Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Wale wakuu wa majesh walikuwa wanawaiga marais na machifu wa kpindi kile, ijapokuwa hawakuwa na hela yoyote ya kupeleka watoto wao ulaya. Nindo ndo walikuwa wanapigia hela huko kwenye mirad ya nje.. πŸ™πŸ½
 

​
Wenzenu walijaribu kuishi maisha na mtindo wa kimagharibi na walifanikiwa, ijapokuwa hawakuwa na fedha za kutosha ili kukamilisha masuala yao.

​

Tunaambiwa wale wastaafu wakuu wa majeshi walikuwa wanatumia gharama kubwa katika kufanikisha ndoto za watoto wao kuwa wasanii wa nyimbo na kucheza mpira wa miguu, ulaya!


Kumbe ulaya, idadi kubwa ya wanamichezo huwa wanatoka kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA na huwa wanaandaliwa na serikali kwa ajili ya kushiriki michuano ya kimataifa na kombe la dunia.

​

Wale waliokuwa MAWAZIRI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] waliamua kuvumilia na kujijenga kiuchumi. Sasa hivi wanamiliki timu za mpira wa miguu katika BARA LA ULAYA!

​

FC SCHALKE 04 imebakiza michezo miwili au mitatu kupanda LIGI KUU YA UJERUMANI, BUNDESLIGA na inamilikiwa na WATANZANIA.
 
kizaz cha sasa kimekuwa kivivu sn kutafit kinanendeshwa na ubuyu

Kambona anavuma sn ila hata kujieleza haez , Kambona alikuwa baba wa ufisad

Kama tusingepotoka na tungebakia kweny misingi ya Nyerere tungekuwa superpower kweny huu ukanda mzima

Kwasas rushwa , ufisad , ukiukwaj wa haki za binadam na ujinga mwing sn unaendelea ambao unafanywa kwa makusud kbs
 
Waliishia kumpaka matope.

View attachment 1665493
Thibitisha kama kwel alipakwa matope ? Tuambie kwann Nyerere alifanya yote hayo ? Je Nyerere alilinda nin akiwa madarakan?
Tuepuke kuweka udini ( Uislam na Ukristu ni ushoga tu na mtu unaetumia hz dini kujadili watu bas ww ni ms3ng tu maana bado akil yako imefungwa minyororo)

Nyerere ndo rais pekee aliibadili nchi yake
1.Kaleta umoja ( 98% ya marais wa kizaz cha Nyerere waliyavunja mataifa yao kwa kupendelea watu wao badala ya kujenga nchi zao ziwe moja )

2.Nyerere alisuka mfumo bora kbs wa elimu ambao ulimwandaa mtu kuyamudu maisha sio elimu ya leo inazalisha mashog magaw vnyeo mama Mwija...ku , mim nmekuwa mwl naelewa mapungufu yaliyopi kule , elimu imekuwa biashara , Nyerere alizuia hili aliifanya elimu kuwa huduma ya kijamii

3.Usalama ulikuwa juu san kipind hiko

4.Uwajibikaj kwa watumishi ulikuwa juu

5.Alisimamia viwanda vingi na kuviendeleza ila waliomfuata waliua viwanda vyote ili wao wakanunue bidhaa nje waje kutuuzia

6.Krb kila shule ilikuwa na kitega uchumi hadi usafir ambao leo vyot vimekuwa historia

7.Hakuwa omba omba kama viongoz wenu wa leo hadi kujenga vyoo vya shule mpk waombe ulaya
 
Wale wakuu wa majesh walikuwa wanawaiga marais na machifu wa kpindi kile, ijapokuwa hawakuwa na hela yoyote ya kupeleka watoto wao ulaya. Nindo ndo walikuwa wanapigia hela huko kwenye mirad ya nje.. πŸ™πŸ½

​
Usicheze na WATAWALA! Wenzenu wapo mbali na walikuwa na mahusiano mazuri na UINGEREZA tangu kipindi cha UKOLONI.


​
Hawa ni SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na walifanikiwa kujijenga kisiasa na kiuchumi tangu miaka ya sitini [1960's] hadi leo.


​
Sasa hivi SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ndiyo wanaongoza SERIKALI YA SENEGAL! HAYATI MWALIMU alikuwa vizuri sana katika masuala binafsi, kwanza hata mke wake hajawahi kuonekana kwenye vituo vya televisheni na majukwaa ya siasa.


​
Huyo ambaye huwa anaonekana kwenye vituo vya televisheni siyo mwenyewe na wajukuu zake unaweza ukawa nao sehemu moja na usiwatambue!

