Juhudi za nini, kwani kuna Corona tena?Hongera Magufuli. Hakika wameanza kuelewa juhudi zako.
Wanaendelea kumwelewaHongera Magufuli. Hakika wameanza kuelewa juhudi zako.
Sasa huu kama siyo utapeli ni nini?Hongera Magufuli. Hakika wameanza kuelewa juhudi zako.
Kiukweli kwa kuwa "Loyal" kwa unayempenda nakupa sifa zote. You can make a nice partner!Hongera Magufuli. Hakika wameanza kuelewa juhudi zako.
uchumi unakua affected na corona kutokana na madhara ya nchi nyengine....hilo ni muhimu kussuport biashara za ndani hujui kuna mahotel toka mwezi wa 1 hapa tanzania na zanzibar bado hazijafunguliwa zinaoitwa incentives kuboost economy.....wabongo kwa kulalama
Ndio naanza kuelewa kutoka kwako kwamba zinazoitwa 'Incentives kuboost economy' zinapokopwa haielezwi kuwa ni kwa ajili hiyo, bali zinaelezwa sababu au matumizi mengine tofauti!uchumi unakua affected na corona kutokana na madhara ya nchi nyengine....hilo ni muhimu kussuport biashara za ndani hujui kuna mahotel toka mwezi wa 1 hapa tanzania na zanzibar bado hazijafunguliwa zinaoitwa incentives kuboost economy.....wabongo kwa kulalama