Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Yote hayo yaliyofanywa na yanayoendelea kufanywa ni kwa maslahi ya Nani? Chama au Taifa au Simba na chui unaowaongelea?
 
Na kwa muendelezo wa posti namba 354 - baada ya mauaji ya KIMBARI ya mwaka 1994. Hizi nchi mbili za RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ zilifanyika kuwa ni sehemu ya kimkakati kwa SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Hizi nchi mbili za RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ zinatumika kama ni mikono ya IKULU ๐Ÿ”ตโšช ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Yaani IKULU ๐Ÿ”ตโšช ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ inazitumia hizi nchi mbili za RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ kama njia ya kufanya shughuli zake za KISIASA ndani na nje ya mipaka ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ ni hatari sana! Kiintelijensia, RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ huwa inaitwa REAL MADRID na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ huwa inaitwa BARCELONA. Ni watu hatari sana kwenye masuala ya kiintelijensia.

Na hizi nchi mbili za RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ huwa zinatumika kulinda masilahi ya CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM, ndio maana huwa ni vigumu sana kwa UPINZANI kushinda hata kiti cha UDIWANI.

Hata kama ikitokea CHAMA CHA UPINZANI kimeshinda iwe kiti cha UDIWANI au UBUNGE, huwa wanapewa tu ili kukamilisha sera ya MFUMO WA VYAMA VINGI, lakini hakuna CHAMA CHA UPINZANI kinachoshinda kwenye UCHAGUZI MKUU kwa nguvu zake zenyewe.

Hiyo ndio SIASA YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.
 
Yote hayo yaliyofanywa na yanayoendelea kufanywa ni kwa maslahi ya Nani?
Huwa ni kwa masilahi ya SERENGETI yaani CHUI au kwa jina lingine wanaitwa RAMADHANI yaani RAMA.
Chama au Taifa
Huwa hakuna MASILAHI YA TAIFA! Huwa kuna MASILAHI YA CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM!

MASILAHI YA CHAMA CHA MAPINDUZI ndio MASILAHI YA TAIFA. Hauwezi ukatofautisha wala kutenganisha.

MASILAHI YA TAIFA ni CHAMA CHA MAPINDUZI kwanza, mengine baadae!

Tofauti na hapo, CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM kingelikuwa kimeshatoka madarakani tangu siku nyingi.
au Simba na chui unaowaongelea?
SERENGETI yaani CHUI yaani RAMADHANI au RAMA ndio wenye CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM na ndio wenye SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kupitia kwa HAYATI MWALIMU.

Na MWASHITA yaani SIMBA ndio jamii inayoonekana kuhatarisha MASILAHI YA SERENGETI au MASILAHI YA CHAMA CHA MAPINDUZI kutokana na idadi yao kuwa kubwa ukilinganisha na idadi ya jamii zingine.

Ndio maana HAYATI MWALIMU alijaribu na akafanikiwa kuiweka karibu hii jamii ya MWASHITA yaani SIMBA na kufanya kuwa ni NGOME YA CHAMA CHA MAPINDUZI.

Hii mbinu aliyotumia HAYATI MWALIMU ilikuwa inaitwa "PUT YOUR ENEMIES CLOSER, THEN FINISH". Kwa lugha ya kiswahili tunaweza kusema hivi - "KUWA KARIBU NA MAADUI ZAKO, HALAFU WAMALIZE".

Lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA wao walionekana kufanikiwa na hii mbinu ya HAYATI MWALIMU, kwa sababu walitumia muda mwingi kujinufaisha wenyewe kupitia VYAMA VYA USHIRIKA.

Sio siri, kuna mikakati na jitihada madhubuti tangu siku nyingi za kudhoofisha hii jamii ya MWASHITA yaani SIMBA na wanaidhoofisha kupitia ELIMU yaani NECTA | Home.

