia kwa ujumla.
Kama ni nchi ya kipekee basi imeanza na mambo ambayo ni exceptional compared to other countries!

Unaweza kutaja JAMBO MOJA tu ambalo ni exception tulilofanya Tanzania wakati nchi nyingine hazijafanya?!
Nadiriki kusema Tanzania ndio nchi pekee duniani iliyoweza kubeba taswira halisi ya maana ya maendeleo, ya kuwa maendeleo ni mchakato.
Umeishia darasa la ngapi?! Siwezi kumkejeli mtu kutosafiri na kuona nchi zingine kuna nini lakini elimu inamsaidia mtu ambae hajawahi kusafiri kufahamu what's going on kwingineko duniani!

Again, umeishia darasa la ngapi?! Au ndo wale walioenda shule dizaini ya akina Polepole na Bashiru Ali !!

Mimi nitaichagua CCM, na Nitamchagua Magufuli.
I'd be surprised kama ungesema vinginevyo!!!
 
Kuna mzee mmoja bhna katika story kunoga
Ghafla katupa historia ya Ubungo stendi
Katika mshangao wangu bhna ilikuwa hivi
Ubungo pale kulikuwa na KIJISTENDI KIDOGO SANA NA KULIKUWA NA MASHAMBA YA MPUNGA KWA PEMBENI WATU WANAFANYA KILIMO CHAO TU ETI,
Jamani wahenga mlioijua ubungo kuna ukweli wowote?
Kipi cha ajabu hapo na wewe?
 
Unapojisifu uwe unajilinganisha nani ?!.

Tunaambiwa na ndiyo ukweli. Wakati tunapata uhuru Tanzania ilikuwa sawa Korea zote mbili, Indonesia , China , Kenya nk . Lakini Leo wote hao ni wahisani wetu.

Mfumo wa u communist tulioujaribu , umetupoteza mazima. Dar hiyo utailinganisha na mji gani wa kistaarabu ?!
Hivi tulikuwa sawa katika vitu au pamoja na watu kwamba tulikuwa na uelewa sawa?
 
Back
Top Bottom