Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Mtu kazaliwa na kukulia Marekani unasema alihamia? Una uthibitisho wowote kwenye kuhamia kwake. Una tatizo la akili.
Kusoma pekee yake haitoshi! Inabidi baada ya kumaliza masomo ya shule na chuo, ni vyema kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA. Kwani huko utapata fursa ya kufahamu mambo mengine mengi.


Even those guys! Ni miongoni mwa wenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA waliohamia nchini MAREKANI kutokana na sababu za KIDIPLOMASIA, kabla hata ya MUUNGANO WA TANGANYIKA na ZANZIBARI.

Yaani punde tu, baada ya kupata UHURU WA TANGANYIKA ~ kuna raia walianza kuhama TAIFA lao kutokana na sababu za KIDIPLOMASIA.


Even those guys! Ni miongoni mwa wenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA waliohamia sehemu mbalimbali za nchi baada ya MUUNGANO WA TANGANYIKA na ZANZIBARI.


Mmoja alihamia MKOA WA DODOMA akitoka WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI na alifanikiwa kuwa WAZIRI MKUU! Mwingine alihamia MKOA WA RUVUMA akitoka WILAYA YA KISHAPU na alifanikiwa kuwa BALOZI na sasa hivi ni KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM]!


Huyu WAZIRI MKUU MSTAAFU kuna jambo alilifanya kwa WATU WA SHINYANGA ambalo hadi leo limekuwa ni tukio la kukumbukwa sana na wengine wanajaribu kumuiga.

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliokuwa wamebaki katika MIKOA yao ndiyo waliofanikiwa kuifahamu SIASA YA TANZANIA vizuri na wao walifanikiwa kujijenga KIUCHUMI kupitia VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].
 
Hii Kali kwakweli 😳😳😳😳
Kipindi kile cha miaka ya themanini [1980's] ambapo VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA vinaanza kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, kulikuwa tayari kuna WATANZANIA walikuwa wanamiliki kampuni za kibiashara.


Mmoja wapo, ni UCHIFU WA BUSIA! Kwani hao ndiyo waliokuwa wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya SKANDINAVIA iliyokuwa inafanya safari zake kutoka DAR ES SALAAM kwenda IRINGA [1984/85] na walikuwa wanapaki pale KARIAKOO, MTAA WA AGGREY.

Hivyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] waliambiwa ukweli kuwa wale UCHIFU WA BUSIA walikuwa na wanaendelea kujengwa na UINGEREZA.

Hata lile KABILA LA WAMBUNGU kutoka MBEYA, CHUNYA [kuanzia maeneo ya MAKONGOLOSI, MBANGALA, SAZA, MALEZA] walikuwa tayari wameshahamia WASUKUMA na kufanikiwa kuakisi tamaduni za WAMBUNGU. Sasa hivi 80% ya KABILA LA WAMBUNGU ni WASUKUMA wa kutoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.

Hali kadhalika, lile KABILA LA WAZIGUA kutoka TANGA, HANDENI walikuwa tayari wameshahamia WASUKUMA na kufanikiwa kuakisi tamaduni za WAZIGUA. Sasa hivi 80% ya KABILA LA WAZIGUA ni WASUKUMA wa kutoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.

Sasa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walishauriwa kuingia mahusiano ya kibiashara na WAJERUMANI na hadi kufikia miaka ya tisini [1990's] walianza kuhamisha watu wao pamoja na kumiliki kampuni za kibiashara.


Mfano mzuri wa kampuni ya kibiashara ilikuwa ni SIMBA VIDEO COACH ambayo ilikuwa inafanya safari zake kutoka DAR ES SALAAM kwenda TANGA. Hii kampuni ya SIMBA VIDEO COACH ilikuwa inamilikiwa na mmoja wa KUNDI LA BOYZ II MEN ambaye aliandika jina la mtoto wake aliyekuwa anapatikana SHINYANGA.

KUNDI LA BOYZ II MEN wote walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU na KHALFAN alikuwa ametoka katika KIJIJI CHA BUBIKI, kule kwingine walifanya kuhamia tu.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KUNDI LA BOYZ II MEN waliungana kwa pamoja na kuanza kuhamisha wale wenyeji wa asili waliokuwa wamebaki katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.
 
