Mkuu, Charles Mandela!
Tulichangia mauaji ya WATU 200K pale HIRONAGA 1945 kwa kumuuzia U.S Madini.
Kasome MAANDIKO YA BIBLIA TAKATIFU - hata SAULI alikuwa ni muuaji wa watu wasiokuwa na hatia lakini baadae alifanyika kuwa ni MTAKATIFU na ndio MTUME PAULO.
Kwahiyo mambo yote yanayofanyika au yanayofanywa na SERIKALI huwa yanahalalishwa kwa kutumia VITABU VITAKATIFU kama BIBLIA na KURANI. Lakini mara nyingi huwa wanatumia BIBLIA TAKATIFU. Na baada ya matukio hawa VIONGOZI WAANDAMIZI WA SERIKALI huwa wanafanya IBADA YA KUSHUKURU.
Kwahiyo ni vizuri kuchukua tahadhari kwa mambo yote yanayofanywa na SERIKALI, kwa sababu wao wanaamini kuwa SERIKALI HUWA HAIKOSEI.
Na kitakachopangwa na SERIKALI, raia wa kawaida hawezi kukipangua. Wao kule SERIKALINI huwa wanasema hivi - KITAKACHOFUNGULIWA DUNIANI, KIMEFUNGULIWA NA MBINGUNI. NA KITAKACHOFUNGWA DUNIANI, KIMEFUNGWA NA MBINGUNI. Kwa wale wasomaji wa BIBLIA, huu msemo upo hata kwenye BIBLIA TAKATIFU.
Hatukupigwa BAN na UN kwamba SHINKOLOBWE
yetu isichimbe URANIUM!?
Hizi TAASISI ZA KIMATAIFA na zenyewe zinaongozwa na BINADAMU kama sisi na wao wana mapungufu yao kama BINADAMU wengine.
Na hizi TAASISI ZA KIMATAIFA huwa zinaangalia MASILAHI KWANZA, mambo mengine baadae. WAINGEREZA 🇬🇧 huwa wanasema hivi - SELF INTEREST IS OUR FIRST PRIORITY, THE REST IS NONE OF OUR BUSINESS. Hata UMOJA WA MATAIFA yaani UNITED NATIONS [ UN ] upo hivyo hivyo.
Inakuwaje tuwe na NUCLEAR BOMBS wakati tulikuwa na uwezo wa kuchimba na kuuza URANIUM tu pale nyumbani kwetu SHINKOLOBWE!?!!
Jaribu kupitia RAMANI YA AFRIKA kama inavyoonekana hapo juu na TANZANIA 🇹🇿 imezungukwa na mataifa yapatayo nane [ 8 ], mataifa hayo ni KENYA 🇰🇪, UGANDA 🇺🇬, RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮, KONGO 🇨🇩, ZAMBIA 🇿🇲, MALAWI 🇲🇼 na MSUMBIJI 🇲🇿.
KIJIOGRAFIA na KISIASA huu ukanda wa hizo nchi nane [ 8 ] huwa unaitwa ni UKANDA WA MAZIWA MAKUU yaani ni GREAT LAKES REGION na umezungukwa na MAZIWA YA VIKTORIA, TANGANYIKA NA NYASA.
Na kwa upande wa UKANDA WA MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION - TANZANIA 🇹🇿 ndio huwa kinara wa SIASA ZA MAZIWA MAKUU.
Na kwa upande wa AFRIKA - UKANDA WA MAZIWA MAKUU ndio huwa unafanya SIASA ZA KIMATAIFA NA SIASA HATARI kuliko sehemu nyingine yoyote ile kwa upande wa AFRIKA.
Na kwa upande wa AFRIKA - NCHI ZA AFRIKA YA MAGHARIBI ndio nchi ambazo SERIKALI zao ni dhaifu na MAPINDUZI YA KIJESHI au MAPINDUZI YA KIRAIA yanaweza kufanyika muda wowote na yakafanikiwa. Hali hii ni tofauti kabisa kwa upande wa NCHI ZA MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION.
Hizi nchi za MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION ndio huwa chimbuko la MAPINDUZI YA KIJESHI kwa hizi nchi za SUDANI 🇸🇩, SOMALIA 🇸🇴, SUDANI YA KUSINI 🇸🇸 na nchi za AFRIKA YA MAGHARIBI ikiwemo MALI 🇲🇱 pamoja na GUINEA 🇬🇳.
