Kwamba Simba SC ni mali ya CUF? Waliinunua lini?Mimi sio mwanausalama! Lakini nilitumia muda mwingi sana kujihusisha na SIASA ZA CCM kipindi nipo CHUO KIKUU CHA DODOMA.
Na nilifanikiwa kukutana na INNER CIRCLE ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] kipindi hicho, 2013.
Ukizingatia mimi nilikuwa "MWANAFUNZI BORA" kidato cha nne, 2007 - kwahiyo na wao pia walikuwa na shahuku ya kufahamu maendeleo yangu ya kitaaluma.
Tofauti na hapo, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] ni chama bora sana na kinafanya SIASA ZA KIMATAIFA, hali ni tofauti kabisa na watu wengi wanavyodhani huku uraiani. Hawa watu wamejipanga!
Hapana! CCM sio mali ya WAJERUMANI ๐ฉ๐ช wala WAITALIANO ๐ฎ๐น. Jaribu kupitia posti za nyuma tumeshaeleza ni namna gani haya mataifa mawili yanavyohusika na siasa za TANZANIA ๐น๐ฟ kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ.Kwa maelezo yako CCM ni mali ya Wajerumani na Waitaliano, kwa maana hiyo tunatawaliwa na nchi hizo?
Wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF โ๏ธ ndio wamiliki halali wa timu ya mpira ya SIMBA SC.Kwamba Simba SC ni mali ya CUF? Waliinunua lini?
Na kwa faida ya HUNIJUI SIKUJUI na Tmuller na wasomaji wengine, ni kuwa huu mtindo wa mafungamano huwa unafanyika duniani kote, yaani mataifa yote na uliasisiwa kutoka KANISA KATOLIKI ๐ป๐ฆ.Ngoja tuelezane ukweli - kwenye kipindi hiki cha COVID-19 inabidi tufunguke hasa, pale COVID-19 itakapoisha tutakuwa hatuna muda tena wa kujadili mambo kwa kina na kwa kirefu kama hivi.
Mimi nilifanikiwa kuwa Rais wa CoHSS pale UDOM mwaka 2012/13. Na hatua zangu mpaka kufikia ngazi ya Urais ilikuwa sio nyepesi maana nilianza kuwa DEPUTY SPEAKER, SPEAKER, COUNCIL SECRETARY na hatimae PRESIDENT of COLLEGE OF HUMANITY & SOCIAL SCIENCES [ CoHSS ].
Na baada ya kuwa Rais wa CoHSS, nilichukuliwa moja kwa moja mpaka ofisi ya MAKAO MAKUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ pale WHITE HOUSE.
Kwa wale wafanyakazi wa pale WHITE HOUSE watakubaliana na mimi - kuwa ukifika kwenye lile jengo kuna chumba kidogo na chembamba kama SERO YA POLISI. Hicho chumba hakina madirisha wala sehemu ya kupitishia hewa.
Na huwa kuna kiti ambacho HAYATI MWALIMU alikuwa anakitumia kutoa maamuzi ya mwisho ambayo yanahusu chama na serikali. Hicho chumba kimebaki hivyo hivyo kama kumbukumbu.
Nilivyofika kwenye kile chumba wakaniambia wewe unafanana na yule aliyekuwa anakitumia hicho kiti, yaani HAYATI MWALIMU. Na wakaniambia mimi bado mdogo sana - hata umri aliotawala HAYATI MWALIMU bado sijaufikisha. Kipindi hicho nilikuwa nina miaka ishirini na tatu [ 23 ] tu.
Baada ya kunieleza historia ya kile CHUMBA - wakaniambia hivi nikimaliza CHUO nikakae nyumbani mpaka nikue [๐๐]. Sikuelewa wanamaanisha nini?
Nikatoka pale nikaendelea na mambo yangu kama kawaida ya kumalizia mwaka wa mwisho wa masomo ya 2013/14.
Lakini kwa upande wa SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU vyote hapa TANZANIA ๐น๐ฟ huwa kuna mchakato wa kuangalia ni viongozi gani wanafaa kwa ajili ya matumizi ya SERIKALI, huwa wanaita ni VETTING PROCESS.
