Tanzania ya enzi hizo katika picha
enzi hizo viongozi waliwajibika ipasavyo ndo maana mji ilikuwa misafi
 
Mkuu hapa si sawa. 1947 nakataa, King Kong umetuingiza Chaka hapa.
Kweli katutia chaka, 1947 hapakuwa na nchi inayoitwa tanzania, gazeti la uhuru halikuwepo kwa kuwa hatukuwa tumepata uhuru. labda akisema 1974 naweza kidogo nikakubali
 
enzi hizo viongozi waliwajibika ipasavyo ndo maana mji ilikuwa misafi
miji haikuwa misafi kwa kuwa viongozi walikuwa wakiwajibika, miji ilikuwa misafi kwa kuwa kulikuwa na idadi ndogo ya watu kwa hiyo wachafuzi walikuwa ni wachache
 
Iyo musoma jengo hata halijabadilika lipo hivyo hivyo angalia eti hiyo picha ya mwaka 1960 na hii niliyoipiga Leo mwaka 2014 ImageUploadedByJamiiForums1406149831.444760.jpgImageUploadedByJamiiForums1406149875.476558.jpg
 
Mkuu picha za Tabora enzi hizo ziko nyingi tuu. Kuna familia fulani ya kizungu nafikiri walikuwa wanaendesha kilimo cha karanga huko miaka ya 1950 wana re-collection ya picha nyingi za Tabora. Picha nyingi wanazipublishi wajukuu wao.
duu hadi maji yamebadili rangi?
aerial.jpg


Kushoto ni Bandari ya Dar Es Salaam mwaka 1960, na kulia ni kama inavyoonekana hivi sasa.
 
Back
Top Bottom