Hii Kali kwakweli 😳😳😳😳
Wenzenu waliambiwa SIASA YA TANZANIA inaanzia SHULENI! Wengi walishindwa kuamini kwa sababu walikuwa hawafahamu kwanini SIASA YA TANZANIA inaanzia SHULENI, wakati MATAIFA mengine SIASA huwa inaanzia kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.


Jambo la kwanza, waliambiwa [kwa sababu wote walikuwa ni WANACCM] mwanafunzi yoyote atakayefanikiwa kuongoza mara tatu [3] kitaifa atakuwa na SIFA YA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM]. Hiyo ni SIASA YA UINGEREZA katika kupata WAJUMBE WA HOUSE OF LORDS.


Sio lazima mwanafunzi aongoze kwa matokeo ya jumla, bali hata mwanafunzi akiongoza somo moja katika kila hatua ~ kuanzia DARASA LA SABA, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA atakuwa na SIFA YA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].


Jambo la pili, waliambiwa mwanafunzi yoyote atakayefanikiwa kuongoza kitaifa ~ iwe ni DARASA LA SABA au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA atakuwa na SIFA YA KUJIUNGA NA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA [hasa JESHI LA POLISI] na hii inakuwa ni "BY DEFAULT", hata asipoenda kozi anakuwa na SIFA YA KUVAA SARE ZA JESHI LA POLISI au NGAO YA JESHI LA POLISI na anakuwa na namba ~ kwa sababu JESHI LA POLISI ni jeshi ambalo linahusika na USALAMA WA RAIA.


Jambo la tatu, waliambiwa watumishi wote wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA huwa wanastaafu na hata utumishi wao unaweza kukoma endapo pale utendaji kazi wao unapokuwa umefikia mwisho. Lakini wale WANAFUNZI BORA utumishi wao katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA huwa hakuna kikomo, hadi kufa.

Jambo la nne, waliambiwa ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA huwa ina URASIMU sana na inahusisha "ACADEMIC GENOCIDE". Lakini kunakuwa kuna mwanafunzi wa kwanza hadi mwanafunzi wa mwisho kitaifa. Hivyo walitakiwa kujikita katika kuwekeza ELIMU kwa watu wao pamoja na watoto wao.

Jambo la tano, mwanafunzi yoyote atakayefanikiwa kuongoza mara tatu kuanzia DARASA LA SABA, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA atakuwa na sifa ya kuwa kwenye TUME YA MAADILI YA WATUMISHI WA UMMA na kuwa kwenye MAKUNDI MAALUM YA KUHALALISHA MGOMBEA URAIS [PRESIDENTIAL VETTING].

Sasa kwa bahati mbaya au nzuri kwa upande mwingine, miongoni mwa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na wale waliokuwa KUNDI LA BOYZ II MEN kulikuwa hakuna MWANAFUNZI BORA.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KUNDI LA BOYZ II MEN walianza kuandaa watoto pamoja na watu wao ili kuweza kupata MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kupitia BARAZA LA MITIHANI [NECTA] na hapa waliingia wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA KAGERA [KCU].
 
Hii Kali kwakweli 😳😳😳😳
Wenzenu waliambiwa baada ya kufanya ACADEMIC GENOCIDE kinachofuata ni BLACK MARKET na hiyo ndiyo SIASA YA UINGEREZA, kuyatumia majina ya WANAFUNZI BORA katika kumiliki kampuni na amana mbalimbali bila ya ridhaa yao.

Hiyo huwa ni BIASHARA na kuna watu wanajipatia FEDHA kwa namna ya kuyatumia majina ya WANAFUNZI BORA katika kumiliki kampuni na amana mbalimbali.


Ndiyo maana huwa ni nadra sana kusikia mbele ya umma wakitangaza matokeo ya WANAFUNZI WA DARASA LA SABA, KIDATO CHA NNE NA KIDATO CHA SITA.

Hivyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KUNDI LA BOYZ II MEN walitakiwa kujipanga na kufuatilia kila kinachojiri katika kila MTIHANI WA TAIFA.