Na wakishaona unafaa kuwa kiongozi wa SERIKALI, huwa kuna ishara wanakuonesha. Hii ishara huwa ni ya BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] asiye kuwa na dini, hii ikiwa na maana ya SERIKALI YA TANZANIA ๐น๐ฟ.
Huyu BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] unaweza kuwa nae kwenye mahusiano ya kimapenzi au hata ndoa. Hii ikiwa ni ishara ya mafungamano na SERIKALI.
Kama hali hii haijawahi kukutokea, sahau kuwa kiongozi [ Rais ] wa nchi hii, yaani TANZANIA ๐น๐ฟ.
Na huyu BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] huwa ananyumbulisha maumbile yake kama anafanya mazoezi ya viungo, kwahiyo sehemu zote za mwili utaziona wakati wa tendo. Hii ikiwa ni ishara ya SERIKALI YA TANZANIA ๐น๐ฟ na TAASISI zake.
Wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] ndio wamiliki halali wa timu ya mpira ya SIMBA SC.
Na sio SIMBA SC tu! Kuna timu kama MTIBWA SUGAR FC, yaani ni hivi hawa wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] ndio wamiliki halali wa kiwanda cha sukari cha MTIBWA SUGAR pale TULIANI - MOROGORO.
Timu nyingine ni kama COASTAL UNION FC ya TANGA na BIASHARA MARA UNITED ya MARA.
Hivi hamuoni hata nembo ya timu kama BIASHARA MARA UNITED ilivyokaa?
Hii nembo ya [emoji1666] inatumiwa pia na CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508].
Kwahiyo wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] pia ndio wamiliki halali wa timu ya BIASHARA MARA UNITED ya MARA.
Sema kilichokuwa kinadhoofisha shughuli za kisiasa kwa CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] ni hawa wamiliki wa chama kutoruhusu baadhi ya vitu vyao vitumike kama ni nyenzo ya kueneza sera na itikadi za CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508].
Lakini kwa siku za usoni, hawa wamiliki wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] wataruhusu baadhi ya vitu vyao vitumike kama ni nyenzo ya kisiasa kwa masilahi mapana ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508].
Wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] ndio wamiliki halali wa timu ya mpira ya SIMBA SC.
Na sio SIMBA SC tu! Kuna timu kama MTIBWA SUGAR FC, yaani ni hivi hawa wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] ndio wamiliki halali wa kiwanda cha sukari cha MTIBWA SUGAR pale TULIANI - MOROGORO.
Timu nyingine ni kama COASTAL UNION FC ya TANGA na BIASHARA MARA UNITED ya MARA.
Hivi hamuoni hata nembo ya timu kama BIASHARA MARA UNITED ilivyokaa?
Hii nembo ya [emoji1666] inatumiwa pia na CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508].
Kwahiyo wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] pia ndio wamiliki halali wa timu ya BIASHARA MARA UNITED ya MARA.
Sema kilichokuwa kinadhoofisha shughuli za kisiasa kwa CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] ni hawa wamiliki wa chama kutoruhusu baadhi ya vitu vyao vitumike kama ni nyenzo ya kueneza sera na itikadi za CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508].
Lakini kwa siku za usoni, hawa wamiliki wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] wataruhusu baadhi ya vitu vyao vitumike kama ni nyenzo ya kisiasa kwa masilahi mapana ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508].
Hapana! CCM sio mali ya WAJERUMANI [emoji629] wala WAITALIANO [emoji634]. Jaribu kupitia posti za nyuma tumeshaeleza ni namna gani haya mataifa mawili yanavyohusika na siasa za TANZANIA [emoji1241] kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537].
Haya mataifa mawili yanafanyika kuwa ni msaada wa kisiasa kwa chama tawala, ndio maana CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] kinazidi kunawili siku kadri ya siku.
Na kwanini wanafanya hivyo? Kwanini isiwe kwa vyama vingine vya kisiasa na iwe ni kwa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] pekee yake?
