Yaani wewe jamaa bonge la mTanzania genius umekula LOVE hapa nakuongezea LIKEHuo wasiwasi wa Dr. Nkengasong juu ya mapambano ya corona hauna misingi yoyote wala maslahi kwa Tanzania. Yeye aseme tuu ana maumivu juu mapokeo ya corona na kauli mbiu ya kulockdown nchi kwa nchi ya Tanzania, aseme kwamba Tanzania ilichagua njia sahihi kupambana hili janga na kwa kuwa wamefanikiwa kupunguza vifo na maambukizi nchi nyingine Africa na duniani waige walichokifanya.
Mbona sisi mapambano yetu tuliweka wazi kabisa. Sisi baada ya kujua corona haina chanjo wala dawa tuliamua
1.Kumwomba Mungu kwa imani zetu zote
2.Tukarudi kwenye tiba mbadala, malimao, tangawizi na kupiga nyungu kwa sana
3.Tukaondoleana hofu Kati yetu, tulijua hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko corona yenyewe
Tunajua kabisa corona haijaisha na corona inaweza kuua bado lakini sio kwa kile kiwango walichotaka wao na kutulazimisha kuamini, pia yapo magonjwa mengi yanayoua zaidi hata ya corona na tuko kwenye mstari na njia sahihi kupambana hili
Huu ni uzi wa 10 humu JF, mnashadidia nini?Africa CDC expresses concern over Tanzania's response
Date: Aug 6, 2020
The Director of Africa Centre for Disease Control has expressed concern about Tanzania's handling of the coronavirus pandemic. Dr John Nkengasong told BBC's Newsday that there was no enough data to determine the situation in Tanzania.
He said the centre had developed a continental joint response strategy to be able to defeat the virus. "We continue to hope and plead that Tanzania could come forth and report the situation as it is so that we can work collaboratively to stem this virus out of the continent," he said.
He emphasised on the need for all African countries to work together. "We continue to reach out (to Tanzania) but we are not having the response that we expect," he said.
Tanzania's President, John Magufuli, has insisted that his country has been "saved" from the virus and declared the country virus free.
The country is getting ready for October elections and is an electioneering mood. People have been going about their business with no masks or social distancing.
--BBC—
Suala la usiri si geni kwa hao viongozi limezoeleka,ila kuamini kwamba siri yenyewe yaweza kuwa ni covid19 hapo sidhani kama ina make sense.Hivi nini kimemchomoa Mkapa? Itabaki siri.
Nikiangalia hawa viongozi wakubwa wote pamoja na rais mwenyewe naona kabisa kuna kitu walikigundua hawa wenzetu kuhusiana na corona,na sidhani hata kama haya maamuzi aliyofanya Magufuli ni kwa mtazamo wake tu binafsi.
Huu ugonjwa mpaka umchomoe mtu.
Kwa nini?Suala la usiri si geni kwa hao viongozi limezoeleka,ila kuamini kwamba siri yenyewe yaweza kuwa ni covid19 hapo sidhani kama ina make sense.
Tanzania kwa sasa ni kichwa cha mwendawazimu!View attachment 1528756
Na huyo ni mtu ni wewe.Huu ugonjwa mpaka umchomoe mtu.
Mbona iliwekwa wazi chanzo cha kifo, hukusikia wewe!? Au ulitamani waseme ugonjwa ulioupenda wewe?Hivi nini kimemchomoa Mkapa? Itabaki siri.
Wana dhamira negative nasiWapewe taarifa au lipoti ipi wakati kila siku mheshimiwa rais wetu anasema hakuna korona,sasa wao wanataka waambiwe kuwa kunawagonjwa Millioni sita ndo wajue hiyo ndo taarifa sahihi.
Kule wanakotoa taarifa sahihi kuna jipya gani ? Kuna kitu gani kimebadilika?
Huu ni upuuzi watuache
Kwa nini?