Kwa wale wakazi wa MWASHITA watakubaliana na mimi kuwa kipindi cha miaka ya 2005 kushuka chini, tulikuwa tunaambiwa mkoa wa SHINYANGA ulikuwa ni mkoa wa mwisho kitaifa kwa upande wa taaluma lakini mwanafunzi akiingia kwenye chumba cha mtihani na akatoka, anakataa!!

Hii jamii ya MWASHITA yaani SIMBA ingelikuwa haina tofauti na jamii za mikoa ya SINGIDA, DODOMA, IRINGA, RUVUMA, MTWARA, LINDI, KIGOMA na RUKWA.

Lakini kuna jitihada za makusudi zinazofanywa na hawa waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU kupitia makampuni yao binafsi wanayoyamiliki - kwa kuwapatia ajira wenyeji wa hii mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA ili kuinua hali zao za kimaisha.

Ndio maana wenyeji wa hii mikoa ya MWASHITA yaani SIMBA wanaonekana kuwa juu kwenye tasnia mbali mbali licha ya kuwa kuna mikakati na jitihada madhubuti za kuwadhoofisha. Lakini sasa hivi ukienda pale TIGO kuna mkurungenzi ambaye ni SIMBA [ ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ ]! Ukienda pale MWANANCHI COMMUNICATIONS kuna mkurungenzi ambaye ni SIMBA [ ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ ] na kwa siku za usoni makampuni yote ya MWASHITA yataongozwa na wakurungenzi ambao ni SIMBA.

Na sasa hivi, hawa MWASHITA wako juu sana kiuchumi kuliko jamii yoyote ile TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na kuna mpango wa kupanua chuo kikuu cha ECKERNFORDE TANGA UNIVERSITY ili kiwe na uwezo wa kuchukua wanafunzi wa fani mbali mbali na kuwa msaada kwa wanafunzi wanaomaliza elimu ya kidato cha nne kutoka MWASHITA ili wawe na fursa ya kujiunga na elimu ya chuo kikuu pale ECKERNFORDE TANGA UNIVERSITY.
 
Kwahiyo ndio Mana Kuna mahali Fulani pale Tanga mjini ila ni nje kidogo ya mji , Kuna sehemu hao unaowaita wanasimba wako wengi sana...
 
Kwahiyo ndio Mana Kuna mahali Fulani pale Tanga mjini ila ni nje kidogo ya mji , Kuna sehemu hao unaowaita wanasimba wako wengi sana...
Ndio! Mimi mwenyewe nilishawahi kuishi RASKAZONE na tulifanikiwa kurudi SHINYANGA baada ya kifo cha HAYATI MWALIMU, mwaka 1999.

Hao ni SIMBA kutoka SHINYANGA waliohamia huko TANGA tangu miaka ya tisini.

Unaambiwa hivi, hizo familia za SIMBA zinatunzwa na kuhudumiwa kila kitu mpaka pesa ya matibabu.

Miongoni mwa wale SIMBA waliohamia TANGA, wamo MAWAZIRI wawili kwenye baraza la mawaziri la Rais SAMIA SULUHU HASSAN.

Halafu hawa SIMBA wa TANGA ndio wafanyakazi wa viwanda vya SIMBA CEMENT, TANGA FRESH, TANGA PHARMACEUTICAL & PLASTICS LTD na ndio madereva wa malori ya SIMBA MTOTO, mabasi ya SIMBA MTOTO, TASHRIFF pamoja na TAHMEED.
 
Kwahiyo ndio Mana Kuna mahali Fulani pale Tanga mjini ila ni nje kidogo ya mji , Kuna sehemu hao unaowaita wanasimba wako wengi sana...​


Unaona hii APARTMENT iliyokuwa inamilikiwa na MIKE TYSON halafu baadae 50 CENT.

Hii APARTMENT, 50 CENT aliiuza SHILINGI USD 10.9 MILLION sawa na SHILINGI BILIONI 25 za KITANZANIA.