Maana WANAFUNZI BORA huwa wanapitia misukosuko mingi pamoja na kukosa ajira, kwa sababu majina yao yanakuwa yanaonekana yakimiliki kampuni, miradi na amana mbalimbali. Hivyo inakuwa ni vigumu sana kwa MUWEKEZAJI kuweza kupata AJIRA!

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU], TABORA [WETCU] na KAGERA [KCU] pamoja na KUNDI LA BOYZ II MEN waliamua kusambaza watu wao ndani na nje ya mipaka ya TANZANIA na njia sahihi ilikuwa ni kujiunga na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA.
 
Sasa kwa bahati mbaya au nzuri kwa upande mwingine, miongoni mwa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na wale waliokuwa KUNDI LA BOYZ II MEN kulikuwa hakuna MWANAFUNZI BORA.
 
Baadae wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KUNDI LA BOYZ II MEN waliambiwa kuwa TANZANIA inakaribia kufanana na KONGO, tofauti iliyopo ni VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE yaani "CIVIL WAR" ambavyo kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA inakuwa ni hakuna.

Lakini kwa upande wa TAIFA LA KONGO huwa hakuna MAMLAKA YA KISHERIA yaani "JURISDICTION", kule NGUVU YA FEDHA ndiyo inatawala na kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA huwa hakuna MAMLAKA ZA KUHOJI yaani "INTERROGATION".

Kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, TAASISI ZA UMMA zikiwemo MAMLAKA ZA KISERIKALI zinakuwa na namna yake ya kuchunguza jambo na huwa inafikia hatua ya kuhoji endapo mhusika atakutwa na hatia au jinai ya kuweza kujibu.


Hivyo na wao, yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KUNDI LA BOYZ II MEN waliambiwa kuwa wanaweza kuyatumia majina ya WANAFUNZI BORA katika kumiliki kampuni na amana mbalimbali.


Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KUNDI LA BOYZ II MEN walianza kuyatumia majina ya WANAFUNZI BORA katika kumiliki kampuni na amana mbalimbali.

Yaani ilikuwa ni kama VITA! Kila mmoja alijaribu kufanya kila aliwezalo kutumia majina ya watoto wa mwenzie ilmradi kumuharibia!. Hicho kipindi ndiyo ilikuwa mwanzo wa kuibuka kwa wingi MAJINA YA WATU pamoja na WANAFUNZI BORA katika kumiliki kampuni na amana mbalimbali bila ya ridhaa yao.

Wao, MAMLAKA ZA KISERIKALI wanalenga kukusanya KODI tu! Lakini mambo mengine hayawahusu.
 
Yaani kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, unaweza kukuta MAMLAKA ZA KISERIKALI zinatumia gharama kubwa na muda mwingi wa kufanya uchunguzi wa jambo fulani, ilhali jambo hilo walikuwa wanaweza kulitatua ndani ya dakika tatu kwa kuhoji [INTERROGATE] mhusika.

Lakini kwa bahati mbaya, huwa hawana utaratibu wa kufanya INTERROGATION kama ilivyo kwa MATAIFA mengine ya AFRIKA YA MASHARIKI kama RWANDA [baada ya 1994], KENYA na hata UGANDA.


Kwahiyo mianya ya kutoa na kupokea rushwa huwa ni mingi na hata uwezekano wa kutokea hali ya uonevu huwa ni mkubwa pia, kwa sababu mhusika anakuwa hajashirikishwa.
 
Mfano, kuna kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa [...] na inafanya shughuli zake kutoka ARUSHA hadi DAR ES SALAAM.

Hiyo kampuni kipindi inasababisha ajali ya kugonga gari ndogo na kuua binti, ilikuwa imeandikwa kuwa inamilikiwa na MWANAFUNZI BORA WA 2007.

Wakati huyo MWANAFUNZI BORA hawajawahi hata kuonekana katika hiyo kampuni na kipindi anasoma SHULE YA SEKONDARI YA MOSHI [2008-2010] hakuwahi kabisa kupanda hiyo gari inayodaiwa kuwa ni anamiliki.

