Saivi rais wa Senegal ni mtu wa nindo, wamepewa ili waongoze kama ilivyokuwa kwa Tanganyika. Hata Gabon ina rais mtanzaniaWenzenu walifanikiwa kupata FEDHA kile kipindi cha miaka ya sabini na tano [1975's]! Walidhani wamemkomoa HAYATI MWALIMU, kumbe walikuwa wanapiga chura teke..
Idadi kubwa ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] waliokuwa wamesambaa sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi, wengi wao walifanikiwa kuhamia nchini SENEGAL.
Tangu kipindi cha UKOLONI WA KIINGEREZA, SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] iliaminika kwa WAKOLONI kuwa ni WATAWALA kwa upande wa TAIFA LA TANGANYIKA, hatimaye TANZANIA.
Hivyo bado wanaendelea kuwa na mahusiano mazuri na UINGEREZA, kulingana na historia ya UKOLONI WA KIINGEREZA kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI NA KATI.
FEDHA bado wanayo na wanaendelea kufanya vizuri kiuchumi na kisiasa kutokana na ushirikiano waliokuwa nao tangu mwanzo.
Wale wenyeji wa asili wa SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wenye misimamo mikali, hawakuta kabisa kutawaliwa baada ya mwaka 1975. Hivyo idadi kubwa ilihamia nje ya nchi!
Sasa hivi ukiwa SENEGAL kuna idadi kubwa ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na wanaendelea kufanya vizuri katika shughuli za kijamii.
Pia huwa wanashiriki katika SIASA ZA SENEGAL na wanatoa viongozi wa kitaifa katika TAIFA LA SENEGAL.
Kwahiyo hali halisi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ndiyo ilikuwa hivyo, sema baada ya mwaka 1975 ilikuwa ndiyo mwanzo wa kupinga fikra na mawazo ya HAYATI MWALIMU kuhusu kuongoza TAIFA LA TANZANIA hadi leo.
Lakin wale waliokuwa wanapinga mawazo ya Nyerere, ndo miezi yao ya kupiga zawad za wanafunzi bora kitaifa..Wenzenu walifanikiwa kupata FEDHA kile kipindi cha miaka ya sabini na tano [1975's]! Walidhani wamemkomoa HAYATI MWALIMU, kumbe walikuwa wanapiga chura teke..
Idadi kubwa ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] waliokuwa wamesambaa sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi, wengi wao walifanikiwa kuhamia nchini SENEGAL.
Tangu kipindi cha UKOLONI WA KIINGEREZA, SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] iliaminika kwa WAKOLONI kuwa ni WATAWALA kwa upande wa TAIFA LA TANGANYIKA, hatimaye TANZANIA.
Hivyo bado wanaendelea kuwa na mahusiano mazuri na UINGEREZA, kulingana na historia ya UKOLONI WA KIINGEREZA kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI NA KATI.
FEDHA bado wanayo na wanaendelea kufanya vizuri kiuchumi na kisiasa kutokana na ushirikiano waliokuwa nao tangu mwanzo.
Wale wenyeji wa asili wa SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wenye misimamo mikali, hawakuta kabisa kutawaliwa baada ya mwaka 1975. Hivyo idadi kubwa ilihamia nje ya nchi!
Sasa hivi ukiwa SENEGAL kuna idadi kubwa ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na wanaendelea kufanya vizuri katika shughuli za kijamii.
Pia huwa wanashiriki katika SIASA ZA SENEGAL na wanatoa viongozi wa kitaifa katika TAIFA LA SENEGAL.
Kwahiyo hali halisi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ndiyo ilikuwa hivyo, sema baada ya mwaka 1975 ilikuwa ndiyo mwanzo wa kupinga fikra na mawazo ya HAYATI MWALIMU kuhusu kuongoza TAIFA LA TANZANIA hadi leo.
Hivyo vyeo vya kijeshi huwa ni kama vyeo vya kidiplomasia! Huwa wanavikwa na kuvuliwa, endapo kama watakuwa wamekiuka viapo vyao au kama watakuwa wanavunja maadili na wanafanya matendo ambayo ni kinyume na utamaduni wa kitanzania.Lakin wale waliokuwa wanapinga mawazo ya Nyerere, ndo miezi yao ya kupiga zawad za wanafunzi bora kitaifa..
