Shida yao kubwa ni kujifananisha na wahutu, ile tabia ya kuzaa na kusambaza watoto imewaharibia sanaa na kuwarudisha nyuma kimaendeleo. Odinga alijitahid kuwakemea na kuwazuia tabia zao mbaya, lakin bado wanaendelea kuzaa na kusambaza watoto wao wa kuwaza wenyewe kwa watu bak kabla ya umri.. πKitu ninachokipenda kutoka kwa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI ni nyimbo za TONY NYADUNDO akiwa anawasifia RAILA ODINGA na BARACK OBAMA.. π
Mwamunyange alikuwa ni Kapteni wa jeshi kipindi anateuliwa kushika nafasi ya ucdf na baada ya uteuz kuisha, alipandishwa cheo na kuwa Meja. Hivyo na yeye hatambulik na serikali, anayetambulika kama cdf wa kwanza ni Mabeyo.. πNdiyo elimu ya kijeshi inavyotakiwa kuwa! Kwa ujumla, inatambuliwa na WAAFRIKA wote pamoja na wataalamu wanaoletwa ili kuwashauri kuhusu elimu, kwamba hitaji kuu la kusonga mbele kuelekea katika ulimwengu wa kisasa ni kuongeza fursa za elimu. Kila serikali ya AFRIKA iliyopata uhuru hivi karibuni inalenga na kupanga kutoa elimu zaidi ya shule pamoja na mafunzo ya ufundi katika kila ngazi - ingawa kwa kawaida baadhi ya serikali zinaonesha hali ya uharaka mkubwa zaidi kuliko serikali nyingine.
Kutokana na shauku kuwa kubwa, mengi yameandikwa kuhusu elimu barani AFRIKA. Jambo hili limechunguzwa kwa kina na tume mbalimbali pamoja na wataalamu binafsi.
Katika kipindi cha utawala wa kikoloni, elimu na mafunzo ya ufundi kwa WAAFRIKA β yaani, jukumu zima la kuwawezesha kuendesha jamii ya kisasa, tofauti na jamii zilizokuwepo kabla ya ukoloni β kwa kiasi kikubwa liliangukia kwa serikali za kikoloni, wamisionari na mashirika ya kibiashara ambayo kwa sababu moja au nyingine yaliona umuhimu wa kulitekeleza jukumu hilo. Si jambo la kushangaza kwamba elimu hiyo ilionesha mahitaji na mitazamo yenye upendeleo ya taasisi hizo za watu weupe.
Elimu ya kimisionari ilikuwa kwa kiasi kikubwa ya kujitoa bila kutafuta faida binafsi na yenye mitazamo ya kibinadamu. Ikiwa na misingi ya kidini, huku ikiwa na vipengele vya kifasihi, kitabibu na kijamii. Elimu hiyo ilijikita hasa katika kuwakomboa WAAFRIKA β iwe mtu mmoja mmoja au jamii nzima β kutoka katika mitindo yao ya maisha ya kikabila au iwapo tayari walikuwa wameachana nayo, iliwalahisishia kuwapa mfumo mwingine wa maisha ambao ungeridhisha zaidi mahitaji yao ya kiroho.
Katika msingi huu, kazi ya wamisionari wa kikristo inalinganishwa kwa karibu kabisa na kazi ya wafanyabiashara na wengine walioeneza uislamu, ambao pamoja na dini hiyo walieneza pia usafi na afya bora, uwezo wa kusoma na kuandika, pamoja na uaminifu mpya wa kijamii. Wamisionari wengi wanatambua jambo hilo! Hata hivyo, misheni za kikristo bila kuepukika pia ziliwawezesha WAAFRIKA kufahamiana na ulimwengu wa kiteknolojia wa watu weupe, lugha yao, viwango vyao na ujuzi wao.
Mafunzo yanayotolewa na mashirika ya kibiashara yanalenga kuongeza ufanisi na manufaa ya mfanyakazi kwa shirika husika. Bila kujali mfumo wa kiuchumi na kijamii ambao mataifa mbalimbali ya AFRIKA yatachagua kuufuata baada ya kupata uhuru, ni dhahiri kwamba yatahitaji ujuzi wote huo, pamoja na ujuzi mwingine mwingi zaidi, kuliko ule ambao sehemu ndogo ya raia wao wameupata kupitia mafunzo yaliyotolewa na mashirika ya kibiashara ya kigeni.
