Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana


​
Hizo ndiyo sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] na wamejitahidi kuboresha kwa kutoa orodha ya wanafunzi tano [5] bora kwa kila jinsia ili kupata usawa na wote wanaenda hadi cheo cha SP.

Lakini ile kibongo bongo waliacha kuzifuata hizo sheria na kuamua kutunga sheria zao kwa kuzingatia muonekano wa mtu na urefu wa kimo chake.

​

Ila kwa upande wa viongozi wa kijeshi, lazima mhusika awe ni miongoni mwa wanafunzi waliofanikiwa kufanya vizuri kitaifa kwa ujumla.


​
Pia mwanafunzi aliyefanikiwa kuongoza mara tatu kitaifa huwa anapata wasaa wa kutoa WAZIRI MKUU katika kizazi chake kupitia JESHI LA POLISI.

​

Yaani ile kamati inayochagua MKUU WA JESHI LA POLISI [IGP], ndiyo kamati inayopendekeza majina matatu [3] katika nafasi ya UWAZIRI UKUU na kupeleka majina hayo katika ofisi ya rais.
 
Hayo mambo ya kizamani wengine walisha yaacha! Sasa hivi wanapambana kutambulika serikalini, halafu mambo mengine yanafuata kama kujenga familia na hatimaye kuwa na koo imara.


​
Kwa upande wa jinsia ya kike, hii sheria imewapa kipaumbele kwa kuzaliana tu na raia anayetambulika serikalini ili na wao wapate wasaa wa kutambulika serikalini kwa kuzaa angalau watoto watatu [3] pasipo hata kuwa SE FAIRE VALOIR.


​
Ndiyo dunia ilivyo katika masuala ya utandawazi, usawa wa kijinsia na utawala wa sheria! Mataifa mengine kama IRANI ni sheria kwa raia wa kiume kuzaa na kuoa jinsia ya kike zaidi ya mmoja ambao hawatambuliki, ili na wao wapate usawa wa kijinsia katika masuala ya kidiplomasia.
 
Zamani watu wengi walikuwa hawayaelew haya mambo, ijapokua wanafunzi wengi walikuwa wanasoma sanaa! Saivi jina la Buthelezi limeshaingia kwenye mzunguko wa wakuu wa magereza na mwakan ni tcta ukonga kama senior askari magereza..πŸ˜‚
 
Hizi sheria wamezijua juzi juzi tu! Lakini wale wengine walioyajua haya mapema walishatusua tangu siku nyingi na saivi wanakula hela za serikali wakiwa nje ya nchi..

​

Wakina Kikwete ndo waliokosea kuliko wote! Hata Nyamka na Mwanguku hawakua hivyo, tena alikuwa ni askari magereza mwenye nyota tatu lakin alishindwa kuishi kiaskari na kuangukia kwa mpenz wake Judith..

​

Saivi wakina Judith ndo wanaotumia jina la Kikwete kwenye siasa na wamiliki halali wa Kikwete foundation na walitaka kuanzisha na kufungua makumbusho kwa kutumia jina la Kikwete kama raisi, lakini wakagonga mwamba.! Kwan majina yote yanayotakiwa kuwa na makumbusho ya kihistoria yapo magereza na jina la Kikwete halipo.. It's over and topic is closed πŸ”
 
Unajua hiyo ndiyo kazi ya ustawi wa jamii kupitia JESHI LA POLISI kitengo cha POLISI JAMII na dawati la jinsia na watoto. Hao wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] walikuwa vizuri sana, kabla ya kujifananisha na WAKONGO.

Wao, wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU kila mtihani wa taifa lazima waingie KUMI [10] BORA! Lakini baadae walilewa sifa baada ya kuamini kuwa wao ndiyo wenye mataifa ya SIERRA LEONE na AFRIKA YA KUSINI, kumbe hata AFRIKA YA KUSINI ni "SEMI AUTONOMOUS GOVERNMENT" kati ya TANZANIA na AFRIKA YA KUSINI yenyewe.