Huwa wanakuja kuanzia mwez wa tano had mwez wa saba kpindi ambacho zawad zinakuwa zinatolewa na serikali..
Wakati mwingne huwa wanakusanya had 300 milioni na wanatoka nazo nje ya nchi, hasa Marekani..
Kwa mwaka jana, Kila gar walikuwa wanatoa 50 milioni kwa mwanafunzi bora halaf wanatembea na Toyota landcruiser zero kilomita.. π
Nyerere alikuwa anafata sheria za kimataifa, Kwahyo wanaopingana nayeye wanakuwa wanapingana na sheria za umoja wa mataifa..Hivyo vyeo vya kijeshi huwa ni kama vyeo vya kidiplomasia! Huwa wanavikwa na kuvuliwa, endapo kama watakuwa wamekiuka viapo vyao au kama watakuwa wanavunja maadili na wanafanya matendo ambayo ni kinyume na utamaduni wa kitanzania.
Hawana hela, ni CHOKA MBAYA! Wamebakiza kukaguliwa MATAK*NI tu. Yaani siku sheria zikifuatwa, kuna watu watadondoka chini..π Ndiyo maana sasa hivi watu wanasisitiza sheria zifuatwe.
Raia walio asiliwa katika malezi na makuzi [PARENTHOOD] yao, huwa hawaruhusiwi kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Hata wale ambao wanaruhusiwa kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA huwa kuna makundi mawili, ambayo ni SE FAIRE VALOIR na NON SE FAIRE VALOIR.
Askari ambao ni SE FAIRE VALOIR huwa wanatumikia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA hadi muda wa kustaafu, miaka sitini hadi sitini na tano [60-65] na askari ambao ni NON SE FAIRE VALOIR huwa wanatumikia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa kipindi cha miaka isiyopungua mitano [5].
Kumbe mlikuwa hamjui! Wale wastaafu wa majeshi walikuwa wanatumiwa na mahasimu wa HAYATI MWALIMU, ndiyo maana wanaambiwa wahamie ZAMBIA.Nyerere alikuwa anafata sheria za kimataifa, Kwahyo wanaopingana nayeye wanakuwa wanapingana na sheria za umoja wa mataifa..
Nyerere bado yupo na wanasema wale wakuu wa majesh wastaafu walichezewa mchezo wasiojua kupitia watoto wao..Kumbe mlikuwa hamjui! Wale wastaafu wa majeshi walikuwa wanatumiwa na mahasimu wa HAYATI MWALIMU, ndiyo maana wanaambiwa wahamie ZAMBIA.
Walikuwa hawana uwezo wowote wa kumkosoa HAYATI MWALIMU katika masuala ya utawala na uongozi, bali walikuwa wanatumika! Walikuwa ni watu wadogo sana kwa HAYATI MWALIMU, lakini waliingia kwenye vita wasivyoviweza.
Sasa hivi wamekuwa ni watu wa kubebwa bebwa na serikali, kupitia wale waliokuwa mahasimu wa HAYATI MWALIMU.
Hata wakienda nje ya nchi, wanakuwa wanatumia vitu ambavyo vipo chini ya ubalozi, kama kuajiriwa katika kampuni binafsi zinazomilikiwa na serikali.
Sasa hayo maisha siyo mazuri, kwa sababu siku serikali ikisema imetosha wote watadondoka chini. Labda wajiunge na SIASA ZA CHAMA TAWALA, waanze kufanya siasa za CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM]..
Kwahiyo wale wastaafu wa majeshi walifanikiwa kuzaa watoto wengi sana, kiasi ambacho hata wao wenyewe hawana uwezo wa kuwalea na kuwapatia mahitaji yote muhimu, zaidi ya kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Yaani wale waliokuwa wakuu wa majeshi walifanya kitu kibaya sana, kiasi ambacho kitawagharimu hadi vizazi vyao! Sababu HAYATI MWALIMU bado yupo na SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wana ushirikiano mkubwa sana.
