Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 110 kupambana na athari za COVID-19

Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 110 kupambana na athari za COVID-19

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,716
Reaction score
9,051
Benki ya maendeleo ya Afrika imepitisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 sawa na zaidi ya bilioni 117 za kitanzania kugharamia mapambano dhidi ya Covid.

Serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli inapanga kujenga uthabiti wa kiuchumi na kupunguza athari za kiuchumi, kijamii na kiafya zinazotokana na Covid hasa biashara, kaya zilizo katika hali hatarishi na mfumo wa afya.

Kulingana na Benki ya ya Afrika, fedha hizo zitasaidia mpango wa serikali wa dola za marekani 109 sawa na bilioni 252 za kitanzania kupambana na Covid ambao unagharamiwa na serikali pamoja na washirika wa maendeleo.

Ukuaji wa uchumi unatarajiwa kushuka kutoka makadirio ya asilimia 6.4 kabla ya mpaka kati ya asilimia 3.6 na 2.6

===========

African Development Fund on Monday approved a $50.7 million (approximately Sh5.5 billion) to Tanzania, to finance the nation’s response to the Covid-19 pandemic.

The government, led by President John Pombe Magufuli is planning on building economic resilience, while mitigating the socio-economic and health impacts of the pandemic, particularly on local businesses, vulnerable households and the country’s health system.

The loan from African Development Bank Group (AfDB) was approved by the ADF Board of Directors and is meant to offer budget Support.

According to a statement by the Bank, the funds will support the Government's $109 million (approximately Sh12 billion) national Covid-19 response plan, which is jointly supported by the country’s other development partners.

The pandemic has put increased pressure on Tanzania’s health facilities, social protection systems and has dampened the country’s projected growth of over 6.2 per cent.

Growth is now projected to decline from the pre-Covid projections of 6.4 per cent to between 3.6 and 2.6 per cent.

Nnenna Nwabufo, the Acting Director-General of the AfDB ’s East Africa regional office, said the operation was part of a larger, more comprehensive support package for the Bank’s regional member countries, including Tanzania.

“The evolution of Covid-19 and changing containment measures remain dynamic and unpredictable; the medium and longer-term impacts of the crisis are yet to be fully understood," Nwabufo said.

"The African Development Bank Group is stepping up its coordination with governments, as well as with other development partners to adapt and strengthen its monitoring and response to the pandemic."


CHANZO: AfDB > Tanzania: African Development Fund approves $50.7m Covid-19 crisis response budget support
 
Uchumi unakua affected na corona kutokana na madhara ya nchi nyengine, hilo ni muhimu kussuport biashara za ndani hujui kuna mahotel toka mwezi wa 1 hapa Tanzania na Zanzibar bado hazijafunguliwa zinaoitwa incentives kuboost economy.....wabongo kwa kulalama
 
Hela ya vipimo jamani kipimo kimoja cha Corona kinasafirishwa kwa gharama kubwa sana, hivto Corina bado ipo.
 
Hebu fanya Hesabu zako vizuri, 50.7 Mill ni sawa na 116 Bill Tsh na sio 5.5 Bill na 109 Mill $ ni sawa 273 Bill Tsh
 
Kwanini uchumi uwe affected na nchi zingine wakati tushasema hatutaki mabeberu. Kauli nyingi za kujichanganya zinazotolewa na viongozi ndizo zinazoleta hayo maswali.Hayo mauzauza yote watu wanayauliza kwasababu yalisemwa na viongozi hao hao.

Kwa ujumla corona imeathiri sana uchumi wetu lakini badala ya sisi kukazania tu kusema corona hakuna nchini ilitakiwa pia tutambue uwepo wa corona kwa wenzetu hasa nchi zilizoendelea imetuathiri pia kwa namna mbalimbali. Lakini matokeo yake tunakazana tu kusema mabeberu mabeberu.
uchumi unakua affected na corona kutokana na madhara ya nchi nyengine....hilo ni muhimu kussuport biashara za ndani hujui kuna mahotel toka mwezi wa 1 hapa tanzania na zanzibar bado hazijafunguliwa zinaoitwa incentives kuboost economy.....wabongo kwa kulalama
 
uchumi unakua affected na corona kutokana na madhara ya nchi nyengine....hilo ni muhimu kussuport biashara za ndani hujui kuna mahotel toka mwezi wa 1 hapa tanzania na zanzibar bado hazijafunguliwa zinaoitwa incentives kuboost economy.....wabongo kwa kulalama
Ndio naanza kuelewa kutoka kwako kwamba zinazoitwa 'Incentives kuboost economy' zinapokopwa haielezwi kuwa ni kwa ajili hiyo, bali zinaelezwa sababu au matumizi mengine tofauti!
 
Hiyo misaada ya kukabiliana na madhara ya COVID 19 mbona waathirika hatupati ahueni yoyote?

Mfano makampuni yaliyoko Arusha bado TRA inaendelea kukaba kama vile hakuna tukio lolote lililoathiri biashara zetu; ingependeza ufuatiliaji wa madeni ya kodi kwa biashara zilizoathiwa zaidi na CORONA usitishwe kwa angalau muda ya mwaka mmoja (July 2020 to June 2021) mpaka hali ya biashara itakaporejea walau kwa 50% ya ilivyokuwa kabla ya CORONA
 
Back
Top Bottom