madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,498
- 2,927
Huyu ni adui no 1wa TanzaniaKTN walimuuliza Lissu swali kuhusu corona. Lissu naye alivyo kuwa mnafiki akajibu tunasikia corona iko lakini vyombo vya habari havitangazi maana vimenyimwa uhuru na sheria.
Ukijaribu kufikiri haya mahojiano inabidi ubakie kucheka tu. Huyo Lissu mwenyewe tangu mapokezi yake airport mpaka katika kikao cha mkutano ya kupitisha wagombea cdm na act hakuonesha dalili zozote za kuwa na hofu ya corona.
Lakini anaitangazia dunia Tanzania corona iko ila vyombo vya habari havitangazi.
Kwahiyo hapa ni vita ya fulani kunyimwa hela na wengine kupewa?Uganda , Rwanda na Kenya hawa wote wamepewa hela kasoro Tanzania tu
Jibu la Lissu ni sahihi,and you know it!Huyu ni adui no 1wa Tanzania
Chukua ukoo wako mkapime takwimu zitaanzia hapo, kwani kila kifanyacho na serikali wote tunakijua mkuu? Mbona umekuja juu kama moto wa nyika? Ngoja nikupishe!Kwahiyo hapa ni vita ya fulani kunyimwa hela na wengine kupewa?
Wewe ulienyimwa hawa waliopewa wakuonee wivu kivipi yaani?
Wewe ulienyimwa ndio uwaonee wivu hawa waliopewa...
Ila sisi Watanzania ni kinyume,eti tunasema hawa waliopewa ndio wanatuonea wivu sisi ambao hatujapewa hela?
Tanzania tuna utoto sana..tupo kwenye capitalistic world,tujifunze kujenga maslahi yetu na kuhakikisha tuna maximize our money..
Na tusilie kama mitoto midogo tunapoona other nations zipo against us for whatever reason....
Na tuelewe we are responsible for our own actions...consequences zipo hya kila decisions we are taking...
Rwanda is not here for Tanzanian benefit na or anybody else...likewise Kenya,Uganda,etc
Tujifunze kupambana with all our sweat,tuache huu upumbavu wa ku-blame others for whatever we do!
Nchi zote hizi zinapima "positives" tu "negatives" hakuna?Na nchi zinazotoa hela kama USA zimekaa tu hazina investigative powers on their tax payers' money?
Mbona mnaiona hii dunia na hizi nchi ni watoto sana?
Sometimes tuache upumbavu tuchukulie every nation seriously!
MkuuChukua ukoo wako mkapime takwimu zitaanzia hapo, kwani kila kifanyacho na serikali wote tunakijua mkuu? Mbona umekuja juu kama moto wa nyika? Ngoja nikupishe!
Shida ni kwamba walizichukua noti za mabeberu ili kuratibu janga hilo, hivyo wanatafuta mbinu za kuonesha wamezifanzia kazi.
Wenzetu jirani wameanza kuumbuana katika ufisadi wa noti hizo hizo.
Kwa maana fupi ni kuwa janga ni Fursa.
Mimi kufa na korona kuna uhusiano gani na wewe?
Kujua tarehe yangu ya my mortality kunakuongezea wewe utility gani hasa?
Nitakufa pale my mortality breaks,na infact sijui tarehe wala saa!
Infact pia wewe hujui tarehe wala saa,sasa sijui unauliza kitu ambacho ni impossible kwa mwanadamu kujua mimi nitajulia wapi kama sio ukichaa fulani hivi unaonesha?
Halafu kufa kwa korona sio tatizo au kufa kwa lolote lile.
Kila mtu lazima afe in one way or another....Jamaa yenu Mkapa went out by korona,which is okay!
Why y'all monkeys becoming emotional this much?
Mlitaka aishi milele?
Too bad hakuna mwanadamu au any living thing for that matter ataishi perpetually!Never
Shukran!
Lile ni swali au upumbavu?Mama D kauliza a very logical question, wewe mjibu swali lake instead of resorting into uncalled for "tirades" !!!
Huyo anapigana vita asiyoiweza kwahio anatumia kila silaha inayomjia mbele yake.KTN walimuuliza Lissu swali kuhusu corona. Lissu naye alivyo kuwa mnafiki akajibu tunasikia corona iko lakini vyombo vya habari havitangazi maana vimenyimwa uhuru na sheria.
