Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Leo ukmchukua afisa magereza hata mwenye cheo cha acp na ukamuuliza kazi ya magereza ni nin katika serikal? Wengi hawajui na watakosa hili swali..
Wengi hawafahamu, sababu kuna baadhi ya kozi waliziondoa katika mafunzo ya kijeshi! Lakini kazi ya JESHI LA POLISI huwa ni kusimamia utumishi wa umma.


​
Yaani taasisi na idara zote zinazosimamia na kudhibiti shughuli za serikali zipo chini ya JESHI LA POLISI.


​
Kazi ya JESHI LA POLISI siyo kufanya doria uraiani, ijapokuwa na wao pia wana intelijensia yao ya kuchunguza makosa ya jinai.

​

Kazi ya kufanya doria huwa inafanyika na JESHI LA ULINZI kwa kutumia nyenzo na sare za JESHI LA POLISI!


​
Yaani kazi ya JESHI LA ULINZI huwa ni kuratibu shughuli zote zinazohusu ulinzi kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa, bila ya kusahau kung'amua SOFT TARGETS zote zinazopatikana ndani ya mipaka ya nchi.


​
Jeshi likishafanikiwa kung'amua SOFT TARGETS zote, kunakuwa hakuna haja tena ya kulinda mipaka ya nchi ~ maana dunia ya leo adui huwa anavuka mipaka ya nchi kwa kutumia SOFT TARGETS na siyo HARD TARGETS kama ilivyokuwa miaka ya zamani.
Jesh la Magereza ndo somo la maarifa ya jamii kwa shule ya msingi! Ndo civics kwa o'level na ds kwa a'level! Sasa wakina Nyamka walivyoingia ukuu wa jesh wakavuruga vuruga..
Ndiyo! MWANAFUNZI yoyote akifanikiwa kuongoza kitaifa katika somo la MAARIFA YA JAMII kwa upande wa DARASA LA SABA au CIVICS kwa upande wa KIDATO CHA PILI na KIDATO CHA NNE au DEVELOPMENT STUDIES [DS] kwa upande wa KIDATO CHA SITA anakuwa na sifa ya kuwa mkuu wa gereza.


​
Yaani kwa kifupi, mwanafunzi yoyote atakayefanikiwa kuongoza kitaifa katika somo la MAARIFA YA JAMII au CIVICS au DEVELOPMENT STUDIES [DS], inakuwa ni lazima kujiunga na JESHI LA MAGEREZA kwa kuzingatia kwamba atakuja kuwa MKUU WA GEREZA [SACP] kwa siku za mbeleni.

​

Pia WANAFUNZI BORA [TO's] wa DARASA LA NNE, DARASA LA SABA, KIDATO CHA PILI, KIDATO CHA NNE pamoja na KIDATO CHA SITA wanakuwa ni wakubwa kuliko GEREZA katika wilaya wanayoishi, endapo watakuwa wamefikisha miaka thelathini na tano [35] na kuendelea.

Kutokana na sababu hiyo, ndiyo maana JESHI LA MAGEREZA linaongozwa na CGP ambaye ni MWANAFUNZI BORA [TO].


​
Lakini bado raia pamoja na askari wengi wanakuwa hawafahamu kazi ya JESHI LA MAGEREZA katika serikali, kutokana na baadhi ya kozi kuondolewa katika masomo ya kijeshi baada ya 1975.
Baadae wakaanza kusema ukishakuwa askari magereza, tayari unakuwa ni mwanajesh.. πŸ˜‚
Sema walikuwa wanataka kushikiria JESHI LA ULINZI na walifanikiwa! Ijapokuwa huwa ni sheria na taratibu za mataifa yanayofuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], kuwa na askari magereza mmoja katika kila askari watatu wa JESHI LA ULINZI.


​
Yaani katika kila askari mia moja [100] wa JESHI LA ULINZI, huwa kuna askari ishirini na tano [25] wa JESHI LA MAGEREZA na hii inakuwa ni kila wakati wa kuingia depo la kijeshi.

