Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Chama cha kwanza kuanzishwa kwa ajili ya kudai Uhuru kilikua ni TAAA jaribu kuGoogle waansilishi wa TAAA na TANU Ndio utajua Akina nani waliojitolea kwa ajili ya Uhuru na Leo Majina yao yapo wapi??
Ila TAA haikuwa political party
 
Mkuu, Charles Mandela!
Tulichangia mauaji ya WATU 200K pale HIRONAGA 1945 kwa kumuuzia U.S Madini.
Kasome MAANDIKO YA BIBLIA TAKATIFU - hata SAULI alikuwa ni muuaji wa watu wasiokuwa na hatia lakini baadae alifanyika kuwa ni MTAKATIFU na ndio MTUME PAULO.

Kwahiyo mambo yote yanayofanyika au yanayofanywa na SERIKALI huwa yanahalalishwa kwa kutumia VITABU VITAKATIFU kama BIBLIA na KURANI. Lakini mara nyingi huwa wanatumia BIBLIA TAKATIFU. Na baada ya matukio hawa VIONGOZI WAANDAMIZI WA SERIKALI huwa wanafanya IBADA YA KUSHUKURU.

Kwahiyo ni vizuri kuchukua tahadhari kwa mambo yote yanayofanywa na SERIKALI, kwa sababu wao wanaamini kuwa SERIKALI HUWA HAIKOSEI.

Na kitakachopangwa na SERIKALI, raia wa kawaida hawezi kukipangua. Wao kule SERIKALINI huwa wanasema hivi - KITAKACHOFUNGULIWA DUNIANI, KIMEFUNGULIWA NA MBINGUNI. NA KITAKACHOFUNGWA DUNIANI, KIMEFUNGWA NA MBINGUNI. Kwa wale wasomaji wa BIBLIA, huu msemo upo hata kwenye BIBLIA TAKATIFU.
Hatukupigwa BAN na UN kwamba SHINKOLOBWE
yetu isichimbe URANIUM!?
Hizi TAASISI ZA KIMATAIFA na zenyewe zinaongozwa na BINADAMU kama sisi na wao wana mapungufu yao kama BINADAMU wengine.

Na hizi TAASISI ZA KIMATAIFA huwa zinaangalia MASILAHI KWANZA, mambo mengine baadae. WAINGEREZA 🇬🇧 huwa wanasema hivi - SELF INTEREST IS OUR FIRST PRIORITY, THE REST IS NONE OF OUR BUSINESS. Hata UMOJA WA MATAIFA yaani UNITED NATIONS [ UN ] upo hivyo hivyo.
Inakuwaje tuwe na NUCLEAR BOMBS wakati tulikuwa na uwezo wa kuchimba na kuuza URANIUM tu pale nyumbani kwetu SHINKOLOBWE!?!!

images.jpeg

Jaribu kupitia RAMANI YA AFRIKA kama inavyoonekana hapo juu na TANZANIA 🇹🇿 imezungukwa na mataifa yapatayo nane [ 8 ], mataifa hayo ni KENYA 🇰🇪, UGANDA 🇺🇬, RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮, KONGO 🇨🇩, ZAMBIA 🇿🇲, MALAWI 🇲🇼 na MSUMBIJI 🇲🇿.

KIJIOGRAFIA na KISIASA huu ukanda wa hizo nchi nane [ 8 ] huwa unaitwa ni UKANDA WA MAZIWA MAKUU yaani ni GREAT LAKES REGION na umezungukwa na MAZIWA YA VIKTORIA, TANGANYIKA NA NYASA.

Na kwa upande wa UKANDA WA MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION - TANZANIA 🇹🇿 ndio huwa kinara wa SIASA ZA MAZIWA MAKUU.

Na kwa upande wa AFRIKA - UKANDA WA MAZIWA MAKUU ndio huwa unafanya SIASA ZA KIMATAIFA NA SIASA HATARI kuliko sehemu nyingine yoyote ile kwa upande wa AFRIKA.