Majibu yake ni haya - kama ilivyo elezwa kwenye posti zilizotangulia huko nyuma, kwenye masuala ya kidiplomasia huwa wanasema hivi - MKONO MTUPU HAULAMBWI au DEBE TUPU HALINA MSHINDO wakiwa na maana ya kwamba hamuwezi kushirikiana pamoja pasipo kuwa na masilahi yanayowaunganisha.
Kwahiyo mahusiano yoyote ya kidiplomasia huwa yanachagizwa na masilahi ya kiuchumi - yaani nipe nikupe ushirikiano, kama hunipi na mimi sitokupa ushirikiano.
Kwa hali hiyo, HAYATI MWALIMU mwenyewe aliwekeza sana kwenye nchi za ITALIA [emoji634] na UJERUMANI [emoji629] na baadhi ya vitu tumeshavitaja kwenye posti zilizotangulia huko nyuma ikiwemo timu za mpira wa miguu.
Mataifa yoyote ya nchi za watu weupe iwe ASIA, ULAYA, AUSTRALIA na AMERIKA huwa wana mtindo unaofanana kwenye masuala ya kidiplomasia. Kwa mfano, ukiwekeza kwao na wao wanakusaidia kwenye masuala ya mahusiano ya watu na kijamii.
Huu ndio msaada pekee kwa mataifa ya watu weupe - na masuala ya mahusiano ya watu na kijamii huwa yanajumuisha mambo yote iwe ni elimu, siasa na utawala, biashara na uchumi, na mambo mengine yanayohusu jamii.
Sasa hapa kwenye mahusiano ya watu na kijamii, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] kimechukua msaada wa kisiasa na utawala. Hiki ndio chanzo na kiini cha mafanikio ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] tangu mwaka 1977.
Story nzuri sana.Mbona CCM na serikali wako karibu sana na China kuliko hayo mataifa mawili?
Wapo! Ni wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF โ๏ธ.Wamiliki wa CUF ni akina nani?
Wanafahamu sana! Tena MZEE MWINYI ndiye aliyehusika pakubwa kuinusulu timu ya SIMBA SC isishuke daraja.Ina maana waandamizi (mfn Mzee Mwinyi, Majaliwa, Ndugai n.k)wa CCM ambao ni wapenzi wa Simba SC hawalijui hili?
Ipo hivi - SIMBA SC ilikuwepo tangu mwaka 1936 na CHAMA CHA WANANCHI - CUF โ๏ธ kilikuwepo tangu mwaka 1993, kwahiyo SIMBA SC ilikuwepo hata kabla ya kuanzishwa kwa CHAMA CHA WANANCHI - CUF โ๏ธ.Ilikuwaje waipende mali ya CUF?
Walishindwa kupenyeza ukoloni mambo leo ndio maana walimzingua. Ila Nyerere alikua kichwa sana japo kuona inaweza ikakuwia vigumu. Hakupenda majivuno wala dharau. Alihubiri usawaHakuachia madaraka kwa kutaka,bali ilikuwa shindikizo la ndani na nje ya nchi.
Serikali ya Marekani ikiongozwa na Raisi Ronald Reagan ,huku waziri mkuu Margaret Thatcher wa Uingereza walimsumbua na kutuwekea vikwazo vya kiuchumi.
Ndani wananchi walimchoka wakipanga kumpindua mara kwa mara.
World Bank,IMF walikuwa mbogo sana.
Hapana! CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ kipo karibu sana na nchi za ITALIA ๐ฎ๐น na UJERUMANI ๐ฉ๐ช kuliko hata UCHINA ๐จ๐ณ.Mbona CCM na serikali wako karibu sana na China kuliko hayo mataifa mawili?
Na kwa faida ya HUNIJUI SIKUJUI na Tmuller na wasomaji wengine, ni kuwa huu mtindo wa mafungamano huwa unafanyika duniani kote, yaani mataifa yote na uliasisiwa kutoka KANISA KATOLIKI ๐ป๐ฆ.