Na waliokuwa nyuma ya haya manunuzi ya hii APARTMENT walikuwa ni MWASHITA yaani SIMBA.

Hawa MWASHITA yaani SIMBA huwa wanatabia ya kununua halafu wanauza kwa faida. Kwahiyo, hii APARTMENT watauza kwa faida na pesa itakayopatikana watatumia kujenga CHUO KIKUU CHA ECKERNFORDE TANGA UNIVERSITY.
 
Jaribu tena kupitia na kutizama hii makala ya video iliyoandaliwa na kituo cha televisheni cha KTN NEWS kinachopatikana nchini KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช.


Hiyo ndio SIASA inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM. Na CCM inafanana kabisa na KANISA KATOLIKI, kimfumo na kiuendeshaji - ndio maana wengine huwa wanadiliki kusema TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ni MFUMO KATOLIKI.

Kwenye KANISA KATOLIKI huwa kuna SHERIA ZA KANISA [ MATRIMONI ] na AMRI KUMI ZA MUNGU lakini SHERIA ZA KANISA [ MATRIMONI ] ndio zinapewa kipaumbele kuliko hata AMRI KUMI ZA MUNGU kwa sababu SHERIA ZA KANISA [ MATRIMONI ] ndio zimebeba MISINGI YA KANISA.

Kwahiyo, kwenye KANISA KATOLIKI unaweza kuvunja AMRI KUMI ZA MUNGU na ukasamehewa! Lakini kuna SHERIA ZA KANISA [ MATRIMONI ] ambazo ukivunja unafukuzwa UUMINI WA KANISA KATOLIKI. Hii yote inafanyika ili kulinda MISINGI YA KANISA KATOLIKI.

Kwahiyo, kwenye KANISA KATOLIKI unaweza kuua, kuzini, kusema uongo na hata kufanya dhambi nyingine lakini iwe ni kwa MASILAHI YA KANISA KATOLIKI, utasamehewa. Na hata unaweza kutangazwa kuwa ni MTAKATIFU.

Hali hii iko hivyo hivyo kwa upande wa CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM. Huwa kuna KATIBA YA NCHI na KATIBA YA CCM lakini KATIBA YA CCM ndio inapewa kipaumbele kuliko hata KATIBA YA NCHI kwa sababu KATIBA YA CCM ndio imebeba UHAI WA CHAMA CHA MAPINDUZI.

Ukiwa ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI unaweza ukavunja KATIBA YA NCHI na ukapeta! Lakini kuna MIIKO YA CHAMA ambayo ukiivunja unafukuzwa UANACHAMA. Na hii yote inafanyika ili kulinda MISINGI YA CHAMA CHA MAPINDUZI.

Kwahiyo, mambo yote yanayofanyika chini ya SERIKALI INAYOONGOZWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM ni kwa ajili ya MASILAHI YA CHAMA CHA MAPINDUZI.

Narudia tena, mambo yote yanayofanyika chini ya SERIKALI INAYOONGOZWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM ni kwa ajili ya MASILAHI YA CHAMA CHA MAPINDUZI. Iwe ni kuteka na kuua watu! Iwe ni kukandamiza uhuru wa kujieleza na habari! Iwe ni kupika matokeo ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari! Iwe ni kutumia nguvu ya DOLA kwenye chaguzi za serikali! Iwe ni kufanya kila aina ya uchafu! Hiyo ndio CCM!!

Kwahiyo, VYAMA SHINDANI vinatakiwa vikabiliane na aina ya SIASA inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM ndio vinaweza angalau kuleta mabadiliko ya kweli.

Halafu pia, hawa VIONGOZI WA UPINZANI tulionao, wajaribu kuongeza mahusiano ya siasa zenye tija na mataifa ya KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ, BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ, RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช kwa sababu wao wanaweza kuwa na msaada, ukizingatia CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM kilileta mabadiliko ya kisiasa kwenye hizo nchi husika.
 