Matatizo yanayozikabili serikali za kiafrika katika kupanua mifumo yao ya elimu hutofautiana kwa kiasi fulani, kutegemea urithi mbalimbali wa kikoloni waliourithi kutoka kwa mataifa matatu ya kikoloniβ UINGEREZA, UBELGIJI na UFARANSA.
Awamu tatu za mwanzo walikuwa hawafuati sheria za kimataifa kwa upande wa majesh, matokeo yake walijikuta wana majesh ambayo misingi yake ni kupigana vita na kuwa adui wa raia! Hata mitambo pamoja na vifaa vya kijeshi viliharibika na kutotengenezwa kwa mda mrefu kutokana na kukosa wataalam.. πKatika maeneo yaliyokuwa chini ya UTAWALA WA WAINGEREZA, ofisi ya kikoloni iliyokuwa LONDON pamoja na serikali za kikoloni zilizokuwa katika maeneo hayo zilifanya juhudi kubwa, hasa katika kipindi cha mwisho cha utawala wao katika kuandaa sera za elimu zenye mtazamo wa maendeleo na uelewa mpana.
Mfumo wa utawala wa madaraka iliyoanzishwa na WAINGEREZA, ukichangia tofauti kubwa za viwango vya maendeleo ya kiutamaduni miongoni mwa jamii mbalimbali za WAAFRIKA pamoja na kuwepo au kutokuwepo kwa walowezi wa kutoka ULAYA na ASIA, ilichangia kuwepo kwa mifumo mbalimbali ya elimu.
Kamati ya ushauri kuhusu elimu ya wenyeji katika AFRIKA YA KITROPIKI [Advisory Committee on Native Education in Tropical Africa] ilianzishwa mjini LONDON, 1925.
Baada ya VITA VYA PILI VYA DUNIA, fedha nyingi zilitengwa kwa ajili ya elimu barani AFRIKA chini ya utaratibu wa BARAZA LA VYUO VIKUU [Inter-University Council] pamoja na kamati nyingine za ushauri. Kanuni ya jumla ilikuwa ni kuanzisha elimu ya msingi kama msingi imara ambao juu yake ungeweza kujengwa mfumo mpana zaidi wa elimu. Lengo hili lilifanikiwa kwa kiasi kikubwa karibu kila mahali.
Kutokana na hali hiyo, serikali za maeneo yaliyokuwa chini ya utawala wa zamani wa WAINGEREZA zilijikuta zikiwa na mfumo mpana wa elimu za shule ya msingi. Kwa mujibu wa UNESCO kuhusu maendeleo ya elimu ya mwaka 1961, mfumo wa elimu ya msingi ulilingana kwa kiwango cha kuridhisha na mifumo kama hiyo ya elimu ya msingi iliyokuwepo AMERIKA YA KUSINI na KUSINI-MASHARIKI MWA ASIA.
Hata hivyo, elimu ya sekondari ilikuwa imeendelea kwa kiwango kidogo sana. Hii ndiyo ilikuwa kikwazo kikuu katika mfumo wa elimu. Fursa za kupata elimu ya chuo kikuu na vyuo vingine, ndani na nje ya AFRIKA, zilikuwa kwa ujumla zinatosheleza kwa idadi ndogo ya wanafunzi waliofanikiwa kumaliza elimu ya sekondari na ambao walikuwa tayari na wenye uwezo wa kuendelea na masomo yao ya chuo kikuu.
Kwa kuwa elimu ya ULAYA ilianza baadae katika AFRIKA MASHARIKI kuliko AFRIKA MAGHARIBI, fursa za kupata elimu ya sekondari katika AFRIKA MASHARIKI zilikuwa chache zaidi.
Shida yao kubwa ni kujifananisha na wahutu, ile tabia ya kuzaa na kusambaza watoto imewaharibia sanaa na kuwarudisha nyuma kimaendeleo. Odinga alijitahid kuwakemea na kuwazuia tabia zao mbaya, lakin bado wanaendelea kuzaa na kusambaza watoto wao wa kuwaza wenyewe kwa watu bak kabla ya umri.. π
huwa wanawapiga picha wakiwa mlangon na mabeg yao ya nguo! Ni Unyanyasaj na Ukatili wa hali ya juuu
FIELD MARSHALLS huwa ni nadra kupatikana, maana kuongoza zaidi ya mara tatu kitaifa huwa siyo jambo dogo kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA.Ulishaona wapi Jeneral anakufa kwa Aids! Tena the coming is a Field Marshall, Jeneral wa nyota tano..
