Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Watu wa Shinyanga Vijijini saiv wapo 2.5milioni had 2.7milioni, kule Kibosho walianza kuhamia tangu kpindi cha harakati za kudai na kutafuta uhuru..

​
Wenzenu baada ya mwaka 1975, wenyeji wote wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walifanyika kuwa ni TC [ndiyo maana wenzenu huwa wanaita ni TISINGA].


​
Wale wakuu wastaafu wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI walivyomsaliti HAYATI MWALIMU ndiyo wakapitisha maamuzi hayo ya kuwafanya wenyeji wote wenye asili ya WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] kuwa ni TC baada ya kuwa wamefikisha miaka ya kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA [>18yrs].


​
Kwahiyo wenzenu waliendelea kuwa TC kuanzia miaka ya sabini na tano [1975's] hadi leo! Labda kama walibadilisha, lakini sidhani ndiyo maana watu wengine wanasisitiza kufuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ili kuondoa masuala kama haya..

​

Wenzenu wanaendelea kukagua miradi ya serikali, huku wakiendelea kuwa ni TC [haijalishi kama wana vigezo au hawana]! Kigezo namba moja cha kuwa TC baada ya mwaka 1975 ilikuwa ni lazima mhusika awe ni mwenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].

​
Halaf Chifu Mareale ni mtoto wa Chifu Makwaia, nayeye alihamia Marangu kutoka Kishapu akiwa na wasaidizi 50 wa chifu! Alivyofika huko, ni mwendo wa kuzaa watoto na wanawake wa kichagaa..
UCHIFU WA BUSIA walikuwa wanazaa watoto wengi halafu walikuwa wanawasambaza sehemu mbalimbali, kwa sababu walikuwa na hela tangu siku nyingi na ndiyo wamiliki halali wa mgodi wa mwadui.


​
Sema UCHIFU WA BUSIA kama sehemu itakuwa hakuna nafasi ya kukaa mtoto wake, basi alikuwa hana muda wa kutafuta na kuweka mtu mwingine.

​

Ndiyo alivyofanya hivyo kwa upande wa TAIFA LA KONGO, baada ya JOSEPH KASAVUBU [the late] kuhamia nchini BENINI na walifanikiwa kutawala TAIFA LA KONGO kwa zaidi ya miaka ishirini [>20yrs]. Lakini baadae walihamia GAMBIA na wanaendelea kutawala hadi leo..

​
Kishapu walikuwa na hela tangu zaman, lakin Shinyanga vijijini hawakuwa na hela, wao walikuwa wanategemea mfumo wa kikoloni uwabebe na ukawabeba had kipindi cha Tanganyika kupata uhuru wake kutoka kwa Uingereza..

​
Wale UCHIFU WA BUSIA walikuwa na mahusiano mazuri na UINGEREZA tangu kipindi cha UKOLONI na ndiyo waliopewa TAIFA LA TOGO kutawala, lakini UINGEREZA ndiyo wenye TAIFA LA TOGO.
Hata wale wanawake wawili waliochanganya udongo na Nyerere Kipndi cha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar walikuwa ni wasukuma wa Shinyanga Vijijini waliohamia Kibosho..
Tuliambiwa wale wanawake wawili na wao vizazi vyao vitatambulika serikalini hadi vizazi vya tano [5].
Watu wa Kishapu ni waaminifu sanaa, baadae Chifu Makwaia aliitwa pale Oysterbay nyumba ya tatu kutoka darajan na Gavana Turnbull na kupewa maelezo ya kuhamia Togo. Saiv ndo watawala wa Togo na Gabon..
Sasa hivi wanamiliki UCHUMI MKUBWA sana, baadae KISHAPU [BUBIKI actually] walifanikiwa kutawala TAIFA LA KONGO kupitia JOSEPH KABILA na wao walifanikiwa kumiliki mgodi mkubwa wa madini ambapo kila mwenyeji wa asili wa KISHAPU [BUBIKI actually] anaruhusiwa kumiliki hisa zake katika mgodi huo wa madini.

