Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] wale MAJENERALI WA KIJESHI ambao walikuwa wamepatikana baada ya matokeo ya KIDATO CHA PILI, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA walikuwa wanashindana kuwekeza na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA.Sie tulikuwa tunawachora tu! Wajichanganye na utapel wao, watauona moto..π₯ Wenzao wanapiga hatua kila cku, wao wamekuwa kama wahutu na wanataka kusaidiwa had kulea watoto na wajukuu wao wakat wao walkuwa ni wakuu wa majesh?
Wamezaliana had na wakosovo, wamefundishwa na wakosovo mambo ya kienyeji na usafiri wao mkubwa ni ule wa kupaa na Ungo.. π Tanzania to Marekani ni masaa mawili tu
Wamezaliana had na wakosovo, wamefundishwa na wakosovo mambo ya kienyeji na usafiri wao mkubwa ni ule wa kupaa na Ungo.. π Tanzania to Marekani ni masaa mawili tu
Wakina Nyamka Generation wanajaribu kuish maisha mazur lakini ile roho ya usaliti itaendelea kuwatesa.. πIdadi kubwa ya askari waliokuwa wakihama nchi kipindi kile cha miaka ya sabini [1975's] kuelekea miaka ya tisini [1990's] walikuwa ni wenyeji wa asili wa SHINYANGA VIJIJINI.
Baadae waliamua kuchukua askari wenye asili ya KAHAMA, lakini idadi kubwa ya watoto na wajukuu walikuwa na vinasaba na viongozi waandamizi wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI.
Kila kitu wanachotumia huko ng'ambo ni chini ya usimamizi wa serikali kupitia ofisi ya ubalozi.
Wameenea mataifa mbalimbali ambayo serikali ilifanikiwa kuwekeza na muda mwingine wanarudi kusalimia ndugu na jamaa waliowaacha TANZANIA.
Hao ndo wanaokula kek ya taifa, ukiwaondoa hapo hata nauli ya kurudi Tized hawanaYale yalikuwa ni makosa yaliyofanywa na viongozi waliopita, maana wao walihamia ng'ambo kwa nia ya kufanya kazi za serikali na walikuwa wanatoka serikalini.
Sasa hivi imepita miaka mingi na watoto walizaliwa na wamekuwa wakubwa na kuendelea kufanya kazi ile ile iliyokuwa inafanywa na wazazi wao, kupitia ofisi za kibalozi nje ya nchi.
Walifanikiwa kuakisi utamaduni wa kimagharibi, lakini wakirudi TANZANIA wanakuwa hawana kazi ya kufanya kutokana na maudhui ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Wao wanaendelea kusimamia na kukagua miradi ya serikali, wakiwa nje ya nchi na ndiyo kazi iliyowapeleka huko na kufanikiwa kuwa DIASPORA.
Kila kitu wanachotumia kinakuwa kipo chini ya serikali kupitia ofisi ya kibalozi ya TANZANIA katika taifa husika.
Na wakirud Tized huwa wanaishia kwao tu, hata timu ya taifa hawataki kushiriki.. ππ½Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] wale MAJENERALI WA KIJESHI ambao walikuwa wamepatikana baada ya matokeo ya KIDATO CHA PILI, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA walikuwa wanashindana kuwekeza na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA.
Lakini wale ambao walikuwa ni wakuu wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI walikuwa wanashindana kupeleka watoto wao ulaya! Wengi wao walikuwa ni MAJENERALI WA KIJESHI ambao walikuwa wamepatikana baada ya matokeo ya SHULE YA MSINGI.
Sasa hivi wale MAJENERALI WA KIJESHI ambao walikuwa wamepatikana baada ya matokeo ya KIDATO CHA PILI, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA wapo mbali sana katika masuala yanayohusu UCHUMI na hawana habari ya kwenda kuishi ng'ambo.
