Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji

Hao ni wezi tu wanatengeneza wizi wakishirikiana na watz hizo kampuni zote wamiliki wako hapa hapa TZ angekuwepo Magu wasingefanya ujjnga huo.
Chief kwani umesahau kwamba madai ya namna hii yamesababisha ndege zimeanza kushikiliwa wakati huyo Magu yupo ? mbona unajisahaulisha mapema sana
 
Namna nyepesi zaidi ya kupiga hela za watanzania.
Wamegundua njia rahisi ya kupiga pesa bila lawama wala kelele kutoka kwa wanainchi ni kutembelea makosa ya awamu iliyopita... wanawatafuta wawekezaji waliotimuliwa kwa makosa ya ukwepaji kodi na kuwashawishi wafungue k3si ya madai kwamba walifukuzwa kimakosa na hivyo wadai fidia... kinachopatikana kila mtu anapata mgao wake.

Ovyoo sana hii nchi.
 
Hizo sheria zimetungwa hivyo kwa makusudi hili kurahisisha ufisadi na wizi.... ulishajiuliza nini kinashindikana hapo kwenye kuzibadilisha
 
Serikali watusmbie ukweli nini mimetokea.Haiwezekani serikari inafanya mambo ya ovyoovyo harafu ikipigwa penalty haisemi yeneywe inakalia kulipa tu.Hii njia ya kuvunja mikataba Nia aina ya ufisadi Ili wale cha juu
 
Wewe unayejua umesaidia nini nchi??
 
Ni mbinu mpya ya CCM kukusanya fedha za uchaguzi.Kwanini mda huu kesi zisizokuwa na kichwa Wala miguu ndo tynashindwa
Hawa ni mawaziri wanafanya haya ili kutafuta fedha za uchaguzi ,yaani ili tupate fedha lazima tuwazunguke watanzania wakishirikiana na hao
 
Safari hii TLS tutaomba kuzamia kwenye hio kesi. Tuangalie nini kipo nini hakipo lazima tusimamie umma
Hiyo TLS huwa inajihusisha na mambo kama haya mazito yanahusu maslahi mapana ya taifa kweli?

Binafsi yangu huwa naona hao viongozi wake huwa wapo kwa ajili ya nanufaa yao ya kisiasa na ndio maana muda mwingi huwa wanapambana na serikali
 
Hizi kesi zinafunguliwa na watanzania wenzetu wanatupiga hela sijui usalama wa taifa nchi hii wana kazi gani.
Hao usalama wa taifa si ndio wanajenga majumba ya 700milion kule Mbweni...?

Uishajaribu kufuatilia hizo hela za kufanya hizo kufuru wanazitoa wapi??
 

Pata maneno hapa kwanza upate mzuka wa kutafakari😂😂🫢

Tutasoma hadi namba za madeni ya kirumi...ccm🙌🏾🙌🏾

Your browser is not able to display this video.
 
Hizi kesi mbona zinafunguliwa sasa?.

Ukishaona Kampuni ina usajiri Mauritius tu, anza kujiuliza maswali mengi, wenye ORCA energy siajabu tunaisha nao tu humu humu Masaki, mikocheni, msasani, upanga nk.
Ndo maana yake, Mauritius wana sheria nyepesi kufungua kampuni na uwekezaji kwa makampuni ya kimataifa kama ilivyo MALTA kwa ULAYA.... Kwahiyo Wabongo wanaweza kwenda kufungua KAMPUNI kule halafu wanakuja kujifanya kuwekeza kwa mkataba mbovu ambao hao hao wanakuja kuuvunja then kamzunguko kanaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…