​
Watu wa Shinyanga Vijijini wakabak na Tanzania, lakin wengine walihamia katika mataifa ya Rwanda na Burundi had pale mwaka 1975 walivyomsalit Nyerere na Tanzania ikawa Jamhuri ya Watanzania wote.. πŸ™πŸ½
Wakina HAYATI MWALIMU walifanikiwa kuwa watawala wa TAIFA LA SENEGAL na TANZANIA ikawa JAMHURI YA WATANZANIA wote bila ya kujali dini wala kabila la mtu.
 
Saivi wanaish kwa aibu huko ulaya! Zamani hata wanamichezo walikuwa na dharau sanaa, ilifikia sehem wakasema Desailly ana hela kuliko Waziri Ally Hassan Mwinyi na Patrick Kluivert ana hela nyingi kuliko Waziri Kikwete.. πŸ˜‚
Wanaume wao huwa ni wajinga, sema wanawake wao huwa wanapata nafasi za upendeleo kutokana na uzuri wao wa asili! Pia wakizidiwa na mambo yakiwa magumu huwa wanarudi kwa wanaume wa KISHAPU [BUBIKI actually]..


​
Hadi leo wanatangaza bidhaa zinazomilikiwa na SERIKALI YA TANZANIA, tena huwa ni lazima mhusika kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ndiyo aweze kupata tenda ya kufanya matangazo ya kibiashara.


​
Hizi bidhaa zote wanazotangaza huwa ni bidhaa zinazomilikiwa na serikali kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.


​
Lakini yule WAZIRI waliokuwa wanamdharau, sasa hivi wanamiliki vilabu vingi vya mpira wa miguu katika mataifa mbalimbali ya kiafrika, ikiwemo AS FAR RABAT ya MOROKO inayoenda kucheza fainali ya pili na MAMELOD SUNDOWNS.

​

Pia mtoto wake ndiyo anayetazamiwa kuja kuongoza JESHI LA MAGEREZA kwa weledi mkubwa kuliko wale wengine wengi kutokana na kuwa na wasifu mzuri.
 
Sijawai kumpigia salut hata cku moja
 
Huwa wanatafuta malisho, ni wazuri sana tena sana. Hata Kadinali Pengo alikuwa ni mtu wa Nindo..

Wao wanasema sehem ambayo akihama au akitoka mtu wa shinyanga vijijini, anayeingia huwa ni mtu wa Kishapu..

Kwahiyo wanawake wao kwenye kutafuta malisho huwa wanaenda Kishapu, wakiona wanaume wao hawaelewek! Huko ndo huwa wanafundwisha kuwa na tabia njema, hata mioyo yao huwa inatulia Wakikutana na wanaume wa Kishapu.. πŸ™πŸ½
 
Watu wa nindo ni wajinga sanaaa, hii inchi ingekuwa ni yao had leo! Sema kwa ujinga wao waliamua kumsalit Nyerere..

Kongo inatawaliwa na Kishapu had leo, Joseph Kabila alitumia Msumbij kutawala Kongo na wanamiliki migodi ya madini..

Watu wa Kishapu wametulia na wanaenda vizuri, shida ipo kwa Makwaia hata anayetawala Gabon ni mtoto ake na hana mda na watu wengine..

Wakina Mobutu walikuwa wanaenda Marangu kwa Chifu Marealle, kipindi yupo madarakani na walikuwa ndugu wa baba mmoja.. πŸ™πŸ½
 
Hivyo vitu vyote huwa ni vitu vya serikal na hao mnaowaona mitandaoni ni wanawake tu, bado kuna jinsia ya kiume ambao wanafanya kaz katika hivyo viwanda..

Huko ndo wamejaa watu wa shinyanga vijijini na ni wazuri sanaa ukikuta wana matunzo! Ile roho ya kitawala wanayo na watu wengine wanaonekana ni choo kwao.. Hao shinyanga vijijini ndo wapo kama wahutu, wakiwa na hela ni wabinafsi sanaa
Pale Moroko lazima afe Mamelod Sundowns, wale ni wazungu. Mawazir walikuwa wajanja na walipiga hela sanaaaaa na siasa ya Tanzania walikuwa wanajua..