Hiyo hali ya "faking life", wenzenu waliikataa tangu miaka ya tisini [1990's], sababu ni vigumu kujifananisha na watawala.Nyerere bado yupo na wanasema wale wakuu wa majesh wastaafu walichezewa mchezo wasiojua kupitia watoto wao..
Wale watoto wao waliokuwa wakicheza mpira wa miguu wa kulipwa, walikuwa wanalipwa mishahara na wazaz wao ambao ndo wakuu wastaafu wa majesh..
Kwahyo hela zilkuwa zinawatoka kwa namna hiyo tena nyingi, ilmradi na wao waonekane wana watoto ambao wanacheza soka la kulipwa barani ulaya. Lakini Saiv hawana hela hata ya kufunga kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa.. ππ½
Hata Ngelaja na yule aliyekuwa mbunge wa msalala, Maige wamewaacha mbali sanaa hao wakuu wastaafu wa majeshi!Hiyo hali ya "faking life", wenzenu waliikataa tangu miaka ya tisini [1990's], sababu ni vigumu kujifananisha na watawala.
MAWAZIRI wengi walianza kujijenga kisiasa na kiuchumi kipindi cha miaka ya tisini [1990's] na walifanikiwa kumiliki vitu vyao.
Hotel Balzac "The essence of Paris" na kuna WATANZANIA wengi walifanikiwa kujijenga kisiasa na kiuchumi kwa mtindo wa kufuata maisha yao halisi na walifanikiwa kuzaa na kupata watoto ambao kwa siku za mbeleni na wao watakuja kuwa viongozi wa kijeshi.
Labda walikuwa wanapata FEDHA baada ya kuchukua tuzo za uchezaji bora na ufungaji bora, lakini wale wenzetu huwa wanawalipa mishahara minono wanamichezo wao tu! Nafuu kushiriki katika tasnia ya muziki, kuliko michezo..Nyerere bado yupo na wanasema wale wakuu wa majesh wastaafu walichezewa mchezo wasiojua kupitia watoto wao..
Wale watoto wao waliokuwa wakicheza mpira wa miguu wa kulipwa, walikuwa wanalipwa mishahara na wazaz wao ambao ndo wakuu wastaafu wa majesh..
Kwahyo hela zilkuwa zinawatoka kwa namna hiyo tena nyingi, ilmradi na wao waonekane wana watoto ambao wanacheza soka la kulipwa barani ulaya. Lakini Saiv hawana hela hata ya kufunga kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa.. ππ½
Nyerere bado yupo na wanasema wale wakuu wa majesh wastaafu walichezewa mchezo wasiojua kupitia watoto wao..

Huyo mke wa jaruu ni mtoto wa mkuu mstaaf wa magereza πLabda walikuwa wanapata FEDHA baada ya kuchukua tuzo za uchezaji bora na ufungaji bora, lakini wale wenzetu huwa wanawalipa mishahara minono wanamichezo wao tu! Nafuu kushiriki katika tasnia ya muziki, kuliko michezo..
Hawa wanamichezo wengine kutoka KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA, huwa wanalipwa mishahara na familia au serikali zao kwa nia ya kupata uzoefu katika michezo.
Hawa wakina ADEBAYO ni kizazi cha UCHIFU WA BUSIA na walifanikiwa kucheza soka la kulipwa, kupitia uwezo wa kifamilia pamoja na serikali zao na walipata fursa ya kushiriki KOMBE LA DUNIA [2006].
UCHIFU WA BUSIA wanatambulika tangu miaka ya sitini [1960's] na wanafanya vizuri katika tasnia mbalimbali za kijamii.
Jamii nyingine isiyotambulika kimataifa, shughuli ya muziki ndiyo inalipa zaidi kuliko michezo kwa upande wa watu wanaotoka katika mataifa ya KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA.
Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo na wale wastaafu wa majeshi walikuwa zinawatoka fedha kwa namna hiyo wakiamini kwamba itakuja kuwatoa kwa siku zijazo.
