Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar es salaam harbour 1955![]()
USAFIRI DAR-ES-SALAAM
![]()
Hii ni Isuzu ELF 250. Hivi vibasi vilikuwa ni roho ya paka, sio hizi Eicher, aka maboksi,wanazotuletea sasa. Halafu dereva ndiye huyohuyo aliyekuwa kondakta. Watu walikuwa na nidhamu, wanapanda, wanalipa nauli, ndio wanakaa au kusimama.
Mkùu ni bora siku hizi kuliko enzi za awamu ya tatu siku hizi maendeleo yanaonekana barabara zinajengwa tena za lami na njia za mabasi yaendayo kwa kasi. Hongera Tanzania. Mola ibariki nchi yetu.Hapa ni posta ya zamani dsm, nimeogelea hapa miaka ya 80 mwanzoni. Sasa ni aibu tupu!