Pale As Far rabat wachezaji wote weusi ni watu wa Kishapu kama ilivyo kwa TP Mazembe ya Kongo. Wakina Samatta walionjeshwa tu, lakini pale TP Mazembe ni watu wa Kishapu
 
Haya na sie wanymwezi tunamiliki nini
 
Gereza ndo kila kitu kwa Rwanda! Hata majeneral wao wa kijesh huwa wanarud na kukaa magerezan, wakina Fred Rwigema wapo na watoto wao.. πŸ™πŸ½
Huyo FRED RWIGEMA ni mwenyeji wa asili wa MASWA, kule asingeliweza na wamejaa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].
 
Huwa wanatafuta malisho, ni wazuri sana tena sana. Hata Kadinali Pengo alikuwa ni mtu wa Nindo..

​
Huwa ni wazuri sana! Halafu kipindi fulani walikuwa wameshikilia kila idara, kuanzia serikali hadi viongozi wa dini wote walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].


​
Sasa hivi wameenea sehemu mbalimbali kwa hapa TANZANIA na nje ya nchi, kwa kutumia fursa na feva ya serikali.
Wao wanasema sehem ambayo akihama au akitoka mtu wa shinyanga vijijini, anayeingia huwa ni mtu wa Kishapu..
SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] hawakuta kuwa na mbunge mwingine ambaye siyo mwenyeji wa hapo! Waliona ni bora wampe MJERUMANI kuliko kuwa na mbunge ambaye siyo mwenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].
Kwahiyo wanawake wao kwenye kutafuta malisho huwa wanaenda Kishapu, wakiona wanaume wao hawaelewek! Huko ndo huwa wanafundwisha kuwa na tabia njema, hata mioyo yao huwa inatulia Wakikutana na wanaume wa Kishapu.. πŸ™πŸ½

​
Sasa hivi wameenea hadi visiwa vya PRINCIPE & SAO TOME, yote hiyo ni kutokana na kusimamia na kukagua miradi ya serikali kupitia ofisi za kibalozi.


​
Lakini tunaambiwa wakiendelea hivyo watakuja kuanguka, kwa sababu wanategemea serikali ili kuweza kufanya na kukamilisha masuala yao ~ hizo fursa zikija kugeuka wote wanadondoka chini.


​
Baada ya kumsaliti HAYATI MWALIMU, wao waliegemea kwa RAILA ODINGA'S DYNASTY! Lakini hiyo DYNASTY haiwezi kuhudumia mahitaji ya watu zaidi ya milioni mbili [>2,000,000].


Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo na hata baada ya kuongezeka MISTER CLEAN na kufungua baadhi ya kampuni za uchimbaji madini kama DOMAIN na KABINDA, bado haitoshi kukamilisha adhma yao.
 
Watu wa nindo ni wajinga sanaaa, hii inchi ingekuwa ni yao had leo! Sema kwa ujinga wao waliamua kumsalit Nyerere..

​
Halafu wao wakapendelea kwenda ng'ambo ili kusimamia na kukagua miradi ya serikali kupitia ofisi za kibalozi! Yaani walikuwa ni wajinga mara elfu moja [wajinga Γ— 1000].


​
Vitu vinavyomilikiwa na serikali vitaendelea kuwa vitu vya WATANZANIA wote, siyo jamii moja ndiyo maana wale waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi waliamua kutafuta vitu vyao!


​
TANZANIA inamiliki viwanda vingi vya kutengeneza bia na wamejitahidi kuwekeza AMERIKA YA KUSINI na VISIWA VYA KARIBIANI.

​
Kongo inatawaliwa na Kishapu had leo, Joseph Kabila alitumia Msumbij kutawala Kongo na wanamiliki migodi ya madini..
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU wametulia na watafika mbali, kwa sababu waliamua kujijenga kiuchumi na kuacha utegemezi wa serikali.
Watu wa Kishapu wametulia na wanaenda vizuri, shida ipo kwa Makwaia hata anayetawala Gabon ni mtoto ake na hana mda na watu wengine..
​

UCHIFU WA BUSIA hawana muda mrefu wataenda kuondolewa TOGO, ndiyo maana waliamua kuhamia GABONI na ni matajiri sana.

