Haya bhana kijana wa Kishapu....
Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walijengwa na wanaendelea kujengwa na UINGEREZA tangu kipindi cha UKOLONI.
Hata hii rangi ya "ORANGE" wanayotumia wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ni RANGI YA KIFALME, yaani ROYAL COLOUR ambayo kwa mara ya kwanza ilianza kutumika na MALKIA ELIZABETH, 26 Julai 1965 alipotembelea katika TAIFA LA BURMA.
UFALME WA KIINGEREZA huwa wana RANGI ZA KIFALME na ikitokea wana mahusiano na jamii fulani, huwa wana utamaduni wa kushea RANGI YA KIFALME mojawapo.
Mara ya pili, ilikuwa ni 29 Oktoba 1966 ambapo MALKIA ELIZABETH alivaa vazi la RANGI YA ORANGE akiwa ametembelea kijiji cha ABERFAN, WALES.
Mara ya tatu, ilikuwa ni 14 Machi 1982 ambapo PRINCESS DIANA alivaa vazi la RANGI YA ORANGE akiwa ametembelea ROYAL ALBERT HALL, nchini UINGEREZA.
Baadae, 16 MEI 1991 ambapo MALKIA ELIZABETH alivaa vazi la RANGI YA ORANGE akiwa anahutubia BARAZA LA SENETI LA MAREKANI.
Baadae RANGI YA ORANGE ilianza kutumika na WANASIASA mbalimbali waliokuwa na mafungamano na TAIFA LA UINGEREZA. Ikiwemo familia ya WILLIAM CLINTON.
Hata KAMARA HARRIS! Ndiyo huyo aliyevaa vazi la RANGI YA ORANGE, yeye pia ana mafungamano makubwa na TAIFA LA UINGEREZA.
Sasa baada ya wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kutumika na UINGEREZA tangu kipindi cha UKOLONI walipewa RANGI YA ORANGE kama UTAMBULISHO RASMI wa mahusiano mazuri na TAIFA LA UINGEREZA.
Hii RANGI YA ORANGE inatumika pia na aliyekuwa WAZIRI MKUU MSTAAFU WA KENYA, RAILA ODINGA kama UTAMBULISHO wa CHAMA CHA ODM.
RANGI YA ORANGE inatumika na UFALME WA KIINGEREZA kama RANGI YA KIFALME, yaani ROYAL COLOUR.
Hivyo hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanatumia RANGI YA ORANGE kama RANGI YA KIFALME inayotambulisha mahusiano mazuri na TAIFA LA UINGEREZA.
Huyu binti anaitwa GABRIELLA WILSON, ni MTANZANIA mwenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.
Hii ni familia ya LUPITA NYONG'O, WATANZANIA wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanaoishi nchini KENYA.
Hawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU ndiyo walengwa wakuu kwa hapa TANZANIA na ndiyo watumiaji wazuri wa RANGI YA ORANGE.
Hawa ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa [...] inayopatikana katika WILAYA YA SHINYANGA MJINI na inatumia RANGI YA ORANGE kama rangi rasmi ya kibiashara.
Kwahiyo wale UCHIFU WA BUSIA wapo mbali sana KIUCHUMI na KISIASA ~ WHITEY HAIR na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] wanajaribu kuwa kama UCHIFU WA BUSIA, lakini hao UCHIFU WA BUSIA ndiyo wasimamizi wa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na wanamiliki UCHUMI MKUBWA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.