​

Bila ya kusahau kuwa MILITARY POLICE [MP] huwa ni kitengo cha JESHI LA POLISI ndani ya JESHI LA ULINZI na siyo cheo cha kijeshi.

​

Hali kadhalika, katika kila askari watano [5] wa JESHI LA MAGEREZA, huwa kuna askari mmoja [1] wa JESHI LA ULINZI na hii inakuwa ni kila wakati wa kuingia depo la kijeshi.
Na mafunzo ya jesh la magereza ni zaidi ya jesh la Wananchi na ukishakuwa askari magereza unapewa na magwanda ya kijeshi.. πŸ˜‚
Huwa ni makosa ya kisheria! Sema huwa ni kawaida na taratibu kwa ASKARI MAGEREZA kuvaa sare za JESHI LA POLISI na huwa wanavaa sare za JESHI LA ULINZI, endapo kama watakuwa wamepitia mafunzo na kozi za kijeshi.
Jamaa alikuwa anawalisha matango pori na hadi leo ilibaki hivyo, lakini ni majesh ambayo yanajitegemea kila kitu hata wizara ni tofauti..
Wao walikuwa wanabeba vitu kama vilivyo na walishindwa kwa wakati huo kufahamu kuwa LUGHA YA KIINGEREZA huwa inatumia SYNTAX na ukibeba vitu kama vilivyo unaumia.
Kwahiyo kipindi cha wakina Nyamka ndo jesh la magereza lilichukua jukumu la jesh la Wananchi, hata tisi ndo walibeba wao na yale makazi ya makumbusho walijenga magereza. Lakini tisi inatakiwa kujitegemea kabisa..πŸ™πŸ½

​
Mara nyingi OCCUPATION POLITICS huwa inafanyika na JESHI LA ULINZI na siyo JESHI LA MAGEREZA wala JESHI LA ZIMAMOTO!

​

OCCUPATION POLITICS huwa inafanyika na mataifa yaliyoendelea kiuchumi na mataifa masikini kama TANZANIA, kufanya OCCUPATION POLITICS inakuwa ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
 

​
Tunaambiwa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA yalianza kuharibika kuanzia mwaka 1975! Sasa hivi hata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] hawafuati.


​
Yaani hauwezi kufanikiwa kuwa na mtandao wa kisiasa katika majeshi kama unafuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ile kikamilifu.

Maana askari watakuwa wanaingia na kutoka! Askari watakaobaki wote watakuwa ni SE FAIRE VALOIR, hata ile dalili ya kutokea migomo inakuwa hamna..


​
WAINGEREZA huwa wanasema "You are hired to be fired" au "You are not coming here to stay" au "You come and go" wakimaanisha kuwa jeshi siyo sehemu ya kukaa, ni kuingia na kutoka. Wanaobaki wote huwa ni SE FAIRE VALOIR!
 
Zamani kipind cha Nyerere ilikuwa kila cgp akiingia madarakan alikuwa na fungu lake kutoka wizara ya mambo ya ndani..

Hilo fungu la hela lilikuwa ni Kwa ajili ya kujenga na kukarabat miundombinu ya mkoa mmoja unaopatikana Tanzania..

Ndo waliojenga mikoa ya Kilimanjaro, Kagera, Iringa na Mbeya. Huu ni mfumo ambao huwa unatumika duniani kote na mataifa ya Kusin Mwa Afrika walikuja Tanzania kujifunza..

Lakini baada ya 1975 walivyomtoa Nyerere, Magereza walianza kufanya kazi ya jesh la ulinzi na kuacha kabisa kufanya kazi yao..

Baadae Magereza na Zimamoto akiwa anaingia cgp na cgf wanakuwa na fungu lao la hela kutoka wizara ya mambo ya ndani na kuwa na mipango ya kuvamia na kuhodhi mataifa machanga..