​
Wakina Mobutu walikuwa wanaenda Marangu kwa Chifu Marealle, kipindi yupo madarakani na walikuwa ndugu wa baba mmoja.. πŸ™πŸ½
Tulikuwa tunaambiwa hivyo, hata CHIFU MAZENGO hakuwa mgogo kwa asili bali alikuwa ni mwenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA aliyehamia DODOMA na kufanikiwa kuakisi tamaduni za kigogo.
 
Hivyo vitu vyote huwa ni vitu vya serikal na hao mnaowaona mitandaoni ni wanawake tu, bado kuna jinsia ya kiume ambao wanafanya kaz katika hivyo viwanda..

​
Wamejitahidi kusambaa na kuenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi kwa kutumia fursa za kiserikali! Lakini wao binafsi hawana hela..


​
Wao wanasema kipindi kile cha miaka ya sabini na tano [1975's] kulikuwa kuna makubaliano waliyoyafanya kati ya serikali na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] baada ya kufanikiwa kuwavua vyama vya siasa wakina HAYATI MWALIMU pamoja na SHEIKH KARUME.


​
Wao ndiyo wanaosimamia na kukagua miradi ya serikali kupitia ofisi za kibalozi nje ya nchi! Hata hicho kiwanda cha kutengeneza mafuta ya CHANTILLY kinachopatikana nchini SENEGAL ni kiwanda serikali na wafanyakazi wengi ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].


​
Pia kuna kampuni inayotengeneza vinywaji kama MONSTER, ambayo inafanya vizuri katika mataifa ya AMERIKA YA KUSINI..


​
Kampuni zipo nyingi sana, sema wale waliokuwa viongozi wastaafu wa kijeshi walikuwa wanapeleka watoto wao kwenda kufanya kazi na kuishi huko, hasa VISIWA VYA KARIBIANI.

​
Huko ndo wamejaa watu wa shinyanga vijijini na ni wazuri sanaa ukikuta wana matunzo! Ile roho ya kitawala wanayo na watu wengine wanaonekana ni choo kwao.. Hao shinyanga vijijini ndo wapo kama wahutu, wakiwa na hela ni wabinafsi sanaa

​
Hata huyu ni MKENYA kutoka katika ile familia pendwa, sema wao waliamua kutafuta vitu vyao na wanahesabika kama ni DIASPORA WA KITANZANIA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA na wana haki na vitu vinavyomilikiwa na serikali ya TANZANIA.


​
Pia watu wengine waliamua kuishi maisha kama hayo na kuachana na utegemezi wa serikali.
Pale Moroko lazima afe Mamelod Sundowns, wale ni wazungu. Mawazir walikuwa wajanja na walipiga hela sanaaaaa na siasa ya Tanzania walikuwa wanajua..
Sasa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] waliomba hadi usimamizi wa kampuni za usafirishaji za abiria na mizigo zinazomilikiwa na serikali ili wawe wanasimamia wao. Pendekezo lao likagonga mwamba..


​
Lakini kuna watanzania wamefanikiwa kumiliki kampuni zao za usafirishaji za abiria na mizigo, tena zinafanya vizuri.
Pale As Far rabat wachezaji wote weusi ni watu wa Kishapu kama ilivyo kwa TP Mazembe ya Kongo. Wakina Samatta walionjeshwa tu, lakini pale TP Mazembe ni watu wa Kishapu

​
Wanamichezo wote wenye asili ya weusi pale AS FAR RABAT ni WATANZANIA wenye asili ya WILAYA YA KISHAPU! Ila sasa hivi ukiwa pale TP MAZEMBE ni mchanganyiko wa watanzania wote!

​

Ukiwa KAIZER CHIEFS ni kama ilivyo kwa upande wa SIMBA SC na YANGA SC, ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na ukiwa UD SONGO ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually].
 
Haya na sie wanymwezi tunamiliki nini
WANYAMWEZI wanamiliki vitu vyao, sema siyo vingi kama ilivyo kwa upande wa MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.