Nindo ina wanawake wazuri, shda ni uaminifu sifur hata kwenye mapenzi! Usaliti ni nje nje, wataenda kuzalishwa na wanaume wa Kishapu..Hao ndiyo huwa wanakula KEKI YA TAIFA wakiwa nje ya nchi! Ukiwa ndani ya nchi hauwezi kula KEKI YA TAIFA, maana macho ni mengi na idadi kubwa ya askari waliokuwa wakihama nchi kipindi kile cha miaka ya sabini [1975's] hadi tisini [1990's] walikuwa ni askari wenye asili ya SHINYANGA VIJIJINI.
Hawa ni vizazi vya wale askari waliokuwa wakihama nchi kipindi kile cha miaka kama ishirini iliyopita na wanaendelea kufanya kazi katika miradi iliyochini ya ofisi za kibalozi nje ya nchi.
Hawa ndiyo vizazi vya wale askari waliokuwa wanataka mabadiliko na mtindo wa maisha ya kimagharibi, ukiachana na sera za ujamaa!
Hata wale waliokuwa viongozi wastaafu wa MAJESHI YA MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI ndiyo walipeleka watoto wao huko, sasa hivi hata wajukuu na vitukuu vilishapatikana kupitia shughuli za kusimamia na kukagua miradi ya serikali kupitia ofisi za kibalozi zinazopatikana nje ya nchi.
Hawa ndiyo wapo na wanaishi kama WAHUTU, yaani wameenda mbali zaidi ya mtindo wa kimagharibi ile WESTERN CULTURE.
Hao ndiyo waliowagawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI, nusu kwa nusu na HAYATI MWALIMU!Wakina Nyamka Generation wanajaribu kuish maisha mazur lakini ile roho ya usaliti itaendelea kuwatesa.. π
Hao ndo wanaokula kek ya taifa, ukiwaondoa hapo hata nauli ya kurudi Tized hawana
Na wakirud Tized huwa wanaishia kwao tu, hata timu ya taifa hawataki kushiriki.. ππ½
Nindo ina wanawake wazuri, shda ni uaminifu sifur hata kwenye mapenzi! Usaliti ni nje nje, wataenda kuzalishwa na wanaume wa Kishapu..
Wale waliokuwa viongozi wastaafu wa MAJESHI YA MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI hawakuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu serikali kutokana na elimu yao kuwa ni ndogo.Saivi hata hela hawana na watanzania wamekua weng, fusra ni ndogo. Wakitoka Kishapu wataenda Kisumu kwa Odinga.. π
Nindo ina wanawake wazuri, shda ni uaminifu sifur hata kwenye mapenzi! Usaliti ni nje nje, wataenda kuzalishwa na wanaume wa Kishapu..
Nindo ina wanawake wazuri, shda ni uaminifu sifur hata kwenye mapenzi! Usaliti ni nje nje, wataenda kuzalishwa na wanaume wa Kishapu..
Saivi hata hela hawana na watanzania wamekua weng, fusra ni ndogo. Wakitoka Kishapu wataenda Kisumu kwa Odinga.. π
Idi Amini alikuwa ni mtanganyika wa Bubiki, wakna Thom Mboya ilibaki kidogo wahamie Msumbiji wakasema huko ni mbali na wakaamua kwenda Kenya. Umaut ulivyomkuta ndo wakaelewa, Lakin familia yake ipo had leo na wengne walishaenda MsumbijiHao ndiyo waliowagawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI, nusu kwa nusu na HAYATI MWALIMU!
Sema HAYATI MWALIMU anamiliki uchumi wake, hivyo wale watu waliokuwa upande wake hawapati shida na ilibidi aungane na wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually].
Ukizingatia KISHAPU [BUBIKI actually] ndiyo wanaongoza TAIFA LA MSUMBIJI na walishawahi kutoa rais katika mataifa ya BURUNDI na UGANDA.
