Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Jamii ya chui ipo tayari kuiachia Tanzania na kufikia makubaliano Kwa jinsi ambavyo walipanga? Na je gharama za kuniweka sawa ukanda wa nyonyo kuu wapo tayari kulipa?
 
Kuna mahali uliandika kuwa waliingia makubaliano wasijihusishe na siasa Kwa miaka 30,
Ndio! Na hayo MAKUBALIANO yalifanyika katika MKOA WA TABORA, mwaka 1992.

Hiyo miaka thelathini [30] inaisha mwaka huu. Kwahiyo kuanzia mwakani yaani mwaka 2023, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 watakuwa wapo huru kujihusisha na SIASA ZA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.
na option ya pili ikawa huo muda ukiisha wakakubaliana kugawana CCM nusu Kwa nusu,
Hiyo ni SECOND OPTION itakayofuata, lakini sidhani kama itafanikiwa kwa sababu JAMII YA SERENGETI yaani CHUI watakuwa wamejipanga vizuri.
ndio maana nikakuuliza je wakigawana nusu Kwa nusu CCM huoni kuwa lengo lao la kuwatoa chui na CCM litakuwa limeishia hapo hata kama wanamiliki vyama vya siasa.?
Kusema UKWELI HALISI, lengo litakuwa limeishia hapo πŸ™πŸ½
 
Hapo nimekuelewa vizuri, umesema pia majirani wana hasira Sana na chui na kwanini baada ya kuweka hasira zao na kuivuruga chui waamue kuweka kinyongo na mtoto wa chui, je kwanini wasiharibu vitega uchumi vyote vya chui ili kulipa kisasi Chao?
 
Jamii ya chui ipo tayari kuiachia Tanzania na kufikia makubaliano Kwa jinsi ambavyo walipanga?
JAMII YA SERENGETI yaani CHUI hawataweza kufanya hivyo. Hilo liko wazi kabisa! Sema JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wamenufaika KIUCHUMI na wanaendelea kunufaika ipasavyo.
Na je gharama za kuniweka sawa ukanda wa nyonyo kuu wapo tayari kulipa?
WATU wenye NGUVU YA KIUCHUMI na KISIASA kwa upande wa KANDA YA ZIWA ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁, wengine hawana kitu yaani ni BENDERA FUATA UPEPO.
 
Mkuu hapo nilimaanisha ukanda wa maziwa makuu.
BTW Asante Kwa hizi nondo kuna vitu umeniongezea Sana.
 
Hapo nimekuelewa vizuri, umesema pia majirani wana hasira Sana na chui na kwanini baada ya kuweka hasira zao na kuivuruga chui waamue kuweka kinyongo na mtoto wa chui, je kwanini wasiharibu vitega uchumi vyote vya chui ili kulipa kisasi Chao?
JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wapo vizuri sana kimkakati na jinsi wanavyofanya biashara zao hauwezi kufahamu mpaka uambiwe. Kwa sababu wanatumia mfumo wa ACCORDANCE TO BUSINESS.

Yaani BIASHARA na MIRADI yao inafanywa na WATU wengine, lakini inakuwa ni KWA NIABA YA JAMII YA SERENGETI yaani CHUI.

Kwahiyo kuwagusa hauwezi ikizingatiwa kuwa wao ndio wenye CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ na wao ndio wenye DOLA YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.
 
Mkuu hapo nilimaanisha ukanda wa maziwa makuu.
BTW Asante Kwa hizi nondo kuna vitu umeniongezea Sana.
Wale wenyeji wa asili wa NCHI ZA MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION bado wana kinyongo, ndio maana HAYATI MWALIMU hakutaka kuwaweka WATOTO wake kwenye SIASA ZA KITAIFA kwa kuhofia KISASI kutoka kwa wale wenyeji wa asili wa NCHI ZA MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION.
 
Bwana Sauli kama unavyomuita yeye kawekwa na Chui au Simba ,? Kama ni hivyo why huwa analeta chokochoko ilhali anajua nguvu ya kina Chui au Simba kupitia chama Cha nyundo?
 
Bwana Sauli kama unavyomuita yeye kawekwa na Chui au Simba ,? Kama ni hivyo why huwa analeta chokochoko ilhali anajua nguvu ya kina Chui au Simba kupitia chama Cha nyundo?
Unanifanya nifurahi kidogo 😁😁! Lakini ELIMU ni muhimu sana hasa kwenye kipindi hiki ambacho DUNIA imetawaliwa na USHINDANI.
 
Ndio nifafanulie hapo tafadhali usichoke ndugu.


Sijui nikwambie nini? Lakini haya MAMBO huwa yanaanzia kwenye FAMILIA na ELIMU huwa ni jambo la msingi sana katika MAISHA YA BINADAMU.

Kwahiyo ni vyema kujipanga vizuri katika SEKTA YA ELIMU kwa sababu ndio CHIMBUKO LA MAFANIKIO linapoanzia. MAMBO mengine yanakuwa ni NYONGEZA tu πŸ™πŸ½


Baada ya kutoka kwenye ngazi ya KIFAMILIA ndio inakuja kwenye ngazi ya KIJAMII. Hapo ndio MABADILIKO YA KIJAMII yanapoanza kushamiri na kuonekana, lakini huwa yanaanzia kwenye NGAZI YA FAMILIA.