​
Pia wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU, huwa wanatumika kuwaondoa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI sehemu ambapo watakuwa wamehamia na walifanikiwa kuwaondoa katika visiwa vya ZANZIBARI na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI wakahamia SENEGAL.

​

Kwahiyo imekuwa kama kasumba kati ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI na WILAYA YA KISHAPU. Ila hao wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] walianza kuzaa na kusambaza watoto wao katika umri mdogo, chini ya miaka saba [7] halafu baada ya mafanikio wanajitokeza na kujitambulisha kama ni wazazi au ndugu huku wakiambatanisha picha za utotoni za mhusika.
 
Zamani watu wengi walikuwa hawayaelew haya mambo, ijapokua wanafunzi wengi walikuwa wanasoma sanaa! Saivi jina la Buthelezi limeshaingia kwenye mzunguko wa wakuu wa magereza na mwakan ni tcta ukonga kama senior askari magereza..πŸ˜‚
Kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kupitia SHIRIKA LA ELIMU DUNIANI [UNESCO], hata BARAZA LA MAWAZIRI linapaswa kujumuisha mawaziri waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO, iwe ni MOKO KATA au MOKO WILAYA au MOKO MKOA au hata MOKO KANDA. Hali hii ipo hivyo hivyo kwa upande wa watumishi wote wa TUME YA MAADILI YA TAIFA..


​
Askari wote wa majeshi ya MAGEREZA, POLISI, ZIMAMOTO na UHAMIAJI wanatakiwa kuwa ni miongoni mwa wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO! Ikishindikana hapo, basi askari wote wanatakiwa kuwa ni SE FAIRE VALOIR, ndiyo maana wengine wanatakiwa kurisiti mitihani ya taifa ili kuwa na sifa ya kuwa askari.


​
Hata JESHI LA UHIFADHI, askari wote wanapaswa kuwa ni miongoni mwa wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO! Bila ya kusahau askari usalama pamoja na JESHI LA ULINZI, kupitia kile kitengo cha MILITARY INTELLIGENCE [MI].

Lakini nafasi zote zilizobaki huwa zinajumuisha raia wote wenye sifa za kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kupitia JESHI LA ULINZI [JWTZ] na hilo jeshi ndiyo huwa linafanyika kama ni mkombozi wa wananchi.


​
JESHI LA UHIFADHI lina kazi zake ikiwa ni ununuzi na utunzaji wa vitabu vya kitaaluma pamoja na maktaba ya taifa kuanzia ngazi ya wilaya, mikoa hadi taifa.


​
Kwahiyo wale waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, walikuwa wanapeleka watoto wao kwenda kusoma shule za pembezoni mwa miji ili kuondoa karaha ya ushindani wa shule za mijini na kujikita katika jitahada za kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO iwe ni MOKO KATA au MOKO WILAYA au hata MOKO MKOA.

​

Halafu baada ya kumaliza elimu ya msingi, wanarudi kujiunga na shule za sekondari zinazopatikana mijini. WAKENYA ndiyo huwa wanafanya hivyo, ukizingatia TANZANIA ina jumla ya kata zaidi ya elfu tatu [>3000] na kila kata huwa inatoa TANO [5] BORA kwa upande wa jinsia ya kiume na jinsia ya kike.
 
Haya yote, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI wanayafahamu! Lakini wao hutia maji kujiona wanapendwa sana kuliko WATANZANIA wengine, kwa sababu ni jamii inayotoa BABA WA TAIFA!

Tizama kilichotokea miaka sita [6] iliyopita katika TAIFA LA NAIJA, ambapo vizazi vyote vya wakina NYAMKA na MWANGUKU vilikuwepo katika kadhia hiyo ya kuweka mgomo..

​

Sasa hivi TANZANIA ina idadi ya watu wengi, ukizingatia idadi imeongezeka kutokana na kujumuishwa kwa wenyeji wa asili wa visiwa vya CURAÇAO, HAITI, ST LUCIA, ST MARTIN, JAMAIKA pamoja na TRINIDAD & TOBAGO katika ile orodha ya WATANZANIA. Kwahiyo idadi ya fursa inaendelea kupungua kutokana na idadi ya watu kuongezeka..
 