KANISA KATOLIKI huwa lina utaratibu wake wa mafungamano na kuna lugha ya KILATINI ambayo huwa inatumika kueleza tukio zima, hilo neno nimelisahau kidogo!
Lakini huwa inahusu WATAWA wote wa KANISA KATOLIKI. Nikisema WATAWA wote namaanisha jinsia zote za kike na kiume.
WATAWA ni wale watu waliowekwa wakfu kwa namna ya kipekee kwa kushika mashauri ya kiinjili ya KANISA KATOLIKI. Yaani ni watu waliojitenga na ulimwengu ili kuishi maisha maadilifu.
Kwahiyo kama KANISA KATOLIKI likiona kuna muumini wake limependezwa naye, huwa linatumia WATAWA kufikisha ujumbe na kuna mambo mengine huwa yanafanyika kwa masilahi ya KANISA KATOLIKI kama mafungamano na mapatano ya damu.
Kwa upande wa WATAWA WA KIUME huwa inafikia hatua mpaka wanachangia damu na wanazaa kwa masilahi ya KANISA KATOLIKI. Ndio! Huwa wanazaa halafu baadae wanafanya SAKRAMENTI YA KITUBIO.
Ndio maana unakuta kuna baadhi ya watu huwa wanaitwa MARO - hii ni ROMA [ ukiligeuza neno kinyume kinyume ]. Huyu MARO mzazi wake mmoja alikuwa ni MTAWA, ndio maana akaitwa MARO, yaani ROMA.
Na kwa upande wa WATAWA WA KIKE na wao huwa wanachangia damu na kukilimi [ SEXUAL PRESSURING ] muumini wa kiume kwa masilahi ya KANISA KATOLIKI, halafu baadae wanafanya SAKRAMENTI YA KITUBIO.
Na kama wewe ni muumini wa kiume wa KANISA KATOLIKI na haujawahi kukilimiwa [ SEXUAL PRESSURING ] na SISTA WA KIKATOLIKI, basi wewe bado hujapendezwa na KANISA KATOLIKI ๐๐
Huu ndio moja ya mtindo wa mafungamano na mapatano ya damu ulioakisiwa kutoka KANISA KATOLIKI na unaofanywa na SERIKALI za mataifa yote ya duniani.
Na sasa hivi kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia na mitandao ya kijamii kukua na kuenea kwa kasi. Kuna baadhi ya MABINTI WENYE RASTA [ FEMALE RASTAFARIAN ] huwa hutumia mitandao ya kijamii kama INSTAGRAM na FACEBOOK kueleza mambo yanayoendelea kwenye SERIKALI husika.
Huu mfumo huwa unatumiwa na nchi nyingi za KIAFRIKA na huwa ni vigumu kuwatambua, yaani mpaka uelezwe au uwe ni miongoni mwao ndio utaweza kuelewa lugha za picha.
Huyu BINTI MWENYE RASTA [ FEMALE RASTAFARIAN ] anatumia jina la Wayu Wayua na unaweza kumpata kwa kutumia Login โข Instagram
Hiyo picha hapo juu inaonesha BINTI MWENYE RASTA [ FEMALE RASTAFARIAN ] kutoka nchi ya KENYA ๐ฐ๐ช.
Huyo binti ni ASKARI JESHI [ KDF ] na anawakilisha SERIKALI YA KENYA ๐ฐ๐ช, yaani anatumika kama ishara ya SERIKALI YA KENYA ๐ฐ๐ช na anapewa ulinzi wote.
Kwahiyo, haya mambo huwa yapo na yanatumika sana kutoa ishara kwa yale yanayofanyika au yanayotarajia kufanyika na SERIKALI husika.
ni kweli kabisa ccm inaiga siasa za ccpHapana! CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ kipo karibu sana na nchi za ITALIA ๐ฎ๐น na UJERUMANI ๐ฉ๐ช kuliko hata UCHINA ๐จ๐ณ.
Sema CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ kinataka kuiga mfumo wa kiuendeshaji na kiutawala kutoka kwa CHAMA TAWALA cha UCHINA ๐จ๐ณ. Na hii yote itafanikiwa baada ya kuua VYAMA VYA UPINZANI.
