Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Walikuwa wanadanganywa na kuambiwa uongo! Huwa kuna tofauti kubwa kati ya watawala na askari! Hata familia zao zinakuwa na utofauti mkubwa kutokana na kazi zao katika jamii.Wapo weng na waliyataka wenyewe! Saivi watoto wao wa kike ndo wanazalishwa,
lakin haitosaidia sababu malengo yao yalishajulikana toka kitambo na wanadanganywa na wakosovo.. π
Kila kitu wanategemea serikal iwasaidie! Shule ya mapinduzi wanashindwa kulea, hata rangi wanapaka nusunusu na madarasa mengine hayana milango..
Watoto wa vishua wanacheza mpira na watoto wa tony Blair, George Bush na Bill Clinton. Kwa babu yao ni Msasan, wakati wale wengine wanaish Bunju na Chanika..Walikuwa wanadanganywa na kuambiwa uongo! Huwa kuna tofauti kubwa kati ya watawala na askari! Hata familia zao zinakuwa na utofauti mkubwa kutokana na kazi zao katika jamii.
FAMILIA ZA WATAWALA zinakuwa na nafasi kubwa ya kufanikiwa katika jamii kutokana na SIASA YA KIRAIA. Lakini FAMILIA ZA KIJESHI zinakuwa na nafasi kubwa ya kufanikiwa katika majeshi na kwenye jamii wanakuwa hawatambuliki, hata wakitambulika inakuwa kwa kiwango kidogo.
Hawa wenzenu hata mahusiano ya kijamii wanakuwa wapo mbali kutokana na shughuli za watangulizi wao.
Wanamiliki uchumi mkubwa [> Tsh 500,000,000,000] na wanatambulika katika JUMUIYA YA KIMATAIFA kama familia za viongozi wa kitaifa.
Kizazi cha tatu cha FAMILIA ZA WATAWALA na watakitafuta kizazi cha tano, wengi wapo ULAYA na wanashiriki katika michezo.
Sasa wale wastaafu wa kijeshi walikuwa wanaiga maisha ya watawala, ilhali walikuwa ametoka katika familia duni ukilinganisha na HAYATI MWALIMU.
Wengine huwa hawakai nao! Maana wanatumika kufanya kazi chafuchafu! Mara nyingi inakuwa ni vigumu kuwatambua WAHUTU au WAKONGO kutokana na kuwa weusi kama WATANZANIA wengine, lakini WAKOSOVO wenzenu huwa hawawagusi hata stori hamna, zaidi ya salamu tu.
Una sifa utafikir ni muhaya.. π
Watoto wa vishua wanacheza mpira na watoto wa tony Blair, George Bush na Bill Clinton. Kwa babu yao ni Msasan, wakati wale wengine wanaish Bunju na Chanika..
Ile tabia yao ya kuzaa na wanawake mbalimbali kwa nia ya kuwapatia kazi serikalini, ilielezwa kama ni UKATILI WA KIJINSIA na UTAWALA WA AWAMU YA TATU [1995-2005] ulivyoingia madarakani mwaka 1995 ulipinga vikali sana.Ndo hao walikuwa wanapga madili ya zawad za wanafunzi bora kitaifa! Hawana hata hela, kutwa ni kubebwa bebwa tu.. ππ½
Una sifa utafikir ni muhaya.. π
Mambo mazito haya! Ngoja nijilie pasaka Kwanzaa. Wanaenda kcheza porno huko Karibian, mkndu wote unakuwa nje nje halaf wanaambiwa video haijalipa labda tutoe nyingine. Wanaweza kufa kwa presha na hela wasiipate..πWAINGEREZA wanasema "principles never change" na itaendelea kubaki kama ilivyo!
Ile tabia yao ya kuzaa na wanawake mbalimbali kwa nia ya kuwapatia kazi serikalini, ilielezwa kama ni UKATILI WA KIJINSIA na UTAWALA WA AWAMU YA TATU [1995-2005] ulivyoingia madarakani mwaka 1995 ulipinga vikali sana.
Ile tabia ilikoma, lakini ilikuwa imeacha makovu na majeraha mengi kwa upande wa akina mama na jinsia ya kike kwa ujumla.
UWT pamoja na viongozi wa dini walikuwa wanalaani sana ile tabia! Pia walisema wale wastaafu wa majeshi walitengeneza laana ambayo itakuja kuwatafuna wao wenyewe kwa siku za mbeleni.