​
Hayo yalikuwa ni maisha yao na wengine hayatuhusu! Lakini sasa hivi, wao wataanza kuona wale watoto waliozaliwa miaka ya tisini [1990's] wanaanza kumiliki kampuni binafsi za usafirishaji wa abiria na mizigo.
 
Wakina Selemani na wao wameanza kua matapeli baada ya kutapeliwa kampun yao ya kiooo! Walitaka kuanzisha Umoja wa watu wa Bubiki na Selemani ndo awe mwenyekiti wakagonga mwamba na wakajikuta pekee yao..πŸ˜‚
 
Watumishi wote wa ikulu lazima wawepo tano bora kwenye mitihani ya moko. Wale wajanja walikuwa wanapeleka watoto wao vijijn kwenda kusoma shule za msingi. Unakuta shule hawana Walimu na watoto wanakaa chini..

Hata shule yenyewe kwenye kata unakuta ipo moja tu! Lakini mtoto akirud nyumbani anakutana na twisheni ya maana! Kwahiyo mtihani wa kata unakua unafanyika kishule na wakiingia tano bora kwenye moko tayari mchezo unakua umeishaaa.. πŸ™
 
Hata kisiwa cha Mayotte kinamilikiwa na sisiem, sema huko shinyanga vijijn hawasumbui kama sehem nyingine. Dawa ya watu wa shinyanga vijijn ni kuwaangalia tu! Hivyo hivyo kibishi, ipo cku wataamua kubadilika wao wenyewe. Hata kuoa tunarudi kuoa kwetu..

Nakumbuka miaka ile ya zamani, Nyamka na Mwanguku walikuwa wanaletewa wanawake wa kutoka Kyaka. Hicho kijiji cha Kyaka ni kijiji ambacho alikianzisha Nyamka huko Kagera na kimeshehen watu wa Shinyanga vijijn tuu. Wahaya wa Kyaka ni wasukuma wa Shinyanga vijijn..

Kwahiyo wakina Nyamka na Mwanguku walikuwa wanaletewa wanawake kutoka Kyaka na kuzaa nao watoto. Ila saivi hawana hela na wana watoto lundo.. πŸ˜‚
 
Hayo yalikuwa ni maisha yao na wengine hayatuhusu! Lakini sasa hivi, wao wataanza kuona wale watoto waliozaliwa miaka ya tisini [1990's] wanaanza kumiliki kampuni binafsi za usafirishaji wa abiria na mizigo.
Saivi askari wanajua sanaa namna ya kuishi! Askari wale ambao ni wanafunzi bora wanajiunga na Majesh wakiwa na hela nyingi..

Wengine walishaanza kumiliki malori yao na wanayaendesha wenyewe kwenye lami! Sema biashara ya usafirishaji wa mizigo inahitaji connection, unaweza kupeleka mzigo sehem halaf Lori likarudi tupu ukaona ni mara mia kuwa na mabasi ya abiria..

Vijana wanajinunulia Howo, Faw na Hino kwa bei chee! Scania inaenda kupotea Tanzania na walikuwa wanatuuzia bei mara mbili ya bei halisi, kumbe kichwa kimoja kinaenda kwa 20 milioni tu..

Kwahiyo saivi Tanzania inaenda kufunguka kiuchumi na vijana walishasanuka tangu kitambo, yale mambo ya kizamani hawana.. πŸ™
 
Wakina Selemani na wao wameanza kua matapeli baada ya kutapeliwa kampun yao ya kiooo! Walitaka kuanzisha Umoja wa watu wa Bubiki na Selemani ndo awe mwenyekiti wakagonga mwamba na wakajikuta pekee yao..πŸ˜‚
Tunaambiwa hata ile shule ya MAUA SEMINARI walitapeliwa na KANISA KUBWA! Lakini hayo sisi hayatuhusu, hata KANISA KUBWA hutakiwi kuweka vitu kule na wao huwa wana tabia ya kutorudisha.. πŸ˜‚πŸƒπŸ½β€β™‚οΈ
 
Ndiyo! Kisiwa cha MAYOTTE kipo na WATANZANIA ndiyo wanaoishi kule. Pia kuna visiwa kama KIRIBATI, KRIMASI na NIUE ambavyo vipo sokoni na vinauzwa akipatikana mteja.