Ilifanyika hivyo kwa upande wa Rwanda, Burundi na SierraLeone! Bado wanaendelea kufanya hvyo katika mataifa mengine hasa afrika ya magharib kwa kupeleka watu na kuhamia huko..

Ndo hela zinaliwa hvyo na wanapiga hela sanaa, lakin siyo salama kwa Tanzania sababu maadui wanakuwa weng na hela zilizotakiwa kutumika katika kuleta maendeleo zinaenda kufanya mambo mengine.. πŸ™πŸ½
 
Majesh mengi yaliacha kufanya kaz zao kwa mujibu wa sheria baada ya 1975, hata uhamiaji haifanyi kaz yake inavyotakiwa
 
Kweli watu walikuwa wanapitia necta! Saivi walitaka kuweka mgomo jeshin hao vilaza na walikuwa wana shinikizo la kutaka kuishia cheo cha kanali wa jesh..

Wamewazoesha vbaya! Kutoka kufanya kaz miaka 5 had kudai vyeo vya kijeshi kuwa vinatolewa kwa upendeleo na wao walitaka kuishia cheo cha kanali.. πŸ™πŸ½
 
Kweli watu walikuwa wanapitia necta! Saivi walitaka kuweka mgomo jeshin hao vilaza na walikuwa wana shinikizo la kutaka kuishia cheo cha kanali wa jesh..

​
Tunaambiwa waliongeza idadi ya watahiniwa ambao watakuwa na sifa ya kuwa mkuu wa gereza.

Sasa hivi idadi imeongezeka na wamekuwa wale wanafunzi watano [5] bora katika somo la MAARIFA YA JAMII au CIVICS au DEVELOPMENT STUDIES [DS] ndiyo watakuwa na sifa ya kuwa mkuu wa gereza [SACP].


​
Kwa kifupi, hata somo moja la MAARIFA YA JAMII au CIVICS au DEVELOPMENT STUDIES linaweza kuvusha hadi cheo cha ACP, SACP hata CP wa JESHI LA MAGEREZA na kuachana na vurugu ya kuingia katika ile ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA kitaifa.
Wamewazoesha vbaya! Kutoka kufanya kaz miaka 5 had kudai vyeo vya kijeshi kuwa vinatolewa kwa upendeleo na wao walitaka kuishia cheo cha kanali.. πŸ™πŸ½
Inaweza kuleta shida baadae, maana idadi ikiwa kubwa inakuwa ni BURDEN.
 
Majesh mengi yaliacha kufanya kaz zao kwa mujibu wa sheria baada ya 1975, hata uhamiaji haifanyi kaz yake inavyotakiwa

​
Wenzio hayo hawayajui! Ukitoka DEPO, ukitekenya kidogo tu gari linawaka.. πŸ™πŸ½ Wanataka kuwa kama WAHUTU.. πŸ˜‚
 
Wenzio hayo hawayajui! Ukitoka DEPO, ukitekenya kidogo tu gari linawaka.. πŸ™πŸ½ Wanataka kuwa kama WAHUTU.. πŸ˜‚
Watu wanapigana miti huko halafu wanataka tubalans! Sasa tutabalans nini? Kila kitengo wanatokea necta..

Saivi kuna waburkina faso had majeshin, halaf hawana ubaloz! Sasa ikitokea tatizo wanaripoti wapi? Wengine wanatoka mali..

Kazi ya uhamiaji ni nin kama kuna raia wa kigeni ambao wanaish nchini bila ya kuwa na ubaloz?

Ngoja fyekeo lipite huko ndo Watajua hawajui.. πŸ˜‚
 
​
 
Mara ya kwanza walikuwa wanaambiwa ni MFUMO KATOLIKI, lakini hakuna kitu kama hicho!


​
Huwa kuna SE FAIRE VALOIR na wale wengine ambao hawakuingia KUMI [10] BORA kwa mara ya kwanza huwa wanapata fursa ya kurisiti kama PRIVATE CANDIDATE [PC].
 
