Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Tutanufaikaje hapo
I wish iwe profile yngu kwa whatsap lakini naogopa wasiojulikana,wacha ikae moyoniView attachment 1605848wale wa kijani kisa flyovers.. mpo [emoji38]
Mbona madhara ya kiuchumi ya covid ni kidogo sana nchini? Na hii ni dona kantre! Imekuaje tena mnakopa? Je covid ingewapiga kama Brazil mngefanyaje? Mngeuza nchi kabisa au?Ni pesa kwa ajili ya kupambana na madhara ya kiuchumi ysliyoachwa na korona mbona uelew wenu mdogo
Ohohooo, mwizi wetu Jiwe ameanza kuiba tena. Si alituaminisha kuwa yeye ni Mkuu wa Malaika wa Mbinguni na kwamba sala zake zimefukuza Corona Tanzania. Sasa huu mkopo wa hela ndefu ni kwa Corona ipi?Benki ya maendeleo ya Afrika imepitisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 sawa na zaidi ya bilioni 117 za kitanzania kugharamia mapambano dhidi ya Covid...
Dhana ya mkopo huu ni kukabiliana na athari za Corona na kuweka mazingira ya watoa huduma na vituo vya afya kuwa tayari kukabiliana na Corona endapo itajitokeza tusiwe watu wa kulalamika.Benki ya maendeleo ya Afrika imepitisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 sawa na zaidi ya bilioni 117 za kitanzania kugharamia mapambano dhidi ya Covid...
Umeambiwa effects za covid na ujue Tz sio kisiwa tuna biashara ya utalii imekuwa affected, Usafiri, mahoteli etc na trading partners wetu bado wana coronaJuhudi za nini, kwani kuna Corona tena?
Korona ipo kwan , mpaka tukope ?Hongera Magufuli. Hakika wameanza kuelewa juhudi zako.
USA ni Donor country lakini mbona nao wana kopa ?? Grow up lady/manDona kantiri inakopa tena?
Wamekuja kukopa TzUSA ni Donor country lakini mbona nao wana kopa ?? Grow up lady/man
tumeanza kauli hii 5 years ago wakati USA wamekuwa huko for over 100 years , sasa sisi tulioanza juzi tutakuwa sawa na aliyekuwa huko majuzi ileWamekuja kukopa Tz
Tulikuwa tumezuiwa na nani?tumeanza kauli hii 5 years ago wakati USA wamekuwa huko for over 100 years , sasa sisi tulioanza juzi tutakuwa sawa na aliyekuwa huko majuzi ile
Kasome historia, sipo hapo kujibu maswali ya shule ya msingi , kama hukupitia shauri yako au nenda kisomo cha watu wazimaTulikuwa tumezuiwa na nani?
Kwahiyo umesoma USA? shame on you na elimu yako ya makaratasi ambayo haikupi uwezo wa kuchanganuaKasome historia, sipo hapo kujibu maswali ya shule ya msingi , kama hukupitia shauri yako au nenda kisomo cha watu wazima
mtoto wa kiume ukizoea kulalama kila wakati unaweza enda mombasa tu uolewe...mbona maisha yanaenda tuSemeni hivyo hivyo hela zinaenda kuwalipa wasanii na kujiendeleza zake kwao Chato na akiingia madarakani tena tutanyonywa zaidi ya nyuma. Mlizoea kusema vyuma vimekaza naona safari hii sijui mtasema vipi.
If mistaken kuna Bank ilitaka kukopesh Tz pesa kwa ajili ya covid19 JPM kasema izo pesa zipelekwe kwe madeni tunayodaiwa kwa vile Tz hakuna corona... Sasa hii vipiiiiiiiiiiBenki ya maendeleo ya Afrika imepitisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 sawa na zaidi ya bilioni 117 za kitanzania kugharamia mapambano dhidi ya Covid.
Serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli inapanga kujenga uthabiti wa kiuchumi na kupunguza athari za kiuchumi, kijamii na kiafya zinazotokana na Covid hasa biashara, kaya zilizo katika hali hatarishi na mfumo wa afya.
Kulingana na Benki ya ya Afrika, fedha hizo zitasaidia mpango wa serikali wa dola za marekani 109 sawa na bilioni 252 za kitanzania kupambana na Covid ambao unagharamiwa na serikali pamoja na washirika wa maendeleo.
Ukuaji wa uchumi unatarajiwa kushuka kutoka makadirio ya asilimia 6.4 kabla ya mpaka kati ya asilimia 3.6 na 2.6
===========
African Development Fund on Monday approved a $50.7 million (approximately Sh5.5 billion) to Tanzania, to finance the nation’s response to the Covid-19 pandemic.
The government, led by President John Pombe Magufuli is planning on building economic resilience, while mitigating the socio-economic and health impacts of the pandemic, particularly on local businesses, vulnerable households and the country’s health system.
The loan from African Development Bank Group (AfDB) was approved by the ADF Board of Directors and is meant to offer budget Support.
According to a statement by the Bank, the funds will support the Government's $109 million (approximately Sh12 billion) national Covid-19 response plan, which is jointly supported by the country’s other development partners.
The pandemic has put increased pressure on Tanzania’s health facilities, social protection systems and has dampened the country’s projected growth of over 6.2 per cent.
Growth is now projected to decline from the pre-Covid projections of 6.4 per cent to between 3.6 and 2.6 per cent.
Nnenna Nwabufo, the Acting Director-General of the AfDB ’s East Africa regional office, said the operation was part of a larger, more comprehensive support package for the Bank’s regional member countries, including Tanzania.
“The evolution of Covid-19 and changing containment measures remain dynamic and unpredictable; the medium and longer-term impacts of the crisis are yet to be fully understood," Nwabufo said.
"The African Development Bank Group is stepping up its coordination with governments, as well as with other development partners to adapt and strengthen its monitoring and response to the pandemic."
CHANZO: AfDB > Tanzania: African Development Fund approves $50.7m Covid-19 crisis response budget support
Hivi huwa unaandika kwa mihemko au ni akili za 'kushikiwa'Hongera Magufuli. Hakika wameanza kuelewa juhudi zako.
Ungekuwa umejaaliwa akili japo za kuku wa kienyeji usingeandika huu uharo!mtoto wa kiume ukizoea kulalama kila wakati unaweza enda mombasa tu uolewe...mbona maisha yanaenda tu
Ujinga huu. Soko la hoteli Tanzania limeanza kuyumba kabla ya Corona. `Lilianza kuyumba kutokana na madiliko ya sera za serikali yetuUchumi unakua affected na corona kutokana na madhara ya nchi nyengine, hilo ni muhimu kussuport biashara za ndani hujui kuna mahotel toka mwezi wa 1 hapa Tanzania na Zanzibar bado hazijafunguliwa zinaoitwa incentives kuboost economy.....wabongo kwa kulalama