Ukijaribu kufikiri haya mahojiano inabidi ubakie kucheka tu. Huyo Lissu mwenyewe tangu mapokezi yake airport mpaka katika kikao cha mkutano ya kupitisha wagombea cdm na act hakuonesha dalili zozote za kuwa na hofu ya corona.
Lakini anaitangazia dunia Tanzania corona iko ila vyombo vya habari havitangazi.
Mama D kauliza a very logical question, wewe mjibu swali lake instead of resorting into uncalled for "tirades" !!!
Ukweli ni kwamba CORONA ipo pia nchini mwetu na hata Rais wetu alikiri hivyo.Ndio mantiki ya hoja yangu. Ingekuwa ugonjwa uko widespread, lazima tungekua tunalia kila siku kwamba tumepoteza majirani, workmates, schoolmates na makaburi ya jumuiya (mass graves) kama Brazil, Mexico na Italy yangekuwepo kila mtaa. Naona kutokuwa na lockdown na kusisitiza kupiga nyungu kumesaidia kutosambaza ugonjwa zaidi. Lakini pia HOFU iliua sana watu
Mimi nakubali kama tukipima tutaona watanzania wana corona kama ilivyokuwa mwanzoni ila tatizo hapa ni watu kutokuugua,hatuoni watu wakiugua na huo ugonjwa unajulikana ni hatari na unaambukiza na Tz hatufuati taratibu za kujikinga na huo ugonjwa,hivyo ni wazi tungeona wenyewe tukiugua sana tu.Jibu la Lissu ni sahihi,and you know it!
Shida ni unafiki mtupu hapa.....
Uzuri,y'all know everything!
Hupimi watu halafu unasema korona haipo,umejulia wapi kama si utoto mnatuletea nyie wehu?
Unajuaje mtu ni mgonjwa bila kumpima?
Mavi kunuka nyie....nyie mmezaliwa wapi aisee!
BrotherMimi nakubali kama tukipima tutaona watanzania wana corona kama ilivyokuwa mwanzoni ila tatizo hapa ni watu kutokuugua,hatuoni watu wakiugua na huo ugonjwa unajulikana ni hatari na unaambukiza na Tz hatufuati taratibu za kujikinga na huo ugonjwa,hivyo ni wazi tungeona wenyewe tukiugua sana tu.
Sasa ikiwa watu wana corona ila hawaugui wanaendelea na shughuli zao basi itakuwa corona haina athari kwetu na hivyo inabidi tuishinayo.
Mkuu ndio maana nikasema toka mwanzo kuwa kama tukipima corona basi vipimo vitatupa majibu ya watanzania wengi tu kuwa na hivyo virusi kama ilivyokuwa mwanzoni kwa hivyo itajulikana corona ipo Tz,lakini hoja yangu ipo kwa watu kuuguwa hiyo corona maana ni ugonjwa hatari na unambukiza kwa kasi sana, maan hapo ndipo panapowafanya watu wadai Tz hakuna corona kwa sababu hawaoni hiyo kasi ya watu kuuguwa kwa wingi kama matokeo ya kuwepo corona na wengine kuona kuwa Tz itakuwa inaficha corona kwamb watu wanauguwa na kufa kimya kimya.Brother
Hatupimi ili watu waugue....tunapima kujua nani amebeba kirusi na nani hajabeba...
Watu kutougua sijui umedhibitisha wapi maana hujui miili ya watu milioni 60!
Hapo umeangalia watu machoni,ambapo wote hao wanaweza kua carriers...hawa watu ukiwaruhusu wasafiri nchi za watu wanapeleka hivi virusi....
Na for your information,watu wanaumwa na wanakufa sababu tu takwimu za mochwari na hospitalini huwezi ziona,ila watu wanakufa japo sio kwa takwimu labda unazofikiri wewe sio hatari...
Ishu hapa Tanzania ipo duniani,na Watanzania wanachanganyika na watu wengine duniani,watu wapo concerned na carriers na wala sio wagonjwa wa kulala kitandani maana hao hawawezi hata kutembea....
Hatari ni mgonjwa anaetembea,yaani carrier....
Lazima mataifa mengine yawe concerned.....
Concequences zinakuja,na kama mnalia sana hameni duniani mhamie Mars...
Sasa mtu anakwambia huwezi kusema kuwa hakuna corona bila takwimu ila huyo huyo anakwambia watu wanakufa kimya kimya sijui kwa takwimu zipi?Hata Lisu alipokuwa nje alikuwa haamini alipiingia ndo kaamini hakuna cha kuachiana nafasi anashiriki hata kukusanya mikusanyiko, wamuulize Lisu atawajibu