Na kwa upande wa AFRIKA - NCHI ZA AFRIKA YA MAGHARIBI ndio nchi ambazo SERIKALI zao ni dhaifu na MAPINDUZI YA KIJESHI au MAPINDUZI YA KIRAIA yanaweza kufanyika muda wowote na yakafanikiwa. Hali hii ni tofauti kabisa kwa upande wa NCHI ZA MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION.

Hizi nchi za MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION ndio huwa chimbuko la MAPINDUZI YA KIJESHI kwa hizi nchi za SUDANI 🇸🇩, SOMALIA 🇸🇴, SUDANI YA KUSINI 🇸🇸 na nchi za AFRIKA YA MAGHARIBI ikiwemo MALI 🇲🇱 pamoja na GUINEA 🇬🇳.

Hizi nchi za MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION ndio nchi zilizofanya SIASA ZA HATARI kabisa kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia.

SIASA hizo zilijumuisha MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮 mnamo mwaka 1990 hadi mwaka 1994 na SIASA ZA KONGO 🇨🇩 kuanzia mwaka 1997 hadi mwaka 2001 na kuendelea hadi muda huu.

Hizi SIASA ZA RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮 hazina tofauti na SIASA ZA CHECHNYA, KOSOVO NA YUGOSLAVIA. MAUJI YA KIMBARI yaliyofanyika RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮 ndio MAUAJI YA KIMBARI yaliyofanyika CHECHNYA, KOSOVO NA YUGOSLAVIA.

Kwahiyo kwa upande wa MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION kuna SIASA ZA HATARI na kinara wa hizo SIASA ni TANZANIA 🇹🇿.

TANZANIA 🇹🇿 kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ wanafanya SIASA ZA HATARI sana kuliko mataifa yote ya MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION.

Sema kutokana na nyakati kubadilika, zile siasa za mauaji hawazifanyi kwa sasa, wanachofanya ni kudhoofisha. Hii WAINGEREZA 🇬🇧 wanaita ni DESTABILIZATION POLITICS.

SIASA ZA KUDHOOFISHA yaani DESTABILIZATION POLITICS huwa zinafanyika kuanzia pale BARAZA LA MITIHANI yaani NECTA. Pale BARAZA LA MITIHANI yaani NECTA huwa kuna siasa za kupika matokeo ya wanafunzi wa shule za msingi na shule za sekondari. Hii WAINGEREZA 🇬🇧 huwa wanaita ni REPRESSION AND FALSIFICATION OF PUPILS AND STUDENTS ACADEMIC RESULTS.

Aina hii ya SIASA imeiacha baadhi ya MIKOA YA TANZANIA 🇹🇿 kuwa nyuma, masikini, duni na kudhorota kimaendeleo kutokana na kupika matokeo ya wanafunzi. MIKOA YA TANZANIA 🇹🇿 ambayo imeathirika pakubwa na aina hii ya SIASA ni KIGOMA, RUKWA, SINGIDA, RUVUMA, LINDI, IRINGA, DODOMA, MOROGORO, PWANI na mikoa ambayo ilitakiwa kuwepo kwenye hiyo orodha lakini WANANCHI wao wanajikwamua kutokana na jitihada binafsi ni MWANZA, SHINYANGA NA TABORA.

Aina hii ya SIASA inayofanyika TANZANIA 🇹🇿 inatengeneza matabaka kati ya wenye nacho na wasiokuwa nacho! Kati ya wenye elimu na wasiokuwa na elimu, ijapokuwa elimu inatolewa kwa wote lakini kinachofanyika ni kupika matokeo ya wanafunzi.

Kwahiyo hawa wenyeji wa mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA [ MWASHITA ] yaani SIMBA 🦁 ndio watakao endelea kuwepo na kutoathirika na SERA ZA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 kwa sababu wao ndio wenye UCHUMI WA VIWANDA na wao ndio wameenea kwenye kila sekta inayopatikana TANZANIA 🇹🇿, yaani kwa kifupi wanajitegemea kwa hiyo kwenye suala la ajira haitowasumbua kwa sababu na wao wana ajiri watu wao.

