Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Hata ule uchunguz wa kesi ya wanafunzi pale dodoma ndo uliojenga kiwanda cha kutengeneza maji pale pwani. Hela zilkuwa zinatoka kwa wakongo, kuna wakuu walikula hela..
 
Saivi Wamekuwa ni matapeli, tena wale konkodi maana wana chaneli serikalin sababu ni watoto na wajukuu wa kijesh! Na wanashirikiana na wakosovo kupga mishe za kitapel
Wenzenu walikuja kuyafahamu haya masuala baada ya miaka kadhaa kupita! Kwenye miaka ya tisini [1990's], ndiyo WATANZANIA wengine walianza kupata ufahamu wa SIASA ZA TANZANIA na duniani kwa ujumla.


​
Pale ndiyo WATANZANIA wengine walianza kujijenga kisiasa na kiuchumi, baada ya milango ya kiuchumi kuanza kufungaka kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.


​
Sasa hivi kuna WATANZANIA wamesambaa sehemu mbalimbali duniani, ikiwa ni sehemu ya kujitafutia fursa.

Ijapokuwa kuna baadhi ya FAMILIA ZA WATAWALA zimefika hadi mataifa ya AMERIKA YA KUSINI, kama VENEZUELA na wanafanya vizuri sana katika tasnia mbalimbali wakiwa kwenye mjumuisho wa taifa hilo.

Wengine waliamua kujikita katika fani za utangazaji, ilmradi "NITOKE VIPI" na TREVOR MCDONALD'S ni miongoni mwa FAMILIA ZA WATAWALA ~ mdogo wake na aliyewahi kuwa rais wa TANZANIA kwa miaka kama kumi [10] au ishirini [20] iliyopita.

Kwahiyo baadhi ya WATANZANIA ndiyo waliamua kuishi hivyo na kusambaa sehemu mbalimbali duniani, WAINGEREZA wanaita "DIVERSITY OF SOCIAL WELFARES" kuliko kujikita sehemu moja.
 
Kuna watanzania wametusua hapa hapa bongo kabla ya kwenda mambele. Trevor McDonald's ni mdogo ake na Mwinyi na alishawahi kufanya mahojiano na Sadam Husein wa Irak..

Saivi wakina Bob Nyanga Makan wapo mbali sana kiuchumi! wanasiasa wana nafas kubwa ya kufanikiwa kuliko askari. Kutoka Tanzania had Senegal sio mchezo..

Hao wengine tumeanza kuwajua baada ya kujiunga na majesh, kabla ya hapo tulikuwa hatuwajui wakina nyamka na wenzie..

Lakin kila kona ilikuwa ni Nyerere na Makamu wake! Nyerere na Makamu wake, hata bunge lilikuwa imara kuliko wakat huu..
 
Hata ule uchunguz wa kesi ya wanafunzi pale dodoma ndo uliojenga kiwanda cha kutengeneza maji pale pwani. Hela zilkuwa zinatoka kwa wakongo, kuna wakuu walikula hela..

​
Sasa hivi watu wanatumia akili, tofauti na hao wengine wanaohangaika na zawadi za WANAFUNZI BORA. Kwanza hatma yao hata haijulikani!

​
 
Sasa hivi watu wanatumia akili, tofauti na hao wengine wanaohangaika na zawadi za WANAFUNZI BORA. Kwanza hatma yao hata haijulikani!

Wanawamaliza! Lakin cjui itakuaje, ngoja tuone maana na wao wapo vizur na wengne wanaendelea kuwazalisha wanawake kwa kupenda wao wenyewe..

Wale matio walikuaga wajinga, wameacha makovu mengi kwa akina mama halaf hawana hela na walkuwa wakuu wa majesh..

Watoto wao wamecheza ulaya kwa mafanikio makubwa, lakin hata hela hamna za kufunga kiwanda cha maji ya kopo..

Ila pale dodoma kuna wenzao walipiga hela sanaaaaa! Miaka 10 unachunguza nn? Baadae waliongeza miaka mingine 5, ilmrad kupiga hela tu. Saiv wengine wametulia Kigoma kama sio wenyewe na wanamiliki hotels.. πŸ™πŸ½
 
Wale wastaafu wa kijeshi makosa yao yalikuwa ni kutaka kufanana na watawala wa kipindi kile, ambao wengi wao walikuwa ni watoto wa machifu!

Hata huyu YOUNG JEEZY ni mtoto wa rais kutoka katika moja ya mataifa yanayounda JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI na anafanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI WA HIP HOP nchini MAREKANI.

​

Sasa wale wengine kwa kujifanya wanajua, mwisho wa siku wanaharibu! Ilmradi wameingia studio na kutoa singo.. πŸ˜‚

​

Huyu OFFSET ni mtanzania kwa asili, tena ni kizazi cha wale wastaafu wa kijeshi! Lakini kazi zake za muziki wa HIP HOP hazitambuliki sana kama ilivyo kwa wasanii wengine.


