Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana


​
Wenzenu tangu walivyofanikiwa kuyafahamu haya masuala, wamejitahidi kutulia na mambo mengine wameyaachia majeshi.


​
Wanachezea humo humo hata ukizaa watoto zaidi ya mia [100]! Hakuna kujihusisha na siasa wala kuwa na mahusiano na yale makundi matano [5] ya kijamii.


​
Kwani MWANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na MWANAFUNZI KINARA [OP's] huwa wanajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA wakiwa tayari na miaka thelathini na tano [35] na wanakuwa na miaka arobaini [40] ya utumishi katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

​

Kwahiyo wenzenu wapo upande salama na huu uangalizi ulitakiwa kufanyika kwa kila mtu ambaye ni SE FAIRE VALOIR, maana kuna uwezekano mkubwa wa kuwa MWANADIPLOMASIA .
 
Mwanafunzi bora aliyeongoza mara tatu ndo huwa anaruhusiwa kula ndogo ya mawipi wa majesh yote, lakin wengine hawaruhusiwi na ikibainika huwa wanafukuzwa kaz hapo hapo..

Kitu kingine, mwanafunzi bora aliyeongoza mara tatu ndo huwa anaruhusiwa kutumia bunduki au bastola ambayo ni silence. Huwa wanapewa machine gun ambayo haitoi mlio, kitu cha pyuu pyuu inakua hamna..

Bunduki za silence, huwa wanaruhusiwa kutumia wakuu wa magereza pekee yao! Wengine wote hamna kitu. RPO ndo anaweza kuwa anafanya kazi Mbeya lakin kila ikifika weekend anauwezo wa kuwa visiwa vya Saint Martin, Jamaica au Trinidad and Tobago halafu Jumatatu akaingia kazini kama kawaida..

Kwahiyo wanafunzi bora kwa upande wa Tanzania huwa wana raha sanaa na huwa wanazaa watoto wengi na watoto wao wanakuwa chin ya uangalizi wa majesh.. πŸ™
 
Kwenye miaka ya tisini, Kishapu ndo walianza kuwa kama watu wa Shinyanga vijijn! Watu wengi walihamia Sierra Leone na kuacha watoto wao Tanzania, huko tena walienda kuendelea kuzaa watoto wengine..

Ilikuwa ni mwendo wa kujiachia na kujirusha katika mataifa ya Burkina Faso, Benini na Togo. Lakini mwisho wa siku hawakuwa na kitu walichopata zaidi ya kuambulia magonjwa..

Kipindi hicho Kishapu na wao walianza tabia za utapeli, walikuwa wakipiga tukio siku hiyo hiyo anakuwa ameshaingia Sierra Leone kama ilivyo kwa watu wa Shinyanga vijijn na Kameruni.. πŸ™
 
Shinyanga vijijn walikuwa ni wajinga kupitiliza, ila saivi watakua wameona wapi walikuwa wamekosea! Hauwezi kufanya mapinduzi baridi kwa kumtoa Nyerere na kuikabizi serikal kwa watanzania wote halaf utegemee mambo kuwa mazuri. Hiyo dhambi ya usaliti itaendelea kuwaandama had vitukuu vyao.. πŸ˜‚
 
ohoooo hapa ndo nimekuelewa,, kwahiyo watu hawatakiwi kuinjoiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Chale wa shirecu alisambaza watoto wake na kupeleka Morogoro na yule mama kalani wa mahakama alisambaza watoto wake wawili na kuwapeleka Tanga, wilaya ya Handeni..

Maisha walioishi wale watu wawili yalikuwa ni balaa na hela walikuwa nazo! Ulevi, ugomvi kila siku had majiran wakawa wanakeleka na kesi zilikuwa nyingi sanaa..

Wote walikuwa ni watu wa Shinyanga vijijn! Wakina Jeradi Kikwete ndo wakapelekwa kwenda kuishi kwa hao wazazi wawili na kubadilishwa majina akiwa na umri wa miaka miwili kuelekea mitatu..

Mtoto akawa anapendeza kila siku na anafaulu kitaifa, lakini wazazi ndo wakawa ni watu wa matukio tuu had kupelekana mahakamani na mda mwingine walikuwa wanalala had mahabusu kwa kes za mauwaji..