​

Vizazi vya watawala wengi wanarudi AFRIKA, kwa sababu ulaya kila kitu lazima ulipie hata kama unafanyika msaada kwa timu kuwa bora zaidi, lazima ulipie! WAINGEREZA huwa wanasema "no money, no love" au "no money, no service" hata kama una kipaji, kama huna pesa unaweza kulala njaa..

​

Kwahiyo wenzenu wale bado wapo vizuri kiuchumi na kisiasa! Ile nafasi ya URAIS WA KWANZA WA TANZANIA bado inaendelea kwa vizazi vyao na wanatambulika serikalini, sema waliamua kuchepuka baada ya mwaka 1975 na sasa hivi wanaendelea kufanya mambo yao.
 
Watoto wao ndo waliowamalizia hela hao wakuu wastaafu wa majesh. Saivi hawana chochote, wamebakza kupiga madili ya serikalin! Popote penye gepu utawakuta.. πŸ™πŸ½
 
Baada ya 1975, walioingia kuongoza serikal walikuwa hawajui hata gharama za muungano wa Tanganyika na zanzibar. Walikuwa wanaenda enda tu, kama gar bovu.. πŸ˜‚ Wakatujazia wakosovo na wakongo
 
Kuna viongoz wa kitaifa wengine hawajawahi hata kuwaona wake wa Nyerere,achilia mbali hata kupeana salamu! Jamaa alikuwa na mke zaidi ya mmoja..

Saivi kila mtu ndo anaenda hivyo! Nchi zangu tatu zimekaa pale chin zinasubiri nikawekeze, sema hela sina..

Msumbiji, Malawi na Zambia ni very good countries. Kwa wale undergrounds kama mie, huko panafaa kuzaa na kulea watoto wengi..

Ila wale wenye hela za kulenga kwa manatii, inabidi wasubiri zamu yao itafika hata kama bado iko nyuma.. πŸ˜‚
 
Unajua BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] linaweza kutoa DEPUTY COMMISSIONER OF POLICE [DCP] au DEPUTY COMMISSIONER OF PRISONS [DCP] kwa upande wa JESHI LA POLISI na JESHI LA MAGEREZA, kama endapo mwanafunzi atafanikiwa kuongoza kitaifa kwa mara tano mfululizo kuanzia DARASA LA NNE [FTNA], DARASA LA SABA [PSLE], KIDATO CHA PILI [FTNA], KIDATO CHA NNE [CSEE] na KIDATO CHA SITA [ACSEE].


​
Sema kwa mwaka 2010, BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] lilifanikiwa kutoa mwanafunzi ambaye ni SENIOR ASSISTANT COMMISSIONER OF POLICE [SACP] na SENIOR ASSISTANT COMMISSIONER OF PRISONS baada ya kufanikiwa kuwa mwanafunzi bora kwa mara nne mfululizo.


​
VIONGOZI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA huwa wanapatikana kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA], sema JESHI LA MAGEREZA huwa hakuna ushindani kama ilivyo kwa upande wa majeshi mengine kwa sababu JESHI LA MAGEREZA, mwenye ufaulu mzuri au ufaulu mkubwa kuliko askari wengine ndiyo huwa anafanyika kuwa kiongozi wa kijeshi.


​
VIONGOZI WA JESHI LA MAGEREZA ni lazima kuwa miongoni mwa WANAFUNZI TANO [5] BORA kwa upande wa masomo ya uraia [MAARIFA YA JAMII kwa upande wa DARASA LA SABA au CIVICS kwa upande wa KIDATO CHA PILI na KIDATO CHA NNE au DEVELOPMENT STUDIES [DS] kwa upande wa KIDATO CHA SITA].


​
Sasa kwa mwaka 2010, kupitia MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA SITA kulipatikana mwanafunzi ambaye alifanikiwa kuongoza kitaifa kwa mara nne mfululizo na alifanikiwa kuongoza masomo yote ya uraia kuanzia DARASA LA SABA [2003] hadi KIDATO CHA SITA [2010].


​
Huyo ndiyo anatazamiwa kuja kuwa kiongozi wa kijeshi [CGP] hata kabla ya kufikisha miaka arobaini na tano [45], sababu hakuna wa kufanana naye.


​
Pia alifanikiwa kushika nafasi ya tatu kitaifa kwa upande wa MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA NNE [2000] na kufanyika kuwa na sifa ya kuwa kiongozi wa kijeshi [CDF] kwa upande wa JESHI LA WANANCHI [JWTZ].