Field Marshall ni cheo cha juu kabisa kwa upande wa jeshi la ulinzi na huwa ndo kiongoz mkuu wa jeshi la ulinzi baada ya cdf..Nchi tatu zilizokuwa chini ya utawala wa UBELGIJI β KONGO, RWANDA na BURUNDI ziliachiwa mtandao wa elimu ya msingi uliokuwa umeendelezwa kwa kiwango kikubwa zaidi, ambao uliwawezesha takribani robo tatu ya watoto walio katika umri wa kwenda shule za msingi kupata elimu kwa kiwango kikubwa. Hata hivyo, mpango wa elimu ya sekondari wa UBELGIJI ulikuwa umeendelezwa kwa kiwango kidogo zaidi ikilinganishwa na ule wa WAINGEREZA. Kwahiyo, kulikuwa kuna tabaka dogo sana la watu wenye elimu ya juu kwa upande wa yaliyokuwa mataifa ya KONGO, RWANDA na BURUNDI.
Kiini cha tatizo katika nchi zote zilizokuwa chini ya UTAWALA WA UINGEREZA na zile zilizokuwa chini ya UTAWALA WA UBELGIJI ni jinsi ya kupanua mfumo wa elimu ya sekondari kutokana na sababu mbalimbali, ni WAAFRIKA wachache sana waliofanikiwa kuendelea na elimu hiyo hadi kufikia kiwango cha kujiunga na chuo kikuu. Hivyo, kuna uwezekano mkubwa kwamba nafasi za vyuo vikuu zilizokuwa zinapatikana barani AFRIKA au kwingineko zingetosha au hata kuzidi mahitaji kwa wanafunzi wote watakaokidhi sifa za kujiunga na vyuo vikuu.
Kwa upande mwingine, WAFARANSA walijikita katika kuzalisha tabaka la wasomi wenye elimu ya juu na walioathiriwa kwa kiasi kikubwa na utamaduni wa kifaransa, kwa idadi kubwa ikilinganishwa na viwango vingine vya AFRIKA. Juhudi hizi ziliambatana na mafunzo ya kijeshi yaliyotolewa kwa kiwango kikubwa kwa kulinganisha na maeneo mengine na kwa tabaka hili la wasomi ambapo hatimaye wameshikilia madaraka hadi leo na ndiyo waamuzi wa mwisho katika serikali za kiraia.
Baada ya hapo, UFARANSA ilipitisha sheria za ufaulu wa kitaaluma kwa upande wa shule za msingi pamoja na shule za sekondari kuwa vigezo vya kisheria katika ugawaji wa vyeo vya kijeshi kwa upande wa makoloni ya kifaransa na baadae hizo sheria ziliakisiwa na kuwa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kupitia SHIRIKA LA ELIMU DUNIA [UNESCO].
Haya yote yanapatikana kwa kirefu kupitia kitabu cha "Emergent Africa" na kila kitu wameeleza humo kuhusu utaratibu, sifa na ugawaji wa vyeo vya kijeshi kuanzia FIELD MARSHALLS, MILITARY GENERALS pamoja na MILITARY COLONELS.
FIELD MARSHALLS ni lazima askari awe alishawahi kuongoza mara tatu kitaifa kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA]! MILITARY GENERALS ni lazima askari awe amefanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya shule ya msingi au shule ya sekondari kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] na MILITARY COLONELS ni lazima askari awe SE FAIRE VALOIR kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA]!
Kama malengo ni kujijenga kifamilia, kiukoo na kiuchumi haushauriwi kuzaa na kusambaza watoto. Watoto wanapitia mambo mengi sanaa huko. Kwanza wanakua wanapewa maneno ya kukatishwa tamaa..Watu wamepitia mambo mengi kwenye hizo familia za watu wengine na ukitoka salama ni jambo la kupongeza na kushukuru MWENYEZI MUNGU! Maana sasa hivi hata wanaume wanafanya KANGAROO kwa watoto wachanga.. βΊοΈ
Hata Khadija Kopa anatambulika serikalini hadi kitukuu kupitia mziki wake wa taarabu na ana pesa zake za matunzo kila mwez kutoka serikalini..Watu wamepitia mambo mengi kwenye hizo familia za watu wengine na ukitoka salama ni jambo la kupongeza na kushukuru MWENYEZI MUNGU! Maana sasa hivi hata wanaume wanafanya KANGAROO kwa watoto wachanga.. βΊοΈ
Haya mambo wengine wameyajua wakiwa jeshini, tena ukifika kuanzia cheo cha Kapteni! Hao matio wa miaka ile walifanikiwa kuyajua haya mambo tangu wakiwa wanasoma shule na vyuo vikuu walienda kuwa marais, mawaziri wakuu pamoja na mawaziri wa serikali za wanafunzi.. πFIELD MARSHALLS huwa ni nadra kupatikana, maana kuongoza zaidi ya mara tatu kitaifa huwa siyo jambo dogo kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA.
