Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Wengine huko walishahama! Sasa hivi ni mwendo wa kutizama movie za kichina tu.Ooh mara paap jamaa ametemwa ubunge! Cjui atarudi tena Sierra Leone.. π Ila mie napaogopa sanaa
Hata mie nashangaa! Badala ya kuzama chobingo moja kwa moja, anabaki kulalama hadharani! Calm'on guys let's all be sincerely grateful to each other, You Know πmwanaume unatoa wapi nidhamu ya uoga?
nahisi darasa la jando hakuhudhuria ipasavyo, hebu mrudishe shule kidogoππHata mie nashangaa! Badala ya kuzama chobingo moja kwa moja, anabaki kulalama hadharani! Calm'on guys let's all be sincerely grateful to each other, You Know π
Wenzenu walivyofanikiwa kuchukua SERIKALI YA BURKINA FASO walitakiwa kutoa bajeti na gharama ya kutengeneza barabara kwa kiwango cha lami.Jesh ndo wenye serikal ya Burkina faso, SierraLeone cjui ya nan? π
Labda anataka nimsaidie.. πnahisi darasa la jando hakuhudhuria ipasavyo, hebu mrudishe shule kidogoππ
BABU NYAU
labd πLabda anataka nimsaidie.. π
Wenzenu baada ya mwaka 1975, walichokuwa wanafanya ni "OCCUPATION POLITICS" kwa mataifa machanga, sababu pesa ilikuwepo ambayo ilikuwa imepatikana kwa juhudi za HAYATI MWALIMU.Ooh mara paap jamaa ametemwa ubunge! Cjui atarudi tena Sierra Leone.. π Ila mie napaogopa sanaa
Msumbiji ni pazur na wanaongea kireno! Viongozi wa awam ya kwanza had awam ya tatu wamewekeza Msumbiji, Nyerere huko aliwekeza sana
Asijesema nimemuibia dodo lake.. πlabd π
hapa ni mjanja kuwahi, si unaona saivi haonekani πAsijesema nimemuibia dodo lake.. π
Labda sababu umeifunga inbox! Fanya kuifungua πhapa ni mjanja kuwahi, si unaona saivi haonekani π
mi hata sijui wanafunguaje sijawahi kuitumiaππ€Labda sababu umeifunga inbox! Fanya kuifungua π
Labda sababu umeifunga inbox! Fanya kuifungua πhapa ni mjanja kuwahi, si unaona saivi haonekani π
Fanya kunifollow ili nikufundishe.. ππ½ Maana BABU NYAU haonekanimi hata sijui wanafunguaje sijawahi kuitumiaππ€
doneLabda sababu umeifunga inbox! Fanya kuifungua π
Fanya kunifollow ili nikufundishe.. ππ½
Kumbe mnaijua had hii stori? Mambo gan Sasa haya!! Tuishie hapa.. π
Ndiyo! MSUMBIJI ni pazuri, lakini baada ya mwaka 1975 wale viongozi wa kijeshi walianza kufanya na kwenda kinyume na HAYATI MWALIMU, kwani HAYATI MWALIMU alifanya kuwekeza katika mataifa yanayotuzunguka.
Lakini wale viongozi wa kijeshi hawakuzingatia jiografia na walienda mbali zaidi hadi mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI na AFRIKA YA KATI.
Pia kuna stori kuhusu RAIS WA KAMERUNI na aliyewahi kuwa CGP WA MAGEREZA kupitia UBALOZI WA BURUNDI unaopatikana nchini KAMERUNI! Sasa sijui ilikuwa ni ukweli au ilikuwa ni uzushi?
Mechi si imeghailishwa auNilikuwa nimetingwa siku mbili tatu, ngoja nimalizie mech ya mnyama na tra
Kipindi cha pil kinaanza mda si mrefuMechi si imeghailishwa au
oukyyyKipindi cha pil kinaanza mda si mrefu
Mtumie text! Mie tatizo umri umeniweka pembeni ya ulingodone