Mikoa ambayo itaathirika na aina hii ya SIASA inayopatikana TANZANIA 🇹🇿 ni mikoa ambayo haiko vizuri kiuchumi. Kwahiyo ni kujipanga kweli kweli wala sio utani.

Turudi kwa upande wa MABOMU YA NYUKLIA - Kwa upande wa KONGO 🇨🇩 hawa wenzetu wanamiliki MABOMU YA NYUKLIA yaliyorutubishwa pale pale KONGO 🇨🇩 kipindi cha ukoloni wa WABELIGIJI 🇧🇪 na kutengeneza MABOMU YA NYUKLIA.

Na sio lazima uwe na MADINI YA URAMITE [ PITCH BLENDE ] ndio utengeneze MABOMU YA NYUKLIA. Unaweza kuwa na MADINI YA THORIUM au hata POTASSIUM, IODINE na MADINI MENGINE YA MIONZI. MADINI YA MIONZI yanapatikana pia TANZANIA 🇹🇿 kwa kiwango kikubwa, sema kipaumbele cha SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 kwa sasa hivi sio MADINI YA MIONZI.
 
Mkuu Charles Mandela Kudos!

Hapo kwenye KINU CHETU cha SHINKOLOBWE nimekupata sana hapo.

Charles Mandela, Unafikiri ni kwa nini Mataifa fulani fulani baadhi ya Africa yanamchukulia poa TWIGA wetu pamoja na kuwa anatisha sana katika mawindo?!

Au wanamfahamu vema TWIGA wetu lakini wanajitoa ufahamu?, AMA ni ile, "Nabii hakubaliki kwao"?

AU, Inaweza kuwa, "Mti wenye matunda ndiyo upondwao mawe"?
 
Nampata sana huyu mkuu "SAULI" kabla ya "KUONGOKA". MATENDO YA MITUME 9:1, Sauli akitisha kuzidi na kuwaza kuwaua Mitume wa Bwana....."

eec91ce2957f33a18a845ae85bc8d528.png

Kama tayari umeshaelewa maana halisi ya SAULI, basi utakuwa umeelewa maana halisi ya mabasi yanayoitwa SAULI na wanaomiliki hiyo kampuni ya MABASI YA SAULI. Hao ndio SIMBA 🦁.
 
"...Na mtakayoyafunga duniani, Yatafungwa mbinguni..."
"Yatakayofunguliwa.....na....a yatafunguliwa".
SUV, BHN, [MATHEW 18:18-19].
Ndio huwa inakuwa hivyo! Na hawa VIONGOZI WAANDAMIZI WA SERIKALI baada ya kufanikisha tukio lolote la KISERIKALI huwa wanahalalisha kwa kufanya IBADA YA KUSHUKURU NA KUTOA SADAKA.

Na kwenye IBADA YA KUSHUKURU NA KUTOA SADAKA huwa inaambatana na STAREHE YA KIMWILI au kwa jina lingine wanaita KUKILIMI au kwa jina lingine WAINGEREZA 🇬🇧 wanaita ni SEXUAL PRESSURING. Inakuwa ni kama kwenye MOVIE SERIES ya SPARTACUS.



Hii MOVIE SERIES ya SPARTACUS inaelezea TAWALA ZA DUNIA NA SERIKALI ZA MATAIFA jinsi zinavyofanya kazi.
 
Mkuu Charles Mandela Kudos!

Hapo kwenye KINU CHETU cha SHINKOLOBWE nimekupata sana hapo.

Charles Mandela, Unafikiri ni kwa nini Mataifa fulani fulani baadhi ya Africa yanamchukulia poa TWIGA wetu pamoja na kuwa anatisha sana katika mawindo?!

Au wanamfahamu vema TWIGA wetu lakini wanajitoa ufahamu?, AMA ni ile, "Nabii hakubaliki kwao"?