Na matokeo chanya kwenye JAMII yoyote ile, yanajengwa au yanachagizwa na FAMILIA zilizo bora. Na UCHUMI ndio huwa unaonekana katika MAZINGIRA mazuri kama hayo.

Hauwezi kuwa unashinda BAA kila siku unalewa POMBE kama MAJI, halafu utegemee utalea WATOTO watakaokuja kuwa kama wakina UHURU KENYATTA wa KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ au SAMIA SULUHU HASSAN wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ. Aah! Jamani tuelezane UKWELI, hao WATOTO watakuwa ni VIBAKA au wakijitahidi sana watukuwa ni SUPER MARIOO 😁😁

Kwahiyo, hilo suala la BWANA SAULI kuwekwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 au JAMII YA SERENGETI yaani CHUI haina msaada kwa sasa. Hizo CHOKOCHOKO sioni kama ni tatizo, kwa sababu inaweza kuwa ni PROXY WAR lakini jambo la msingi na muhimu ni kuangalia mbele.
 
Nisipokuelewa hapo nitakuwa sijakutendea haki umesikika loud and clear.
 
Nisipokuelewa hapo nitakuwa sijakutendea haki umesikika loud and clear.
















Huo ndio UKWELI HALISI, mambo mengine tukielezana hapa tutakuwa tunadanganyana na kupeana MATUMAINI hewa!!

SIASA YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ilipofikia ilikuwa inahitaji MTU na MWANASIASA kama RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ.

RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa ODM 🍊 amefanya kazi kubwa sana kwenye SIASA ZA KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ.

UDHARIMU unaofanyika nchini TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ, ndio UDHARIMU uliokuwa unafanyika nchini KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ na CHAMA CHA KANU πŸ“. Lakini kutokana na UTASHI WA KISIASA WA WATU WA KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ ule UDHARIMU wote uliokuwa ukifanyika kwa miaka ya nyuma umepungua kabisa na kilichobaki ni UKINZANI WA MADARAKA.

Kwahiyo TASNIA YA SIASA YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ilikuwa inahitaji MTU na MWANASIASA mwenye WASIFU NA HAIBA kama RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa ODM 🍊.

RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa ODM 🍊 ana uwezo mkubwa sana wa KISIASA pamoja na uwezo mkubwa sana wa KIUCHUMI. Hali ambayo inawafanya WATAWALA yaani WATU WA MLIMA KENYA wasipate usingizi kwa HOFU YA KUPOTEZA MADARAKA.

Kwahiyo kwa upande wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ni muhimu sana kuwa na MWANASIASA mwenye WASIFU NA HAIBA kama RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa ODM 🍊 na hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU tayari walishaanza kujijenga, kujipanga na kujiandaa kuja kuwa na MTU WA HAIBA NA WASIFU wa RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa ODM 🍊.

Hiyo inawezekana kwa upande wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ, kwa sababu hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU tayari wanamiliki UCHUMI na kilichobaki ni kupata MTU SAHIHI wa kufanya SIASA SAFI kama anavyofanya KIONGOZI WA CHAMA CHA ODM 🍊, Bwana RAILA AMOLO OGINGA ODINGA.

Kusema UKWELI, sasa hivi TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ hakuna UPINZANI MADHUBUTI wa kuweza kukabiliana na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ - iwe ni KIUCHUMI au hata KISIASA bado hakuna MWANASIASA wa kupambana na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ.

Kwahiyo ni vyema na sahihi kuweza kuandaa VIONGOZI wa baadae wa kuweza kukabiliana na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ.



Kwa upande wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ - WATANZANIA wengi wameshaamka na kilichobaki ni kupata MTU SAHIHI wa kufanya SIASA SAFI na mwenye kumiliki UCHUMI wa kuweza kuendesha shughuli za kisiasa.





TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ikiwa na UPINZANI IMARA, ndio itakuwa na AFYA YA KISIASA na TAIFA LA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ litanufaika kutokana na AFYA NZURI YA KISIASA.

Kwahiyo kumiliki UCHUMI kwa MTU mmoja mmoja ni muhimu sana kwenye SIASA ZA USHINDANI na ni FAIDA KWA MASILAHI MAPANA YA TAIFA.
 
Kabisa upo sahihi, uchumi na mtu sahihi ndio vitu muhimu Kwa siasa Bora, si unakumbuka mafuriko ya lowasa Kwa maelezo Yako alikosa , uchumi imara japo alikuwa mtu sahihi kubadili mchezo.
Sasa Nan ajaye nadhani Kwa muendelezo huu tusahau kupata mtu mbadala Kwa Karne nyingi.
 
Kabisa upo sahihi, uchumi na mtu sahihi ndio vitu muhimu Kwa siasa Bora, si unakumbuka mafuriko ya lowasa Kwa maelezo Yako alikosa , uchumi imara japo alikuwa mtu sahihi kubadili mchezo.
EDWARD NGOYAI LOWASA alikosa UCHUMI na hiyo ndio sababu iliyopelekea yeye kurudi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ.