Kwa muendelezo wa posti namba 359 - kuhusu UJIRANI MWEMA.

Kwa upande wa KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช, watoto wenye ushawishi waliopatikana baada ya UJIRANI MWEMA, miongoni mwao ni MUHOHO KENYATTA yaani mtoto wa UHURU KENYATTA.

MUHOHO KENYATTA anatazamiwa kuwa MWANASIASA MKUBWA kwa siku za usoni na wanao cheza karata hii ni TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwa sababu MUHOHO KENYATTA mama yake, yaani MAMA MARGARET KENYATTA ni MTANZANIA wa kuzaliwa na hata atakayekuja kuwa mke wa MUHOHO KENYATTA atakuwa ni mwanamke mwenye asili ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. MUHOHO KENYATTA ndiye anayedhaniwa kufuata nyao za baba yake, UHURU KENYATTA.

Na kwa upande wa UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ, watoto wenye ushawishi waliopatikana baada ya UJIRANI MWEMA, miongoni mwao ni ERICK KAMBALE na TADDEO LWANGA. Hawa wote ni wacheza mpira wa timu ya taifa ya UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ - ERICK KAMBALE ni mcheza mpira wa klabu ya EXPRESS FC na TADDEO LWANGA ni mcheza mpira wa timu ya SIMBA SC.

ERICK KAMBALE na TADDEO LWANGA, wote hawa ni SIMBA yaani MWASHITA ambao wazazi wao walihamia UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ. Kwahiyo, msishangae kuona siku moja ERICK KAMBALE naye amekuja kucheza SIMBA SC kwa sababu wengi wao huwa wanatamani kurudi nyumbani kwa namna moja ama nyingine.

Na kwa upande wa KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ - wapo wanasiasa wengi, wasanii wa nyimbo za dansi na injili wengi, wacheza mpira wengi na kitu kingine ambacho WATANZANIA wengi huwa hawafahumu ni kuwa wacheza mpira wengi [ asilimia themanini - 80% ] wa klabu ya TP MAZEMBE ๐Ÿ ni wacheza mpira wenye asili ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ. Na hata huyu mfungaji bora wa timu ya RAJA CASABLANCA anayejulikana kwa jina la BEN MALANGO ni MKONGOMANI mwenye asili ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. Hawa wote walipatikana kutokana na UJIRANI MWEMA.

Sasa hii ya UJIRANI MWEMA, siku hizi vijana wa kileo tumerahisisha - inakuwa sio lazima ndoa lakini kunaweza kuwa na makubaliano ya kupata mtoto na kulea ikiwa inamaanisha kufanya mapatano ya damu baina ya raia wa nchi mbili tofauti.

Inaweza kutokea kwa JINSIA YA KIKE kutaka mtoto kutoka kwa JINSIA YA KIUME! Au JINSIA YA KIUME kutaka mtoto kutoka kwa JINSIA YA KIKE. Kwa mazingira haya, inakuwa sio TABIA MBAYA wala sio UMALAYA bali inakuwa ni ishara ya mafungamano ya UJIRANI MWEMA ambayo hayatakuja kuvunjwa milele na milele.
 


Kwa muendelezo wa posti hapo juu - HAYATI MWALIMU mpaka umauti unamkuta alikuwa tayari ameshasambaza SERENGETI kwa nchi zote za KIAFRIKA. Hawa SERENGETI yaani CHUI walikuwa ni wake kwa waume na wenye sifa ya kuolewa na kuoa.

Hii yote ilifanyika kwa nia ya kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na mataifa mbali mbali dhidi ya CHAMA CHA MAPINDUZI na TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwa ujumla.

Vile vile hawa watu wa mataifa mengine ya AFRIKA na hata nje ya AFRIKA nao walifanya hivyo hivyo kwa upande wa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwa kukubali kuja na kuishi TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ikiwa ni pamoja na kuoa au kuolewa na WATANZANIA. Hiki kitendo kwa lugha ya kiingereza wanaita ni "INTERMARRIAGE".