Yeye alikuwa anatumia kampuni ya DAR EXPRESS kipindi chote ambacho alikuwa anakwenda DAR ES SALAAM. Yaani kutoka mwaka 2008 hadi mwaka 2010, alikuwa anatumia DAR EXPRESS tu.


Sasa hivi kesi ipo MAHAKAMANI na WAHANGA WA AJALI wamefanikiwa kushinda kesi na kudai fidia inayokadiriwa kufika Tsh300,000,000.00 na ule upande mwingine kwa kuangalia madhaifu ya kampuni iliyosababisha ajali wanatakiwa kulipa tena kiasi cha FEDHA zinazokadiriwa kufika Tsh200,000,000.00. Tofauti na hapo wanamuhitaji mmiliki halali anayetambulika kwenye nyaraka za kampuni.


Kwahiyo hawa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa [...] wanatumia jina la MWANAFUNZI BORA WA 2007 bila ya ridhaa yake na tayari wameshakutwa na hatia ya kujibu.

Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa [...] ni miongoni mwa kampuni zilizosajiliwa TANZANIA kwa kutumia majina ya watoto wa watu wengine, bila ya ridhaa ya wahusika.

Yaani wapo kishari shari!! Lakini huwezi kukuta wameandika majina ya watoto wao kwenye nyaraka za kampuni ambazo wanamiliki na hata kufanyia kazi..
 
Mfano mwingine, pale ARUSHA MJINI kuna baa inaitwa MATAKO na jina la mmiliki ni MWANAFUNZI BORA. Sijui sasa hivi kama wamebadilisha, eti MWANAFUNZI BORA anamiliki baa inaitwa MATAKO..😂

Yaani hawa WANAFUNZI BORA wanaoneka ni MATAJIRI SANA, lakini kiuhalisia hali huwa ni tofauti kabisa.

And that's pure politics! Wanaofanya hii SIASA wanaanzia SERIKALINI na hiyo ndiyo BLACK MARKET.


Hata MAUAJI YA KIMBARI kwa upande wa TAIFA LA RWANDA ilianza hivi hivi ~ pale RWANDA kulikuwa kuna KIWANDA CHA KUBANGUA KARANGA.

Kile KIWANDA CHA KUBANGUA KARANGA baada ya kuanza machafuko ya mwaka 1994, kiligeuka na kuwa GHALA LA KUIFADHIA SILAHA na SERIKALI YA RWANDA kwa kipindi hicho ndiyo wakafahamu kuwa ni KIWANDA kinachomilikiwa na MTANZANIA. Lakini ile ilikuwa ni too late..

Huyo MTANZANIA aliyekuwa anamiliki hicho KIWANDA CHA KUBANGUA KARANGA pale RWANDA, pia anamiliki kampuni nyingi za kibiashara hapa TANZANIA na anatumia majina ya WATU WENGINE pamoja na watoto wa watu wengine katika umiliki.

Kabla ya machafuko ya 1994, RWANDA walikuwa hawafanyi INTERROGATION, yaani ni kama TANZANIA ilivyo leo. Lakini baada ya MAUAJI YA KIMBARI [1994], RWANDA wapo vizuri sana.
 
Pia pale SHINYANGA MJINI kuna KIWANDA CHA KUBANGUA PAMBA kinachoitwa [...] na kinamilikiwa na MWANAFUNZI BORA kwa kutumia nyaraka za kampuni..😁

Eti ulishaona wapi mtu anamiliki KIWANDA CHA KUBANGUA PAMBA [GINNERY], halafu hata kwenye vikao vya wakulima hawajawahi kuonekana? Hii ndiyo BLACK MARKET..

Hata kwenye MAKONGAMANO YA KIJAMII hajawahi kuonekana! Kwenye BARAZA LA WILAYA hali ni hivyo hivyo..

Hali hiyo, ipo hivyo hivyo kama ilivyo kwa upande wa ile kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa [...] inayofanya shughuli zake kutoka ARUSHA hadi DAR ES SALAAM.


Yaani hawa watu wapo kishari shari na wanaendelea kutumia madhaifu ya SERIKALI, kwa sababu wao [SERIKALI] hawafanyi INTERROGATION kwa wahusika na majina ya WANAFUNZI BORA yanaendelea kutumika katika umiliki wa kampuni na amana mbalimbali bila ya ridhaa yao.


