Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Aisee ni maajabu, yupo wapo live itv anasema wataalam wataifanyia kwanza utafiti kabla ya matumizi wakati huo yeye jana alionekana akiibugia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ndiyo utafiti wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kunywa chupa nzima ya dawa, tumbo likaanza kuuma ndio maana anasisitiza utafiti
 
Wamechoma mafuta ya ndege kipumbavu!
Hakika hawa ni wabumbavu OG.
 
Mjinga kabisa ww.....endelea kuwasubiri hao who

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…