Tanzania ya enzi hizo katika picha
kongwa,dodoma 1954
3581906402_dd6b6d5dac_o.jpg
 
nimekumbuka na zile mashine za tiketi walizokuwa wanatumia makonda.Na ukikutwa na inspector huna tiketi i.e ulitaka kusafiri bure bila kulipa nauli adhabu yake ni kwenda kuosha mabasi depot kurasini

Depot kwa sasa imeshauzwa...
 
Nimependa sura za watu wa zamani walikua wazuri bana wako kama binadamu wenye asili zao kutambulika kwao yupi mke yupi mume na. Urembo Wa asili oo walishi vizuri enzi zimepita
 
Hahaaaa Aiseee Umenipeleka mbali ingawa sikuwa huko..napenda sana historia..
 
SLAVEMARKET,here you "Bwagamoyo" for from here you are shipped across the indian ocean to lands unknown-what a torrid time for our forefathers.
1377498_10152289244734447_1887307009_n.jpg
 
Back
Top Bottom