Ufahamu weng hawana na hayo masomo waliondoa majeshin! Saivi wanaenda kibububu tu
 
Ufahamu weng hawana na hayo masomo waliondoa majeshin! Saivi wanaenda kibububu tu
Kuna watu wachache wanafahamu, tena wale walio karibu na serikali! Lakini idadi kubwa ya watu waliobaki hawafahamu kutokana na jamii ya kitanzania kuwa ni HOSTILE SOCIETY.

​

Kuwa kiongozi wa JESHI LA MAGEREZA lazima kuwa ni miongoni mwa wale wanafunzi watano [5] bora kitaifa waliofanya vizuri katika somo la MAARIFA YA JAMII, CIVICS pamoja na DEVELOPMENT STUDIES [DS].

Unaweza kuwa MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's], lakini usiwe na sifa ya kuwa kiongozi wa JESHI LA MAGEREZA kwa sababu kigezo kinachotumika ni kuwa miongoni mwa WANAFUNZI TANO [5] BORA KITAIFA katika masomo ya MAARIFA YA JAMII au CIVICS au DEVELOPMENT STUDIES [DS].

​

WANAFUNZI TANO [5] BORA KITAIFA katika masomo ya MAARIFA YA JAMII, CIVICS pamoja na DEVELOPMENT STUDIES [DS] ndiyo huwa msingi wa JESHI LA MAGEREZA na kila mwaka wanapatikana wanafunzi ishirini [20] kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] ambao ni lazima kujiunga na JESHI LA MAGEREZA.


​
Kwahiyo JESHI LA MAGEREZA ndiyo huwa linajengwa kwa msingi huo wa masomo ya MAARIFA YA JAMII, CIVICS pamoja na DEVELOPMENT STUDIES [DS].
 
Hayo wenzenu hawayajui! Depo halaf mambo mengine baadae, wanafaiti kuingia kwanza then wanaanza kupambana humo humo.. πŸ˜‚
 
Nafhan hoja yako haina mashiko hata kidogo??
Kama n ishu ya kutajwa bas historia yake ingekua imefichwa wewe usingeipata! Ipo ndo maana umeipata

Plus Heroes wote unao waona, Nyuma yao kuna watu wengi sana ambao wamefanya kazi !! Lakin hatuwez kua na maheroes wawili kwene story moja
 
Hayo wenzenu hawayajui! Depo halaf mambo mengine baadae, wanafaiti kuingia kwanza then wanaanza kupambana humo humo.. πŸ˜‚
Hayo ndiyo madhara ya kuruhusu jamii ya kitanzania kuwa ni HOSTILE SOCIETY. Lakini hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo!

​

MWANAFUNZI BORA [TO's] huwa anakuwa ni mkuu wa gereza pale anapokuwa amefikisha miaka thelathini na tano [35], endapo katika matokeo yake aliwahi kuwa miongoni mwa WANAFUNZI TANO [5] BORA kwa upande wa masomo ya MAARIFA YA JAMII [DARASA LA SABA] au CIVICS [KIDATO CHA PILI na KIDATO CHA NNE] au DEVELOPMENT STUDIES [KIDATO CHA SITA]..

Kama MWANAFUNZI BORA [TO's] hayupo katika ORODHA YA WANAFUNZI TANO [5] BORA katika masomo ya MAARIFA YA JAMII au CIVICS au DEVELOPMENT STUDIES [DS] anaenda katika JESHI LA POLISI au JESHI LA ZIMAMOTO.


​
Sasa huyu mwenzenu yumo na alianza kuongoza somo la MAARIFA YA JAMII katika mtihani wa DARASA LA SABA [2003], CIVICS katika mitihani ya KIDATO CHA PILI [2005] na KIDATO CHA NNE [2007] pamoja na DEVELOPMENT STUDIES katika mtihani wa KIDATO CHA SITA [2010].