Kwahiyo wale watoto waliokuwa wanazaliwa wapo, lakini familia zao zinakuwa na mambo ambayo hayaeleweki! Unakuta wanawake wa familia moja wanazalishwa na mwanaume mmoja!
Watoto pamoja na wajukuu wanaigiza video chafu! Unakuta familia inakuwa na skendo za ajabu ajabu, utapeli na kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu. Sasa hivi wanaambiwa wahamie ZAMBIA ili kuepuka kupata kadhai hiyo!
Zawad za serikal wamezila sanaa! Tena mbakie huko huko kwenye majeshi, serikalin hapafai na saiv siasa ya Tanzania imechafuka..Siyo sifa! Sehemu ambapo mwanafunzi alisoma na kufanikiwa kuongoza kitaifa, huwa anafanyika kuwa mlezi wa shule. Hii imefanikiwa kuwa ni desturi tangu zamani, kwa sababu wanafunzi bora huwa wanapewa zawadi kutoka serikalini.
Sasa huyo mwanafunzi bora wa kidato cha sita [2010] ana zawadi nne ambazo ni gari mbili aina ya TOYOTA LANDCRUISER pamoja na nyumba mbili zinazopatikana OYSTERBAY, DAR ES SALAAM.
Nyumba ya kwanza aliipata katika MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA SABA [2003]! Nyumba ya pili aliipata katika MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA PILI [2005]! Gari ya kwanza aliipata katika MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA NNE [2007] na gari ya pili aliipata katika MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA SITA [2010].
Kwahiyo wenzenu kwa kutegemea matokeo ya mtihani wa taifa wa DARASA LA SABA au KIDATO CHA PILI au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA, huwa na sifa ya kuongoza gereza sehemu ambayo watakuwa walifanikiwa kuongoza kitaifa.
WAINGEREZA huwa wanasema "The presidency is an ultimate platform" na kipindi ambacho HAYATI MWALIMU anauza CHAMA CHA TANU kwa serikali, alifanikiwa kuwa ni tajiri namba moja kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA baada ya kuuza CHAMA CHA TANU kwa thamani ya Tsh. 3,000,000 na hii ilikuwa ni mwaka 1975.Mambo mazito haya! Ngoja nijilie pasaka Kwanzaa. Wanaenda kcheza porno huko Karibian, mkndu wote unakuwa nje nje halaf wanaambiwa video haijalipa labda tutoe nyingine. Wanaweza kufa kwa presha na hela wasiipate..π
Malengo yalitimia, sema hawakuweza kuwa na ile mitazamo ya kiutawala! Wao walikuwa na mitazamo ya kijeshi, kitu ambacho kiliwafanya kuwa viburi na kushindwa kutambua ya mbeleni.Zawad za serikal wamezila sanaa! Tena mbakie huko huko kwenye majeshi, serikalin hapafai na saiv siasa ya Tanzania imechafuka..
Msiwaige hao wakuu wa majesh waliopita! Watoto wao watapata taabu sanaa..
Hakuna mtu mwenye akili kuliko taasisi ya kiserikal! Kitengo ndo kinafanya kaz yake, bora waende zambia na Malawi. Kule wametulia na wengine walishahamia huko.. ππ½
Saivi wameongezeka marais wa Burundi, Rwanda na wengine weng! Nelson Mandela alisoma azimio pamoja na baba ake Raila na Zuma alisoma msufini.. π Kwahiyo Tanzania tuna viongozi wengiWAINGEREZA huwa wanasema "The presidency is an ultimate platform" na kipindi ambacho HAYATI MWALIMU anauza CHAMA CHA TANU kwa serikali, alifanikiwa kuwa ni tajiri namba moja kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA baada ya kuuza CHAMA CHA TANU kwa thamani ya Tsh. 3,000,000 na hii ilikuwa ni mwaka 1975.
Sijafahamu kwa upande wa HAYATI SHEIKH KARUME pesa zake alipeleka wapi, baada ya kufanikiwa kuuza CHAMA CHA ASP kwa thamani ya Tsh. 500,000!
Lakini tunaambiwa HAYATI MWALIMU alihamisha Tsh. 2,000,000 na kupeleka KENYA, tena alisindikizwa hadi mpakani na fedha alizobaki nazo TANZANIA ilikuwa ni Tsh. 1,000,000 tu. Hivyo ni watu ambao watakuwa vizuri kiuchumi, sema ile hadhi ya kisiasa ndiyo waliyopungukiwa.
