Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji


mtu unaeza soma ccmu anakukufanyq fala , hoja yako kuwa IGA sio mkataba , ila huna akili ya kujua athari za IGA kuelekea mkataba wenyewe , nmesoma reply zako na nmegundua huna akili
 
Chief kwani umesahau kwamba madai ya namna hii yamesababisha ndege zimeanza kushikiliwa wakati huyo Magu yupo ? mbona unajisahaulisha mapema sana
Tanzania haikuwa na mikataba mibovu mpk Magu alipoingia madarakani , si ndo hoja yako ? ndio maana mnaitwa kimah
 
Hizi kesi zinatoa picha namna utendaji na uwendeshaji wa taasisi, idara na wizara na mamalaka zilivyo dhaifu.

Hivi si kuna mwanasheria mkuu?
si kuna wanasheria wasomi wa serikali 😀 😀
 
Ongelea issue iliyoko mbele yako hatuwezi ongelea kila kitu kwa wakati mmoja kila issue ina facts zake mkuu!
Issue hii haijaanzia kwa samia

Tusijitoe ufahamu

Na hawa jamaa wanachotakq ni bullying their way to extension
 
Mwabukusi anahusikaje kwenye mkataba huu, naona unawagwaya wahusika yaani serikali na waziri mhusika umamalizia hasira zako kwa Mwabukusi!
 
Hii nchi ni ya kupiga tyu hakuna kingine
 
Mtu mpumbavu utamjua tu, ana luka hoja anakimbilia matusi!! Jiwe ni mikataba mingapi ameitia hasara nchi?!! Zito alishawaambia kama mnampenda sana mfuateni
Soma kwanza uelewe.

Mkataba umeisha 31st July,2024 na serikali haijafanya extension, na hao ndio wanachodemand wapewe extension ya mkataba waendelee kutupiga.

Hapo Magufuli anahusika nini na jambo la tarehe 31 July,2024.
 
Kabla sijajibu matusi yako, let us first make it clear! In whose era of presidency were these contracts signed/entered? LINI? Nani aliingia mikataba hii? Rais wa wakati huo alikuwa nani? Baada ya hapo tutaongea na kujibu matusi
Rais alikua kikwete hiyo ni 2011.

Serikali imechomoa kuongeza mkataba kama hao jamaa walivyotarajia mwaka huu.

Sasa hapo Magufuli anaingiaje?
 
Most of these cases are facilitated by the State House. Abdul
 
Hahahahah aaaahhh kumamakeee hahahahahahhahahaha


Utamsikiaa mwanamke Mmoja akiwa kwenye jukwaa anasema 'Ninaziba masikioooóo kama churaa'
 
Soma kwanza uelewe.

Mkataba umeisha 31st July,2024 na serikali haijafanya extension, na hao ndio wanachodemand wapewe extension ya mkataba waendelee kutupiga.

Hapo Magufuli anahusika nini na jambo la tarehe 31 July,2024.
Ungesoma kwanza uzi wake alichokiandika ndipo ungejua kwanini nilimjibu hivyo na wala sio juu ya mkataba huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…