Huyu alifanikiwa kuongoza zaidi ya mara tatu kitaifa na ana sifa ya kuwa FIELD MARSHALL kwa mara kwanza kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, ndiyo maana mwaka huu kunakuwa na uzito wa aina yake, tofauti na miaka mingine iliyopita.
Mwanafunzi akishafanikiwa kuongoza zaidi ya mara tatu kitaifa anakuwa anatambulika serikalini hadi kituu na anakuwa analipwa posho ya matunzo yenye thamani ya Tsh. 500,000 kila mwezi, kuanzia mwaka aliofanikiwa kuongoza kwa mara ya tatu. Sasa hivi posho ya matunzo itakuwa imefika Tsh. 700,000 maana huwa inapanda kulingana na mishahara ya wafanyakazi wa serikali..
Kwahiyo MWANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE [2007] ana malimbikizo ya malipo ya posho za matunzo ya kila mwezi kuanzia mwaka wa bajeti wa 2008/2009 hadi leo. Pia ana malipo ya mshahara kupitia MAJESHI YA ULINZI pamoja na TUME YA MAADILI YA TAIFA, hivyo kufanyika kuwa na mishahara ya aina tatu kila mwezi.
Aina hii ya wanafunzi huwa wanafanyika kuwa viongozi wa kitaifa baada ya kuhitimu mafunzo ya kijeshi kwa upande wa mataifa yenye hali ya taharuki ya kisiasa. Kutokana na kuwa na kinga ya kutoshitakiwa dhidi ya makosa ya jinai wala makosa ya uhalifu wa kivita. Hii ni kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].
Hivyo chepuo kubwa inaenda kwa mataifa kama RWANDA, BURUNDI, BURKINA FASO pamoja na SIERRA LEONE - mataifa ambayo yana mafungamano ya moja kwa moja na TAIFA LA TANZANIA.
MIKE T anatambulika serikalini hadi kitukuu kupitia muziki wake wa BONGO FLEVA. Sema raha ya kutambulika serikalini, unatakiwa uwe unamiliki vitu vyako mwenyewe na siyo kila kitu utegemee serikali.Hata Khadija Kopa anatambulika serikalini hadi kitukuu kupitia mziki wake wa taarabu na ana pesa zake za matunzo kila mwez kutoka serikalini..
Field Marshall ni cheo cha juu kabisa kwa upande wa jeshi la ulinzi na huwa ndo kiongoz mkuu wa jeshi la ulinzi baada ya cdf..
Ofisi ya Field Marshall had leo ipo waz kwa upande wa Tanzania na haijawahi kupata mtu! Kwa mataifa ya afrika ya Mashariki na kati, hakuna taifa lililowah kupata Field Marshall kutokana na mifumo ya elimu kuwa duni..
Kwahiyo Tanzania itakua ni taifa la kwanza kupata Field Marshall kwa upande wa mataifa ya afrika ya Mashariki na kati! Pia Field Marshall huwa wanatambulika had kizazi cha tano na wana hadhi sawa na urais.. π
Mambo yapo mengi ambayo yangeliweza kujadiliwa kwa mapana na marefu, lakini HAYATI MWALIMU alikuwa ni kiongozi mzuri na mbeba maono kwa taifa lake.Haya mambo wengine wameyajua wakiwa jeshini, tena ukifika kuanzia cheo cha Kapteni! Hao matio wa miaka ile walifanikiwa kuyajua haya mambo tangu wakiwa wanasoma shule na vyuo vikuu walienda kuwa marais, mawaziri wakuu pamoja na mawaziri wa serikali za wanafunzi.. π
Mnyarukoro alishazawadiwa had gar aina ya toyota landcruiser na serikali! Kwenye kabumbu yupo Edibil Jonas Lunyamila! Uandishi wa Fasihi ya vitabu yupo Shaabani Robert na Riadha yupo Filbert Bayi.. πMIKE T anatambulika serikalini hadi kitukuu kupitia muziki wake wa BONGO FLEVA. Sema raha ya kutambulika serikalini, unatakiwa uwe unamiliki vitu vyako mwenyewe na siyo kila kitu utegemee serikali.