Kwahiyo sio vizuri kuzaa na kusambaza watoto kabla ya kuwaangalia, maana mnawapitisha kwenye vipindi vigumu watoto wenu! Bora msizae, kama hamuwezi kuishi na watoto wenu.. πŸ™
 
Isije ikajirudia ya akina Nyamka na Mwanguku, Watoto wao kuzunguka zunguka wakitaka maisha mazuri.. πŸ™
 
Isije ikajirudia ya akina Nyamka na Mwanguku, Watoto wao kuzunguka zunguka wakitaka maisha mazuri.. πŸ™
Ngoja kwanza! Jenerali wa kijeshi ambaye aliwahi kuwa MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] huwa anatumikia serikali hadi miaka sabini na tano [75]! Jenerali ambaye aliwahi kushika nafasi ya pili, nafasi ya tatu, nafasi ya nne na nafasi ya tano katika MTIHANI WA TAIFA huwa anatumikia serikali hadi miaka sabini [70].


​
Kanali wa jeshi huwa anatumikia serikali hadi miaka sitini na tano [65], ndiyo maana kama askari hakufanikiwa kuingia katika ile ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA katika moja ya somo lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA anatakiwa kurisiti! Wale askari waliobaki pamoja na watumishi wengine wa serikali huwa wanatumikia serikali hadi miaka sitini [60].


​
Sasa wale waliokuwa viongozi wa kijeshi wa awamu nne zilizopita walikuwa wapo chini ya cheo cha ngao [SP na MAJOR] na hawakuweza kutambulika na serikali, kwa sababu teuzi zao zilikuwa binafsi.

​

Kwahiyo wale waliokuwa na vyeo kuanzia SSP pamoja na LUTENI KANALI wanatambulika na serikali hadi leo na vizazi vyao vipo majeshini, serikalini na katika kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na serikali.
 
Mapinduzi baridi [COLD REVOLUTION] yaliyofanywa na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] katika mwaka wa 1975 kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, ndiyo wenyeji wa asili wa WILAYA SHINYANGA MJINI walivyofanya kwa upande wa TAIFA LA ZAMBIA katika mwaka wa 2003.


​
Sasa hivi ukiwa LUSAKA, taifa zima linatambulika kama ni JAMHURI YA ZAMBIA! Sema tofauti katika ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI ni uwezo wa darasani.


​
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI wana uwezo mkubwa katika masomo ya darasani na ndiyo waliowaachia mji wa SHINYANGA MJINI wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] baada ya KENNETH KAUNDA kufanikiwa kuwa rais wa kwanza wa TAIFA LA ZAMBIA.


​
Kwahiyo wale waliokuwa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI wataendelea kuwa watawala katika TAIFA LA ZAMBIA, kutokana na wao kuwa na uwezo mkubwa katika masomo ya darasani na ndiyo waliotamaraki kwa upande wa elimu ya ZAMBIA.

​

Pia wanaendelea kutambulika kama ni raia waishio nje ya nchi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, DIASPORA. Hivyo hawatokuja kupata shida kama ilivyo kwa upande wa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].
 
Isije ikajirudia ya akina Nyamka na Mwanguku, Watoto wao kuzunguka zunguka wakitaka maisha mazuri.. πŸ™
Ile siasa yao ilikuwa ni mbaya na ilikuwa haiwajengi zaidi ya kuwamaliza hata baada ya kustaafu utumishi wao ndani ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.


​
Wakina MZEE RUKSA pamoja na MISTER CLEAN walifanikiwa kujijenga kiasi chake na walifanikiwa kusambaza watoto wao katika ile namna ya "social diversity" na wameenea hadi JAMAIKA.


​
Kwahiyo wale waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi waliamua kujijenga kiuchumi pamoja na kisiasa.


​
Wale wengine itakuwa imekula kwao na walikuwa wanatumika vibaya kwa kutojitambua nafasi zao walizokuwa wameshika ndani ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
 
Benjamin Atupile Mkapa! Binti mzuri sanaa huyo, umbo namba nanee.. 😍
 
Shinyanga Mjin walikuwa na akili sanaa, halafu ni majitu yenye miili mikubwa! Hao ndo wenye serikal ya Botswana πŸ‡§πŸ‡Ό na baada ya Zambia kuwa jamhuri ya wazambia wote, familia ya Kenneth Kaunda ilihamia na kuwekeza nguvu katika taifa la Mali.

Wazambia wengi ndo wanaocheza mpira katika timu ya taifa ya Mali na walikuwa na falsafa moja iliyokuwa ikisema "palipo na mzambia, ujue serikal ya Zambia ipo"..