​
Wenzenu wale wangelitumia nafasi zao vizuri katika kujijenga kiuchumi, wangelikuwa mbali sana. Lakini walielekeza nguvu zao katika masuala ambayo haya kuwa na ulazima..
Kwahiyo wakina Nyamka na Mwanguku walikuwa wanaletewa wanawake kutoka Kyaka na kuzaa nao watoto. Ila saivi hawana hela na wana watoto lundo.. πŸ˜‚
Wenzao, ambao ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI wapo vizuri na wamejitahidi kuendeleza kile walichokuwa nacho tangu zamani.


​
Hawa ndiyo waliokuwa WATANZANIA wa kwanza kuhamia nchini UGANDA na miongoni mwa watangulizi wao walishawahi kushika nyadhifa mbalimbali ndani ya serikali ya UGANDA, kama nafasi ya uwaziri.


​
Wakina KIWANUKA na alimaliza shule ya msingi akiwa ni SE FAIRE VALOIR! Hadi leo wapo vizuri, lakini wakina NYAMKA walikuja na wakaenda! Wao bado wapo vizuri.


​
Kwahiyo maisha mengine ni kupanga na kuchagua, ila masuala mengine huwa tunawaachia wahusika wayamalize wenyewe..
 

​
Sasa hivi vijana wanajitahidi, tofauti na miaka ya zamani! Hata huyu yumo na wanamiliki kampuni ya usafirishaji ya abiria kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

​

Ikitokea kijana mwingine ambaye hata msingi wa maendeleo hakuwa nao, halafu kumiliki kampuni ya usafirishaji inakuwa ni hatua kubwa za kimaendeleo.. πŸ˜‚

 
Haya masuala ya elimu na kijeshi, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI wanayafahamu vizuri sana. Pia huwa kuna tofauti ndogo kati ya CGP - MAGEREZA na CGC - UHIFADHI.

​

CGP - MAGEREZA anatakiwa askari ambaye ni jenerali na aliyewahi kuwa MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] na kuingia tano [5] bora kitaifa katika masomo ya uraia, iwe ni MAARIFA YA JAMII au CIVICS au DEVELOPMENT STUDIES [DS].

​

CGC - UHIFADHI anatakiwa askari ambaye ni jenerali na aliyewahi kuwa MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] na kuingia tano [5] bora katika mitihani ya moko, iwe ni MOKO KATA au MOKO WILAYA au MOKO MKOA au hata MOKO KANDA.

​

Pia huwa kuna mambo mengine machache kama kukabidhiwa sare za kijeshi kwa upande wa MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's], pale atakapokuwa ametimiza miaka thelathini na tano [35].

​

MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] huwa anakabidhiwa sare za JESHI LA POLISI baada ya kutimiza miaka thelathini na tano [35] na baada ya miezi miwili [2] huwa anakabidhiwa sare za JESHI LA MAGEREZA endapo kama atakuwa alifanikiwa kuingia tano [5] bora kitaifa katika masomo ya uraia.

​

Pia MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] huwa anakabidhiwa sare za JESHI LA UHIFADHI NA WANYAMAPORI baada ya miezi mitatu [3] baada ya kukadhiwa sare za JESHI LA POLISI kama atakuwa alifanikiwa kuingia tano [5] bora katika mitihani ya moko na huwa wanajiunga na moja ya vitengo vinavyopatikana TFS kama MISITU [FOREST] au UFUGAJI NYUKI [BEEKEEPING] au UTALII WA KIIKOLOJIA [ECOTOURISM] pamoja na MAENEO YA KITAMADUNI NA URITHI [CULTURAL AND HERITAGE SITES].

