Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hii nchi kwa kukopa imebarikiwa, mbona maendeleo hatuoni?Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi.
Source: ITV habari
walilipana posho tupuJamaa ni mijizi sana hii
Litafika 100T muda siyo mrefuDeni la taifa limegonga ngapi?
Watu wameweka mgomo hawatumii tena mitandao ya simuTuliaminishwa kupitia tozo tutagharamia matengenezo ya barabara za vijijini na huduma za afya. Au zoezi la tozo limeshindikana basi wazifute tu.
Bila katiba ya wanyonge hii nchi tutakuja kuuzwa, maana tunanuka madeni........siku mkidemkia kwa mchina mtajua kama hamjui.....Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi.
Source: ITV habari
Haswaaa......hapo utaambiwa zimeagizwa VIIEITE mpya kwa ajili ya wakuu wa mikoa na wilaya, bila kusahau viongozi waandamizi wa chama chakavu, maana wao tuliambiwa na polepole gari wanayotembelea inaanzia kiwango cha VIIEITE......Kukopa kusikoambatana na nidhamu ya fedha ni kusaliti vizazi vijavyo!
Wape na dondoo (minutes) za kikao tulichokubaliana!Mlioko karibu na Mama ,mwambieni sisi hatuna shida na tozo ikiwezekana tozo iwe maradufu.
Sikuelewi mkuu.Sio tuu elimu na miundombinu,tozo haziwezi fikisha hata robo ya kubadili mavumbi,matope,milima ,mabonde na mito kufikika..hii nchi ni kubwa Sana bila kuifungua hatubotoi.
Huwezi elewa ila namaanisha connectivity ya barabara kwenye nchi yetu iko hovyo na msimu wa mvua ndio kabisaa ,tatizo kubwa ni fedha zilikuwa kiduchu.Sikuelewi mkuu.
Una maana gani na hiyo "kuifungua"?
Soma bajeti utakuta malipo ya madeni kuna Tilioni za kutosha zinalipwaNaona kila siku ni habari za kukopa na serikali ikijivuna kwa hilo lakini sijaona taarifa za kulipa madeni
Ujinga utakuja kuwaisha lini?Mikopo ya nn tena hali kuna tozo ya uzalendo
Unasema "Siwezi elewa"?Huwezi elewa ila namaanisha connectivity ya barabara kwenye nchi yetu iko hovyo na msimu wa mvua ndio kabisaa ,tatizo kubwa ni fedha zilikuwa kiduchu.
Inamaana wakiimarisha ufikikaji wa maeneo jita itakuwa kubwa kwenye uchumi na uwekezaji utaongezeka.
Sijui wewe uliyekuwa umeniulizaUnasema "Siwezi elewa"?
Katika haya uliyoeleza hapa wewe unadhani ni kipi kigumu sana kueleweka kiasi cha mimi nishindwe kuelewa? Umejuwaje kiasi cha uelewa wangu!
Rubani kaenda zake vacation. How comes kodi za miamala tunaambiwa znajenga barabara na madarasa afu bado wanakopa zngne?Hiyo 2.7T inaenda kupigwa na wajanja wachache tu wanaojiandaa na uchaguzi wa 2025.
Hizi tozo tunazochapwa daily zinaingia fungu lipi?
Nchi ipo set kwenye auto-pilot.
Kwanini wanakopa kwa ajili ya barabara ili hali wakijua wameweka tozo ya miamala kwa ajili ya ujenzi wa barabara?Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi.
----
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea mkopo wa masharti nafuu wenye thamani ya shilingi trilioni 2.7 kutoka Benki ya Dunia (WB).
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bi. Mara Warwick ndio Wamesaini mikataba hiyo kupitia Shirika la Maendeleo la Kimataifa (IDA).
Kupitia mkopo huo, miradi itakayotekelezwa ni katika sekta ya Elimu, Barabara, Tehama na Nishati ya umeme, Tanzania Bara na Zanzibar.
Barabara za vijijini zitanufaika kwa mkopo wa Bilioni 693.2, mazingira ya elimu ya juu wa bilioni 982.1 bilioni na digitali bilioni 346.6.
Aidha,huduma za umeme Zanzibar zitanufaika kwa mkopo wa Bilioni 328.1 bilioni ukiwemo mkopo wa Bilioni 346.6 kwa ajili ya kuboresha maisha ya wananchi visiwani humo.
Mbali wapi unapoangalia wewe kima ,Kati ya Waziri wa fedha na Makamu ambao ni wachumi na wewe mpuuzi nani anaweza aminika?