Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 110 kupambana na athari za COVID-19

Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 110 kupambana na athari za COVID-19

Viongozi wetu wamechanganyikiwa, wanasema hakuna korona Tanzania halafu gizani wanaandika michanganuo ya kuomba pesa kutoka kwa mabeberu kwa kutumia korona.
 
Kwanini uchumi uwe affected na nchi zingine wakati tushasema hatutaki mabeberu.Kauli nyingi zakujichanganya zinazotolewa na viongozi ndizo zinazoleta hayo maswali.Hayo mauzauza yote watu wanayauliza kwasababu yalisemwa na viongozi hao hao...
We kwani kwenu kuna mtu mwenye corona, huo mkopo umeambiwa unaenda tibu corona. Effect za uchumi zipo wazi na hajalikataa hilo na kama unatumia akili ungejua kuwa kwa Afrika mashariki uchumi wetu ndio umekua affected kidogo na covid 19
 
Ndo naanza kuelewa kutoka kwako kwamba zinazoitwa 'Incentives kuboost economy' zinapokopwa haielezwi kuwa ni kwa ajili hiyo, bali zinaelezwa sababu au matumizi mengine tofauti!
Sio kosa lako ni lugha tu, google economic The government, led by President John Pombe Magufuli is planning on building economic resilience, while mitigating the socio-economic and health impacts of the pandemic, particularly on local businesses, vulnerable households and the country’s health system.
 
Halafu wabongo mpunguze kulalamika utadhani serikali itakuja wawekea chakula mdomoni, mnajua hadi sasa Kenya ishakopa zaidi ya trillion 3 (usd 2 billion) kwenye covid 19 tu na hiyo ni kwa miezi 6 utafananisha na mkopo wa usd 100 million ambao umejieleza kabisa kuiboost uchumi wa nchi. Biashara lazima ziendelee na kwa hilo ni kusaidia kuwezeshwa na serikali.
World Bank Approves $1 Billion Financing for Kenya, to Address COVID-19 Financing Gap and Support Kenya’s Economy
IMF Executive Board Approves a US$739 Million Disbursement to Kenya to Address the Impact of the COVID-19 Pandemic
 
Walisema Mungu katupambania baada ya maombi, hizo wanapeleka kwa Mungu ama?
 
Bado tunajisifu tumeweza kugharamia uchaguzi bila msaada (kwanza hilo jambo lenyewe tunajisifia halijakamilika) pili, tunahamisha rasirimali kutoka upande mmoja kwenda eneo jingine.

Kiranga alisema unakua na jeuri na uhalali wa kujipiga kifua kwamba unafanya mambo yako bila kutegemea msaada pale unapoweza kuitekeleza bajeti yako 100% mwenyewe bila usaidizi.
 
Mbowe na saccos yake wanaimezea mate. Imekula kwenu, Tanzania ya kijani inakuja.
 
Matumizi ya mkopo huwa ni mengi. Si lazima kutumia kwa kusudio uliloandikia. Bank inachojali ni marejesho. Kampeni hoyeeeeeee
 
sio kosa lako ni lugha tu...google economic The government, led by President John Pombe Magufuli is planning on building economic resilience, while mitigating the socio-economic and health impacts of the pandemic, particularly on local businesses, vulnerable households and the country’s health system
Hiyo uliyoichota ni para ya pili kwenye hicho kipande cha habari, ni "attribution" ya mwandishi, ni "dhanio" tu ya mwandishi na sio ukweli halisi.

Ukweli halisi uko hapa: According to a statement by the Bank, the funds will support the Government's $109 million (approximately Sh12 billion) national Covid-19 response plan, which is jointly supported by the country’s other development partners. The pandemic has put increased pressure on Tanzania’s health facilities, social protection systems.
 
Duuu! tumekataa kutangaza wagonjwa wa covid-19 ambapo tungelikuwa tunapata hela from WHO
 
Lord have Mercy on Us! Corona ipi? Si mlishasema hamna corona?
Nani huyo anasambaza habari za Corona? Watu pekee wanaopaswa kutoa habari hizi wanajulikana. Yeyote aliyetoa taarifa hizi atakuwa anashirikiana na mabeberu katika kuitangaza vibaya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom