..that is interesting.
..lakini ni kweli hatuna pesa za kuwalipa?
..mbona tumeweka order ya madege boeing 787 tena tumelipa cash, halafu unasema hatuna uwezo wa kuajiri madaktari?
..kuna dhahabu, gesi, etc inachimbwa hapa Tz mapato yanakwenda wapi kiasi cha kushindwa kuajiri madaktari?
..majuzi tumeamua kuhamisha serikali toka Dsm kwenda Dodoma. Je pesa za zoezi hilo zimetoka wapi? Kwanini zisitumike kuajiri madaktari na kuwasambaza nchi nzima?
Cc MK254, The Boss
..siyo kweli.
..mashirika mengi ya ndege huendeshwa kwa ruzuku kwa muda mrefu kabla hayajaanza kupata faida. Na faida yenyewe huwa siyo kubwa.
..ni UZEMBE mkubwa sana kusomesha madaktari halafu serikali ishindwe kuwaajiri.
..unasema tuna mapato kidogo wakati huohuo tunafuja pesa kuhamisha serikali na kujenga mji mkuu mpya.

Du hapa pana kazi.
Nilidhani
I'm discussing the issue with a guy who can think, conceptualize and link ideas. Kumbe du.... If there where no adverse impact on Kenyans health.... why your government even after boycott is over decided to hire a good number of doctors from Tanzania? For a smarter guy would think that health sector was in bad condition even before the doctors strike. The strike just came to unveil the situation. This is why your govt did this to fix the misfortune.
Wanasiasa wako smart sana yaani mgomo kama huu ulipotukuta tulitamani na sie tuajiri kutoka nje ingawa ilikuwa inasemwa kama vitisho nawapongeza Kenya kwa kuthubutu na kuonesha njia ili Tanzania ijifunze kuwa siku madaktari watu wakigoma nasi tuchukue madaktari kutoka nchi zingine za Africa mashariki ili mambo yaende maana hawa jamaa migomo yao ni hatari kwa maisha ya watu na inaumiza sana sana wananchi wa kipato cha chini asanteni Kenya kwa kutupa funzo.Siku utatoka kijiweni na kuacha kutegemea hadithi za hapo ndio utakua, lakini kwa sasa sina jinsi ya kukusadia. Waache vijana wajasiri waliosoma zaidi yako na wenye uwezo wa kufikiri zaidi yako wavuke mpaka na kupata riziki yao.
Ngoja nikuache maana hufundishiki. Kama unadhani serikali haiajiri madaktari kwa makusudi nitakusaidia vipi? Kama hujui kuwa ndege zitaimarisha utalii unasaidika vipi?
Hata wewe unalalamika maisha magumu huku kila siku unanunua vifurushi vya 'internet' na vocha za simu. Ni ujinga kutaka mambo mengine yasimame hadi madaktari wote waajiriwe.
Hahahaha!!! Aki ya nani shule zenu au walimu wenu wana kazi, nashangaa sana kuna Wakenya huja kufanya kazi ya uwalimu huko, yaani mimi siwezi kuvumilia huu ung'ang'anizi wa mtu asiyefanyisha ubongo wake kazi. Upo pale pale, umefumba macho na kuziba masikio na kurudia ile ile kauli.
Tumekuambia madhara yalikuwepo lakini hayakua na uzito kama ilivyotegemewa ama kama jinsi ingekua Bongo, maana vituo vya afya siku hizi vipo vingi sana kitaa tena vya bei nafuu. Siku hizi kumkuta mtu anakwenda hospitali za kiserikali labda iwe ana complications kama vile cancer na hawezi kugharamia.
Na ndio maana unaona huo mgomo ulichukua muda mrefu, maana hapakua na effect kubwa ya kuifanya serikali ipige magoti. Bure tungepiga makelele nchi yote na kumfokea rais hadi ashangae na kuwabembeleza madaktari. Wakenya tunafahamika pale linapofika suala la kuwajibisha serikali.
Bwana eee kwaheri, njia moja nimejifunza ya kuishi na Watanzania ni kuwaachia uwanja kila wakiingia kwenye hiyo mode ya ung'ang'anizi usiokua na tija au mantiki hata ukielekezwa vipi. Inabidi nakupa kwaheri maana labda chizi ndio ataendelea kukujibu kwa hili.
