Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Wahitimu wa SHULE YA AZIMIO ndiyo wanaongoza wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na hao ndiyo wanamtandao. Mtandao wao unaanzia kwa wahitimu wa AZIMIO, watoto wao hadi wajukuu wao na kuendelea hata vizazi vyao.Nindo ndo walikuwa wamejificha kwenye mfumo katolik au mfumo kristu, hata Nimrod Mkono alisoma azimio na kwenye Biashara zake amejaza watu wa Nindo tu. Wafanyakaz wa Benki M wote ni watu wa nindo.. ππ½
Tunaambiwa zamani, miaka ya nyuma hapo SHINYANGA MJINI kulikuwa kuna shule za msingi ambazo zilikuwa zimegawanyika kimatabaka ~ wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanasoma AZIMIO na wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] walikuwa wanasoma TOWN.Nindo ndo walikuwa wamejificha kwenye mfumo katolik au mfumo kristu, hata Nimrod Mkono alisoma azimio na kwenye Biashara zake amejaza watu wa Nindo tu. Wafanyakaz wa Benki M wote ni watu wa nindo.. ππ½
Town ni bonge la shule, hata 2013 ilitoa mwanafunz bora. Saiv Msumbiji ndo wanaendesha serikal ya SierraLeoneTunaambiwa zamani, miaka ya nyuma hapo SHINYANGA MJINI kulikuwa kuna shule za msingi ambazo zilikuwa zimegawanyika kimatabaka ~ wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanasoma AZIMIO na wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] walikuwa wanasoma TOWN.
Hivyo uwezo wa darasani wa wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] ulikuwa unaonekana kupitia SHULE YA TOWN na hiyo shule imetoa viongozi wengi, hadi leo MARAIS WA SIERRA LEONE ni WATANZANIA wenye asili ya WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI ACTUALLY] na wote wamepita shule ya msingi ya TOWN ~ wakina VALENTINE STRASSER na JULIUS MAADA BIO wote wamepita TOWN.
Hao ndo wanamtandao, hatar sanaa ila sisiem huwa inasema kinyago tulichokichonga wenyewe hakitutishi.. ππ½Wahitimu wa SHULE YA AZIMIO ndiyo wanaongoza wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na hao ndiyo wanamtandao. Mtandao wao unaanzia kwa wahitimu wa AZIMIO, watoto wao hadi wajukuu wao na kuendelea hata vizazi vyao.
Walikuwepo wakina MZEE RUKSA, MISTER CLEAN, MISTER ZERO na WHITEY HAIR halafu wakaja wakina MZINDAKAYA na MZEE PINDA. Ikumbukwe pia MZEE RUKSA aliwekwa madarakani na AZIMIO ALUMNI kwa makubaliano maalum na HAYATI MWALIMU hausiki kabisa na SIASA ZA TANZANIA baada ya mwaka 1985.
SHULE YA AZIMIO imetoa watu wengi, maana darasa zima walikuwa wanafaulu kwa kufanya vizuri darasani. Pia kulikuwa kuna wakina MAGDALENA aliyewahi kuwa mbunge wa CHAMA CHA CUF kupitia MKOA WA TABORA!
Pia kulikuwa kuna viongozi wa kijeshi kama MAJENERALI na KANALI wa kutosha, hata CGI ANNA ni mhutimu wa SHULE YA AZIMIO. Yaani tunaweza kusema MAJENERALI WA KIKE wale wa kwanza tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] walikuwa ni wahitimu wa kutoka SHULE YA MSINGI YA AZIMIO.
Sema ukitaka kuwapunguza hawa watu kwenye mfumo, hutakiwi kuwaambia toka, watakumaliza maana wamejichimbia chini kabisa! Unatakiwa kufuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] na sheria za nchi [DOMESTIC LAWS], hapo utafanikiwa kuwaondoa.
Maana wao walikuwa wanafanya vizuri sana katika masomo ya SHULE YA MSINGI na ukiangalia matokeo yao wakiwa SHULE YA SEKONDARI unakuta wana DIVISION THREE au DIVISION FOUR au DIVISION ZERO na wengine walikuwa wanaishia elimu ya msingi kwa hofu ya aibu kutokana na uwezo wao wa darasani kuwa ni mdogo. Hivyo kwa kufuata kigezo hicho kitawaondolea ile hadhi ya ujenerali na teuzi zao zitaonekana ni batili tangia mwanzo.