​

Kwahiyo miongoni mwa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA yanayopatikana TANZANIA, JESHI LA MAGEREZA linakuwa halina ushindani kama majeshi mengine kutokana na kuzingatia vigezo vya kitaaluma zaidi - askari mwenye ufaulu mzuri wa darasani katika masomo ya uraia ndiyo kiongozi wa kijeshi kwa upande wa MAGEREZA.


​
Ikitokea mhusika yoyote hayupo KUMI [10] BORA inafaa kufanya RESITTING EXAMS kama PRIVATE CANDIDATE [PC] na akifanikiwa kuingia KUMI [10] BORA au hata TANO [5] BORA anafanyika kuwa na sifa ya kuwa kiongozi wa kijeshi.
 
Magereza mwenye kisu kikali ndo mla nyama, huko kwingine unaweza kuambiwa utoe ndugu yako mmoja ndo uwe kiongozi wa kijesh.. πŸ˜‚
 
Hiyo buti cjawahi ona inavaliwa jeshin! Magereza ina kampuni nyingi za viatu. Wengine walipata vyeo wakachezea, saiv wanaish kwa aibu hata hela hawana! Imebakia kila mtu wa kulaumu, Watoto kila kona hata hela ya kuwalea hamna.. πŸ™πŸ½ Ngoja tuwavue hivyo vyeo.. Hauwez kuwa mkuu wa gereza na jeneral mstaafu halafu unaendesha genge la kitapel.. πŸ˜‚
 
Sasa hivi viongozi wa kijeshi wanajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA wakiwa tayari na zawadi zao kutoka WIZARA YA ELIMU [MEM].


​
Kwahiyo zile tabia zenye ukakasi, vishawishi na tamaa ndogondogo hawatakuwa nazo ukilinganisha na wale viongozi wa kijeshi wa miaka iliyopita.
 
Mzee Makamba apo angenunua Fuso 10! Kila cku anapiga lumbesa Korogwe to Dar, msimu wa matunda ukikaribia.. πŸ˜‚

Wengne walichezea hela! Saivi gharama ya jezi pair moja pamoja na tracksuit yake inafika 3 million kwa ulaya. Kibongo bongo unanunua bodaboda moja..

Sasa wale wastaafu wa majesh walikuwa wanapeleka watoto wao kwenda kucheza mpira ulaya kwa kufata mkumbo. Saivi hawana hela, ziliwaishia.. πŸ™πŸ½
 
Ukiwa KENYA, kuna timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU inaitwa NAIROBI CITY STARS. Pale kuna WATANZANIA wengi sana pale..


​
Wengine waliamua kupeleka watoto wao ulaya na walifanikiwa kucheza mpira wa miguu kwa mafanikio makubwa.


​
Walijaribu kumudu gharama kwa kipindi kile, ijapokuwa wanamichezo wengine kutoka ULAYA, AMERIKA na ASIA walikuwa chini ya usimamizi wa serikali zao na huwa wanatokea katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.


​
Malengo yalitimia kucheza mpira wa miguu barani ulaya, lakini gharama ilikuwa ni kubwa sana kwa wanamichezo wenye asili ya kiafrika.


​
Hiyo gharama wanayoweza kumudu vizuri bila ya kuwa na vikwazo, huwa ni familia za watawala lakini wengine inabidi tutafute mbadala katika mataifa ya kiafrika.


​
 
Ukiwa ulaya had mipira ya timu lazima wachangie wachezaji. Halaf majina yao wanayotumia uwanjani sio majina ya kuzaliwa..

Saiv jamaa ukiwa Nairobi City Stars ana wachezaji wawili wanacheza hapo na msimu uliopita walicheza michuano ya afrika.. πŸ™πŸ½
 
Ukiwa ulaya had mipira ya timu lazima wachangie wachezaji. Halaf majina yao wanayotumia uwanjani sio majina ya kuzaliwa..

​
Tunaambiwa huwa wanafanya hivyo na wana sababu zao za kutumia majina bandia.
Saiv jamaa ukiwa Nairobi City Stars ana wachezaji wawili wanacheza hapo na msimu uliopita walicheza michuano ya afrika.. πŸ™πŸ½
Kweli! Mataifa mengine ambayo ni mazuri kuwekeza na kuishi kwa WATANZANIA ni MSUMBIJI, MALAWI na ZAMBIA.