Inchi ikiwa ina Field Marshall, hata commander in chief anakua hana kazi! Field Marshall ndo huwa mkuu wa majesh yote, commander in chief huwa ni cheo cha heshima.. πFIELD MARSHALL huwa ni cheo cha juu kabisa kwa upande wa taaluma ya kijeshi na kielemu. Pia huwa kuna ukinzani mkubwa hadi kufikia cheo hicho na askari wengi huwa hawafiki tamati.
Askari wengi kutoka katika familia za kifalme au baada ya kufanikiwa kufanya mapinduzi ya kijeshi huwa wanajipachika kwa kufosi cheo cha FIELD MARSHALL.
Lakini FIELD MARSHALL ni cheo cha kijeshi ambacho kinatokana na ufaulu wa askari kipindi alipokuwa anasoma elimu ya msingi pamoja na elimu ya sekondari na kufanikiwa kuongoza kitaifa zaidi ya mara tatu [3].
Kwa upande wa mataifa ya MASHARIKI YA KATI, hicho ndicho kilichokuwa ni miongoni mwa kadhia iliyokuwa inasababisha mapigano ya kivita - maana kuna baadhi ya jamii zenye nguvu zilikuwa hazipo tayari kuona raia anakwea kileleni kutokana na sababu ya ufaulu wa mitihani ya darasani tu.
Yes! Taifa likifanikiwa kupata askari mwenye cheo cha FIELD MARSHALL ina maana mfumo wa elimu umekomaa bila ya kuzingatia vile vizingiti vya kijamii "social constraints" na kuaminisha jamii ya kimataifa kuwa kila raia atakayefanikiwa kufanya vizuri darasani katika mitihani ya taifa anakuwa na uwezo wa kufikia cheo hicho kikubwa cha kijeshi.
Kwahiyo TANZANIA imefanikiwa kufaula katika suala hilo, ijapokuwa bado kuna ACADEMIC GENOCIDE [repression and falsification of pupils and students academic results] katika mitihani ya taifa kwa upande wa elimu ya msingi pamoja na elimu ya sekondari.
Inatakiwa tume ya uchaguz iwabane vyama vya upinzani katika swala la kitaaluma na iwe sheria ya mgombea katika kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uraisi. Kama mgombea uraisi hakuwah kushika tano bora kitaifa katika somo moja la mtihani wa taifa haruhusiwi kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uraisi..Mambo yapo mengi ambayo yangeliweza kujadiliwa kwa mapana na marefu, lakini HAYATI MWALIMU alikuwa ni kiongozi mzuri na mbeba maono kwa taifa lake.
Ijapokuwa uzito na mchango wake kwa TAIFA LA TANZANIA ulianza kupungua kuanzia mwaka 1975 hadi leo, kutokana na uwepo wa viongozi wengine wa kitaifa wenye asili ya TANZANIA ambao wameiwakilisha vyema TANZANIA katika medani za kimataifa.
Hawa nao wana nafasi zao katika serikali ya TANZANIA na wanaendelea kutoa michango yao ya kitaifa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Kwahiyo nafasi ya HAYATI MWALIMU kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA itaendelea kuwepo "as long as" alikuwa ni rais wa kwanza na mbeba maono kwa taifa lake na muasisi wa chama tawala, ambacho ni CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].
Lakini linapokuja suala la kutaka kufanya mabadiliko ya kisiasa kutokana na chama tawala kutawala kwa kipindi cha muda mrefu inatakiwa ifanyike NATIONAL AUDITING AND CLEARANCE kabla ya kufikia maamuzi ya kufanya POLITICAL CHANGES.
Kitu kingine ni kuhakikisha ile nafasi ya mgombea urais kwa vyama vya upinzani imezingatia nafasi ya kitaaluma [namba tano angalau katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA] ili kukidhi zile sheria za UMOJA WA MATAIFA [SE FAIRE VALOIR] kupitia SHIRIKA LA ELIMU DUNIA [UNESCO] na hili suala linatakiwa kusimamiwa na TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI [INEC].