Ijapokuwa kuna mitazamo mingi kuhusu yale mabadiliko yaliyotokea mwaka 1975 na moja ilikuwa ni shinikizo la WATANZANIA waliokuwa wakiishi nje ya nchi [DIASPORA] ya kutaka TAIFA LA TANZANIA liwe ni JAMHURI YA WATANZANIA wote na kuondokana na ile dhana ya serikali kumilikiwa na familia ya mtu mmoja ambaye ni HAYATI MWALIMU.
Kwahiyo walifanikiwa na TAIFA LA TANZANIA tayari lilikuwa na raia ambao walikuwa tayari wamefanikiwa kuwa VIONGOZI WA KITAIFA katika mataifa ya MSUMBIJI, MALAWI, ZAMBIA, KENYA, UGANDA, GHANA, TOGO na BURKINA FASO.
Ilielezwa kuwa hawa ndiyo waliokuwa na shauku ya kuona TANZANIA ikiwa ni JAMHURI YA WATANZANIA wote na kuondokana na ile dhana ya serikali kumilikiwa na mtu mmoja. Lakini ule ufanisi na utendaji kazi wa serikali [GOVERNANCE EFFICIENCY, GE] uliendelea kushuka taratibu kuanzia mwaka 1975 hadi leo!
Wale wastaafu walikuwa wajinga sanaaaaa! Saivi watoto wao watacheza porno.. π Walizaliana weng halaf hela haitoshi na hawaelewan. Wamekua matapeli tuu wakishirikiana na wakosovo .. ππ½Malengo yalitimia, sema hawakuweza kuwa na ile mitazamo ya kiutawala! Wao walikuwa na mitazamo ya kijeshi, kitu ambacho kiliwafanya kuwa viburi na kushindwa kutambua ya mbeleni.
Sasa hivi TANZANIA ni JAMHURI YA WATANZANIA na wao kwa kutotambua ya mbeleni, wamejikuta hawana kitu na wanategemea huruma na upendeleo wa serikali.
Kwahiyo hali halisi ndiyo ilikuwa hivyo, sababu hata kufuata SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] inahitaji uvumilivu kama taifa na baada ya mwaka 1975, ule uvumilivu wa kisiasa [POLITICAL PATRONAGE] kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ulianza kupungua na sasa hivi SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] hawazitilii maanani na kiwango cha kufuata SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kipo chini ya asilimia hamsini [50%].
Tunaambiwa hata ule mkazo kuhusu masuala ya kijamii ulianza kupungua taratibu kuanzia mwaka 1975 hadi leo.Saivi wameongezeka marais wa Burundi, Rwanda na wengine weng! Nelson Mandela alisoma azimio pamoja na baba ake Raila na Zuma alisoma msufini.. π Kwahiyo Tanzania tuna viongozi wengi
Gereza ndo viranja kwa upande wa serikali! Wanasimamia misingi yote ya utaifa, katiba ya inchi pamoja na rasilimali za inchi..Tunaambiwa hata ule mkazo kuhusu masuala ya kijamii ulianza kupungua taratibu kuanzia mwaka 1975 hadi leo.
Zile tunu pamoja na misingi ya utaifa ilianza kumomonyoka taratibu, ikihusisha kushuka kwa maadili pamoja na utovu wa nidhamu baina ya rika katika jamii.
Sasa baada ya nyamka kuongoza jesh la magereza kwa mara ya pili ndo akariharibu na kuacha kufanya kazi ya magereza..Tunaambiwa hata ule mkazo kuhusu masuala ya kijamii ulianza kupungua taratibu kuanzia mwaka 1975 hadi leo.
Zile tunu pamoja na misingi ya utaifa ilianza kumomonyoka taratibu, ikihusisha kushuka kwa maadili pamoja na utovu wa nidhamu baina ya rika katika jamii.
Karume hela zake alipeleka Djibouti na baadhi ya watoto wake wanaish had leo Djibouti. Pia wanashirik siasa za Djibouti..WAINGEREZA huwa wanasema "The presidency is an ultimate platform" na kipindi ambacho HAYATI MWALIMU anauza CHAMA CHA TANU kwa serikali, alifanikiwa kuwa ni tajiri namba moja kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA baada ya kuuza CHAMA CHA TANU kwa thamani ya Tsh. 3,000,000 na hii ilikuwa ni mwaka 1975.