Sio siri, WAITALIANO ๐ฎ๐น na WAJERUMANI ๐ฉ๐ช tunaishi nao humu humu mitaani, sema wao wanatumia majina yenye asili ya KIARABU, ndio maana tunawaita WAARABU, lakini hawa huwa sio WAARABU. Ni WAITALIANO ๐ฎ๐น na WAJERUMANI ๐ฉ๐ช walioakisi majina na tamaduni za KIARABU.
Vile vile, HAYATI MWALIMU alifanikiwa pia kuwekeza viwanda katika nchi ya UCHINA ๐จ๐ณ na baadhi ya bidhaa zake zinauzika dunia nzima.
Hii pia inafanyika kuwa ni turufu ya kisiasa na kidiplomasia kwa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ na baadhi ya bidhaa zake ni pikipiki za SANLG:
Ijapokuwa kuna baadhi ya taarifa zinasema kuwa hiki kiwanda kinachotengeneza pikipiki za SANLG kinamilikiwa na SERIKALI YA TANZANIA ๐น๐ฟ, lakini taarifa za awali zinasema kuwa hiki kiwanda kinamilikiwa na SERENGETI yaani CHUI.
Kwa wale wataalamu wa kutambua picha - hiyo picha hapo juu inaonesha hicho kiwanda kinamilikiwa na SERIKALI YA TANZANIA ๐น๐ฟ.
Yaani ni hivi, mnyama TWIGA anawakilisha SERIKALI na sifa ya mnyama TWIGA ni kuona mbali kuliko wanyama wengine wa mwituni. Na hiyo ndio sifa ya SERIKALI, ni kuona mbali. Na sehemu yoyote ukikuta picha au sanamu ya TWIGA ujue hapo ni SERIKALI inahusika.
Kwahiyo sitegemei kama utaniuliza swali lingine - Eti ni nani mmiliki halali wa kiwanda cha TWIGA CEMENT. Jibu ni SERIKALI YA TANZANIA ๐น๐ฟ. [ ๐๐๐ ]
Yaani sehemu yoyote ya TANZANIA ๐น๐ฟ ukikuta sanamu ya TWIGA au picha ya TWIGA au jina la TWIGA ujue hapo SERIKALI inahusika, iwe kwenye mahoteli au vituo vya televisheni [ SAFARI CHANNEL ๐ฆ ] au vyombo vya usafiri.
Na kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kama INSTAGRAM, TWITTER na FACEBOOK sasa hivi wameanza kutumia hashtags za TWIGA ๐ฆ kama ni ishara ya SERIKALI. Unaweza kukuta sehemu imeandikwa hivi #twigatanzania au #giraffetanzania ujue hapo ni SERIKALI YA TANZANIA ๐น๐ฟ au unaweza kukuta sehemu imeandikwa hivi #twigakenya ujue hapo ni SERIKALI YA KENYA ๐ฐ๐ช au unaweza kukuta sehemu nyingine imeandikwa hivi #giraffeturkey ujue hapo ni SERIKALI YA UTURUKI ๐น๐ท inahusika.
Kwahiyo hali halisi ndio iko hivyo, lakini ukiondoa ITALIA ๐ฎ๐น na UJERUMANI ๐ฉ๐ช bado UCHINA ๐จ๐ณ ina nafasi kubwa kwenye SIASA za CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ kwa sababu ya mahusiano ya kisiasa na kiuchumi.
Na ukizingatia kiwanda kinachotengeneza pikipiki za SANLG kinauza bidhaa zake dunia nzima, kwahiyo UCHINA ๐จ๐ณ itaendelea kuwa ni turufu kwa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ kutokana na mahusiano ya kibiashara.
Umenifurahisha sana! Lakini inabidi tuache stori za vijiweni na mitaani![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
The current CUF ni tawi la CCM, nguvu ya chama ni watu na CUF ni zero kwenye eneo hilo.
Lipumba ni puppet na yuko kwenye payroll ya CCM.