..ok.
..sasa hebu nieleze kwanini serikali imeshindwa kuajiri madaktari.
..utetezi wako ni nini haswa?
..sijasema mambo yote yasimame ili tuajiri madaktari.
..Nimekupa mfano wa baadhi ya mambo ambayo siyo ya maana yanayopaswa kusimamishwa ili tuajiri
madaktari na kuboresha mfumo wetu wa huduma za afya.
..kwa mfano serikali wanadai wanahamia dodoma ili kupeleka "huduma" karibu na wananchi.
..mimi napinga kuingia gharama kujenga makazi na maofisi ya serikali Dodoma. Badala yake napendekeza zijengwe Zahanati na Hospitali na tuajiri madaktari. Naamini that is better use of our tax payers money.
..kuhusu habari yako ya Canada. Kuna tofauti kati ya kuwa underutilize ma specialist na kutokuajiri junior doctors.
..vilevile wenzetu wa Canada are engaging one another kutafuta jinsi ya kutatua tatizo hilo. Hatujasikia Canada wakiwaambia Wamarekani au nchi nyingine wasombe madaktari toka Canada.
..Canada hawashangilii brain-drain ya madaktari wao kwenda nchi nyingine.
..Tanzania Raisi wetu na waziri wa Afya ndiyo cheer leaders numba moja ati Madaktari tuliowasomesha kwa
shida waende kuhudumu Kenya.
..kila Mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi hii inapaswa kuhoji uamuzi wa kuridhia Madaktari wetu kwenda Kenya.
cc MK254, Nguruvi3
Well said mkuuIt is sad that even the Kenyans on this thread didn't realise what their doctors were fighting for in the first place.
This agreement to bring in (and at the same time train locally) more doctors was part of the return to work formula along with facilities, equipment upgrades etc. Kenyans this is to your health benefit, this is set to make u a healthier population. I expected the Tanzanians to be up in arms but not the Kenyans. SMDH.
Mkuu hivi unategemea mtu kama MK254 akupe majibu ya kina ya swali hilo au ataishia kukucheka na kukukejeri tu..that is interesting.
..lakini ni kweli hatuna pesa za kuwalipa?
..mbona tumeweka order ya madege boeing 787 tena tumelipa cash, halafu unasema hatuna uwezo wa kuajiri madaktari?
..kuna dhahabu, gesi, etc inachimbwa hapa Tz mapato yanakwenda wapi kiasi cha kushindwa kuajiri madaktari?
..majuzi tumeamua kuhamisha serikali toka Dsm kwenda Dodoma. Je pesa za zoezi hilo zimetoka wapi? Kwanini zisitumike kuajiri madaktari na kuwasambaza nchi nzima?
Cc MK254, The Boss
Wameshindwa kuwalipa vizuri wakenya wenzao watapata wapi hela zakuwalipa wabongo.Mnaotaka kulipwa vizuri, haya nendeni Kenya nisisikie mkilalamika baada ya kupitwa na chance hii.
joka kuu ulitaka hawa vijana waendelee kubaki mtaani au ? Tayari kuna batch mbili mtaani na ya tatu inakuja Oct hapo, ukweli ni kwamba serikali haiwezi kuajiri wote hawa, kuwaruhusu baadhi waende Kenya ni busara tu ya uongozi kuliko nyie mnaowatisha vijana kutwa nzima...ok.
..sasa hebu nieleze kwanini serikali imeshindwa kuajiri madaktari.
..utetezi wako ni nini haswa?
..sijasema mambo yote yasimame ili tuajiri madaktari.
..Nimekupa mfano wa baadhi ya mambo ambayo siyo ya maana yanayopaswa kusimamishwa ili tuajiri
madaktari na kuboresha mfumo wetu wa huduma za afya.
..kwa mfano serikali wanadai wanahamia dodoma ili kupeleka "huduma" karibu na wananchi.
..mimi napinga kuingia gharama kujenga makazi na maofisi ya serikali Dodoma. Badala yake napendekeza zijengwe Zahanati na Hospitali na tuajiri madaktari. Naamini that is better use of our tax payers money.