Sasa CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM walijidhatiti kupitia mfumo huu wa mahusiano ya kijinsia, kiudugu na hata kidiplomasia dhidi ya mataifa mengine. Kwahiyo CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM kimejiimalisha na kujidhatiti sana kupitia sera ya mambo ya nje.

Ndio maana inakuwa ni vigumu kwa VYAMA VYA UPINZANI kukubalika ndani ya nchi na hata nje ya nchi, kwa sababu CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM wao walijiimarisha sana kupitia UTU yaani HUMANITY kwa kuwa na kauli mbiu inayosema "BINADAMU WOTE NI SAWA NA KILA MTU ANASTAHILI HESHIMA".

Na mpaka sasa hivi kuna watu wanaendelea kunufaika na uwepo wa CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM kuendelea kuwepo madarakani. Kwahiyo inakuwa ni vigumu kwa VYAMA VYA UPINZANI kuweza kukubalika, kuwa na nguvu ya ushawishi na hata kushinda UCHAGUZI.

Kwahiyo VYAMA VYA UPINZANI kama vinataka kuleta mabadiliko ya kweli ni lazima wategue mitego yote iliyofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM, tofauti na hapo watakuwa wanapaka rangi upepo.

Na hawa VYAMA VYA UPINZANI wala wasitegemee taasisi za dini, kwa sababu hizi taasisi za dini hazina madhara yoyote zaidi ya kufanya maombi na sala. Hizi taasisi za dini zote zilishadhibitiwa, kwahiyo hazina madhara kwa watawala yaani CHAMA CHA MAPINDUZI.

Na watu wenye madhara ambao walikuwa wanaweza kuitingisha CCM ni MWASHITA yaani SIMBA pekee yao, wengine ni SAMBULA MATE tu yaani ni WATU WASIOJIWEZA yaani ni WATU WANAOHITAJI MSAADA.

Na wala msitegemee MWASHITA yaani SIMBA watakuja kuitingisha CCM, kwa sababu wao ndio wanaokula na kufurahia keki ya taifa. Hawa MWASHITA yaani SIMBA ndio jamii yenye uchumi mkubwa inayonufaika na uwepo wa CHAMA CHA MAPINDUZI madarakani.

Jamii nyingine zisipoamka, zitaendelea kuwa ni jamii za kuajiriwa na kufanya biashara ndogo ndogo, yaani "PETTY TRADE".

Hiyo ndio SIASA YA TANZANIA! Hiyo ndio HALI HALISI YA TANZANIA! Na hiyo ndio CCM aliyoiacha HAYATI MWALIMU!
 


Ukiangalia posti niliyonukuu hapo juu, kwenye orodha ya timu za mpira wa miguu zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA hakuna timu ya mpira wa miguu kutoka MSUMBIJI ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ.

Sasa basi, hawa MWASHITA yaani SIMBA ndio wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji wa mizigo inayoitwa ALISTAIR. Hii kampuni inafanya vizuri sana kwa upande wa KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช, TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ, AFRIKA YA KUSINI ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ na MSUMBIJI ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ yenyewe.

Kwa upande wa MSUMBIJI ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ, hawa MWASHITA yaani SIMBA watamiliki timu ya mpira wa miguu kupitia kampuni yao ya usafirishaji ya ALISTAIR.

Halafu pia, hii ALISTAIR kama imepunguza uwezo wake wa kufanya kazi kwa upande wa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwa sababu tenda zake nyingi zimechukuliwa na makampuni wenza ya CONVOY HAULAGE, SIMBA MTOTO, BLUE COAST, TEXAS na BIG BULLETS.

Vile vile wale SIMBA yaani MWASHITA waliohamia TANGA ndio wafanyakazi na madereva wa malori ya SIMBA MTOTO, BLUE COAST, TEXAS, BIG BULLETS, CONVOY HAULAGE, SIMBA LOGISTICS pamoja na ALISTAIR.