Hizo blah blahs nyingine zote ni total rubbish.
Subiri mwaka 2025 uone CCM โ๏ธ itakavyoviburuza vyama vingine vya kisiasa, mpaka utapenda mwenyewe ๐๐ni kweli kabisa ccm inaiga siasa za ccp
mwenyekiti wa hicho chama anagombeaga urais tangu nikiwa mdogo mpaka leo, je hatambui kwamba inawezekana akawa chanzo cha chama chake kufeli?Subiri mwaka 2025 uone CCM โ๏ธ itakavyoviburuza vyama vingine vya kisiasa, mpaka utapenda mwenyewe ๐๐
Lakini CHAMA CHA WANANCHI - CUF โ๏ธ kitaendelea kuwepo kwa sababu kuna sehemu ni NGOME ya CHAMA, hata wafanye vipi kuna sehemu itaendelea kuwa ni NGOME ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF โ๏ธ.
Sasa, hii staili ya kulinda goli inabidi CHAMA CHA WANANCHI - CUF โ๏ธ kibadilike, kianze kushambulia huku kinajihami ili kisije kuwa kama chama cha NCCR - MAGEUZI.
Na wana uwezo wa kufanya hivyo, kwa sababu wana nguvu ya kiuchumi kuliko vyama vyote vya upinzani.
Kinachowakwamisha CHAMA CHA WANANCHI - CUF โ๏ธ ni fikra duni na sio uwezo wa kifedha. Kwahiyo tunahitaji fikra mpya.
Hii nayo inaweza kuwa ni sababu ya kudumaa kwa CHAMA CHA WANANCHI - CUF โ๏ธ, lakini tatizo haliwezi kuwa kwa upande wa PROFESA IBRAHIM LIPUMBA kwa sababu kuna kipindi alitaka kuachia nafasi ya uenyekiti, lakini wenye CHAMA waligoma kwa sababu kipindi hicho kulikuwa hakujapatikana wa kuchukua nafasi yake.mwenyekiti wa hicho chama anagombeaga urais tangu nikiwa mdogo mpaka leo, je hatambui kwamba inawezekana akawa chanzo cha chama chake kufeli?
That CUF iliyokuwa imewekeza visiwani si hii CUF ambayo iko sponsored na CCM, the original CUF ndiyo hii ACT-Wazalendo ya sasa. Kila mwenye akili timamu analijua hilo.Umenifurahisha sana! Lakini inabidi tuache stori za vijiweni na mitaani!
CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] sio tawi la CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] na CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] kiliwekeza sana nguvu zake TANZANIA VISIWANI na mikoa yote ya MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI ambayo inajumuisha TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI, LINDI na MTWARA.
Kwahiyo, kwa mkaazi wa DODOMA au RUKWA atakwambia CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] hakina ushawishi kwa sababu maeneo yale hakuna shughuli zozote za KISIASA zinazofanywa na CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] lakini CHAMA bado kipo na kina wawakilishi wengi bungeni ukiondoa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537].
Na kikubwa ilikuwa ni UHAI WA CHAMA, mambo mengine ni nyongeza tu! Halafu pia, CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] kilijijenga kupitia vyama vingine vya kisiasa. Yaani CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] kina watu wake kwenye vyama vya ACT - WAZALENDO [emoji2772], CHADEMA [emoji3577] na CCM [emoji106].
Kwahiyo siku hawa watu wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] wakiamua kurudi nyumbani, natumaini CHAMA kitapendeza.
Na PROFESA IBRAHIM LIPUMBA hayupo kwenye PAYROLL ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537], hizo nyingine ni PROPAGANDA za CHAMA TAWALA.
Lakini pia, tunategemea damu changa ikiingia italeta fikra na mawazo mapya yatakayoweza kubadilisha taswira nzima ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508]. Sio kwamba, viongozi waliopo hawafanyi kazi! La hasha, tunahitaji kutumia vijana wasomi na nyenzo za kisiasa ili CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] kirudi kwenye hali na uwezo kama zamani.