Lakini hata tuzo walizokuwa wanapata, tunaambiwa walikuwa wanapewa nusu ya fedha halisi wanazopata wale wenzetu wa MATAIFA YA MAGHARIBI na hawakuwa pekee yao, kwani kulikuwa kuna wakuu wa majeshi kutoka katika mataifa kama KONGO ambao na wao walikuwa wanapeleka watoto wao kwenda kucheza mpira wa miguu barani ulaya.
Saiv kuna viongoz wa kiafrika wanamiliki timu zao upande wa cafcl, waliamua kuachana na mambo ya ulaya. Ganda Marie ni timu ya kenyataKwahiyo sasa hivi familia na mataifa mengi kutoka KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA wanapendelea kushiriki katika vilabu vikubwa kama MAMELOD SUNDOWNS ya AFRIKA YA KUSINI kuliko kulipia CRYSTAL PALACE ya UINGEREZA au TP MAZEMBE ya KONGO kuliko kulipia ATHLETIC BILBAO ya UHISPANIA!
Ijapokuwa kuna baadhi ya familia na mataifa ya KUSINI MWA AFRIKA ambayo yanamiliki uchumi bado wanaendelea kulipia katika MATAIFA YA MAGHARIBI kwa nia ya kushiriki katika michezo, hasa mchezo wa mpira wa miguu.
Huko ndo walipokuwa wanatumia hela nyingi na walikuwa hawaingizi kitu zaidi ya kupata tuzo na dili za matangazo..Hata huyu PATRICK VIEIRA ni kizazi cha aliyewahi kuwa MKUU WA JESHI LA MAGEREZA [CGP] na aliitumikia klabu ya ARSENAL pamoja na timu ya taifa ya mpira wa miguu ya UFARANSA kwa mafanikio makubwa sana.
Hii tabia ya kupeleka watoto katika vilabu vya michezo katika MATAIFA YA MAGHARIBI walikuwa nayo hasa wakuu wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI!
Lakini cha ajabu na cha kushangaza, kulikuwa hakuna MKUU WA JESHI LA ULINZI [JWTZ] katika harakati hizo za kupeleka watoto kushiriki michezo kwa upande wa MATAIFA YA MAGHARIBI. Wao waliamua kuenzi mchango wa HAYATI MWALIMU katika ujenzi wa taifa, lakini wale wengine waliamua kupinga kwa matendo siasa za ujamaa na kujitegemea.
Mwisho wa siku walijikuta wanatumia FEDHA nyingi na gharama kubwa katika kuendeleza vipaji vya watoto wao, kucheza mpira wa miguu kwa upande wa MATAIFA YA MAGHARIBI. Kule wanalipia hadi "STEWARD COSTS" na timu inakuwa inajiendesha yenyewe kwa ada za kila wanamichezo.
Huko ndo walipokuwa wanatumia hela nyingi na walikuwa hawaingizi kitu zaidi ya kupata tuzo na dili za matangazo..
Tatizo wanaopata mara nying ni wazungu, waafrika cku zote hawajui na mshahara wa Mohamed Salah ulikuwa mara 5 ya mshahara wa Sadio Mane kpindi wapo wote Liverpool..Sasa hivi vizazi vya watawala vinarudi AFRIKA, lakini tuzo ya BALLON D'OR inafika thamani ya USD500,000 hadi walivyotoa kwa mwaka jana na inaendelea kupanda kila mwaka.
Tatizo wanaopata mara nying ni wazungu, waafrika cku zote hawajui na mshahara wa Mohamed Salah ulikuwa mara 5 ya mshahara wa Sadio Mane kpindi wapo wote Liverpool..
Tatizo gharama ni kubwa na wanaopata faida ni wamilik wa vilabu vya michezo, maana kila gharama inalipiwa na wanamichezo kupitia familia au serikal zao.. ππ½WANAMICHEZO wengi wenye asili ya kiafrika huwa wanaenda kushiriki michezo katika MATAIFA YA MAGHARIBI kwa nia ya kupata uzoefu wa kuja kusaidia mataifa yao katika michuano ya kimataifa na kombe la dunia.