​

Kwahiyo mitihani ya moko ina umuhimu wake katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, ukizingatia JESHI LA UHIFADHI ndiyo jeshi linalohusika na usimamizi wa mahesabu ya ankara katika rasilimali na amali zote zinazomilikiwa na serikali.

​

Yaani, katika masuala ya utawala wa kiserikali [GOVERNMENT ADMINISTRATION] ~ JESHI LA UHIFADHI linahusika na ukaguzi na uhakiki wa gharama za miradi yote ya maendeleo inayotekelezwa na serikali. Kuwekeza katika miundombinu kwa ajili ya uhifadhi, utalii na maendeleo endelevu.
 
Kwahiyo majeshi yote ya ulinzi na usalama kasoro JESHI LA ULINZI [JWTZ] yanapaswa kuongozwa na WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] kwa kuzingatia vigezo na masharti katika kila jeshi.


​
Hata mabadiliko katika sekta ya elimu yanapaswa kuzingatia mitihani ya moko, kwa sababu mitihani ya moko ndiyo inayotoa viongozi wa kitaifa, viongozi wa kijeshi pamoja na askari katika majeshi yote.


​
MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ndiyo mabadiliko ya kisiasa yanapoanzia, kwa sababu wizara, taasisi na idara zote za serikali huwa zinasimamiwa na majeshi.


​
Hata baadhi ya kampuni za kibiashara kwa mataifa yaliyoendelea, idadi kubwa kama siyo yote huwa inamilikiwa na serikali kupitia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
 
Tunaambiwa hata ile shule ya MAUA SEMINARI walitapeliwa na KANISA KUBWA! Lakini hayo sisi hayatuhusu, hata KANISA KUBWA hutakiwi kuweka vitu kule na wao huwa wana tabia ya kutorudisha.. πŸ˜‚πŸƒπŸ½β€β™‚οΈ
Wajinga wale na wametapeliwa vitu vingi! Ila ni wachawi hataree na namna ya kujiponya aids walifundishwa na wakina Joho, hata Joho ni kizazi cha chifu wa utemini lakini wao hawana mambo ya kishambaa..

Hao wakina Judy walikuwa na hela za ndagu, kutoa watoto wao wa kuwazaa wenyewe ijapokuwa wanamiliki Kimotco. Kuna mtoto wao mwingine yupo Kongo na alioneshwa kwenye documentary ya Congo..

Hao wanatabia ya kuzaa na kusambaza watoto kwa watu baki kabla ya umri na hawatoi hata matunzo kwa watoto wanaowazaa! Wanajifananisha na wakongo, lakini mtoto akifanikiwa yanarudi kujitambulisha na kupitisha mchango wa wanandugu ili yenyewe yapate kulelewa..

Huo ukoo sio mzuri wa kupata mke wala mme, maana kutolewa sadaka ni sekunde! I mean kugusa tu..

Watoto wengine waliwatelekeza Sauzi, ila baadhi ya wanafamilia walihamia Msumbiji na wapo Maputo. Yanajifanya ni Royal Family kumbe ni ujinga mtupu na wao wamekua matapeli, wakienda Shinyanga wanatumia usafiri wa maflateli.. πŸ™
 
Kulikuwa kuna wakina Kiwanuka na Banduka, wote walisoma Ndala School na walimaliza standard seven wakitoka kidedea..

Nyamka na Mwanguku ni watu wa juzi tu! Pale shinyanga mjini kuna mitaa ilipewa majina yao na wanamiliki majengo mengi ukiwa Uganda na Rwanda..

Watoto wao wengi wamo majeshini na wengine wanaishi hapo hapo Shinyanga Mjini na Arusha! Shinyanga Mjini wapo vizuri sanaa.. πŸ™
 
Huyo ndio mmiliki wa Marcopolo za Katarama na anaish Rwanda! Hiyo kampuni anamilik yeye na kwao wana hela. Babu na Baba wote walikuwa ni marais wa Kenya. Mahustlers ni wakina Odinga na Ruto! Ila Odinga na yeye anamiliki Royal Liner za kuchonga kutoka kwa Kanjibai zipo Kenya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…