Kwahiyo saivi Kenneth Kaunda anaenda kama Nyerere, Nyerere yupo Senegal na Kaunda yupo Mali, wote wanaendelea na serikali mseto.. πŸ™
 
Kipindi kile cha wakina Nyamka na Mwanguku walikuwa wanasema hivyo hivyo, kuwa wao ndo wenye serikal ya Tanzania na ndugu zao ni Kenya. Baadae mambo yalivyobadilika wote wakapoteana.. πŸ˜‚
 
Shinyanga vijijn wana matatizo sanaa. Wapo kama wahutu.! Kwanza kabisa, hakuna Jeneral wa Tanzania aliyewahi kuoa mwanamke wa kutoka Shinyanga vijijn, labda kuzaa nao tu..

Lakin pia Jeneral wa kijesh huwa hawaruhusiwi kuoa mwanamke aliyekwisha zaa. Ukiwakuta wale majeneral walioivaa kabisaa, huwa wanaoa na kuzaa na wanawake ambao bado hawajazaa na mabikra ndo huwa wazuri zaid..

Kwahiyo kuwa Jeneral sio kazi ndogo, kazi ni kubwa na majukumu yao ni makubwa ukilinganisha na watumishi wengine wa serikali na Shinyanga vijijn hawajawai kutoa Jeneral hadi leo.. πŸ™
 
SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikosea pakubwa kumsaliti HAYATI MWALIMU, kwa sababu TANZANIA ina watu wengi ambao walifanikiwa kuhama na kusambaa tangu TANZANIA inaitwa TANGANYIKA.


​
Sasa hivi TANZANIA inaenda kwenye mabadiliko na haiwezi kuvumilia makubaliano yaliyokuwepo tangu mwaka 1975 dhidi ya wale waliokuwa viongozi wa wakati ule na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].
 
Shinyanga Mjin walikuwa na akili sanaa, halafu ni majitu yenye miili mikubwa! Baada ya Zambia kuwa jamhuri ya wazambia wote, familia ya Kenneth Kaunda ilihamia na kuwekeza nguvu katika taifa la Mali.
Wao walikuwa wanasema "akiondoka paka, panya huendelea kutawala" ~ baada ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI kuhamia ZAMBIA, waliwaachia wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] katika masuala yote ya kitaaluma.
Wazambia wengi ndo wanaocheza mpira katika timu ya taifa ya Mali na walikuwa na falsafa moja iliyokuwa ikisema "palipo na mzambia, ujue serikal ya Zambia ipo"..

​
Wamejitahidi kusambaa sehemu mbalimbali duniani na wana nguvu katika maamuzi ya kitaifa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Kwahiyo saivi Kenneth Kaunda anaenda kama Nyerere, Nyerere yupo Senegal na Kaunda yupo Mali, wote wanaendelea na serikali mseto.. πŸ™

​
Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI na ndiyo watawala wa TAIFA LA ZAMBIA hadi leo.


​
Pia wanamiliki uchumi wao katika sekta mbalimbali na huwa wanatabia ya kutumia vitu vyao, tofauti na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI. Huwa hawana muda na vitu vinavyomilikiwa na serikali.
 
Kipindi kile cha wakina Nyamka na Mwanguku walikuwa wanasema hivyo hivyo, kuwa wao ndo wenye serikal ya Tanzania na ndugu zao ni Kenya. Baadae mambo yalivyobadilika wote wakapoteana.. πŸ˜‚
Hawa askari wanaojiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa kipindi hiki wanakuwa wanafahamu kila kitu na wengine wanajiunga na MAJESHI wakiwa na zawadi zao.


​
Kumiliki nyumba mbili maeneo ya OYSTERBAY, siyo jambo dogo bila ya kusahau gari mbili aina ya TOYOTA LANDCRUISER pamoja na zawadi ya MWANAFUNZI BORA [TO's] wa DARASA LA NNE [2000]. Jumla gari tatu aina ya TOYOTA LANDCRUISER..

​

Kwahiyo wale WATANZANIA waliofanikiwa kubaki nyumbani wanapiga hatua kubwa kila siku, kuliko DIASPORA! Hata wakihama TANZANIA wanakuwa wanahama wakiwa ni SE FAIRE VALOIR wanaotambulika serikalini na wakiamia nje ya nchi wanakuwa wanatambulika kupitia ofisi za kibalozi.


​
Hadi watoto pamoja na wajukuu wanakuwa wanatambulika katika ofisi za kibalozi nje ya nchi, huko watakapokuwa wamehamia na wanazaa kwa FUJO baada ya kutambulika serikalini!

​

Wenzenu ndiyo walikuwa wanapambana na mitihani ya taifa ili kuingia KUMI [10] BORA na kujiweka katika nafasi nzuri kwa upande wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kutokana na hiyo sababu. Sasa hivi wanatambulika serikalini kuanzia wao, watoto wao na hata vizazi vitakavyofuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…