Hata aliyewahi kuwa WAZIRI WA MAMBO YA NJE nchini KENYA aliyekuwa anaitwa THOMAS JOSEPH ADHIAMBO MBOYA [TOM MBOYA] alikuwa ni MTANGANYIKA kutoka katika kijiji cha BUBIKI.
Hivyo HAYATI MWALIMU hakuwa na shida kwa upande wake, shida ilikuwa ule upande wa pili maana wao walikuwa wanategemea serikali katika kila kitu na ndiyo waliokuwa na nguvu ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na ndani ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa kipindi hicho. Lakini ile nguvu inaendelea kupungua siku hadi siku.
Wana maisha ya ajabu sanaa! Saivi Tanzania ina watu wengi, wasidhani wapo pekee yaoYaani unapozungumzia mambo ya nje kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, unazungumzia wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ndiyo wanaosimamia na kukagua miradi ya serikali kupitia ofisi za kibalozi nje ya nchi.
Kwahiyo wao ndiyo huwa wanaishi hivyo, lakini hawamiliki uchumi wowote kwa sababu wale waliokuwa viongozi wastaafu wa MAJESHI YA MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI walikuwa hawana elimu ya kutosha ukizingatia na wao walikuwa ni WANAFUNZI BORA [TO's] wa SHULE ZA MSINGI. Tunaambiwa hawakuwa wamesoma zaidi na hawakutaka kujiendeleza kielemu.
Wana maisha flan ambayo ni royal, lakin hawana hela ndo maana tumewaeleza wakazalishwe na wanaume wa Kishapu ili hzo Roho ziwatoke na Kishapu wanahela halaf wametulia, very trustworthy and humble. Lakin wale wanaume wa Nindo hawana hela, kutwa kujikwezaHawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wana roho ya utawala, wasipopata nafasi ya kutawala basi hutawaona kwenye shughuli yoyote ya ujenzi wa taifa.
Hata HAYATI MWALIMU alivyong'atuka madarakani mwaka 1985, nafsi yake haikuweza kutulia na sasa hivi ni watawala katika taifa la SENEGAL.
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ndiyo huwa wapo hivyo, sema hawa wengine waliokuwa wameegemea upande wa wakuu wastaafu wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI hawakuwa na fedha yoyote zaidi ya utegemezi wa serikali na kadri miaka inavyozidi kwenda wanaondolewa serikalini.
Wao walikuwa wanaambiwa vitu kinyume nyume, majesh ndo yanayosimamia wizara na serikal kwa ujumla. Sio wizara kusimamia majesh, ni majesh kusimamia wizara..Huwa ni wazuri sana! Pia idadi kubwa huwa ni warefu na walijitahidi kusambaa tangu miaka ya hamsini [1950's].
Ile kasumba ya kutumia vitu na fusra ya serikali wameendelea kuwa nayo hadi leo! Wamejikuta ni watu wa kupenda kupata feva kutoka serikalini, yaani wamekuwa kama WAHUTU.
Wale waliokuwa viongozi wastaafu wa MAJESHI YA MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI hawakuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu serikali kutokana na elimu yao kuwa ni ndogo.
Miaka ya hivi karibuni, kuna kiongozi wa kijeshi ambaye alifanikiwa kuwa JENERALI kutokana na ufaulu wa matokeo ya shule ya sekondari alitaka kununua na kufufua kiwanda cha kutengeneza matairi ya GENERAL TIRES.
Wengi walishangaa na aliwaambia vyanzo vya fedha ni mkopo kutoka benki na angepata kutokana na kuweka bondi baadhi ya majengo yake yanayopatikana MITAA YA KARIAKOO. Kwahiyo wale viongozi wastaafu wa MAJESHI YA MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI ilikuwa ni uzembe wao wenyewe.