AU, Inaweza kuwa, "Mti wenye matunda ndiyo upondwao mawe"?
Hebu ngoja nikuulize swali tena! Zamani kabla ya mwaka 2010 kulikuwa na MICHEPUO WA HKF [ HISTORY, KISWAHILI & FRENCH ] NA KLF [ KISWAHILI, LANGUAGE & FRENCH ].

Je, hawa wanafunzi waliokuwa wanasoma masomo ya KIFARANSA walikuwa wanaenda wapi?

Na kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿, lugha ya KIFARANSA sio lugha rasmi. Kwanini SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 iamue kufundisha lugha ya KIFARANSA?
 
If not to accomplish it "OUR TASKS" there around Great Lake Zone's Francop i know not anymore.
 
If not to accomplish it "OUR TASKS" there around Great Lake Zone's Francop i know not anymore.
Let us all be sincerely to reality! It is very DIFFICULT to achieve any TASK within the region of GREAT LAKE ZONE and arguably, if you start it today or tomorrow don't expect the outcomes within a week or a year. It will take decades, if not a century.


be223b92e673e95f3d9cb3a2ddefc9af.png

Now, having your eyes on TANZANIA PREMIUM LEAGUE TEAMS LIST. Those people from GREAT LAKE ZONE termed as MWASHITA alias as LION 🦁, they possess seven football teams out of sixteen football teams of the LEAGUE.

And those teams are SIMBA SC, YANGA SC, BIASHARA MARA UNITED FC, MTIBWA SUGAR FC, KAGERA SUGAR FC, COASTAL UNION FC and MBEYA KWANZA FC. That is an implication of DIVERSIFIED AND GOOD ECONOMY.
 
Let us all be sincerely to reality! It is very DIFFICULT to achieve any TASK within the region of GREAT LAKE ZONE and arguably, if you start it today or tomorrow don't expect the outcomes within a week or a year. It will take decades, if not a century.



Now, have your eyes on TANZANIA PREMIUM LEAGUE TEAMS LIST. Those people from GREAT LAKE ZONE termed as MWASHITA alias as LION
 
Let us all be sincerely to reality! It is very DIFFICULT to achieve any TASK within the region of GREAT LAKE ZONE and arguably, if you start it today or tomorrow don't expect the outcomes within a week or a year. It will take decades, if not a century.



Now, have your eyes on TANZANIA PREMIUM LEAGUE TEAMS LIST. Those people from GREAT LAKE ZONE termed as MWASHITA alias as LION
 
Mkuu Charles Mandela Kudos!

Hapo kwenye KINU CHETU cha SHINKOLOBWE nimekupata sana hapo.

Charles Mandela, Unafikiri ni kwa nini Mataifa fulani fulani baadhi ya Africa yanamchukulia poa TWIGA wetu pamoja na kuwa anatisha sana katika mawindo?!

7bf7fc7419712ae8ac7aeedb1aff4e2b.png

Sasa hivi watu wengi wameelimika na VIJANA wengi wana upeo mkubwa kuhusu mambo ya SERIKALI. Kwahiyo wanaona mambo yanayoendelea na kufanyika kwenye SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.

Kuhusu mtazamo wa mataifa mengine kwa kweli mimi siwezi kufahamu, lakini ninaweza kusema kuwa TANZANIA 🇹🇿 ni shwari na salama kutokana na hali ya kisiasa kuwa tulivu. Mambo mengine sio muda wake kuyazungumzia.
Au wanamfahamu vema TWIGA wetu lakini wanajitoa ufahamu?, AMA ni ile, "Nabii hakubaliki kwao"?

AU, Inaweza kuwa, "Mti wenye matunda ndiyo upondwao mawe"?

a5e94885878c8b93d239215e6b987abe~2.jpg

Yaani kwa kifupi na hali jinsi ilivyo kwa TANZANIA 🇹🇿, watu wanaoweza kuleta mabadiliko ya kisiasa ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio JAMII yenye UCHUMI mkubwa tofauti na JAMII ya SERENGETI. Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU. Hawa watu ndio wenye UCHUMI mkubwa mpaka leo.