Sijafahamu kwa upande wa HAYATI SHEIKH KARUME pesa zake alipeleka wapi, baada ya kufanikiwa kuuza CHAMA CHA ASP kwa thamani ya Tsh. 500,000!
Lakini tunaambiwa HAYATI MWALIMU alihamisha Tsh. 2,000,000 na kupeleka KENYA, tena alisindikizwa hadi mpakani na fedha alizobaki nazo TANZANIA ilikuwa ni Tsh. 1,000,000 tu. Hivyo ni watu ambao watakuwa vizuri kiuchumi, sema ile hadhi ya kisiasa ndiyo waliyopungukiwa.
Ijapokuwa kuna mitazamo mingi kuhusu yale mabadiliko yaliyotokea mwaka 1975 na moja ilikuwa ni shinikizo la WATANZANIA waliokuwa wakiishi nje ya nchi [DIASPORA] ya kutaka TAIFA LA TANZANIA liwe ni JAMHURI YA WATANZANIA wote na kuondokana na ile dhana ya serikali kumilikiwa na familia ya mtu mmoja ambaye ni HAYATI MWALIMU.
Kwahiyo walifanikiwa na TAIFA LA TANZANIA tayari lilikuwa na raia ambao walikuwa tayari wamefanikiwa kuwa VIONGOZI WA KITAIFA katika mataifa ya MSUMBIJI, MALAWI, ZAMBIA, KENYA, UGANDA, GHANA, TOGO na BURKINA FASO.
Ilielezwa kuwa hawa ndiyo waliokuwa na shauku ya kuona TANZANIA ikiwa ni JAMHURI YA WATANZANIA wote na kuondokana na ile dhana ya serikali kumilikiwa na mtu mmoja. Lakini ule ufanisi na utendaji kazi wa serikali [GOVERNANCE EFFICIENCY, GE] uliendelea kushuka taratibu kuanzia mwaka 1975 hadi leo!
Tunaambiwa katika masuala ya HALI YA HEWA huwa kuna "Mabadiliko ya nchi na uoto wa asili" na katika masuala ya UTAIFA huwa kuna "Mabadiliko ya nchi na tabia za asili".Gereza ndo viranja kwa upande wa serikali! Wanasimamia misingi yote ya utaifa, katiba ya inchi pamoja na rasilimali za inchi..
Ikitokea serikal imepigwa vikwazo vya kimataifa au mali ya serikal imeshikiliwa na kampuni au taifa jingine, ujue Gereza limeshindwa kufanya kaz yake ipasavyo..
Ikitokea inchi imeshuka katika viwango vya kimataifa, ujue Gereza linahusika. Jesh la Magereza ndo linalohusika na masuala ya kijamii..
Jesh la Magereza ndo linalosimamia muundo wa serikal tangu kuasisiwa kwake. Taarifa za mikoa na wilaya zote zinatakiwa kupatikana magereza..
Pia ni jeshi linalohusika na kuwaenz viongozi wa kitaifa pamoja na mashujaa wa kitaifa kama wapigania uhuru, viongozi wa serikal, wanafunz bora kitaifa, wasanii waliowakilisha vyema taifa katika medani za kimataifa na kudumisha ujiran mwema na mataifa jirani (diplomasia).. Bila ya kusahau kushiriki katika sikukuu za kimataifa ππ½
Unajua wale wastaafu wa majeshi ya MAGEREZA na ZIMAMOTO walikuwa wamekua na wametoka katika familia duni.Wale wastaafu walikuwa wajinga sanaaaaa! Saivi watoto wao watacheza porno.. π Walizaliana weng halaf hela haitoshi na hawaelewan. Wamekua matapeli tuu wakishirikiana na wakosovo .. ππ½
Jesh la Magereza ndo huwa linafanya Personal Non Granta kwa raia wa kgeni kupitia tume ya maadili ya taifaTunaambiwa katika masuala ya HALI YA HEWA huwa kuna "Mabadiliko ya nchi na uoto wa asili" na katika masuala ya UTAIFA huwa kuna "Mabadiliko ya nchi na tabia za asili".
Sasa "Mabadiliko ya nchi na tabia za asili kulingana na maeneo" huwa yanaangaziwa na JESHI LA MAGEREZA. Yaani mabadiliko ya kisiasa katika mataifa mbalimbali duniani yanayofuata mfumo wa kidemokrasia huwa yanaanzia JESHI LA MAGEREZA.