Tunaweza kusema ni UNDERGROUND! Lakini hao wenzetu wa MATAIFA YA MAGHARIBI kinachokutambulisha huko, huwa ni FEDHA na hakuna kitu kingine.

​

Sasa hawa wakina OFFSET pamoja na wasanii wengine ambao bado wanaonekana kama ni UNDERGROUND ilhali kipaji wanacho, ni kutokana na kukosa FEDHA halafu bado wanategemea UBALOZI WA TANZANIA kuishi katika mataifa ya nje.
 
Young Jeezy ni mtoto wa Museven wa Uganda, hao ni matajiri sanaaaaa! Hip hop ya Marekani imeshikiliwa na watoto wa viongoz kutoka afrika..

Wakina Jay-Z ni watoto wa Makwaia waliohamia Togo! Cku moja wizaran walishangaa kuona mgodi wa mwadui umeandikwa jina la Shawn Carter, halaf kwa chin limeandikwa Pink Diamond..

Hao watu wana hela! Lakin hao wenzenu wanang'ang'ana kufanya kaz kwenye kampuni za kipolis hata hela hawana.. πŸ˜‚
 
Young Jeezy ni mtoto wa Museven wa Uganda, hao ni matajiri sanaaaaa! Hip hop ya Marekani imeshikiliwa na watoto wa viongoz kutoka afrika..
Sisi hayo tunayajua! Ndiyo maana wenzenu waliamua kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] na sasa hivi wanamiliki zawadi zao. Hakuna kuacha kitu!


​
Sikiliza verses hizo "We never steal cars, but we deal hard! 🎢 Whip it real hard, whip it whip it real hard! 🎢 I caught a charge! I caught a charge! Whip it real hard, whip it whip it real hard"🎢. Yeah, You Know! The Number One King.. 😁
Wakina Jay-Z ni watoto wa Makwaia waliohamia Togo! Cku moja wizaran walishangaa kuona mgodi wa mwadui umeandikwa jina la Shawn Carter, halaf kwa chin limeandikwa Pink Diamond..
Ndiyo ROYAL FAMILIES zilivyo! Upande mwingine wanajaribu kuiga, hata kwa kile kidogo kinachopatikana. Lakini kutangulia siyo kufika.

Hao UCHIFU WA BUSIA walifanikiwa kuhama TANZANIA tangu inaitwa TANGANYIKA, 1950's na UCHIFU WA BUSIA ndiyo SERIKALI YA TOGO. Baadhi ya vizazi vyao vilirudi kuishi TANZANIA na wanapatikana katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

​

Hata KIOO INDUSTRY imeandikwa jina la mhusika ambaye ndiye mmiliki halali. Kidogo kidogo ndiyo mwendo!

​
Hao watu wana hela! Lakin hao wenzenu wanang'ang'ana kufanya kaz kwenye kampuni za kipolis hata hela hawana.. πŸ˜‚

​
Sasa hivi wenzenu ndiyo wamefanikiwa kuwa na uelewa mpana wa masuala yanayohusu serikali na wanajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, wakiwa wanafahamu mambo machache kuhusu masuala yanayohusu siasa na majeshi.

​

Tena wanajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA wakiwa na vyeo vikubwa kuwahi kutokea katika historia ya TANZANIA.
 
Ilikuwa inawauma sanaa! Walitaman kuona watoto wao ndo wanafanya vizur darasan. Hzo zawad wangekuwa wanabeba wao kwa mbwembwe na wangekuwa wanatangaza had kwenye TV..

Lakin saivi wanaupiga mwingi ili kujipatia mali kwa njia za udanganyifu..πŸ˜‚ Kweli bongo nyoso, bongo balaaa..

Mwaka 2010 ilikuwa ni kama miujiza, Sacp alipatikana kupitia Necta na watu wote walikaa kimya qumammamake..

Elimu ya Tanzania ni nzuri sanaa, inaweza kumuinua yoyote bila ya kutegemea mtu yoyote. Ni kujua kuandika na kusoma kwa bidii.. Mchezo kwishaa halaf huwa wanapewa kuongoza gereza kwa miezi mitano kabla ya kwenda depo..

Tena msikae nao, Endeleeni hivyo hivyo! Mazoezi mengi, depo hadi mwakani! Wasije wakawapa sumu, maana wamekua kama Wakongo.. πŸ˜‚

Kwahiyo malengo yamefanikiwa, Mkapa alitengeneza viongozi wa kijesh ambao watakuja kuwa royal kwa serikal na walikuwa wanapewa nyumba za serikali.. πŸ™πŸ½
 
Sikiliza biti hiyo! Unajua muziki wa HIP HOP nchini MAREKANI unahitaji FEDHA ili kuweza kutambulika! Hawa wenzenu wanatambulika tangu miaka ya sitini [1960's], ndiyo UCHIFU WA BUSIA hao..