Yaani ni kama ilivyo kwa upande wa TAIFA LA KONGO, namna ambavyo watoto wadogo waliochini ya miaka 18 wanavyotumika katika VIKUNDI VYA WAASI, SEKTA YA MADINI na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA, ndivyo ilivyo kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA wanavyotumia majina ya WANAFUNZI BORA katika kumiliki kampuni na amana mbalimbali bila ya ridhaa yao.


Hii ni SABOTAGE! Lakini kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA wanaona ni utundu utundu wa kawaida wa namna ya kufanya biashara kwa sababu madhara bado hawajayaona.


Lakini watu wanaopata shida na kuathirika na hii BLACK MARKET ni WANAFUNZI BORA pamoja na WATU WENGINE ambao majina yao yanatumika katika umiliki wa kampuni na amana mbalimbali bila ya ridhaa yao.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili waliobaki wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA pamoja na KUNDI LA BOYZ II MEN walifahamu aina hii ya SIASA tangu miaka ya tisini [1990's] na walijikita katika kujiunga na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA kama KINGA dhidi ya WAHALIFU na WATU WENYE NIA MBAYA.
 
Pale katika MKOA WA KAGERA, kuna jina la MWANAFUNZI BORA linatumika katika umiliki wa mashamba ya chai.

Uwekezaji ni mkubwa sana! Anaonekana ananunua madawa ya kilimo na analipa wakulima kwa wakati, lakini hawajawahi kumuona.

Huyo MWANAFUNZI BORA ni muwekezaji katika sekta ya kilimo na hawezi kuajiriwa popote, sababu jina lake linaonekana katika sekta ya kilimo kama MUWEKEZAJI.

Hii ni BLACK MARKET na hiyo ndiyo SIASA YA TANZANIA, kwa sababu SERIKALI YA TANZANIA huwa hawafanyi INTERROGATION kwa muhusika na huwa inafikia hatua hawa WANAFUNZI BORA huwa wanadhohofika kabisa kama wasipowahiwa mapema.


Kwahiyo njia sahihi na salama ni kujiunga na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA, kwa sababu akiendelea kukaa uraiani anadhohofika, huku wengine wakiendelea kunufaika katika sekta ya kilimo kwa kulitumia jina lake.
 
Mfano mwingine, pale TABORA MJINI kuna baa inaitwa O2 na ulikuwa ukiangalia jina la umiliki lilikuwa linaonesha jina la MWANAFUNZI BORA, sijui kama sasa hivi watakuwa wamebadilisha.


Sasa hawa wenzenu baada ya kuongoza kitaifa katika masomo ya SHULE YA MSINGI, hasa SOMO LA HISABATI [2003] alianza kuvaa NGAO YA JESHI LA POLISI kupitia MKOA WA SHINYANGA akiwa KIDATO CHA TATU.


Baada ya matokeo ya kidato cha nne [2007], hali ilikuwa hivyo hivyo ~ ndiyo alikuja kuwa mwanafunzi bora kwa mwaka wa 2007.


Hata alivyoenda KILIMANJARO, aliripoti shule siku ya kwanza na akaenda kusaini kitabu cha wageni katika OFISI YA MKUU WA WILAYA YA MOSHI.


Kipindi kile ilikuwa amebakiza kuongoza KIDATO CHA SITA ili awe na SIFA YA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kupitia BARAZA LA MITIHANI [NECTA] na alifanikiwa kuongoza SOMO LA PHYSICS na GENERAL STUDIES katika mtihani wa kumaliza KIDATO CHA SITA [2010].


Hao hao ndiyo waliofanikiwa kumuweka kuwa RAIS WA TANO WA COHSS [2012/13] kipindi kile cha vurugu pale CHUO KIKUU CHA DODOMA na walimsimamisha makusudi kwa kipindi cha miaka kumi [10] tangu 2014 ili kupisha upelelezi, lakini ule ulikuwa ni mwanya wa kuchukua hela tu! Wenzenu walikuwa wanaenda DODOMA kulala HOTELI na wamefanikiwa kuchukua hela kwa kipindi cha miaka kumi [10]..😁

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliobaki TANZANIA pamoja na KUNDI LA BOYZ II MEN waliifahamu aina hii ya SIASA tangu miaka ya tisini [1990's] na wanajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kama KINGA dhidi ya watu wenye nia mbaya.
 
