Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji

Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji

Sisi raia wa chini ndiyo tunashida mpaka basi, baadhi ya kodi tunazolipa zitakwenda kulipa fidia za kesi kama hizo. Mungu turehemu Tz.
 
White wizard wee kweli ni -0% kabisa upstairs, hata mikataba ya Samia aliyosaini uko kwa wajomba zake unaona sawa kabisa, mpaka watu wakatishiwa kuchinjwa. Watanzania wengine ni bwege kabisa, hiyo orcas imefunguliwa kwenye visiwa ambavyo utoroshaji wa pesa huwezi kuambulia kitu kama taifa. Hizi kampuni zinakuja na baadhi ya watanzania waroho wa Mali, usikute Kuna akina Makamba, Kikwete baada ya kutumbuliwa wamelianzisha.
Wapi nimesema ni sawa?ccm ndio janga na hizo kesi kuna viongozi wanafaidika nazo sana,ndio maana haziwezi kuisha,na mbona bado sana!!
 
Hayo mashwleria yemewekwa na worldbank na IMF Kwa ajili ya Africa kunufaisha ulaya.Sheria za uarabuni na mabara mengine nje ya America ya kusini ni winiwini na ndo maana wanatoka lakini nchi zote zenye Sheria kama Tanzania wote tuko mafukara angalia hata America ya kusini
Elimu tunayosoma haitusaidii zaidi yakutufanya wajinga.

Viongozi wetu wanasoma NEO COLONIALISM lakini hawana walilojifunza.
 
Acha upuuzi huo,kama hujui kitu kaa kimya,unajua jiwe amelitia taifa hili hasara kiasi gani??kwenye mikataba hii tangu akiwa waziri wa ujenzi??unajua hadi leo ile meli ya samaki aliyokamata nchi inadaiwa bei gani?!!
Hiyo mikataba ni wakulaumiwa ni ccm,na kuna watu wanafaidika nayo sana.na hadi mseme.
Shithole!
 
Chief kwani umesahau kwamba madai ya namna hii yamesababisha ndege zimeanza kushikiliwa wakati huyo Magu yupo ? mbona unajisahaulisha mapema sana
Ongelea issue iliyoko mbele yako hatuwezi ongelea kila kitu kwa wakati mmoja kila issue ina facts zake mkuu!
 
Hallo Wajamiii

Wales machawa wotee Lucas Mwashambwa
uvccm @@mwigulu Nchemba
Ikulu @wizara ya Fedha Bunge la Wananchi BUNGE la JMT

Maelezo hapaa

Hutowaona UVCCM hapa wala waziri akizungumzia hili

Lkn leo UVCCM Wapo Zanzibar hawatotoa hata neno moja kwa huli
 

Attachments

  • Screenshot_20240810_111803_Instagram.jpg
    Screenshot_20240810_111803_Instagram.jpg
    865 KB · Views: 4
Kampuni ya Orca Energy Group Inc, iliyoorodheshwa katika soko la hisa la Toronto ikitokea visiwa vya Virgin vya Uingereza, imewasilisha madai ya Dola bilioni 1.2 za Marekani (Sh3.2 trilioni) dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).

Hatua hii ya kisheria ya Orca, inayomiliki kampuni za PanAfrican Energy Tanzania (PAET) na Pan African Energy Corporation Mauritius (PAEM), inaelezwa na kampuni hiyo inatokana na madai ya ukiukaji wa majukumu ya mikataba na uwekezaji.

Source: Mwananchi

My take; Mitihani wa kwanza kwa Rais wa TLS BAK Mwabukusi 😄😄
 
Kampuni ya Orca Energy yaifungulia Tanzania na TPDC Kesi ya madai ya tsh 3.2 trillion kwa kukiuka Mikataba

Orca Energy imefungua madai hayo ya kuvunjwa Mikataba ya Uwekezaji kwa utaratibu wa ICSID

Source: Mwananchi

My take; Mitihani wa kwanza kwa Rais wa TLS BAK Mwabukusi 😄😄
Hii yote ni Jiwe, halafu eti shujaa
 
Kampuni ya Orca Energy yaifungulia Tanzania na TPDC Kesi ya madai ya tsh 3.2 trillion kwa kukiuka Mikataba

Orca Energy imefungua madai hayo ya kuvunjwa Mikataba ya Uwekezaji kwa utaratibu wa ICSID

Source: Mwananchi

My take; Mitihani wa kwanza kwa Rais wa TLS BAK Mwabukusi 😄😄
Haya ni matunda ya serikali kuwa chini ya raia feki ...kiongozi wa hiyo ajenda bwana ROSTAM AZIZI anazidi kuwa tajiri .
 
Back
Top Bottom