..kuhusu habari yako ya Canada. Kuna tofauti kati ya kuwa underutilize ma specialist na kutokuajiri junior doctors.
..vilevile wenzetu wa Canada are engaging one another kutafuta jinsi ya kutatua tatizo hilo. Hatujasikia Canada wakiwaambia Wamarekani au nchi nyingine wasombe madaktari toka Canada.
..Canada hawashangilii brain-drain ya madaktari wao kwenda nchi nyingine.
..Tanzania Raisi wetu na waziri wa Afya ndiyo cheer leaders numba moja ati Madaktari tuliowasomesha kwa
shida waende kuhudumu Kenya.
..kila Mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi hii inapaswa kuhoji uamuzi wa kuridhia Madaktari wetu kwenda Kenya.
cc MK254, Nguruvi3
KIGENE madaktari wa Kenya kwa junior levels wanalipwa almost twice ya madaktari wa Tz, kwa hiyo ondoa shaka kuhusu suala stahiki zao.Wameshindwa kuwalipa vizuri wakenya wenzao watapata wapi hela zakuwalipa wabongo.
Chama cha madaktari cha Kenya kimepinga vikali ujio wa watanzania na kudai kuwa kuna madaktari 1,400 Kenya ambao hawana ajira.
joka kuu ulitaka hawa vijana waendelee kubaki mtaani au ? Tayari kuna batch mbili mtaani na ya tatu inakuja Oct hapo, ukweli ni kwamba serikali haiwezi kuajiri wote hawa, kuwaruhusu baadhi waende Kenya ni busara tu ya uongozi kuliko nyie mnaowatisha vijana kutwa nzima.
Halafu kupanga ni kuchagua, tuache kulalamika kila kitu, air Tanzania tayari ina pumzi saivi, swala la kuhamia Dom after 2020 litakuwa historia, vivyo hivyo kwa SGR na miundombinu mingine mingi tu, hatuwezi maliza matatizo yetu ndani ya 5 years, sekta ya afya na elimu ni mtambuka sana, tusiwakatishe tamaa vijana wetu kwa sababu ya maslahi ya siasa zetu.
Ni common sense tu itakwambia nini kinapaswa kufanyika. Sasa hivi zaidi ya 50% ya mapato ya serikali inatumika kulipa mishahara, usipoongeza mapato ya serikali na kuendelea kuajiri nini kitatokea?
Acheni ushabiki usio na tija, nyie ndio mnafanya harusi kubwa halafu mnalalamika maisha magumu. Kujenga Dodoma na hayo unayosema havina uhusiano wowote. Bado hospitali na zahanaati zinaendelea kujengwa.
Kwa taarifa yako tu, hayo matatizo yapo Afrika nzima na sio Tanzania peke yake. Hao madaktari hata wasingeenda Kenya wangekaa nyumbani tu bila kazi.
Duh hao watapiga hela balaa, halafu ni miaka miwili. Anyway hongera na asante.
..kama hufahamu msaada tunaopata ktk sekta ya afya toka USAID ni karibu sawa na gharama tunazoingia ktk zoezi la kuhamia Dodoma.
..hii ni aibu kubwa kwa nchi yetu.
..serikali yoyote ile yenye chembe ya ubinadamu haiwezi kufanya matumizi ya hovyo kiasi hicho.
..By the way, endeleeni na ujenzi wa International Airport Chato.

Kuna district hospital zinazohudumiwa na AMO, hakuna MD. Kuna Hospitali za mikoa wanaotoa huduma ni Clinical officer kukiwa na Madaktari wachache..kila mahali waTz wanalalamika kukosa huduma nzuri za afya.
..wakati huohuo kuna mamia ya madaktari wako mitaani na serikali haiwaajiri.
..halafu Raisi na Waziri wa Afya wanatangaza kutoa " msaada" wa madaktari kwenda Kenya.
..zingatia kwamba ratio ya daktari kwa mgonjwa huku Tanzania ni ndogo kuliko Kenya. Kwa maana kwamba daktari wa Tz anahudumia wagonjwa wengi kuliko daktari wa Kenya.
..Je, waTz hatuhitaji huduma za madaktari hao waliosomeshwa kwa kodi zetu?
Cc MK254