Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji

Huo ni upigaji kama upigaji mwingine

USSR
 
Wajane wote watainuka na kupepeta makalio huku wakimsingizia hayati😂!

Hili zigo linawahusu nyie 100%
 
nani aliingia mikataba hii na nani aliivunja? Samia? au ilisainiwa na magufuli na ikavunjwa na samia?
Lakini kikawaida kabisa unatoa vipi maoni kwenye kktu hukifahamu? Si ilipaswa uwe unafahamu kwanza ndio maoni yako yafuate, au?
 
Haina shida watizii tutalipa tu
 
Wazungu wanatafuta extension tu kwa vitisho

Hawatashinda unless inside sabotage itokee
 
Hao ni wezi tu wanatengeneza wizi wakishirikiana na watz hizo kampuni zote wamiliki wako hapa hapa TZ angekuwepo Magu wasingefanya ujjnga huo.
Iko vile hao wote ni wa humu humu tu !
Ni Uwizi Uwizi kwa kwenda mbele !
Aliyosema Ndungai yatakuja kutokea siku moja !
 


Kweli tuna akili? Tunazimaje mitambo ya kuzalisha umeme?

Je gas kule Songosongo anachimba nani? Na ni ya nani?

Kuna wakati tunajiroga wenyewe. Kuna wakati tunajisomea kurujuani wenyewe
 
Walioshauri wafilisiwe kulipa hela hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…