​

KISHAPU [BUSIA] wanamiliki uchumi mkubwa, sema hawana ushirikiano kama ilivyo kwa upande wa SHINYANGA VIJIJINI [NINDO].

​

SHINYANGA VIJIJINI [NINDO] wanafanya mambo kwa ushirikiano, ndiyo maana ukiangalia karibia wote wanamiliki uchumi wao! Kipindi cha miaka tisini [1990's], HAYATI MWALIMU alifanikiwa kuwa na KHALFAN katika masuala yanayohusu biashara.


​
Yaani kipindi cha miaka ya tisini [1990's], kuna kampuni ya kibiashara alifungua HAYATI MWALIMU kwa FEDHA alizouza CHAMA CHA TANU na akaungana na KHALFAN kama kumsaidia kukua kibiashara. Hiyo kampuni inaitwa [...] na inapatikana DAR ES SALAAM.

​

Kwahiyo wale waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, waliamua kujikita katika kutafuta na kujijenga wao bila ya kutegemea kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na serikali.
 
Hata huyu ni mdogo wake na mmoja wa aliyewahi kuwa KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kwa upande wa bara. Wanasiasa wengi wamefanikiwa kuukwepa huo mtego wa kufanya kazi na kutegemea kampuni za kiserikali.

Matokeo yake, viongozi wastaafu wa majeshi ndiyo wamekuwa wanafuika na tegemezi wakubwa wa kampuni za kiserikali zinazopatikana ndani na nje ya TANZANIA.
 
Masumin ni kampuni kubwa na wanamilik viwanda vngi, wakat mwingine unaweza kusema ni kampuni ya kipolis..

Ndo kioo ilivyojipachika hapo kupitia kampuni ya Nyerere na wamiliki wanaish Ruvuma...

Wakina Makwaia wana hela, sema hawatoi ushirikiano kwa majiran na ndo waliokuwa wadau wakubwa wa shinikizo la kununua vyama vya tanu pamoja na afro shiraz ili viwe ni vyama vya siasa vinavyomilikiwa na watanzania wote..

Kwahiyo kuna siri kubwa iliyofanyika tangu 1975! Kuna watu walisaidia kutoa hela ili kufanikisha manunuzi ya vyama vya tanu na afro shiraz, saiv kuna familia zina hisa ndan ya chama cha mapinduzi..

Leo hii ukiwa Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi, Tanzania ni Nyumbani kwao.. Ukiwa Zambia, Malawi na Msumbij, Tanzania ni Nyumbani kwao.. Ukiwa Sauzi, Tanzania ni Nyumbani kwao.. Hata Ukiwa Togo, Tanzania ni Nyumbani kwao na wanajiunga kwenye majeshi ya ulinzi kama watanzania wengine.
 
Mdogo ake na kanali mstaaf Yusuf Makamba! Hao wakina mwanguku cjui nyamka hawafiki hata Makamba..

Wanasiasa weng walitumia nafas zao vizur kwenye kujijenga kiuchumi, saivi wanamiliki kampuni zao..

Hata hawapo huko kwenye kampuni za kiserikal! Waliopo huko ni watoto na wajukuu wa kijesh, hao ndo wanataka tuwe kama Wahutu..

Ccm haipo kwenye kampuni za kijeshi! Waliopo huko ni watoto na wajukuu wa kijesh, hao ndo wanafanya utapeli wa zawad za wanafunzi bora kitaifa kila mwaka wakishirikiana na wakosovo..

Watoto na wajukuu wa kijesh wanataman waishi maisha kama ya watawala, ila hela hawana! Matokeo yake wamejiingiza kwenye utapeli, tena ni matapeli konkodi..

Ikitokea wameondolewa huko kwenye kampuni za kiserikal, wote wanadondoka chin! Hata hela hawana, wanategemea serikal iwasaidie kwa kila kitu.. πŸ˜‚
 
Kwahiyo kuna siri kubwa iliyofanyika tangu 1975! Kuna watu walisaidia kutoa hela ili kufanikisha manunuzi ya vyama vya tanu na afro shiraz, saiv kuna familia zina hisa ndan ya chama cha mapinduzi..
Tunaambiwa hivyo! Hakuna mwenye jibu la uhakika zaidi ya watu waliokuwepo kipindi hicho, licha ya kwamba TANGANYIKA ilifanikiwa kutoa wapigania uhuru katika mataifa mbalimbali ya kiafrika.

Lakini tunaambiwa wale wapigania uhuru wenye asili ya TANGANYIKA walikuwa na kinyongo na HAYATI MWALIMU ~ kwa sababu TANGANYIKA ilikuwa ni nyumbani kwao na hawakuwa tayari kuona taifa lao linamilikiwa na familia ya mtu mmoja ambaye ni HAYATI MWALIMU.