Kwahiyo ni mkuu wa gereza na kazi huwa inaanzia pale anapokuwa amekabidhiwa sare za JESHI LA POLISI na JESHI LA MAGEREZA na huwa wanapita katika kila gereza ambapo watakuwa wameongoza kitaifa.


​
Huyu yupo GEREZA LA MHUMBU [WILAYA YA SHINYANGA MJINI] na GEREZA LA KARANGA [WILAYA YA MOSHI MJINI]! Pia yupo JESHI LA ULINZI, kwa sababu aliwahi kushika nafasi ya tatu [3] kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA NNE [4] ambayo inafanya kuwa na sifa ya kuwa MKUU WA JESHI LA ULINZI [CDF].
 
Mashujaa [HEROES] wapo wengi sana! Wengine walikuwa na sifa kuliko hata HAYATI MWALIMU na iliwalazimu kuhama na kuhamia mataifa mbalimbali ikiwemo NYASALAND, RHODESIA pamoja na MSUMBIJI.

Huyu HASTINGS KAMUZU BANDA alisoma MWANZA kabla ya kuhamia NYASALAND [1950's] na alikuwa anaitwa MAGNET [SUMAKU] kipindi cha utawala wake, ikiwa na maana ya kuvuta kila kitu chenye asili ya chuma.


Pia kulikuwa kuna wakina KENNETH KAUNDA ambaye alisoma SHINYANGA MJINI kabla ya kuhamia RHODESIA [1950's] na alifanikiwa kubeba sana watu wa SHINYANGA.

Tunaambiwa ZAMBIA huwa wana sensa za aina mbili ~ moja huwa inahusisha WAZAMBIA wote na nyingine huwa inahusisha WASUKUMA wote wanaoishi nchini ZAMBIA.

Yale mataifa matatu ya kusini ambayo ni ZAMBIA, MALAWI na MSUMBIJI wanatumia intelijensia moja! Wote ni WASUKUMA, sema baadae waliongeza na ZIMBABWE katika masuala yanayohusu intelijensia.

​

Kwahiyo kipindi cha HAYATI MWALIMU kulikuwa kuna mashujaa wengine wengi ambao baadae waliihama TANGANYIKA katika harakati za kudai na kutafuta uhuru ~ walikuwepo wakina KENNETH KAUNDA [the late], HASTINGS KAMUZU BANDA [the late, ila huyu tunaambiwa alikuwa ni mwenyeji wa asili wa SHINYANGA kabla ya kuhamia MWANZA] na SAMORA MACEL [the late].
 
Wenzenu hayo hawayajui! Ni kukaguliwa mikund tu, halaf wanawaza magari na majumba mazuri.. πŸ˜‚
 
Joshua Nkomo wa Zimbabwe na yy alikuwa ni mtanganyika, sema baadae Kamuzu Banda aliamua kurudisha nchi kwa Tanzania. Kwahiyo Malawi ipo chin ya Tanzania kupitia jesh la Magereza na huyo ndo baba mzaz wa msanii wa hiphop wa Marekani anayeitwa drake
 
Wakina Mkwawa walihamia Malawi na Wahehe wanataka kuingia kwenye siasa za Malawi, ili kuwa kama wakina Odinga..

Lakin kupata ile nafas ya kukubalika kule inakuwa ni vgumu! Wanataka kutoa wazir mkuu au Makamu wa Rais ili wafanye siasa kama za Kenya..

Kule ikulu ni Ngudu na cjui kama wataweza kutoa wazir mkuu au Makamu wa Rais, maana wanatakiwa kuwa na angalau 50 bilioni walizowekeza Malawi ili kukubalika na serikali ya Malawi.. πŸ™πŸ½

Kwahyo yale mataifa ya zambia, malawi na msumbij yanapenda sanaa watanzania wakafanye siasa kule, sema vigezo na masharti ndo magum.. πŸ™πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…