Shinyanga vijijini ndo walitaka kuleta mapigano, ili vile vitu vya serikal walivyokuwa wanavisimamia huko nje ya inchi vibaki kuwa vyao..Hawa ndiyo waliokuwa wameshikilia JESHI LA MAGEREZA kwa kipindi kirefu na wamefanikiwa kutoa viongozi wa kijeshi mara nyingi sana.
Ndiyo maana sasa hivi watu wengi wanasisitiza elimu kwa kusoma kwa bidii, hawa SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ndiyo wamefanikiwa kuongoza JESHI LA MAGEREZA kwa kipindi kirefu na huwa wanapitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].
Hawana chochote, sema walifanikiwa kusambaa sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi kwa kutumia fursa zilizokuwa zinapatikana kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Hata bidhaa wanazotumia na kusimamia ni bidhaa zinazomilikiwa na serikali kupitia ofisi za kibalozi nje ya nchi.
Kwahiyo kwa kipindi kirefu na upinzani wa HAYATI MWALIMU ulianzia kule kule kwao, kwa baadhi ya watu aliowaamini na kuwapa vyeo vya kijeshi kupinga sera za ujamaa na kuegemea zaidi kwenye utamaduni wa kimagharibi.
Zamani ilikuwa ndo wenye shule ya Ilboru pamoja na Msalato kwa upande wa Wasichana..Huo utamaduni wa kimagharibi wanafanya vitu vyote wakiwa nje ya nchi na huwa wanarudi TANZANIA, bila ya kuchukuliwa hatua yoyote kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Kwa kipindi kirefu hawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI ndiyo waliokuwa wameshikilia SHULE ZA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS].
Ilikuwa wakipata wastani wa thelathini na tano [35] kwa upande wa darasa la saba walikuwa wanajiunga na SHULE ZA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS].
Lakini wanafunzi wengine walikuwa hawapati nafasi ya kujiunga na KIDATO CHA KWANZA, hivyo ilikuwa inawalazimu kusoma kwa bidii na kupata maksi za juu ndiyo walikuwa wanapata nafasi za kujiunga na SHULE ZA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS].
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ndiyo waliokuwa wanapata fursa ya kujiunga na CHUO KIKUU CHA MLIMANI hata kama ikitokea mhutimu wa KIDATO CHA SITA alipata DIVISION FOUR katika ufaulu wake.
Hali hiyo iliendelea kwa kipindi kirefu hadi pale serikali ilipopata wasaa wa kujenga na kuanzisha VYUO VIKUU vingine. Pia iliwafanya SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] kuwa na diaspora na wasomi wengi kuliko jamii nyingine.
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ndiyo waliokuwa wanamichezo hodari wa timu za YANGA SC na SIMBA SC tangu miaka mingi iliyopita.
Hao wote wanaonekana katika kushiriki michezo kwa upande wa timu za SIMBA SC na YANGA SC ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI, kasoro hao wanamichezo wenye asili ya watu weupe.
Ndiyo maana wenzenu walivyojua hayo, wakaanza kutafuta namna ya kumiliki timu zao za mpira wa miguu, iwe ni ndani ya nchi au hata nje ya nchi.
Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo na wale wastaafu wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI walioendesha uasi dhidi ya HAYATI MWALIMU na HAYATI SHEIKH KARUME [1975's] bado wanaendelea kukumbatiwa hadi leo. Hao ndiyo wanaoendelea kupata nafasi za upendeleo, ikiwa ni pamoja na watu waliokuwa nyuma yao.
Lakini hawana hata hela kufungua kiwanda cha kutengeneza maji ya kopo, WAINGEREZA wanaita BOTTLING WATER na WANASIASA wengi waliwakuta na wamewaacha KIUCHUMI.
Ngoja sie tukaokote makopo ya maji, wenye bottling water tuwaachie wahaya na misifa yao.. πHuo utamaduni wa kimagharibi wanafanya vitu vyote wakiwa nje ya nchi na huwa wanarudi TANZANIA, bila ya kuchukuliwa hatua yoyote kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.