Wakaambiwa tena, siku ambayo TANZANIA itaanza kufanya INTERROGATION itakuwa ni mwanzo mpya wa TANZANIA tunayohitaji.

Na kuna vitu kwenye SEKTA BINAFSI ambavyo vitataifishwa, kwa sababu hata ukiuliza mmiliki aliyeandikwa kwenye nyaraka za baadhi ya kampuni binafsi hutawapata!

Kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, kuna kampuni binafsi zilizoanzishwa kwa ajili ya kufanya SABOTAGE na CHILD ABUSE kwa kuandika majina ya WANAFUNZI BORA kama wamiliki bila ya ridhaa yao.


Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KUNDI LA BOYZ II MEN walipewa taswira kamili ya uhalisia wa mambo yanayoendelea kufanyika nchini TANZANIA.

Hivyo na wao wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KUNDI LA BOYZ II MEN [hasa WHITEY HAIR] walionja, wakapenda na kusema ukweli walinogewa na hadi sasa hivi wanamiliki mambo mengi kwa kutumia majina ya watu wengine.
 
Unajua INTERROGATION sio lazima ifanyike na JESHI LA POLISI! INTERROGATION inafanyika na TAASISI yoyote au IDARA yoyote inayohusika na masuala ya kijamii.

Unakuta ardhi au jengo au kampuni imeandikwa jina ambalo hata mhusika mwenyewe hajaridhia! Hiyo inakuwa ni SABOTAGE na adhabu yake huwa ni KUTAIFISHA au wengine wanapenda kuita CONFISCATION au SEIZURE.


Hata KIOO kipindi fulani iliwahi kumilikiwa na MWANAFUNZI BORA na sijui sasa hivi kama wamebadilisha jina! Huyo MWANAFUNZI BORA aliwahi kuomba kazi pale KIOO na akakosa, yaani mmiliki anaomba kazi kwenye kampuni yake halafu anakosa kazi.

Katika hatua za kumiliki ardhi au jengo au kampuni au amana yoyote huwa ina taratibu zake na vitu kama pasipoti, sahihi, alama ya dole gumba, namba ya simu, barua pepe, barua ya mtendaji wa kijiji/mtaa, kitambulisho cha nida na namba ya TIN huwa vinahitajika.

Sasa unakuta ardhi au jengo au kampuni imeandikwa jina ambalo hata mhusika mwenyewe hajaridhia! Ina maana ni makosa ya kisheria na hawa watu wanaofanya BLACK MARKET huwa wanachukuliwa hatua za kisheria na huu mtandao huwa ni mkubwa sana.


SABOTAGE na CHILD ABUSING huwa inaanzia ndani ya SERIKALI yenyewe, sababu MTUHUMIWA atapataje majina ya WANAFUNZI BORA bila ya kuwa na watu ndani ya SERIKALI?

Hivyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KUNDI LA BOYZ II MEN walikuwa na wanaendelea kufanya BLACK MARKET.

Pia, baada ya TANZANIA kuwa SOBER HOUSE kwa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS ~ hawa nao wanafanya BLACK MARKET, tena wanamiliki vitu vingi kwa kutumia majina ya WANAFUNZI BORA.


Kwahiyo wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliobaki TANZANIA ~ walifanikiwa kuyafahamu haya mambo tangu siku nyingi sana na ilikuwa ni miaka ya tisini [1990's]. Njia pekee na salama ni kujiunga na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA kama KINGA.
 
Hii BLACK MARKET inafanyika hata ndani ya VYAMA VYA KISIASA, hasa VYAMA VYA UPINZANI.


Unaweza kukuta jina la MWANAFUNZI BORA kwenye orodha ya WAJUMBE WA BODI YA UDHAMINI wa CHAMA CHA KISIASA, limeandikwa bila ya ridhaa yake na hii ilishatokea kwa upande wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF.

