Tanzania yakopa Benki ya Dunia tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya Elimu, Barabara na Mawasiliano!

Hadi sasa mama kishakopa zaidi ya trillion 4
 
tukianza kulalamika kuhusu misururu ya tozo... utaskia"ni kwamanufaa ya watanzania"
 
DSM tu kuna barabara kubwa tu hata moramu hazina yaani ni za VUMBI tu...

Kodi za magari ,pikipiki,bajaji soon zitarudi.
 
[emoji1787][emoji1787] Duuh!

"Msiponiletea huyu, sileti maendeleo!!"

Ilisikika sauti ya mtu huyo huyo ikinena hayo pia, ili tufikishwe huku tulikofika!
Halafu kodi tunalipa wote! Serikali ya kijinga sana hii!
 
Imekuaje tena tunakopa pesa za maswala ya kawaida kabisa miaka 60 baada ya uhuru na juzi tu mama enu kasema kaweka tozo kwa ajili ya matumizi ya namna hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…