Pia tunaweza kusema wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ni GOOD GOVERNMENT CONSUMABLE [GGC], wanufaika wakubwa wa serikali kwa kutumia madhaifu ya serikali. Lakini wao wenyewe hawana hela za kuwatosha, wanaishi kama WAHUTU.
Kwahiyo wale wanaowafahamu wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] huwa hawajihusishi nao wala kujishughulisha nao, hata kutoa ushirikiano huwa hamna maana wao huwa wanaangalia masilahi yao tu.
Modern coast inamiliki had timu inayoshiriki lig kuu ya ujeruman, FrankfurtNakwambia kila siku hujui! Ukijaribu kuangalia uwekezaji wa nje, utagundua kuwa unafanyika kupitia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, hasa majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.
Hata hii kampuni ya BLUE WATERS ni kampuni ambayo inamilikiwa na serikali kupitia ofisi za kibalozi nje ya nchi. Huko visiwa vya SAINT LUCIA..
Ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya BLUE COAST inayopatikana TANZANIA na MODERN COAST inayopatikana nchini KENYA.
Hii kampuni ya MODERN COAST ni siku nyingi zimepita na wanamiliki vitu vingi maana huwa inafanya CARAVAN ROUTE kwa upande wa MATAIFA YA KENYA, UGANDA, RWANDA, BURUNDI na TANZANIA.
Wale watu walikuwa ni wajinga sanaaa, maana hauwez kutegemea serikal ikubebe had watoto na wajukuu zako. Saiv hawana hela, wamejarib kuweka watoto wao wengine kwenye siasa lakin hamna kituHawa wote wazazi wao ni alumni wa SHULE YA AZIMIO wakina MARCEL DESAILLY, SYLVAIN WILTORD na LILIAN THURAM! Hata NGELEJA ni alumni wa SHULE YA AZIMIO..
Sema wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wanaishi kwa kuiga maisha ya WAHUTU, wangelikuwa mbali kiuchumi kama wangelifanikiwa kumiliki vitu vyao.
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wanaishi kwa kutegemea serikali, hawamiliki uchumi wowote!
Aliyekuwa anawawezesha ni HAYATI MWALIMU na wao ndiyo waliongoza kumsaliti na walifanikiwa kumuondoa madarakani kwa tamaa ya vipande vya fedha.
Sasa hivi hawamiliki kitu chochote na wengine wanaongoza magenge ya kitapeli tu! Wakina CISSE wapo visiwani wanaishi kwa kujificha ficha, wanaona aibu na wanakata hadi vitunguu na kuandaa mboga katika hoteli zinazomilikiwa na serikali..π
Utadhani hawakuwa wanamichezo wa kulipwa! Ila sasa hivi, askari wanaojiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA watakuwa wanafahamu namna ya kuishi vizuri kwa kutegemea vyeo vya kijeshi na siyo uwepo wa serikali.
Pia ile jamii ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] imepitia mambo mengi sana, kiasi ambacho hata mgeni akishirikiana nao ataishia kutumika tu!
Sasa hivi wanaofanya vizuri kitaifa katika masomo ya SHULE YA MSINGI pamoja na SHULE YA SEKONDARI ni watanzania wote, bila ya kujali dini wala kabila na hao ndiyo watakaokuja kuwa viongozi wa kijeshi kwa siku za usoni.
Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walipata nafasi nyingi katika serikali, ukiachana na nafasi za ukuu wa majeshi ya ulinzi, lakini walizichezea na hawakutumia fursa vizuri. Matokeo yake watu wengine wanaingia na wanafanikiwa kujijenga kiuchumi na kisiasa.
Nafas ya juu kushika ilikuwa ni mtihan wa form two, tena alikuwa wanne.. ππ½Yaani kwa kifupi, SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] haijawahi kutoa MWANAFUNZI BORA [TO's] wala MWANAFUNZI KINARA [OP's]. Lakini kila mara wanajaribu kusaka sana taji la ushindi..