​

Tunaambiwa ZAMBIA ilikuwa tayari kutoa fedha kwa ajili ya kufanikisha manunuzi ya CHAMA CHA TANU. Sasa sijui iliishia wapi? Maana wao walikuwa wanategemea uchumi wa madini ya shaba, hivyo fedha kwao ilikuwa siyo tatizo..

​

Hata KENYA ilikuwa ni hivyo hivyo! Walikuwa tayari kuchangia fedha ili kukamilisha manunuzi ya CHAMA CHA TANU na CHAMA CHA ASP kwa upande wa ZANZIBARI.

Wale UCHIFU WA BUSIA ambao ndiyo watawala wa TAIFA LA TOGO walisema fedha kwao siyo tatizo na wangelikamilisha kupitia mgodi wa madini ya almasi unaopatikana MWADUI.. πŸ™πŸ½
Hao wote TANZANIA ni nyumbani, lakini sifahamu wala sina uhakika kuhusu wale watu waliokuwa nyuma ya manunuzi ya CHAMA CHA TANU na CHAMA CHA ASP, kama ni serikali au kikundi cha watanzania waliokuwa wakiishi nje ya nchi.
 

​
Hiyo hali ipo kwao tu! Sidhani kama kuna watu wengine wanajaribu kuwa kama wao? Unaona hiyo KENGELE imeandikwa S. MENDI..


​
Kuna WATANZANIA wengi walifanikiwa kung'amua mapema hali ya kisiasa inayoendelea TANZANIA na baadhi ya familia ya HAYATI MWALIMU ndiyo iliyowasaidia baadhi ya WATANZANIA kama familia ya BOB NYANGA kuhamia na kucheza mpira wa miguu kwa upande wa TAIFA LA SENEGAL.

​

Wenzenu wale walifanikiwa kuruka viunzi na wanafanya vizuri katika masuala mbalimbali yanayohusu jamii.


​
Kwahiyo "DIVERSITY OF SOCIAL WELFARE" inahusika sana, kuliko kujikita na kuishi katika sehemu moja.
 
Wenye hela zao hao! Wengine hela za kulenga kwa manatii, lakini kutwa kuzaa watoto hata hela za matunzo hawana.. πŸ˜‚ Huko majeshin pakizibwa cjui wataenda wapi na wenyewe wanasambaza watoto na wajukuu wao kwa watu wengine ili walelewe.. πŸ™πŸ½ Eti walikua matio then Wastaafu wa majesh, lakin wamekua kama wahutu..
 
Matajir sanaa! Baada ya 1975 ndo familia ya baba wa taifa ilianza kusambaa, wengne walihamia Kenya, Zambia, Ghana, Sauzi, Marekani, Mali na Ungereza
 
Matajir sanaa! Baada ya 1975 ndo familia ya baba wa taifa ilianza kusambaa, wengne walihamia Kenya, Zambia, Ghana, Sauzi, Marekani, Mali na Ungereza

​
Wenzenu walifanikiwa kupata FEDHA kile kipindi cha miaka ya sabini na tano [1975's]! Walidhani wamemkomoa HAYATI MWALIMU, kumbe walikuwa wanapiga chura teke..


​
Idadi kubwa ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] waliokuwa wamesambaa sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi, wengi wao walifanikiwa kuhamia nchini SENEGAL.


​
Tangu kipindi cha UKOLONI WA KIINGEREZA, SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] iliaminika kwa WAKOLONI kuwa ni WATAWALA kwa upande wa TAIFA LA TANGANYIKA, hatimaye TANZANIA.


​
Hivyo bado wanaendelea kuwa na mahusiano mazuri na UINGEREZA, kulingana na historia ya UKOLONI WA KIINGEREZA kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI NA KATI.

​

FEDHA bado wanayo na wanaendelea kufanya vizuri kiuchumi na kisiasa kutokana na ushirikiano waliokuwa nao tangu mwanzo.


​
Wale wenyeji wa asili wa SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wenye misimamo mikali, hawakuta kabisa kutawaliwa baada ya mwaka 1975. Hivyo idadi kubwa ilihamia nje ya nchi!


​
Sasa hivi ukiwa SENEGAL kuna idadi kubwa ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na wanaendelea kufanya vizuri katika shughuli za kijamii.


​
Pia huwa wanashiriki katika SIASA ZA SENEGAL na wanatoa viongozi wa kitaifa katika TAIFA LA SENEGAL.


​
Kwahiyo hali halisi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ndiyo ilikuwa hivyo, sema baada ya mwaka 1975 ilikuwa ndiyo mwanzo wa kupinga fikra na mawazo ya HAYATI MWALIMU kuhusu kuongoza TAIFA LA TANZANIA hadi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…