Kule MATAIFA YA MAGHARIBI kuna michuano mingi na presha ya mashabiki ipo juu kulinganisha na MATAIFA YA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA. Hivyo inasaidia kuwajengea uwezo wanamichezo kujiamini wanapokuwa uwanjani.
Lakini wale ambao ni vizazi vya watawala hawaoni shida ya gharama kuwa ni kubwa, kwa sababu gharama wanaimudu vizuri.Tatizo gharama ni kubwa na wanaopata faida ni wamilik wa vilabu vya michezo, maana kila gharama inalipiwa na wanamichezo kupitia familia au serikal zao.. ππ½
Miaka ile kpindi Mrema yupo hot iliibuka hii skendo, wanamichezo walienda kukagua na kuhakiki kiwanda cha kutengeneza dawa za kutibu binadam..Lakini wale ambao ni vizazi vya watawala hawaoni shida ya gharama kuwa ni kubwa, kwa sababu gharama wanaimudu vizuri.
Upande mwingine, wale waliokuwa vizazi vya wakuu wastaafu wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI walikuwa wanatumia nafasi za ubalozi katika ile namna ya kupeleka watoto wao kwenda kushiriki katika michezo mbalimbali.
Pia walikuwa wanapata fursa ndogo kutoka ubalozini, ili wapate namna ya kuishi kwa kupata kipato kidogo kutoka ubalozini.
Kazi waliyokuwa wakifanya kama "PARTY TIME JOB" ilikuwa ni kukagua na kuhakiki miradi ya serikali kupitia ofisi ya kibalozi katika mataifa mbalimbali walipokuwa wakiishi.
Kile kitendo kiliwashitua watu wengi wa kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], maana kukagua na kuhakiki miradi ya serikali inatakiwa kufanyika na taasisi, siyo watoto wa wastaafu wakuu wa majeshi!
Zamani, kipindi cha HAYATI MWALIMU kazi ya kukagua na kuhakiki miradi ya serikali kwa upande wa nje ya nchi ilikuwa inafanyika na wenyeji wa asili wa KIJIJI CHA NINDO tu!
Lakini baada ya 1975, kazi ya kuhakiki na kukagua miradi ya serikali kwa upande wa nje ya nchi ilikuwa inafanyika na watoto wa wakuu wastaafu wa majeshi, kitu ambacho kiliitia dosari serikali ya MZEE RUKSA na ilileta mpasuko mkubwa ndani ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA [1985-1995].
Wao walikuwa wanasema "watoto wa nyoka ni nyoka" na waliona ni sawa kwa watoto wa wakuu wa majeshi kukagua na kuhakiki miradi ya serikali kwa upande wa nje ya nchi na waliendelea kufanya hivyo, hata baada ya UTAWALA WA AWAMU YA TATU [1995-2005] ulivyoingia madarakani.
Tunaambiwa hata hiyo kampuni ya AXA ni kampuni inayomilikiwa na serikali kupitia ubalozi wa TANZANIA unaopatikana nchini UINGEREZA na walikuja kufanikiwa kufungua kiwanda cha kutengeneza dawa za kutibu binadamu [DINOPAT] kinachopatikana nchini INDIA. Hiyo kampuni ilikuwa inaitwa AXA PARENTERALS LIMITED..
Kwahiyo kwa kipindi chote hicho, wale watoto wa wakuu wastaafu wa majeshi walikuwa wanaishi kwa namna hiyo na waliamini wao ndiyo wenye SERIKALI YA TANZANIA kutokana na kufanya shughuli ya kukagua na kuhakiki miradi yote ya serikali inayopatikana nje ya nchi.
Watoto wao walikuwa wanaishi kwa namna hiyo na ndiyo ilikuwa sababu kubwa ya wale wakuu wastaafu wa majeshi kupeleka watoto wao nje ya nchi kutokana na kazi ya kukagua na kusimamia miradi ya serikali inayopatikana nje ya nchi. Ijapokuwa walikuwa hawana vigezo!