Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli katutia chaka, 1947 hapakuwa na nchi inayoitwa tanzania, gazeti la uhuru halikuwepo kwa kuwa hatukuwa tumepata uhuru. labda akisema 1974 naweza kidogo nikakubaliMkuu hapa si sawa. 1947 nakataa, King Kong umetuingiza Chaka hapa.
miji haikuwa misafi kwa kuwa viongozi walikuwa wakiwajibika, miji ilikuwa misafi kwa kuwa kulikuwa na idadi ndogo ya watu kwa hiyo wachafuzi walikuwa ni wachacheenzi hizo viongozi waliwajibika ipasavyo ndo maana mji ilikuwa misafi
Tanganyika Bus Services Co.::::Mwanza-Arusha Route
View attachment 74267
duu hadi maji yamebadili rangi?Mkuu picha za Tabora enzi hizo ziko nyingi tuu. Kuna familia fulani ya kizungu nafikiri walikuwa wanaendesha kilimo cha karanga huko miaka ya 1950 wana re-collection ya picha nyingi za Tabora. Picha nyingi wanazipublishi wajukuu wao.
![]()
Kushoto ni Bandari ya Dar Es Salaam mwaka 1960, na kulia ni kama inavyoonekana hivi sasa.