Wale watu walikuwa ni wajinga sanaaa, maana hauwez kutegemea serikal ikubebe had watoto na wajukuu zako. Saiv hawana hela, wamejarib kuweka watoto wao wengine kwenye siasa lakin hamna kitu
Walifanya makosa makubwa sana kujifananisha na watawala, hata elimu zao zilikuwa ni ndogo! HAYATI MWALIMU alikuwa na elimu kubwa..Walitumia gharama kubwa kupeleka watoto wao ulaya, saivi timu aliyocheza Etoo ya Real Mallorca imenunuliwa na Nyerere. Wana ushindan wa kijinga wale watu, halaf Nyerere kawapiga mbali.. ππ½
Tunaambiwa mkoa wa kihistoria huwa ni SHINYANGA na siyo TABORA. Pia tunaambiwa miaka ya zamani, pale SHINYANGA kulikuwa kuna shule za msingi zipatazo tano [5] kwa idadi yake na kila shule ilikuwa inachukua wanafunzi kulingana na matabaka ya maeneo wanapotoka.Town ni bonge la shule, hata 2013 ilitoa mwanafunz bora. Saiv Msumbiji ndo wanaendesha serikal ya SierraLeone
Ni hatari sana, sema hupaswi kujihusisha nao!Hao ndo wanamtandao, hatar sanaa ila sisiem huwa inasema kinyago tulichokichonga wenyewe hakitutishi.. ππ½
It does not make sense.kama Tanzania ingekuwa hivyo tusingekuwa ovyo kila idara kama uchumi,michezo nk.
Mzee hizo blabla zako haziendani na uhalisia Tanzania ni nchi masikini bado na tupo nyuma kila idara mfano michezo na uchumi.kama hayo unayoongelea ingekuwa ni kweli Tanzania ilitakiwa kuwa no 1 kiuchumi Afrika.na unasema Tanzania inaserikali zingine kitu ambacho sio kweli kwa sababu hata hii serikali wameshindwa kuiongoza vizuri.
Maana yake ni nini
Familia ya Nyerere wana hela na matajir sanaa, hao wengne kama wakina sie wanategemea serikal iwabebe kupitia kampuni za kijesh.. ππ½Wale waliokuwa upande wa HAYATI MWALIMU wanamiliki uchumi mkubwa kuliko wale waliokuwa wastaafu wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI.
Kwanza hawana muda wa kutegemea serikali, wanamiliki kampuni nyingi za kibiashara. Hao wana mtandao hawafiki hata nusu ya uchumi wa HAYATI MWALIMU.
Walifanya makosa makubwa sana kujifananisha na watawala, hata elimu zao zilikuwa ni ndogo! HAYATI MWALIMU alikuwa na elimu kubwa..
View attachment 3606480
Bado wanaendelea kufanya makosa, kwa sababu hauwezi kuendelea kutegemea fursa na feva za serikali katika kulea watoto, wajukuu pamoja na vitukuu kwani serikali ina mambo yake na raia wapo wengi wanaotegemea serikali katika masuala ya ajira.
Sasa zile familia za wastaafu wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI bado wanaendelea kutegemea fursa na feva za serikali, wameenea hadi SINGAPORE. Lakini hawana uwezo wa kusimama wenyewe. Yaani wamekuwa kama WAHUTU.
Kwahiyo askari wanaojiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa wakati huu watakuwa na kitu cha kujifunza na watafika mbali katika masuala yanayohusu jamii ya kijeshi na kiuchumi.
Saiv Town ina matio 15 ukijumuisha na huo ushindi wa mezani wa mwanafunzi bora wa darasa la nne wa mwaka 2000..Tunaambiwa mkoa wa kihistoria huwa ni SHINYANGA na siyo TABORA. Pia tunaambiwa miaka ya zamani, pale SHINYANGA kulikuwa kuna shule za msingi zipatazo tano [5] kwa idadi yake na kila shule ilikuwa inachukua wanafunzi kulingana na matabaka ya maeneo wanapotoka.
Shule ya TOWN imefanikiwa kutoa WANAFUNZI BORA [TO's] zaidi ya kumi na tatu [13], lakini shule ya AZIMIO ni kipaji maalum kutokana na kukidhi vile vigezo vya kutoa MWANAFUNZI BORA [TO's] mara tatu mfululizo.