Vile vile hivi vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU havikufirisika kama jamii ya WATANZANIA wengi walivyoaminishwa. Hivi vyama vya ushirika viliamisha mitaji yake na kuwekeza sehemu nyingine kama kuwekeza na kununua HISA kwenye migodi, benki na viwandani.

Kwa mfano, kwa taarifa za ukweli na uhakika ni kuwa - chama cha ushirika cha WETCU kinamiliki HISA kwenye moja ya benki ya kibiashara inayoitwa CRDB na wanamiliki HISA nzuri tu ambayo inaweza kufanya shughuli zote za CHAMA CHA USHIRIKA.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU walijijenga wao binafsi - kiuchumi, kisiasa na hata kiintelijensia.

Hawa waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU waliwekeza kupitia raia wa kigeni hasa WAARABU, WAHINDI na WAZUNGU. Kwahiyo uchumi wao umejijenga kupitia raia wa kigeni.

Hawa waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️.

Vile vile hawa waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamejijenga kupitia taasisi za ulinzi za JESHI LA POLISI na USALAMA WA TAIFA.

Hawa waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio waliochangia pakubwa kuiharibu INTELIJENSIA YA TANZANIA 🇹🇿. Hakuna cha TISS! Sijui NSA! Sijui PSU! Wala MI! INTELIJENSIA zote za TANZANIA 🇹🇿 zilishavunjwa tangu siku, kinachofanyika sasa hivi ni marudio.

Hawa waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wanaoitwa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na ndio waliochangia pakubwa kuiharibu INTELIJENSIA YA TANZANIA 🇹🇿 na hata kwenye JESHI LA ULINZI LA WANANCHI [ JWTZ ] walipenyeza watu ambao sasa hivi ni MAJENERALI na WAKUU WA VIKOSI wapo.

Kwa mfano, kwa upande wa JESHI LA WANANCHI [ JWTZ ], hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wana askari ambao ni BRIGEDIA JENERALI na MEJA JENERALI na kuna uwezekano mkubwa wa askari mmoja kati ya hao akafuata kuwa ni MKUU WA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI [ JWTZ ] baada ya VENANCE MABEYO.

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wana uwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko ya kisiasa hata kwa MAPINDUZI YA KIJESHI endapo tu yule askari wao mmoja atapitishwa kuwa ni MKUU WA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI [ JWTZ ].

Na hii ndio hali halisi ya KISIASA YA TANZANIA 🇹🇿, mambo mengine ni stori za vijiweni ambapo hamna ukweli wowote na wala haitowezekana.

Kwa upande mwingine, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wameridhika yaani hawana kitu cha kupoteza kutokana na UTAWALA WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ labda kije kizazi chao kingine ambacho kitakuwa na kiu ya kuleta na kufanya mabadiliko ya kisiasa.
 
Namuona "PANTHERA LEO" taratibu na kwa uhakika akikamilisha mambo yetu yale katika series zetu za "PRISON BREAK", "CRIME", "CRISIS", na "24 HOURS LEGACY FOX".
 
Sina shaka kuchelewa kwa MKATE WA TAIFA pale "UNYANYEMBE", "MATOMBO", "KIBOKO" LIEMBA", "KIBAIGWA", "KIBOKO SAUZI", na "KIFARU REGIONS" kwa kuwa pale ni zaidi ya makao ya "FOX RIVER".

Je, Wale "ALIZETI YA CHIPUKO" hawakustahili kuonjeshwa "ASALI NA MAZIWA" walau mara moja moja per annual!?!!

Huyu "TWIGA" wetu haikumbidi awaonjeshe " MEMA YA NCHI?"
 
Apart from "LAMBA LAMBA" and "THE CITIZENS",

There is any team that represents "PANTHERA TIGRIS ALIAS" on TPL this season!?!!
 
Back
Top Bottom