​
Unajua MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA huwa wanaita ni COHESIVE APPARATUSES! JESHI LA ULINZI [JWTZ] huwa ni BASIC COHESIVE APPARATUS [msingi wa majeshi yote] na majeshi yaliyobaki [MAGEREZA, POLISI, ZIMAMOTO, UHAMIAJI na UHIFADHI] huwa ni APPLIED COHESIVE APPARATUS au wengine wanaita ni PARAMILITARIES.


​
Yaani kwa mara ya kwanza askari yoyote anatakiwa kupitia mafunzo ya awali ya JESHI LA WANANCHI [JWTZ], kabla ya kusambaa na kuajiriwa katika majeshi mengine. Hii inasaidia kuleta muunganiko, uzalendo, nidhamu na mawasiliano mazuri katika majeshi yote.


​
Pia ASKARI POLISI huwa ni wawili tu, ambao ni WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's]. Wengine wote ni lazima kupitia JESHI LA ULINZI [JWTZ] kabla ya kuajiriwa na JESHI LA POLISI.

JESHI LA POLISI pamoja na ASKARI POLISI huwa wana hadhi yao! Lakini baada ya mwaka sabini na tano [1975's] walichakachua na kuruhusu kila jeshi kusajili na kuajiri askari wake kinyume na taratibu za SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].

​

Matokeo yake kunakuwa hakuna muunganiko, umoja, hata upatikanaji wa taarifa za ndani unakuwa ni hafifu baina ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.


​
Kwahiyo kabla ya mwaka 1975, serikali ilikuwa inaenda vizuri sana lakini baada ya mwaka 1975 kulitokea mabadiliko ambayo yalisababisha nchi kuacha baadhi ya vipengele, ikiwa ni pamoja na kutofuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ile kikamilifu. Hata ule mkazo kuhusu masuala ya kijamii ulianza kupungua taratibu kuanzia mwaka 1975 hadi leo.
 
Domain inapatikana Kahama na imejaza Shinyanga vijijini tu, watu wengne ni casual! Mkapa alipiga sna hela kpindi chake ili awabebe watu wao, tofauti na hapo hal ingekua ngumu sanaa kwa upande wao..
 
Wao wamekaa tu visiwani, wanasubiri serikal ipitishe bajeti ili wao wapate miradi ya kusimamia huko walipo! Maisha mabaya sanaa, ila wenzao wa Kishapu wana hela na wanafanya mambo yao
 
Kama ni viwanda wanavyo.. πŸ™πŸ½
 
Saivi wanaish kwa aibu huko ulaya! Zamani hata wanamichezo walikuwa na dharau sanaa, ilifikia sehem wakasema Desailly ana hela kuliko Waziri Ally Hassan Mwinyi na Patrick Kluivert ana hela nyingi kuliko Waziri Kikwete.. πŸ˜‚

​
Ndiyo hawa! Sasa hivi wanauza maduka ya viatu na nguo wakiwa ULAYA, lakini wamecheza mpira wa miguu kwa mafanikio makubwa sana.

​

Mwenzao CISSE alikuwepo mwaka jana TANZANIA na alikuja kuangalia kama kuna uwezekano wa kusimamia kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ALLY'S. Baadae aliondoka na anapenda kwenda VISIWA VYA KARIBIANI kusimamia na kukagua miradi ya serikali kupitia ofisi za kibalozi nje ya nchi.


​
Lakini wanamichezo kama hawa huwa wanaendelea na maisha yao kama kawaida! RONALDINHO GAUCHO ni kizazi cha UCHIFU WA BUSIA na wanamiliki ukwasi mkubwa.


UCHIFU WA BUSIA ndiyo WATAWALA tangu miaka ya sitini [1960's] katika TAIFA LA TOGO, hata RONALDINHO GAUCHO ilibaki kidogo arudi kuwakilisha TAIFA LA TOGO katika michuano ya KOMBE LA DUNIA miaka iliyopita. Sasa hivi ndiyo WATAWALA katika TAIFA LA GABONI na GAMBIA.
 
Vipi kuhusu ukoo wa KAUGA wa nzega nasikia wanauhusiani na Ally's??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…