Kwahiyo hizo shule hadi leo zinaendelea hivyo hivyo, hata DR SHEIN alisoma shule ya msingi ya TOWN na wanaendelea kufanya vizuri hadi leo.
Hao wanamtandao ni wabaya zaidi na msije mkashirikiana nao kwenye jambo lolote watawamaliza au watawaharibia kazi..Ni hatari sana, sema hupaswi kujihusisha nao!
Wee kalili hvyo hvyo, ni diversified economy.. πMaana yake ni nini
Familia ya Nyerere wana hela na matajir sanaa, hao wengne kama wakina sie wanategemea serikal iwabebe kupitia kampuni za kijesh.. ππ½
Hata ABDULHAMAN MOHAMMED BABU alisoma shule ya msingi ya TOWN, ila wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wamefanikiwa kuenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi. Lakini wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU ndiyo waliofanikiwa kuliona jua, hata kabla ya watanzania wengine.Saiv Town ina matio 15 ukijumuisha na huo ushindi wa mezani wa mwanafunzi bora wa darasa la nne wa mwaka 2000..
Huyo To waliomtangaza majuz ataanzia Kilimanjaro kama rpo wa Karanga, kalamba shavu sanaa maana atakua na cheo cha acp kwenye Gereza lenye miradi mingi. Huyo aliopo saiv anaondoka..
Hapo Town ndo walikuwa wanasoma watu wa Kishapu, hata Makwaia alisomesha watoto wake hapo pamoja na Azimio! Shule zote za mjin alipeleka watoto wake ili kupata elimu..
Kwahiyo necta itakua imetoa deputy commissioner of Police, dcp kwa mwaka 2010 baada ya mwanafunzi kufanikiwa kuongoza mara tano kitaifa.. ππ½
Kipndi Kikwete anajiunga na siasa mwaka 1988 alianza kutafuta na kujenga mtandao wake wa kisiasa, lakin alihangaika sanaa..Hata ABDULHAMAN MOHAMMED BABU alisoma shule ya msingi ya TOWN, ila wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wamefanikiwa kuenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi. Lakini wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU ndiyo waliofanikiwa kuliona jua, hata kabla ya watanzania wengine.
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU wamegawanyika katika matabaka mawili ambayo ni KISHAPU [BUBIKI actually] na KISHAPU [BUSIA actually].
KISHAPU [BUBIKI actually] ndiyo watawala wa taifa la SIERRA LEONE na KISHAPU [BUSIA actually] ndiyo watawala wa taifa la TOGO.
MALKIA WA UINGEREZA, QUEEN ELIZABETH alikuwa anawafananisha wenyeji wa asili wa KISHAPU ~ KISHAPU [BUBIKI actually] na KISHAPU [BUSIA actually] kama VYUO VIKUU VYA CAMBRIDGE na OXFORD vilivyokuwa vinaitwa BLUE GREEN LONDON "The Battle of the Blues".
Kwa ujumla wao, wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU wamefanikiwa kusambaa kupitia mataifa ya MSUMBIJI, TOGO na SIERRA LEONE ~ hata hawa wakina FRANCΓIS OMAM-BIYIK pamoja na LOIUS PAUL MFEDE walikuwa ni watanzania wenye asili ya WILAYA YA KISHAPU na ROGER MILLER alikuwa ni mtanzania mwenye asili ya WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].
Kwahiyo hadi leo, wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU ndiyo wenye shule ya msingi ya TOWN na kati ya WANAFUNZI BORA KUMI NA TANO [15] waliowahi kutoka hapo, WANAFUNZI BORA TISA [9] ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU.
Hata Joseph Kabila na yeye alisoma hapo Town pamoja na mke wake! Kishapu ndo wanaweza kuwaondoa watu wa Shinyanga vijijini kwenye system..Siyo vizuri kushea matatizo ya watu walioshindwa kuishi wao wenyewe kwa kuvumiliana, wale wana matatizo yao na hayawezi kuisha leo wala kesho.
Sasa hivi ukiwa SENEGAL, timu nyingi za michezo zinazowakilisha taifa zinajumuisha wanamichezo wengi wenye asili ya WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].