​
Kuna WATANZANIA wanamiliki timu za mpira wa miguu, ulaya na watakuja kuwekeza katika mchezo wa mpira wa miguu kwa upande wa mataifa ya MSUMBIJI au MALAWI au ZAMBIA.


Huko kwingine, hasa MAREKANI wenyeji wengi wa asili ya kiafrika wanahama na kurudi makwao.
 
Wale professional huwa wanakuwa kazin! Wengne wakaingia kichwa kichwa, acha waliwe hela zao na zaman kulikuwa na mashndano ya kupeleka watoto wao ulaya..
 
Wale professional huwa wanakuwa kazin! Wengne wakaingia kichwa kichwa, acha waliwe hela zao na zaman kulikuwa na mashndano ya kupeleka watoto wao ulaya..
Kuna baadhi ya WATANZANIA ambao walifanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu miaka ya tisini [1990's], hapo ndiyo ilikuwa mwanzo wa kuanza kujijenga kiuchumi.

WATANZANIA wapo wengi na wengine wanaishi nje ya nchi, tena wengine ni wanasiasa na matajiri wakubwa!

​

Ukiwa KENYA, TANZANIA ni nyumbani kwao! Ukiwa UGANDA, RWANDA na BURUNDI, TANZANIA ni nyumbani kwao! Ukiwa MSUMBIJI, MALAWI na ZAMBIA, TANZANIA ni nyumbani kwao! Ukiwa AFRIKA YA KUSINI, TANZANIA ni nyumbani kwao! Ukiwa GHANA na TOGO, TANZANIA ni nyumbani kwao!

​

Tunaambiwa baada ya mwaka 1975, hao WATANZANIA waishio nje ya nchi [DIASPORA] walipata nguvu ya kushiriki na kufanya maamuzi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na ndani ya SERIKALI YA TANZANIA.

​

Huwa wanachagua RAIS pamoja na VIONGOZI WA KIJESHI! Bila ya wao kupitisha, hakuna kitakachofanikiwa ndani ya mipaka ya TANZANIA na ZAMBIA ndiyo taifa lenye ushawishi na nguvu kubwa ndani ya SERIKALI YA TANZANIA. Ndiyo maana wenzenu huwa wanapitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA]..

​

Kwahiyo ushindani upo mkubwa, ukizingatia WATANZANIA waishio nje ya nchi [DIASPORA] ni wasomi, wanamiliki uchumi mkubwa na wanasikilizwa sana kuliko WATANZANIA waishio ndani ya nchi.

​

Hivyo WATANZANIA waishio ndani ya nchi waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi waliamua kujipanga vizuri na kusomesha kwa bidii.
 
Wale professional huwa wanakuwa kazin! Wengne wakaingia kichwa kichwa, acha waliwe hela zao na zaman kulikuwa na mashndano ya kupeleka watoto wao ulaya..

​
Pia tunaambiwa KENNETH KAUNDA [the late] alikuwa ni hasimu mkubwa wa HAYATI MWALIMU ~ HAYATI MWALIMU aliposema amesaidia kupatikana kwa uhuru nchini MSUMBIJI na KENNETH KAUNDA [the late] akasema hata ZAMBIA ilisaidia kupeleka askari nchini MSUMBIJI kupitia MALAWI ili kulahisisha harakati za kudai uhuru.

​

Kwahiyo KENNETH KAUNDA [the late] alifanikiwa kuondoa SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na kuendeleza KISHAPU [BUBIKI actually] katika SERIKALI YA MSUMBIJI, ambapo tayari wenyeji wa asili wa KISHAPU [BUBIKI actually] walikuwa wameshatangulia kufika MSUMBIJI tangu utawala wa kikoloni uliokuwa ukiongozwa na MUSSA BIN BIQUE.


Pia chimbuko la jina la kijiji cha BUBIKI limetokana na jina la mfanyabiashara maarufu wa biashara ya utumwa aliyekuwa anaitwa MUSSA BIN BIQUE.
 
Kumbe mnayajua had haya! Tulifikir hamjui, kishapu yote ile iliondoka na imebakia wageni.. πŸ™πŸ½ Mara ya kwanza walihamia Msumbiji kupitia biashara ya utumwa na mara ya pili walikuja kuhamia Togo kupitia Makwaia.. 😊

Sultan Musa Bubiq alikuwa ananunua watumwa kutoka kishapu, Chif Makwaia akazani wanapelekwa Omani kumbe walikuwa wanapelekwa Banguela..

Saivi Bubiki ndo watawala wa Msumbiji na Chif Makwaia alihamia Togo had leo.. πŸ™πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…