Hata hawa VYAMA VYA UPINZANI wanafanya BLACK MARKET na CHILD ABUSING. Wakati mwingine unaweza kukuta jengo la ofisi ya MAKAO MAKUU YA CHAMA limeandikwa jina la MWANAFUNZI BORA [hati ya jengo] bila ya ridhaa yake.


Yaani hivi VYAMA VYA UPINZANI vina hati chafu kila wakati na hati chafu inatokana na haya mambo ya kufanya BLACK MARKET. Hawa wahusika wanaofanya BLACK MARKET huwa hawana nia njema, ni watu wa kupenda na kutaka shari.


Kwahiyo hili suala la BLACK MARKET linaanzia ndani ya SERIKALI yenyewe na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliobaki TANZANIA waliyafahamu haya mambo tangu siku nyingi sana na walijikita ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].
 
Mfano mwingine, pale MWANZA MJINI kuna kampuni ya siku nyingi sana inayoitwa [...] na inapatikana maeneo ya NYAMHONGOLO.


Ile kampuni ina mambo mazito kweli kweli na huwa wanasema wamiliki halali wa kampuni wapo SHINYANGA MJINI.

Tena walikuwa wanasema mmiliki wa kampuni amekuwa MWANAFUNZI BORA! Pale watu hawakushituka, kwa sababu WANAFUNZI BORA wapo wengi..


Walikuja wakajichanganya tena! Wakasema mmiliki wa kampuni amekuwa RAIS WA CHUO KIKUU! Aah pale watu wakafahamu..

Siku moja yule kijana waliokuwa wanamtaja kama mmiliki, alitafuta namba ya simu ya hiyo kampuni na akawapigia simu mbele ya ASKARI POLISI akajitambulisha na kuwaomba Tsh. 50,000,000 kwa ajili ya kwenda kusoma.


Wale watu walikata simu kwa aibu kubwa na akiwa mwisho! Sasa sikujua baada ya hapo kama walibadilisha majina kwenye umiliki wa kampuni au lah! Lakini ilikuwa ni aibu kwao..

Kwahiyo haya mambo ya kutumia majina bila ya idhini ya mhusika yanafanyika sana TANZANIA na wanatumia madhaifu ya SERIKALI kwa kutokufanya INTERROGATION.
 
Unajua jamii yoyote inayofanya BLACK MARKET siyo ya kuamini, hata wanafamilia wao siyo wa kuamini!.

Jamii yoyote inayofanya GENOCIDE [iwe ni ACADEMIC GENOCIDE au MASS GENOCIDE] siyo ya kuamini!.

Jamii yoyote inayofanya ABUSING OF HUMAN RIGHTS [hasa CHILD ABUSE] siyo ya kuamini!. Hawa watu huwa sio wazuri, kwa sababu wao huwa wanatumia majina ya watoto wa watu wengine katika kumiliki kampuni na amana mbalimbali, yaani inakuwa ni kama MODERN DAY SLAVERY.

Halafu wanatumia gharama kubwa kuingiza watoto wao ndani ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, AJIRA ZA SERIKALINI na ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM], huku wale watoto wengine wakiendelea kutaabika.

Kama wengine wale wamiliki wa kampuni ya usafirishaji ya abiria inayoitwa [...] walishaanza kutia nia ya UCHAGUZI MKUU WA 2025, kupitia CHAMA TAWALA, katika MKOA WA KILIMANJARO. Lakini upande mwingine wanafanya CHILD ABUSE!

Ndiyo MATAIFA yaliyoendelea huwa yanafanya hivyo, hasa MATAIFA YA MAGHARIBI. Pia ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] huwa wanafanya hivyo, endapo pale mchujo wa wagombea unapokuwa mkali.


Hao ndiyo "WANAMTANDAO" ambao wanafanya BLACK MARKET kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ~ ni mtandao hatari sana.


Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] walikuwa wanasema WHITEY HAIR alikuwa anaweza kuwa hata jirani yako bila ya wewe mwenyewe kujijua.

Pia ulikuwa ukiongeza na wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO [PUISSANTS], basi TANZANIA iligeuka na kuwa UWANJA WA FUJO. Kila mtu alikuwa na jambo lake.