Hizi nchi za MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION ndio nchi zilizofanya SIASA ZA HATARI kabisa kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia.
SIASA hizo zilijumuisha MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮 mnamo mwaka 1990 hadi mwaka 1994 na SIASA ZA KONGO 🇨🇩 kuanzia mwaka 1997 hadi mwaka 2001 na kuendelea hadi muda huu.
Hizi SIASA ZA RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮 hazina tofauti na SIASA ZA CHECHNYA, KOSOVO NA YUGOSLAVIA. MAUJI YA KIMBARI yaliyofanyika RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮 ndio MAUAJI YA KIMBARI yaliyofanyika CHECHNYA, KOSOVO NA YUGOSLAVIA.
Kwahiyo kwa upande wa MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION kuna SIASA ZA HATARI na kinara wa hizo SIASA ni TANZANIA 🇹🇿.
TANZANIA 🇹🇿 kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ wanafanya SIASA ZA HATARI sana kuliko mataifa yote ya MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION.
Sema kutokana na nyakati kubadilika, zile siasa za mauaji hawazifanyi kwa sasa, wanachofanya ni kudhoofisha. Hii WAINGEREZA 🇬🇧 wanaita ni DESTABILIZATION POLITICS.
SIASA ZA KUDHOOFISHA yaani DESTABILIZATION POLITICS huwa zinafanyika kuanzia pale BARAZA LA MITIHANI yaani NECTA. Pale BARAZA LA MITIHANI yaani NECTA huwa kuna siasa za kupika matokeo ya wanafunzi wa shule za msingi na shule za sekondari. Hii WAINGEREZA 🇬🇧 huwa wanaita ni REPRESSION AND FALSIFICATION OF PUPILS AND STUDENTS ACADEMIC RESULTS.
Aina hii ya SIASA imeiacha baadhi ya MIKOA YA TANZANIA 🇹🇿 kuwa nyuma, masikini, duni na kudhorota kimaendeleo kutokana na kupika matokeo ya wanafunzi. MIKOA YA TANZANIA 🇹🇿 ambayo imeathirika pakubwa na aina hii ya SIASA ni KIGOMA, RUKWA, SINGIDA, RUVUMA, LINDI, IRINGA, DODOMA, MOROGORO, PWANI na mikoa ambayo ilitakiwa kuwepo kwenye hiyo orodha lakini WANANCHI wao wanajikwamua kutokana na jitihada binafsi ni MWANZA, SHINYANGA NA TABORA.
Aina hii ya SIASA inayofanyika TANZANIA 🇹🇿 inatengeneza matabaka kati ya wenye nacho na wasiokuwa nacho! Kati ya wenye elimu na wasiokuwa na elimu, ijapokuwa elimu inatolewa kwa wote lakini kinachofanyika ni kupika matokeo ya wanafunzi.
Kwahiyo hawa wenyeji wa mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA [ MWASHITA ] yaani SIMBA 🦁 ndio watakao endelea kuwepo na kutoathirika na SERA ZA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 kwa sababu wao ndio wenye UCHUMI WA VIWANDA na wao ndio wameenea kwenye kila sekta inayopatikana TANZANIA 🇹🇿, yaani kwa kifupi wanajitegemea kwa hiyo kwenye suala la ajira haitowasumbua kwa sababu na wao wana ajiri watu wao.
Mikoa ambayo itaathirika na aina hii ya SIASA inayopatikana TANZANIA 🇹🇿 ni mikoa ambayo haiko vizuri kiuchumi. Kwahiyo ni kujipanga kweli kweli wala sio utani.
Turudi kwa upande wa MABOMU YA NYUKLIA - Kwa upande wa KONGO 🇨🇩 hawa wenzetu wanamiliki MABOMU YA NYUKLIA yaliyorutubishwa pale pale KONGO 🇨🇩 kipindi cha ukoloni wa WABELIGIJI 🇧🇪 na kutengeneza MABOMU YA NYUKLIA.
Na sio lazima uwe na MADINI YA URAMITE [ PITCH BLENDE ] ndio utengeneze MABOMU YA NYUKLIA. Unaweza kuwa na MADINI YA THORIUM au hata POTASSIUM, IODINE na MADINI MENGINE YA MIONZI. MADINI YA MIONZI yanapatikana pia TANZANIA 🇹🇿 kwa kiwango kikubwa, sema kipaumbele cha SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 kwa sasa hivi sio MADINI YA MIONZI.