Halafu kitu kingine ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kuwa - KUNDI LA BOYS II MEN lililokuwa linajumuisha EDWARD NGOYAI LOWASA na JAKAYA MRISHO KIKWETE lilitengenezwa na CHAMA kwa MASILAHI ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ ili kuimarisha SIASA ZA NDANI YA CHAMA.

Lakini kiuhalisia hilo KUNDI LA BOYS II MEN halina madhara yoyote kwenye SIASA ZA KITAIFA.

Hii hali ya kutengeneza AINA YA MAKUNDI ndani ya CHAMA, hao CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ waliitoa kwenye VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Kule kwenye VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU kulikuwa na KUNDI LA WENGE MUSICA. Hilo KUNDI LA WENGE MUSICA ndio walikuwepo wakina MISTER ABILITY na KIDUDUYE.

Huyo KIDUDUYE ndio aliyefunga GOLI LA DHAHABU, wenyewe wanaita ni GOLDEN GOAL kule TABORA kwenye CHAMA CHA USHIRIKA cha WETCU baada ya kupiga SHILINGI MILIONI MIA TATU [ 300,000,000 ] za TUMBAKU, mwaka 1996. Na kesi yake iliendelea mpaka miaka ya 2002..

Hao KUNDI LA WENGE MUSICA ndio wamiliki halali wa kampuni ya MOTISUN GROUP iliyoanzishwa mwaka 1992 na kumuweka MAREHEMU SUBHASH MOTIBHAI PATEL kama ni MWENYEKITI NA MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA MOTISUN GROUP.


Hizo kampuni zote za MOTISUN GROUP ni kampuni ambazo zinamilikiwa na WENGE MUSICA ambao ndio waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.
Sasa Nan ajaye nadhani Kwa muendelezo huu tusahau kupata mtu mbadala Kwa Karne nyingi.
Kwa upande mwingine sifahamu wanafanya vipi ili kuandaa VIONGOZI wa baadae, lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wanaandaa WATOTO wao kupitia TAASISI ZA VYUO VIKUU ili baadae waje kuongoza VYAMA VYA KISIASA ambavyo wanavimiliki wao wenyewe.
 
Aiseee hiyo paragraph ya mwisho nimeipenda Sana wameamua waandae wa kwao wenyewe wagombee kupitia vyama vyao wenyewe. Naisubiri huo wakati, nione Hali itakavyokuwa , kudos bro umenikosha Sana.
 

Hivi unafahamu kuwa MISTER ABILITY ndiye aliyetoa PESA, kiasi cha SHILINGI MILIONI ISHIRINI [ 20,000,000 ] ZA KITANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ili PEPE KALLE atunge NYIMBO kuhusu timu ya mpira wa miguu ya YANGA SC? Hii ilifanyika mwaka 1995.

Halafu hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU ndio waliokuwa wadhamini na wamiliki halali wa BENDI ZA MUZIKI zilizokuwa zinaitwa WENGE MUSICA baadae ikaja WENGE BCBG na EXTRA MUSICA zote za nchini KONGO πŸ‡¨πŸ‡©.


Hili ni KUNDI LA WENGE MUSICA ilikuwa ni mwaka 1993.


Hili ni KUNDI LA WENGE MUSICA BCBG baada ya kutengana kwa KUNDI LA WENGE MUSICA

Hili ni KUNDI LA EXTRA MUSICA na hii NYIMBO ilitungwa kuwahusu wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU. Ilikuwa ni kama kuwatukuza baada ya mmoja wao kumiliki VILABU VYA MPIRA WA MIGUU VYA SIMBA SC na YANGA SC na VILABU vyote kushiriki MICHUANO YA KIMATAIFA.
 
Aiseee hiyo paragraph ya mwisho nimeipenda Sana wameamua waandae wa kwao wenyewe wagombee kupitia vyama vyao wenyewe. Naisubiri huo wakati, nione Hali itakavyokuwa , kudos bro umenikosha Sana.
Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU wapo vizuri sana KIUCHUMI na KISIASA.

Hauwezi ukawafananisha MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na hao WANASIASA wanaofugwa ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ. Ni MBINGU NA ARDHI!!

WATU ambao wanamiliki VYAMA VYA KISIASA wanastahili HESHIMA kubwa sana! Hata HASHIMU RUNGWE SPUNDA anastahili HESHIMA pamoja na chama chake cha CHAUMMA.

Achana na hao WANASIASA wanaofugwa ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ!! Huwa hawana lolote, hata PESA huwa hawana!! Ni maneno mengi na propaganda zisizokuwa na mwisho 😁😁😁
 
Ni simulizi nzuri kwako umejitahidi kumfanya Kambona wako awe bora lakini sijaona ubora wake......Huyu aliyeapa kuilinda na kuitetea katiba ya Tanganyika.na Tanzania alikufa kwa uchu wa madaraka na ubinafsi..Alikosa Uzalendo kwa Taifa lake akishirikiana na wahuni wachache wakati huo tunawezaje kumuenzi sasa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…