Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 110 kupambana na athari za COVID-19

Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 110 kupambana na athari za COVID-19

Kwa hiyo Leo Tanzania inaweza kukopa kwa ajili ya Ndui wakati tulishaambiwa Ndui hakuna nchi hii? Mbona mnatuchanganya nyie wapambe?
We siyo muelewa. Covid 19 haipo nchini, lakini tahadhari bado tunaendelea kuchukua.
 
Bodi ya wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo Afrika imeidhinisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 kwa serikali ya Tanzania kuwezesha mapambano dhidi ya ugonjwa wa unaosababishwa na virusi vya corona COVID-19...
Hela za kampeni hizi ndugu
 
The African Development Bank (AfDB) has approved a loan of TZS 117.57 Billion ($50.7 million) to Tanzania in order to finance the country's response to the COVID-19 pandemic.

The loan will support the Government's $109 million (TZS 252.77 billion) national COVID-19 response plan is it justied? Lets discuss. https://t.co/9vGUOxFYoI
 
Uchumi unakua affected na corona kutokana na madhara ya nchi nyengine, hilo ni muhimu kussuport biashara za ndani hujui kuna mahotel toka mwezi wa 1 hapa Tanzania na Zanzibar bado hazijafunguliwa zinaoitwa incentives kuboost economy.....wabongo kwa kulalama
Ni kweli kabisa unachokisema, kwani ndivyo hata mimi nilivyoelewa tarifa hii yakuwa mkopo uliochukuliwa ni kwa ajili ya kusaidia madhara yaliyo sababishwa na gonjwa hili la COVID19 hasa ktk maswala ya kiuchumi,unajuwa ukweli ni kwamba tokea mwanzo wa mwaka huu 2020 mashirika mbalimbali binafsi yametetereka sana mpaka kupelekea kufunga ofisi zao kutokana na gonjwa hili hasa sekta ya mahoteli ndiyo imeadhirika sana
 
Back
Top Bottom