Acha kumtafuta mchawi wewe! Chanzo ni serikali yako ya ccm. Full stop. Hamjawahi kuwa na uzalendo nyinyi kwenye hii nchi!Ndio chanzo Cha hayo yote
Wapi nimesema ni sawa?ccm ndio janga na hizo kesi kuna viongozi wanafaidika nazo sana,ndio maana haziwezi kuisha,na mbona bado sana!!White wizard wee kweli ni -0% kabisa upstairs, hata mikataba ya Samia aliyosaini uko kwa wajomba zake unaona sawa kabisa, mpaka watu wakatishiwa kuchinjwa. Watanzania wengine ni bwege kabisa, hiyo orcas imefunguliwa kwenye visiwa ambavyo utoroshaji wa pesa huwezi kuambulia kitu kama taifa. Hizi kampuni zinakuja na baadhi ya watanzania waroho wa Mali, usikute Kuna akina Makamba, Kikwete baada ya kutumbuliwa wamelianzisha.
Elimu tunayosoma haitusaidii zaidi yakutufanya wajinga.Hayo mashwleria yemewekwa na worldbank na IMF Kwa ajili ya Africa kunufaisha ulaya.Sheria za uarabuni na mabara mengine nje ya America ya kusini ni winiwini na ndo maana wanatoka lakini nchi zote zenye Sheria kama Tanzania wote tuko mafukara angalia hata America ya kusini
Shithole!Acha upuuzi huo,kama hujui kitu kaa kimya,unajua jiwe amelitia taifa hili hasara kiasi gani??kwenye mikataba hii tangu akiwa waziri wa ujenzi??unajua hadi leo ile meli ya samaki aliyokamata nchi inadaiwa bei gani?!!
Hiyo mikataba ni wakulaumiwa ni ccm,na kuna watu wanafaidika nayo sana.na hadi mseme.
Ongelea issue iliyoko mbele yako hatuwezi ongelea kila kitu kwa wakati mmoja kila issue ina facts zake mkuu!Chief kwani umesahau kwamba madai ya namna hii yamesababisha ndege zimeanza kushikiliwa wakati huyo Magu yupo ? mbona unajisahaulisha mapema sana
Kula wale wengine alafu zigo la mavi uwape wengine kila mtu abebe zigo lake..My take; Mitihani wa kwanza kwa Rais wa TLS BAK Mwabukusi ππ
Hii yote ni Jiwe, halafu eti shujaaKampuni ya Orca Energy yaifungulia Tanzania na TPDC Kesi ya madai ya tsh 3.2 trillion kwa kukiuka Mikataba
Orca Energy imefungua madai hayo ya kuvunjwa Mikataba ya Uwekezaji kwa utaratibu wa ICSID
Source: Mwananchi
My take; Mitihani wa kwanza kwa Rais wa TLS BAK Mwabukusi ππ
Hii ni ya April 2023 πππHii yote ni Jiwe, halafu eti shujaa
Jiwe alikuwa mshenzi sanaHii yote ni Jiwe, halafu eti shujaa
Haya ni matunda ya serikali kuwa chini ya raia feki ...kiongozi wa hiyo ajenda bwana ROSTAM AZIZI anazidi kuwa tajiri .Kampuni ya Orca Energy yaifungulia Tanzania na TPDC Kesi ya madai ya tsh 3.2 trillion kwa kukiuka Mikataba
Orca Energy imefungua madai hayo ya kuvunjwa Mikataba ya Uwekezaji kwa utaratibu wa ICSID
Source: Mwananchi
My take; Mitihani wa kwanza kwa Rais wa TLS BAK Mwabukusi ππ
Jiwe hakuwa madarakani wakat mnauweka huu mkataba mzee π yule ni shujaaHii yote ni Jiwe, halafu eti shujaa
Chuki inakufanya ukurupukeHii yote ni Jiwe, halafu eti shujaa
Retired ni mpuuzi kila kitu JPMJiwe hakuwa madarakani wakat mnauweka huu mkataba mzee π yule ni shujaa