Baada ya kufanikiwa kuwekeza kwenye nchi ya MSUMBIJI ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ, hawa MWASHITA yaani SIMBA watakuwa wamefanikiwa kuizunguka nchi yote ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwa kufanikiwa kuwekeza kwenye nchi zote nane zinazoizunguka TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.
 

Baada ya kufanikiwa kuwekeza kwenye nchi za AFRIKA YA MASHARIKI pamoja na nchi ya MSUMBIJI ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ - hawa MWASHITA yaani SIMBA watakuja na mradi wa tatu. Huu mradi wa tatu utaanza kufanya kazi kuanzia mwaka 2025.

Huu mradi utakuwa ni mradi unaonganisha majiji yote ya nchi zote za SADC [ SOUTHERN AFRICAN DEVELOPMENT COUNTRIES ] kwa njia ya barabara.


Kutakuwa na kampuni moja ya usafirishaji wa abiria itakayounganisha nchi zote za SADC, kama unavyoona hapo juu kwenye ramani.

Hii kampuni itakuja na jina litakalojulikana kama SADC ROAD LINK itakayounganisha nchi za KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช, UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ, RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ, KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ, ANGOLA ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด, NAMIBIA ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฆ, BOTSWANA ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ, AFRIKA YA KUSINI ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ, LESOTHO ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ธ, ESWATINI ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ, ZIMBABWE ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ, ZAMBIA ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ, MALAWI ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ, MSUMBIJI ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ na TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ yenyewe.


Kama unavyoona hapo juu! Huu mradi utakuwa unajumuisha gari aina ya SCANIA TURISMO kama unavyoona hapo kwenye picha, hizi ni gari zinazotengenezwa na kampuni ya Banbros Limited inayopatikana nchini KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช. Hii kampuni ya Banbros Limited inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA.

Kwahiyo hii itakuwa ni fursa ya kibiashara kwa kampuni ya Banbros Limited kutangaza bidhaa zake kwenye nchi za SADC.

Na awamu hii itakuwa inachukua wafanyakazi wote yaani SIMBA au MWASHITA wa mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA kwenda kufanya kazi kwenye hizi nchi za SADC.

Na hii ndio SIASA inayofanywa na MWASHITA yaani SIMBA yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU kuwainua kiuchumi hawa wakazi wa hii mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA.

Hiyo ndio SIASA inayofanywa na MWASHITA yaani SIMBA dhidi ya SERIKALI INAYOONGOZWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI YAANI CCM.
 
Huyo Kambona ni mjinga Kama wajinga wengine.. Mwalimu ni rais bora hapa Tanzania na afrika
Ndio! Hana tofauti na ADAM SAPI MKWAWA aliyekuwa SPIKA WA BUNGE mstaafu! Angalia SAFARI CHANNEL na TBC1, kuna makala ya video inaelezea familia na maisha ya aliyekuwa SPIKA WA BUNGE mstaafu, ADAM SAPI MKWAWA. Ile ni FEDHEA wala sio uongo.

Hivi unafahamu kipindi wanajeshi wa JWTZ walivyoamua kumjengea nyumba HAYATI MWALIMU, walimwambia hivi - Ni aibu kwa BABA WA TAIFA kuwa na nyumba ndogo ambayo hata tembo hatoshi!

Unafahamu HAYATI MWALIMU alivyowajibu wale waliokuwa wanajeshi wa JWTZ? Aliwajibu hivi - Nyinyi ni wajinga, mimi nina uwanja mkubwa unaoweza kuchukua tembo zaidi elfu moja.

Sasa swali lingine linakuja, huo uwanja aliokuwa akiusema HAYATI MWALIMU ulikuwa ni uwanja upi? Huo uwanja ni ule uliokuwa ukitumiwa na timu ya mpira ya UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช, iliyokuwa ikijulikana kwa jina la BAYERN MUNICH.

