Bodi ya wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo Afrika imeidhinisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 kwa serikali ya Tanzania kuwezesha mapambano dhidi ya ugonjwa wa unaosababishwa na virusi vya corona COVID-19.
Mkopo huo utasaidia bajeti ya jumla ya dola za kimarekani milioni 109 iliyotengwa na serikali ya Tanzania kupambana na ugonjwa wa COVID-19, bajeti hiyo inasaidiwa na wadau wa maendeleo mbali mbali ili kuweza kukabiliana na madhara katika sekta ya uchumi na afya yaliyoletwa na ungonjwa na COVID-19.
Janga hilo la virusi vya Corona limeongeza shinikizo kwenye vituo vya afya vya Tanzania, mifumo ya ulinzi wa jamii na imepunguza ukuaji wa uchumi nchini Tanzania uliokadiriwa kuwa zaidi ya 6.2% - wastani kwa miaka mitano iliyopita, ambao uliufanya kuwa moja ya uchumi wenye ukuaji bora katika Afrika Mashariki. Ukuaji wa uchumi kwa sasa unakadiriwa kupungua kutoka kwa makadirio ya kabla ya COVID ya 6.4% hadi kati ya 3.6% na 2.6%.
===
The Board of Directors of the African Development Fund (ADF) has approved a loan of UA 36 million ($50.7 million) to Tanzania, to finance the nation’s response to the COVID-19 pandemic.
The loan, from the African Development Bank Group’s COVID-19 Response Facility (CRF), will support the Government of Tanzania’s $109 million national COVID-19 response plan, which is jointly supported by the country’s other development partners. The plan is aimed at building economic resilience, while mitigating the socio-economic and health impacts of the COVID-19 pandemic, particularly on local businesses, vulnerable households and the country’s health system.
The pandemic has put increased pressure on Tanzania’s health facilities, social protection systems and has dampened the country’s projected growth of over 6.2% – the average over the last five years, and which had made it the one of the best performers in Eastern Africa. Growth is now projected to decline from the pre-COVID projections of 6.4% to between 3.6% and 2.6%.
Commenting on the operation, Nnenna Nwabufo, the Acting Director-General of the Bank’s East Africa regional office, said it was part of a larger, more comprehensive support package for the Bank’s regional member countries, including Tanzania.
“The evolution of COVID-19 and changing containment measures remain dynamic and unpredictable; the medium and longer-term impacts of the crisis are yet to be fully understood. The African Development Bank Group is stepping up its coordination with governments, as well as with other development partners to adapt and strengthen its monitoring and response to the pandemic,” Nwabufo said.
Source:
Tanzania: African Development Fund approves $50.7m Covid-19 crisis response budget support