Kuna watu wengne kama wakina Mzee Majuto kipindi hicho alikuwa anaitwa Mzee Small! Yeye pia anatambulika na serikali kupitia kaz yake ya sanaa ya uigizaji filamu..MIKE T anatambulika serikalini hadi kitukuu kupitia muziki wake wa BONGO FLEVA. Sema raha ya kutambulika serikalini, unatakiwa uwe unamiliki vitu vyako mwenyewe na siyo kila kitu utegemee serikali.
Kupitia Kamati ya kusimamia ofisi ya viongozi wakuu wa kitaifa pamoja viongozi wakuu wenyewe, wapo wengi hadi viongozi kutoka nje ya inchi. Hata Museveni yupo! Rais wa Uganda. Kwahiyo viongozi wakuu wa kitaifa wapo wengi, sio Nyerere pekee yake.. πMambo yapo mengi ambayo yangeliweza kujadiliwa kwa mapana na marefu, lakini HAYATI MWALIMU alikuwa ni kiongozi mzuri na mbeba maono kwa taifa lake.
Ijapokuwa uzito na mchango wake kwa TAIFA LA TANZANIA ulianza kupungua kuanzia mwaka 1975 hadi leo, kutokana na uwepo wa viongozi wengine wa kitaifa wenye asili ya TANZANIA ambao wameiwakilisha vyema TANZANIA katika medani za kimataifa.
Hawa nao wana nafasi zao katika serikali ya TANZANIA na wanaendelea kutoa michango yao ya kitaifa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Kwahiyo nafasi ya HAYATI MWALIMU kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA itaendelea kuwepo "as long as" alikuwa ni rais wa kwanza na mbeba maono kwa taifa lake na muasisi wa chama tawala, ambacho ni CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].
Lakini linapokuja suala la kutaka kufanya mabadiliko ya kisiasa kutokana na chama tawala kutawala kwa kipindi cha muda mrefu inatakiwa ifanyike NATIONAL AUDITING AND CLEARANCE kabla ya kufikia maamuzi ya kufanya POLITICAL CHANGES.
Kitu kingine ni kuhakikisha ile nafasi ya mgombea urais kwa vyama vya upinzani imezingatia nafasi ya kitaaluma [namba tano angalau katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA] ili kukidhi zile sheria za UMOJA WA MATAIFA [SE FAIRE VALOIR] kupitia SHIRIKA LA ELIMU DUNIANI [UNESCO] na hili suala linatakiwa kusimamiwa na TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI [INEC].
Kupitia Kamati ya kusimamia ofisi ya viongozi wakuu wa kitaifa pamoja viongozi wakuu wenyewe, wapo wengi hadi viongozi kutoka nje ya inchi. Hata Museveni yupo! Rais wa Uganda. Kwahiyo viongozi wakuu wa kitaifa wapo wengi, sio Nyerere pekee yake.. π
Basi! It's over and topic is closed πNdiyo TANZANIA ilivyo! Hawa watanzania waliofanikiwa kuhamia mataifa mengine na kufanikiwa kuwa viongozi, wanaifahamu sana SIASA YA TANZANIA.
Pia huwa kuna mahusiano ya moja kwa moja baina ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA pamoja na VYAMA VYA SIASA! Mara nyingi wanaongoza VYAMA VYA SIASA huwa ni MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Hii ina maana kwamba mamlaka na nguvu zao, pamoja na maslahi ya wale wanaowawakilisha, kwa kawaida hayatokani na biashara au uendeshaji wa shughuli za sekta binafsi, wala hata kutokana na umiliki wa mali binafsi kwa kiwango kikubwa. Bali inatokana na kufikia malengo yao kupitia utekelezaji wa mamlaka ya kisiasa. WAINGEREZA huwa wana kitu wanaita ni maadili ya kiuongozi na kiutawala [managerial values].
Kwahiyo wapo WATANZANIA ambao wanaongoza mataifa mengine kupitia hatua za serikali na vyama vya siasa au kupitia msukumo na udhibiti wa serikali. Hii ndiyo njia pekee ambayo hutumika na mataifa yote ulimwenguni na inafaa kutumika katika kutekeleza majukumu yote na viongozi wao wanakuwa wanatambulika na serikali zao za asili.