Tangia hapo, sura yenye picha ya HAYATI MWALIMU iliwekwa kwenye NOTI YA SHILINGI ELFU MOJA [ 1000 ].






Hiyo ndio historia ya NOTI YA SHILINGI ELFU MOJA [ 1000 ].
 


Kwahiyo HUNIJUI SIKUJUI hali halisi ndio hiyo! Hapo ni moja ya makampuni ya MWASHITA yaani SIMBA inayomilikiwa na waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU.




Hiyo ni AZANIA, kampuni ambayo inaongoza kwa kulipa kodi TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, inalipa kiasi cha shilingi bilioni tano kwa mwezi [ 5,000,000,000 ] na jumla ya shilingi bilioni sitini kwa mwaka [ 60,000,000,000 ] pesa taslimu za KITANZANIA.



Hii ni muendelezo wa kampuni ya AZANIA inayomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA. Lakini kuna kiwanda kingine kinachotengeneza vilainishi kilicho chini ya kampuni tanzu ya LAKE GROUP.



Hii ni kampuni ya LAKE GROUP yenye vituo vya mafuta vya LAKE OIL, pia inatengeneza vilainishi [ LUBRICANTS ] vinavyotumika viwandani.



Na kama unafanya biashara ya matunda na bidhaa za matunda nchini TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, fahamu kuwa kuna kiwanda kikubwa kabisa nchini TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla chenye miundombinu ya kisasa ya kusindika matunda kwa muda mrefu bila kuharibika. Kiwanda hiki kinaitwa SAYONA na kipo chini ya makampuni ya MOTISUN GROUP na kinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA na wafanyakazi wengi wanaofanya kazi kwenye hiki kiwanda ni SIMBA yaani wale wenyeji wa mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA.

Kwa leo inatosha! Maana kuna mengi ya kueleza, lakini hivi ni baadhi ya viwanda vinavyomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU.
 


Na hawa MWASHITA yaani SIMBA wapo hadi ULAYA. Hawa waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa uwanja wa VELTINS ARENA pamoja na timu ya FC SCHALKE 04 iliyoshiriki ligi kuu nchini UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช msimu uliopita na sasa hivi ipo daraja la kwanza.
 


Na hawa MWASHITA yaani SIMBA wapo hadi ULAYA. Hawa waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa uwanja wa VISIT MALLORCA pamoja na timu ya REAL MALLORCA inayoshiriki ligi kuu nchini UHISPANIA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ.
 


Na hawa MWASHITA yaani SIMBA wapo hadi ULAYA. Hawa waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa uwanja wa CELTIC PARK pamoja na timu ya CELTIC FC inayoshiriki ligi kuu nchini USKOCHI ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ.
 


Na hawa MWASHITA yaani SIMBA wapo hadi ULAYA. Hawa waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa uwanja wa THE VALLEY pamoja na timu ya CHARLTON FC inayoshiriki daraja la kwanza nchini UINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง.
 
Ngoja kuna kitu nataka nikuoneshe, vumilia mpaka mwisho utaelewa, sasa hivi umeanza kuelewa japo kidogo!

Ndio maana nasema hivi - Mahesabu yanagoma! Namba zinakataa! UPINZANI tulionao TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ sio wenyewe! Hao ni sehemu ya CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM.

Tuvumilie mpaka 2025, labda tunaweza kupata UPINZANI mwingine lakini huu uliopo sasa hivi mahesabu yanagoma kabisa.

Hawa UPINZANI waliopo sasa hivi, walianza kufanya SIASA MASILAHI mapema sana ndio maana wamekataliwa.

Hivi unafahamu kuwa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kuna CHAMA CHA KISIASA kinamiliki uwanja wa SANTIAGO BERNABEU na timu ya mpira ya REAL MADRID inayoshiriki ligi kuu nchini UHISPANIA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ? Haya mambo mnayafahamu? Jamani CCM ni zaidi ya chama ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