Kwahiyo wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliobaki TANZANIA walikuwa wanafahamu kinagaubaga mambo yaliyokuwa yakiendelea kwa kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's].
 
Mifano ipo mingi sana! Ukiwa pale SHINYANGA MJINI kuna kampuni ya usafirishaji ya siku nyingi na wanafanya BLACK MARKET hadi leo.

Yaani ni watu wa shari shari na wanaharibu maisha ya vijana wengi kwa namna ya kutumia majina bila ya ridhaa yao katika kumiliki kampuni na amana mbalimbali.


Basi ile kampuni na wenyewe waliambiwa wamlete huyo mmiliki wa kampuni anayeonekana katika nyaraka za kampuni yao ili awe KATIBU WA VIJANA ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM]. Hawakuweza kufanya hivyo na hiyo kampuni waliona aibu na sijui wanaficha wapi nyuso zao..🙈

Hii BLACK MARKET inaanzia ndani ya SERIKALI yenyewe na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliobaki TANZANIA wanafahamu sana na TANZANIA iligeuka kuwa UWANJA WA FUJO tangu miaka ya tisini [1990's].


Wale wenzenu ambao ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA huwa wanajitahidi kuweka watu wao kwenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA, ili pale inapotokea wamepata KIONGOZI WA KITAIFA ~ wanakuwa wamebeba jukumu la kulinda wao wenyewe. Tofauti na alivyokuwa anafanya HAYATI JPM, ukikosea au ukichanganya watu umeisha..

Kwahiyo kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KAGERA [KCU] walikuwa wamechangamka sana, wakiongozwa na KUNDI LA BOYZ II MEN.

Pia KUNDI LA BOYZ II MEN lilisambaratika baada ya mmoja wao kuaga dunia [DISEMBA, 1994] na viongozi wa kitaifa waliokuwepo kwa kipindi kile pamoja na familia walifanya "BESS SURVIVED" kwa MWENDAZAKE.
 
History of our nation

Ni kwanini wanapenda maigizo kwenye sehemu zenye heshima, na ni kwanini yale ndio yanakuwa ya muhimu mpaka kufikia kuandikwa kwenye historia

Inashangaza, kumbe mwanzo wa haya mambo yote ni ule mkasa tunaoukuta mashuleni, mzumbe, tabora, ilboru, what matters ni ulipotokea, lakini zamani story ilikuwa ni tofauti kidogo mtifuano ulikuwa ni kati ya mpare na mchaga na bahati mbaya ni kwamba sisi wadogo tulikuwa hatuzungumziwi kabisa

Kile kitendo cha mimi kutokusikia jina la kabila langu pamoja na watu wangu kwenye maeneo ya heshima tukisifiwa kama ilivyokuwa kwa mpare, mchaga au muhaya. na huyu wa mwisho alikuwa anapenda kuna muda alianzisha matani ili apate sifa, alikuwa mpenda sifa jamaa, hebu angalia mfano hapo ni shuleni, na ukizingatia mimi ni kijana wa kikristo, nimefundishwa jema na baya, na niliona kabisa watu wakinifanyia ubaya,

Kama kawaida haikuishia mashuleni tuu, kila nilipokuwa nikikanyaga mguu wangu, nilikuta wachaga,wahaya na wasukuma na wote walitaka tutambuane kupitia makabila licha ya sisi sote kuwa wazungumzaji wa lugha ya kiswahili, wao walijinadi kwa sifa za makabila yao,

Mimi mchaga bwana, kwani wewe mtani ni kabila gani?,

Mimi mwenyewe nisingekubali nichekwe, nidharauliwe au nitukanwe eti kisa kabila, eti kwakuwa mimi ninatoka kabila dogo, eti kule kwetu hakujastaarabika, kweli?! shutuma juu ya kabila letu zilikuwa ni nyingi na muda mwingi tulionekana dhaifu kwenye majukwaa ya maigizo ya lugha ya kiswahili, aliyesifiwa alikuwa mchaga,



Ngoja nikajikusanye ntarudi

Dont take it serious
History is hostile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…